a
publication
empowering kenyan youth
y bu
cost
ya ku -
Shuj aaz n im
anga pi?
0/-
ni ngovo tu kutumia DJ B ka-text
4
nguch za dooh su
500
10
kuna winners 10 wa google compe!
4
Idea 4 kali za ku-change life yako
Mashujaa 4 ndani ya comic!
500
P3
10,000 hawa ndiyo ma-fans tuko nao Facebook
20 24 Ha
ni form utapewa uki-report case ya violence
unaeza earn soo 5 per kila kg ya nyama ya sunguch
Kuna K Ku una n S Shujaa hu h uja jaa jaa o the of e month m h kila mwezi!
Skia show kwa radio station 20 kote nchini!
pa
kuna p
es ag
1
chapta 20
not for sale web
5
3008
Namba ya SMS ya ku-gotea DJ B
fm
sms
comix
Wasee! Hapa ndani kuna mambo fyaam. Mafans wangu wameni-show ideas kali sana…
“Hapo Twitter kwa @Shujaaz, nacheki cheki u!” Malkia anadai Jipendo anajitibu!”
“Kwa Facebook fanpage yangu, MariaKim anaboeka na risto za ubaguzi.”
sms 3008
“Ala! Tena nina SMS kwa 3008: Charlie Pele anasema Taabu ako kwa noma!”
Soma hizi risto na pia unipe risto yako! Tuko gangare! re!
k uj it i tib ibu u TIHIHI! AKI GOSH!
Wacha nigotee Collo!
Niaje Collo? Thanks kwa ile sms jana. Nime-accept kuenda na wewe bash!
Hakuna ngori msuper. Si unajua naku-mind!
Er, hata si mimi‌em, si tutaonana?
3
Aki naendesha!
Jipesh, naskia una-drive? Una-feel aje?
Manze naskia vibaya!
Si tuishie kwa school nurse akupe dawa?
Hakuna haja! Cheki, enda u-buy Pentriflex mbili kwa chemist. Ni dawa poa ya tumbo na itakufanya ukuwe msupuu in 1 day!
Wooooi!
Ai! Bado siskii poa!
4
Alipofika home…
Surely Jipendo! Unajua lazima upone kwanza!
Si twende hospitali uangaliwe?
Wacha nikakuangalilie kienyeji, itakusaidia haraka.
Zii! Lazima nijipange niende bash!
Nitang’ara hii dresstop!
Wacha niambie Collo nita-make sure nipone ndio niende na yeye bash! Hapo mtaani… Hapa niko na madawa ya magonjwa yote duniani! Daktari, uko na dawa ya tumbo?
Dawa ya mende, coakroach murderer! Dawa ya kisukari, ki-sugar, malaria!
5
Chukua hii: ni pure! Akunywe baada ya ugali mara mbili kwa siku. Na ikibaki mtatumia kuua mende hapo nyumbani!
KULE HOME‌
Si unaona unatibika na hii chwani! Mimi ni daktari tosha!
Labda hii itakusaidia.
Sasa nimehata bash! Na ningeenda na Collo! Gff!!
6
Jipendo, una mgeni!
Woishe Jipendo! Unacheki vile kujitibu imeleta shida! Amka uende kwa doki ndio upate full treatment..
Nimekukosea sana Jipendo. Singekupa hizo madawa za kununuliwa mtaani na hazijulikani ni za nini. Amka nikupeleke hospitali. Malkia umetufungua macho!
Nimekuandikia madawa. Next time usirudie kujaribu kujitibu! You were lucky this time!
Baadaye kidogo‌
Mum nimeskia poa! Wacha nikimbilie bash kabla iishe!
7
Wacha ningoje Collo hapa, najua bado yuko around.
Collo hatokelezei?!
Manze siezi cheki Jipesh na vile naendesha hivi!
Relax collo! Enda u-buy pentriflex, ni dawa poa ya tumbo!
Kujitibu ni cheap kwa muda mfupi, lakini mwishowe, inaweza leta shida mobs sana!
KUMBUKA!!
Madawa herbal zinasaidia mwili na immunity, kama matunda na chakula. Lazima ucheki Daktari kama wewe ni m-sick.
Qualified chemist huwa ako na Cert imewekwa kwa wall yake.
a kosea na Ukijitibu, unawbiezdi ulipe bills ita e mwishow si. mob sana za ho
KWA HIVYO…
8
symptoms diseases mob na Elewa kuwa kuna adawa ya kutibu ni tofauti. m hufanana, lakini i, ni hardest wewe sio daktar yo! a m ka , yo hiv Kwa na o uk ni ga kujua ni ugonjwa alizi dose, ewa dawa hawam Pia wengine wakip anaacha dawa! Mwishowe akiskia poa kiasi, sistant kwa madawa, mwili inakuwa re pense noma. na hii ndio ex
baye al Oficer am pa , ama Clinic ku tu ku ri ta na a ak D gu i N a, ity ya kukuka ana author ku-cheki. Ukishakaguliw ha is nye pe , n’ dawa ak io pt ri sc atakupa ‘pre awa yenye utatumia. ia mad ik nd ua ek am eandikiwa, dawa vile um dosage ni Tumia hizo za ge au kuon kupunguza
HATARI!
Well Told Story Š 2011 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication.
Content producer: Audrey Wabwire Content: Paul Peter Kades | Vincent Muthini | David Ouma | Joram Kioko Art Producer: Fatima Aly Jaffer/Tim Odero Layout Design: Tim Odero Art: Daniel Muli | Eric Muthoga Shin Tuxedo | Salim Busuru | Joe Barasa | Noah Mukono Radio: Eunice Maina | Dominic Oigo Special thanks to Just A Band for their fantastic music on ShujaazFM radio
Shujaaz(TM) is published by Well Told Story Ltd. , P. O. Box 1700 00502 Nairobi, Kenya. Tel: 02 02603214,www.welltoldstory.co.ke. Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466 - 00100 Nairobi GPO. Produced in collaboration with: USAID, Safaricom, Twaweza, RIU. Distributed by Saturday Nation and Safaricom.
9
shule yetu ni shule poa
tore ku-s tatoes
t po swee
Niaje DJ B. Chuo yetu ime-buy fire extinguishers na first aid kits. Naku-big up coz nilisoma shujaaz ile vako ya first aid. Na-big up Gathiruini Boys Hae Skul kwa ku-buy fire extinguishers.
Niaje DJ B. Nili-try ile idea ya ku-make viazi i-stay for long. Manze nakuambia zinaweza stay for more than a year bila ku-spoil. Thanks sana kwa ideas zako. Dennis Barasa.
Peter Waxi Maina.
unwaeza
change lif
e yako - acha ad diction DJ B, am a former victim wa drug trafficking. I was partly inspired na storo ya Chuux, venye ma-barons hu-misuse mayuts with false promises. Though niko rehab, tena under watch, am reformed na sitaki ma-yut waumie kwa lyf kaa yangu. Abdulrazack Saidi.
DJ B umetushika vinoma huku Kibera, na m wote Kenya. Umeni-inspir zile idea za bizna, na juu nil na pesa kiasi nika open sh Saa hii iko big tu sana hata hawa-believe! Ni-propose jina ya hio shop manze j bado sijaipea name. David Mutinda - Kibera
BIG UP SANA WINNERS WA GOOGL E T-SHIRTS
1. Eliud Kisongochi 2. Sharleen Inganji 3. Brian Muinde 4. Martin W. Mugo 5. Mark Odhiambo 6. Sylvia Kihundu 7. Mwajuma Rashid 8. Victor Kimaru 9. Joan Mwariri 10. Francis Ngowa
Niaje Dj B. Hii risto ya Malkia na Filo imeniaffect coz nilikuwa navuta tumbaku. Nilijiamini na kuacha drugs. Tuwe gangare na masomo. Richard Sydy.
Bro wangu alikuwa mtu mandom na makuber. Hii SMS issue ilini-hurt. I 3008 researched on the ways ya ku-quit drugs I was once an alcoholic ni 5/Nilichambua poa na later but thru counselling tu!! nikam-show in detail. kutoka kwa mabeshte, I Alinisikia na aka-quit! changed. The best thing I 2naplan tuunde group ya did is I changed the ku-address addiction ya company of friends. drugs kwa village yetu. Luli Mercie. Thanks! Karam Yubiz. Niaje DJ Boyie. Naeza lyk ku-share out stori ya me dat once nilikuwa an addict wa coke nika-get busted bt nilipo take-iwa rehab one of de inmates wakani-encourage ni-take life yangu serious. big-u ups s Bobbie. to shujaa ujaaz z
Si uiite
Shujaaz DJ B umetushika Duka? huku Kibera, na mayut nya. Umeni-inspire na s big-ujp za bizna, na juu nilikuwa a a z to shu a kiasi nika open shop. ko big tu sana hata watu elieve! Ni-propose-ie a hio shop manze juu OOH do sijaipea name. AVE i D ua S ya mv j d Mutinda - Kibera. a m na
Hi DJ B? Kwetu sasa hakuna mtu anajisumbua kuteka maji kutoka kwa kisima. Tuna tanks tatu ambazo zaweza hold about 1500ltrs! Hata boy wetu wa job ame-relax. Sasa yeye ni kuangalia maslahi ya ng'ombe zetu na hiyo ni almost 3 months! Wa2 wahimizwe kuchukulia maji ya mvua kuwa serious! Pablo De Machinery.
SMS 3008 ni 5/tu!!
-ups ups s
hujaaz ujaaz
DJ B, mimi nili-show mthama juu ya hii risto yaku-harvest maji ya mvua. Alikubali ku-buy gutters instead ya ku-buy maji. Leon - Kokwanyo DJ B, rain water iko na use mob kaa domestic use na hata irrigation. Pia inapunguza burden na time ya kuenda kutafuta maji. Doro - Chavakali. Si uiite Shujaaz Duka?
If luvin shujaaz fm was a crime then ningekuwa shimo la tewa prison ama kamiti maxmum prison. Faith Mukami
SHUJAA
of the month
JINA: GURSTON OPAR BASE: KOCHIA – WEST KARACHUONYO DISCTRICT WAX: MODE, MUSICIAN
“Nilizaliwa na spine imejikunja. Nikiwa mtoi watu walikuwa wananiita ng’ombe juu ya nundu yenye ilikuwa kwa back yangu mgongoni. Chuo, ma-stude na mamode walikuwa wakinitukana. Hakuna msee alitaka ku-interact na mimi; walidhani nitawaambukiza hiyo disability!� “Nilijiunga na Young Voices Club yenye ilini-help ku-dicover talent yangu ya poetry na arts, na nime-get chance ya ku-perform!� “Na-advise my fellow disabled friends kuwa disability is not inability, ambayo pia ndio title ya song yangu latest. Nimekuwa featured kwa Pamoja FM na Kibera Community TV station. Fuata dreams zako & kila kitu ita-work out!� R 6 ,)$) $*)+)&D,)%% %*,,%*2 2 2 %*)&* F ,,(,, S E 2
Najua mimi ni orphan, na nime-grow-ia ghetto, lakini siwezi stand story za corruption. Niko ready kwa any challenge!
Ma-Sunguch! Si nimekufungia ya kutosha? Uko poa lakini? Poa!
Siko poa. Aki sunguch wangu wanasumbua! Sijui ni-do what!
Ah! Kuna mtu najua anaweza kuku-help. Yeye ni pro kwa risto za farming. Ana ma-ujanjez. Tuta-come na yeye baadae.
Umeni-save jo! Thanks. Baadae!
Poa!
12
Dan, nime-come na ule beste yangu.
Ndio huyu beste yangu. Ako poa sana na farming.
Wazi. Thanks sana.
Ala! Sasa unaniletea kiwete hapa anisaidie na nini?! Niaje? Naitwa Sifa!
Wee! Unaongeaje hivyo?!
Hebu kuja!
Sifa ni mlemavu, lakini ni binadamu kama mimi na wewe! Na amenisaidia sana. Ndio maana nimemwomba akusaidie hata wewe!
13
Haiya!
Ni kapoa!
Ah! Hakuna kitu kiwete anani-show mimi! Hata chukua hiyo sungura ni useless!
Na msirudi!
Sifa tuishie. Achana na huyu fala hasaidiki!
14
Sifa, unatakia nini sungura?
Unajua sungura ni rahisi kulea. Kuifuga haihitaji movement mob so ni poa kwa mlemavu kama mimi.
Mbolea ya sunguch ni poa sana kwa mimea
Pia una-get products mob kutoka kwa sungura kama ngozi yake yenye ni poa ku-make ndula, na makofia
Kuanzisha kuweka rabbits si hard, naweza zijengea ka-hao ka mbao na mabati zenye nimeokota mtaani. Pia sihitaji cheddars*4 mob kuanza!
Nyama yake ni tamu sana na inauzwa bei poa: kshs 300 kwa kg moja!
Wacha niishie home sasa. Chunga huyo sungura vipoa!
bye!
15
Baadae kidogo‌
Sunguch zangu!
Haiya! Dan anafanya nini pale?
Sasa nitaanzia wapi?
Dan? Ume-lost. Hebu kuja niku-show mtu amekuwa successful sana na rabbit farming‌
Oh? Sawa, twende.
Maria Kim! Dan! Karibuni. Sikujua mna-come?
Nimeamua nimtembeze Dan acheki rabbit farm yako.
16
Ala?! Manze sunguch wako wamekuwa wasoo! Kwani unazilisha nini?
Hakuna was! Lakini kuna vile unaweza ni-save‌
wazi!
17
mnajua, ukulima ni kazi vijana! ngumu! unafaa kucheza karata tu! kukaa macho kila... zzzz... wakati...
fungueni mlango!!! nawaskia hapo ndani! fungueni mlango!!!
18
agh! tucheze game ingine!
oho! Nimeshinda tena!
wamenikujia! madeni zangu zote zitaniua! poleni vijana wangu, niljaribu kuwalea vizuri lakini nimeturusha kwa shida...
huyu mtu hatatuacha... itabidi mmoja wetu aende kufungua mlango... hapana! ataenda tukikaa kimya... wacha nifungue mlango...
taabu! utakufa!
er... ehm... pole sana, jirani, nilikuwa kitandani...
wewe ni taabu?
...EHM... NDio...
WOi!
ah, poa... ni wewe nakutafuta. naitwa matata. Nime-come kuku-show
Purity ni wangu!
19
NIlimpenda tangu tukuwe watoi! Manze alituliza roho yangu!
lakini sikuweza kumuambia... nilikuwa mwoga mbele yake...
oh, purity!
hiyo jina lake linamfaa! anaweza kumnyamazisha ndume kama mimi!
ni msupa! Ni mtamu! Aki huyo dem!
nikapatiwa transfer kuenda kuwa polisi pale nairobi city... ...lakini niliposikia ya kwamba mrui fulani alikuwa anataka kumuoa purity wangu...
hiyo ndio sababu nimekuja hapa kukuambia...
lakini... ...tunapendana...
...uwachane na yeye.
...ilibidi nirudi....
Unasemaje?!?!?!
20
...uuuuh.... uwachane na purity wangu!
na nisikuone kwa station ukichukua p-3!
ah, wewe baba charlie, taabu nisaidie hajakufa! kumuingisha kwa woooi woi, nyumba... majirani, taabu amekufa!
taabu amekufa!
aki taabu, pole... eish, taabu! huyo msee amekuchafua!!! utado? utado? utado?
taabu, pole sana...
purity, huyo msee ameniumiza vibaya... yenyewe, sijui ni-do nini...
sitaki kufa! nadhani itabidi tu-break up!
taabu... do hivi: twende kwa police station u-report matata. utadefendiwa hapo.
lakini alisema nisichukue p-3 forms za kumstaki... huyo msee ataniua!
TAABU! kuwa brave! utalea familia aje na hii attitude yako?!?!
21
Taabu, kumbuka ni wewe nimechoose unioe.
sawa basi, twende kwa station...
ni wewe nakupenda.
...mtajaza hiii p-3 form na details za hiyo assault...
asante.
ahem!
22
nimeandikisha statement yako lakini...
Wasee, lazima uelewe vile sheria ina-work! Cheki hapa!
P3 ni a FREE document official ambayo inatolewa kwa KILA police station wakati msee ameenda ku-report case ya kupigwa.
USIOGOPE!
Msee amepigwa huwa anahitaji kupata hii form ili aende nayo hosi ku-get matibabu. P3 form itaonyeshwa kortini wakati wa kesi.
KUMBUKA ukienda kwa police station: Bonga na officer mwenye ako kwa desk juu ya kitu unataka ku-report. Kuwa na points zinaeleweka na ukumbuke tarehe zote zenye zinahusika ili uandike statement ambayo inaeleweka. Kuwa mpole ndipo utasaidika.Heshimu huyo officer ambaye unampatia report!
Kutojua sheria sio excuse! Share risto zenu za kuwa kwa police station na DJ B. Tuma SMS kwa 3008!
kumbuka ‘NI 5 BOB TU’
RT PO CE E LI N R g PO IO A AT stin Y e N qu EN MI Re E K XA er f… fic TH L E e f ..R te CA eO lic P3 …… ...Da DI Po … … … ME … … the … … …… f: by … … ted … … …… ion o e l … … … nat p … … … com … … ……xami …… e be … … … im e … … …… To ) our …… nd T … … … 1-( a ry… … T… ……tioonf y ……… te.. s… a … … RT … inoaur ……… .Da… R A n … … … … P e .. … … … …PO …… afm av … …....… isp … n .. … … E … E … thex m…C… /D ……r fur ……l… ….... … I N…R… uestg E …… …… Fro …L… … onu) /h … pita… O … req stin…… ……… …… y … … s… of ow im PO tTheI ue… ……… ……… n Hthoe and kn by. h … A TNoA ve toeq… … f . d Y … a … I h eR… … …… al o … (iIne .... … a . …. …… r s… ef……… pit … …… … EN M I am s …… K A ust cee… .n. ce… Nfice dres .… .R …a/teHo… E EX y s… fpfoenlic f… e … …n…a ur… … ..D Of Ad … … ou … … nj… o f…… oo TH AL … … to .y ………ily i… he ice rt dt ge…d of… … … en…t … IC ol …… :b- od gereploegealle… t of t……t P D … l S … or…rt … A e a the…… sc… E …… tn ooff .t.i.m o… ing S he … ………… … e t e p f M h n e nd … d f lts o ……… … … … xatetio an… r… er … by a i d a e o … … … a … d n … e … t n m ….u …ith m t de … … … … i a… … .… … … ete o TA … … … am D… iefim … … … pl e wr C …… D…E … … … ex … Bdr T … … 20 … mfice om … … … … … ur … an … … AL… … … gOf ec … … … … … yo … te … … IC … … s…f … eishoifn ob … …… … r of … ..Da … … …ED…… ……pi… e … am n (T . r u M … … … . … …1 co… IhSe O … … … vo … .... … … Nfu er. T… 11 … … … t …four …-TH … … … fa … .... … … ur /h … RT …’’ of … … … the … . … … yo im A…R … yp…e …A PA t … …… … est … …… … ……d of by h P… …… se … ‘’ re N atu … he n … u … … om ea … … db Fr …… e… req … …… … on t …a ined … ……(P…l …CTIO Sign e t e sR … o th e to …… … …… tal … sta ce… nce … SE… pler’ a mfic exin T hav e… …… … spi … y su oli ffe … … cOof oulot th c l I am ess … /Ho …… jur to p d o … … tion e a c s doicb nogf nu … N ddr …… ou … y in ort lege …… … Sta M- (eTStrartyei m…a …E A … to y … dil rep al … …… ing B a…l T … S 1. ca .… … ent …… f bo e the … … nd in S… IL NA ig ..… S … t o tim s of …… … ma U …I… or ..M TA M l … ten and tail … …… om e … E th ON …XA nera D ex ate de … … er C e m E L I f … D rie …… … fic A . G .…… fro CT 2 f C … s … I B … … O E e … ce pi S ED … … e of n … e… co HIS M G m
see upate info zaidi Bonga na hawa wainwork kwa kesi za a eir sh si jin juu ya a: an pig ku a am ’ ‘assault 300 NAIROBI P.O.BOX 7483 - 0003 874191 02 254SIMU: 4221 MOBILE: 0734 87 0727 773991 ria.or.ke info@kituochashe : EMAIL ERIA KWA INFO! BIG UP KITUO CHA SH
23
Shujaaz. FM radio show inapenya kwa hizi station kenya mzima. pata story zote za comic kwa show yangu. cheki time na ukae rada!