06 - Shujaaz.FM - Chapta 6

Page 1

INSPIRING KENYAN YOUTH

NOT FOR SALE

CHAPTA 6


item 3b ni redio ilio na fm, a.m. frequency, nani atainunua kwa mia mbili? chief ameipata kwa mara ya kwanza, ya pili na ya tatu!

BOYIE aweka chief kwa noma

...liiii... ...liii..

sob sob

habari mama, una shida gani?

sob sob

vitu zangu ndizo zinauzwa kwa auction!

3


mambo yaliharibika baada ya mume wangu kufariki. Watu walinitumia SMS wakiniambia nihame sababu mimi si mwenyeji

“mume wangu alikuwa na deni kubwa...

“AUCTIONEERS WALICHUKUA VITU VYA NYUMBA NA KUTUHAMISHA KWA SHAMBA YETU...

“niliuliza chief usaidizi na akakataa na kusema hasaidii watu wa kabila yetu...

“NILIPOKUWA MSICHANA NILIKUWA NATAKA KUWA NA SALON. LAKINI SINA MBELE WALA NYUMA. SINA PESA ZA KUJIENDELEZA...”

Siskii kama niko safe hapa na ni lazima nihame

USIJALI MAMA NITAAMBIA RAFIKI YANGU ALIYE NA KIPINDI YA KUENDELEZA VIJANA KWA REDIO yaani shujaaz fm NA ATAWEZA KUKUSAIDIA.

4


hii ni shujaaz fm na kijana wenu djb! niaje mafans? nimepata sms kutoka kwa rafiki yangu ambaye mali yake yote iliuzwa na auctioneers!!! amepoteza mali yake yote!

big-ups kwa mafans wanaonitumia ideas poa za kujiendeleza kama vijanaa...

nitumie ideas za kusaidia friend ya mine on 3008.

Ni responsibility yetu kama community kusaidiana hata kama ni watu wa community ingine

big-ups kwa fan aliyenitumia sms na kuniambia ana idea ya kusaidia friend ya mine ya kujiendeleza. nitawa-connect mara hiohio!

natafuta mama teresa.

ni mimi.

5


MImi ni kiongozi wa District peace commitee na ninataka kukusaidia. niliskia story yako kutoka kwa redio na nikaona naweza kukuSAIDIA twende nikuambie njiani.

unajua nimezoea kufanya kibarua ya kuosha na kupata 50 bob kila siku. lakini haitoshi kutuchunga mimi na watoto...

nashukuru sana.

mume wangu alikufa, mali yangu ikachukuliwa na auctioneers na hata chief alikuwa anawaangalia wakifanya haya yote. nilimuuliza anisaidie akakataa kwa sababu ya kabila yangu.

yaani chief hakusaidia? pole, sikujua kuwa maisha yako magumu HIVO

so, ulikuwa unataka kunisaidia kivipi?

hapana NA SIKUMALIZA MASOMO YANGU, SINA PESA ZA KUFUNGUA ACCOUNT NA KUNUNUA FORM.

unajua juu ya women’s fund?

HaUHITAJI VITU HIVYO VYOTE. KUPATA FORM NI BURE, NA HAWATAKUULIZA JUU YA MASOMO YAKO. TWENDE KWA OFISI YA WOMEN’S FUND ILI UPATE UJUMBE.

ndio hii women’s fund office. twende uongee na wao ili waweze kukusaidia.

6


hakikisha ujaze hizo forms na uzirudishe kwa women’s fund office

asante sana. sikufikiria ingekuwa rahisi hivi ku-apply women’s fund.

asante pia. all the best.

munch!

!

h krunc

sasa huyo mama hata hana kikombe! unadhani watoto wake wanaishi wapi na wamefukuzwa kwa nyumba YAO?

MUME WANGU! Kwanini hungesaidia huyo mama ILI ASIFAGILIWE na auctioneers?!? wewe ni mkabila! niliskia HIYO STORY KWA show ya kijana dj b na ikanisumbua sana!

NILIFIKIRI KAZI YAKO NI KUCHUNGA WANANCHI KUTOKANA NA MAOVU! YAANI CHEO YAKO INAKUKUBALISHA KUFANYA HIVO?

NAJUA HAYA YOTE NILIOSEMA HUJASKIA LAKINI LAWAMA NI KWAKO!!!

7


SASA ALIKUWA AKIONGEA JUU YA NINI? NIKIPATA HUYO DJ B NITAMFUNGIA STATION AACHE MAKELELE MINGI!!

!! ! U U U KU ASANTE BOYIE KWA KUNISAIDIA! NILI-SAIDIWA NA MAMA MWINGINE KUPATA WOMEN’S FUND.

SAWA, LAKINI NILIKUWA NATAKA KUMSHUKURU IN PERSON.

NITAAMBIA RAFIKI YANGU DJ B KUWA ALIKUSAIDIA.

Women’s Fund Mwaka wa 2007, serikali ilianzisha womens fund ili kusaidia wanawake kujiendeleza kiuchumi watajitegemee kifedha na kuwa more confident na kuparticipate kwa maendeleo ya nchi. Kila constituency imepewa 1 million shillings ili wanawake waweze ku-apply na kuipata. Womens fund inasaidia ku-build capacity ya wamama wanao omba loans, kwa kusaidia ku-market bidhaa zao na

8

kuwa-link na companies. Ni wanawake wachache wame-apply kupata women’s fund juu hawajui requirements za ku-apply sababu, hawana mali yao, na kuona ikiwa process refu ya ku-apply loans. Kuna aina mbili za womens fund loans: 1. C-WES loan “Tuinuke Loan”. 0% interest. Unaweza pata loan ya up to 50,000 bob na kurudisha malipo within 12 months (Unaanza kulipa loan baada ya 3 months za kupata loan). Hii loan inapewa tu kwa groups, si individuals. Enda kwa CWES office ilio karibu ili kupata more info. 2. Financial intermediaries Registered group ama individual anaweza-apply. Hizi hupewa na banks na saccos zilme-authorize-iwa na womens fund.

Interest ni 8 %. Unaweza pata loan ya up to Ksh.500,000. Malipo ya loan yanaanza kurudiswa within 36 months. Ili ku-apply kwa womens fund unahitaji 1. Kuwa 18yrs and above. 2. Kuwa from registered group ilio na more than 10 members kwa zaidi ya 3 months. Unaweza pata loan kutoka kwa Constituency Women Empowerment Scheme (CWES) inayomanage-iwa na District Gender and Social Development Officer kwa kila district. 3. Kuwa na account ya bank au sacco. 4. Men wanaweza apply kama wana 30% representation kwa group ya wamama. Hizi loans ni revolving na lazima watu warudishe malipo ili wengine waibenefit. Securities za CWES loan ni kama household items na business stocks. Tumia DJ B views na opinions juu ya hii storo ya womens funds on 3008.


aenda shagz Tayari Malkia?! Out!

Habari Malkia? Asante kwa kunitembelea

Nitarudi jioni!!

9


Natayarisha kupanda maharagwe. Unajua kulima?

Nisaidie na kazi kidogo

Sawa nyanya

Hapana nyanya

Kukamua ng’ombe? Hapana nyanya

Huyu ng’ombe anatoa maziwa mEngi

KAAP!!

Ndio nyanya

Koo

twaa

Nyanya, kumbe unajua kuchongoa?!

Miguu kubwa kama meli!!

Nilikuwa nikichongoa nilipokuwa mdogo. Ingine inaenda, wewe ni mweusi mpaka kukiwa na giza unatafutwa na unga ya ugali

Mapua kubwa kama firimbi ya jakobo

Ha

! Ha!

Ha!

Ha

!

Ha

!

Una mdomo kubwa hadi ukiifunga inalia kama mlango. Ha ha ha ha

Ha

!

10

sh!

! aHa! HaH !


Twende tuchunge kondoo

Nyanya! Zitaniumiza!

Kondoo ni mnyama mtulivu, hawezi kukuumiza

Aaaaaa. Nakumbuka mamako alipokuwa mdogo

Alikuwa analipisha watoto wa kijiji na kuwabeba na kondoo Kweli?! Nitamcheka!

Asubuhi na mapema watoto walikuwa wanapanga laini kwa kondoo wakingojea mamako awafungulie

Mama na kondoo!! Haha ha ha ha

11


BAADAYE KWA NYANYA Mamangu alipenda wanyama gani? Na alisumbua walimu shuleni? Alikuwa na boyfriends wangapi

Uliza mamako, ndie anaweza kujibu maswali haya yote.

Mama hana wakati wa kuongea na mimi ninapotoka shule anashughuli nyingi

Pole, najua mamako anakupenda sana na anafanya kazi kwa bidii ili uwe na maisha mema. Sawa, nisaidie kufanya kazi ingine Niletee ile ndoo.

Nyanya maharagwe iko ndani ya maji

Niliziweka jana usiku ili ziwe tayari kupanda. Kuweka mbegu kwa maji kabla ya kupanda inasaidia mbegu zote kumea haraka wakati wa kiangazi na kupatia mavuno mapema. Ni rahisi sana. Twende shambani.

12


Sikuelewa sababu ya kuweka mbegu kwa maji

Nilikuwa napanda mbegu shambani chache ndio zilikua. Nilipata hasara hadi nilipoanza kuweka mbegu kwa maji usiku na kuzipanda asubuhi.

Mbegu ni kama mtoto, lazima uiTUNZE vizuri ili iwe na mazao mazuri. Mtoto asiye na afya hushikwa na magonjwa virahisi

Utajua kama nafaka itamea kwa uki iweka kwa maji na kutoa zile zina-float juu ya maji Kuweka mbegu kwa maji kunasaidia mbegu kupata joto, maji na hewa zilizo muhimu kwa mmea..Hii ni hakikisho kuwa mbegu zote zitakua

mmea

hours za ku-soak mbegu

mmea

hours za ku-soak mbegu

Wheat

12

Chickpea

6-8

Barley

12

Finger millet

8

Upland rice

12-18

Cow pea

8

Maize

12-18

Pigeon pea

8

Sorghum

10

Groundnut

8

Pearl millet

10 13


Asante kwa kunisaidia shambani

Nimefurahia kuwa na wewe

Mimi pia

Nitakuita unisaidie kuvuna maharagwe yetu Kwaheri nyanya

Kwaheri Malkia Nitakusaidia kuvuna

Kata hasara kwa kwa ku-soak mbegu kabla ya kupanda na utavuna haraka

Umewahi enda kwa shamba na kupata plants zikimea kwa patches? Hii ni sababu mbegu zingine zina-fail kugerminate. Wakati mwingine, mbegu zote zinaweza fail ku-germinate kabisa. Hii huwa hasara kubwa kwa wakulima. Ku-soak mbegu kabla ya kupanda ni simple na inahakikisha kuwa mbegu zitamea haraka ili kupata mavuno mapema. Ku-soak mbegu kabla ya kupanda hufanywa kwa areas zilizopata low rains na kwenye ardhi kavu. 14

Kwanini ni-soak mbegu zangu? a) Mbegu zote zina-grow kuwa mimea healthy. Ni expensive kupanda mbegu tena, na huna guarantee kuwa hizo mbegu zitamea this time round kuwa healthy. b) Zina-mature haraka na kuvunwa mbele ya zile hazijasoak-iwa. In that way, wakulima wanaweza panda mimea ingine hata kama ni off season. c) Zitamea haraka zaidi ya zile haziku-soak-iwa kwa maji. d) Inapunguza weeding sababu mimea ina-compete vipoa na weeds,

Jionee tofauti ya ku-soak mbegu na kuto-soak, kwa kupanda mbegu zime-soak-iwa na zile hazija-soak-iwa kwa separate containers. Steps za ku-soak mbegu 1. Weka mbegu kwa maji kwa masaa kadhaa 2. Kausha seeds. Unaweza ziweka for several days kabla ya kuzipanda.

Tumia DJ B views na opinions juu ya hii storo ya ku-soak seeds on 3008.


goanos mcho.nI almost r e s o h t Man juu tu saniga h cour t fo ziko case na h . Bonface f iled aking my ribasyi. breawizy’ Amw ‘Am -i e some end i inzioo. nd mest d e Ni- s gwano a s h u t f i ,s tlea gs. on e ni so silaid mc h e s t y l Hi DJoBngowanowaa huku sha(KDO. r a y a ko e m a m fr e g i n e 1. Kipzika ikuja zinas ndogo M c h e wase e K angun do on zi n u o oto nichamn ma kutoka a mauchnapotea. na n o m 8. t o k o E U i a m 2 . uki blink N time. 300 noma s Nice enu nnni el mbili . y V T i 3. Atiko na cha AND OFF mkiN zia ka peke...Ou ndogo mptica s
mnam.ali s y le r n h u t e o a 4. T Vwaytch 10 0ma ma-neighb a M CC sheng w s kutdoick tionar y ya k a a d a w n n M e io i li N basa, ku i fala, a aona Mom dicmusi. dakoynngombe aak, u B . a 5 w inait ku-bujoa
akasemetoboka. ikikoki
hiyo, im nda sita ni fala alie ama a za k i- Kuf a ko d e d B u . 6 uadirpor t akagueli pick- up. ka ya / K n da n e G e pa . d e 10 kuna
n nu ni smasll .m p e a - Ku a e P . e 1 r a y 1 y V lba s- Shid nd f ile 7. Atii kTo na scrol ko kibao a 12 . Wa oto - Githeri i uni-se s , u B n k J e D ng? w m k um a n g e n. 13. Ko at t- Bahati wa DJ B!aKka time yina groups of t . n she 8 u m im mp jipanga ie i Ma / 14. S ra- Kataa a mimi n i unitum a c hwe r a mna nyu ina shika polisi 15. Kw ara exam/KudaHi DJ bBa, manze ksisheng jo. e e mpak o s. y V T n i a la u t w t Ma tionar y z 9. A station zo . Machak hadi 16. GKuloba /Kudm u .Kim exa i- Kuzurura hizo dic il a f y r station yako ni ngulamzima u o K k wo d Ku b e b a he - St a-Ten bob t , S o le a i/ b e n d w a M n u ar 1. 10. Nuykitaka kucinh killers. 17. Ra qudi examsa- exams de/Ash i piki s ny a k w u 2 . Kin da- Makanga iga simu K o . mie pa mezoeaga paikmguu y 8 u o t 1 e h u k c P n a m o w o m 3. D gia /Kuvutia ia- Mtoto K u w a a b r o ke aako a dai alit r. n anifu11. Bsuikdu ali-buyknipiga corne 4. Du i/Mniaju/Mjun 19. Mb i/Msoto - Kuw ob je a moja n 0. Ges -Thousand b fun 5. Mto de - Ukimwi 2 e ve te 6 . Uk b e at / M ar ug e 21. Mo njoyo - Ku-ha e u u e K e M . z 7. Kuwa m 22 SMS kus kia ka, a Baridi mbu . Natak e i li e u v K je in 8 . N e - M guu 008 n wa m kama 3 i n a a a k n f e u T a g e ng g 9. yan yako limish kuj hen i-

ano w o g n Mcho

i Sheng ry/ Dicmus na Dictio

i s uj a i li t mi e n Nitu i ngi ne re kam a ds z - sh wor na ku u sio? A te . a a d n up vija

ne juu e kue o Tu k ai dia ez tus etu!!! tuw a n y a!!! k a y a r u t n r vija ii coun re ku h ga ga n

Shujaaz(TM) is published by Well Told Story Ltd. , P. O. Box 1700 00502 Nairobi, Kenya. Tel: 02 02603214 / 0719 407512 www.welltoldstory. co.ke. Printed by Colourprint Limited. Produced in collaboration with: Safaricom, Twaweza, RIU. Distributed by Saturday Nation and Safaricom.

Stories: Simiyu Barasa, Paul Peter Kades, Bridget Deacon Layout Design: Joe Barasa Art: Daniel Muli, Eric Zøe Muthoga, Salim Busuru, Movin Were, Joe Barasa Special thanks to Just A Band for their fantastic music on ShujaazFM radio. Well Told Story © 2010 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication. 15


a yao h s i a ve m o r p m ao-i n a w Vijana s Credit

a e le FM end . a ku ujaaz ! w k n ks vi le Sh ze nu Th a e ia li f ge iamb kun - chan e im

wa aa k ijan iri ng v e e p t alu izi i ns all th a- s h . h o is d Naw itumia w ana kun es. Naw yote m omp sag ale mes t kwa y wanam- ca- ce b o s m e b j , w a t u ko n a

m a Hi DuJnBa job na kwu- do job ya hak awawezi s a. h k wanims), Momba -searcsh u k a d a y A ( nim a ve i . Ma-zgeet sc ea mnpyget ma-leaa-store li we znako B e id w J a k D in e s n a s , c nz ,w Kudostruggle ku mtham B? Ma teaching from Hi DJh,Bma-youthssna kuzi- diar yngazi, stus, niki-abidi mi na yako y k u Vipi DjaJa coz hizo. The adviceelife ya o le J a o a . z d k a e de naku-sell tims kama kaw di inth. But idea ve. Th Shu bless sana 5 ime -sav naeza n a u h k a z ac s na utrient o 4 y imeni-sa ik n zinanpi-ta 1 mpakgau na sasa atun n s a in kuwa n tuna r s a r , M e r u. u iz b s Cha boyz wan imaisha th ajua the e’ll a a it z duani. imi n tic s huku inny m W n , ma- egemea k mtaani. N e more w a iu p K a hauza cosme n io kujit ndaranda by you, th why et u t u F , sisi k wbe, tun B je DJsBplan ya ku kura e we stick life. That ’sce mpaka etu. J ia D N H i ga ng om hukua s mor n much in ku-introdu hbours w businUetawala. kuf u a na kuc mua n ula ya k a lear ndelea ku a ma-neig i h n c a a a t y . skume. Tunaka m s o w e t a k a z a n t is n vijana . gen ile r zi, aki tha r , u z omb a. is a a n g g a w ja n u k ex , O y re’s e. Any Shu inigiwa ka e i h H t a aziw t n a a m h Dan h ku il gu ive t he magazinit won’t u n t k a a y c u le d I just a c e t It ’s sdo to enlargeming acrososka. nini, uvnijana kadhteani mbili Hi DJnByou pla a ju a o y w o e a e s s c k , k n e s t u d e n t av y M u iko Wh mbegu JB aji na n o, t h a n NiajelaDkini aliungawakaundammboga na kmer yao ushaza ziuza a youthe, it behind. D anzi wa ghteutet limisha. K n u a r a b t u m jo g a a a u n m m k w i o . a leav k n o n k o u awe U in a i. -d za mi mtaaanikubebea aatkaka sasa mwjini Nairomb a tu Niaje,kila kitu mnaana-like jobife tu z umbeba t kila mtaa e watatu a k wa ki vijana w e strong. L o. , nin k e a w Hi DJuzBa mo h y na k uuza maji a waugan aedelea a ic ii w il N a-show tu, ni bid , a t k g n n a U ave t a - K bo ya ona vija anga, w ma N aw c h o o s e m hujaaz ut mam Wan gi, wakijip mimiha from K J B, n a hai- nks for the Sto think aabocollege but t n a n s e w zz es Hi Dnza k Tha uplif t sana nimeend kuni-boos nani-ja kuony kua ez J B, mya video noah nataka ilini- a althoughthanx k wa D o b tengen j Mamungua hall eokota do ya. u k ya bizanhi get job, Mwangi. nilif a hizi nim Calvin. Sia Hi Shaug sijawale. Miriam - oh e kule it y ball. Sngaua Cyber. mor im n o n a u m a ke d o a , k kuf u iversine a n y u o e maug- draw na gkambi. Mau edic e k li m e im k they adrv DJ Blonit talent yNa i Antony Mu at a ku - a ex p p a m t a a . wezaapmole a a h n a b o w m u. ana shik Mer a DJ B maavijbizna ya kNuato, Nyeri. z m n n e la S h wakia atu. A do o amba z a w k wa sh

xt-ie va n Ni-te S imei pe M i 8 S n i ki 300 T- sho n jis o ti a zi me upa k a a nit o n - Sho. T huj zi liz ma s SMS s t g ra Co n 16


ro , ans wa sto !! Maf ku ru e e t c i n n v i d e om i c ni e c hizi i ne za za m

i a Polistoro ya kujunaa rigpohlitssi z s e l ii s ara d Ro M a z e h a r r e s t e o. 8 . M D

ao kujua ki b SMS iotaka nity a t l a p mu wa Nime as ee a com uys! a w a kuw s g a kuw k k n ka ez ha a n kuto wanaw ors. T n de le nae uku. vi le ci nat m vac h e vi le nate k i lis vacc Niju

DJ Bg!u nikiwa na. Cheki aN kukosa I ID zan misha sa uliwa k w iyo niko na hii plain ates, nieli nimesumb na saa h bea na lisi e im nesanya courskes ynaii c er tif ico? A .D. gi itoka job nikitem a 5. Po ts c in a y n v h t ik a ef n wo r . jeng usikujonb. Nitakcuomic ChapNo.8 ya rigMi ni Chicklloe DJ B,lthmi buntimsaijfaa-ngyeiet vaccination ya jaaz.FM a wa-showi. Asante. He al hea see niw Shu inishika n ishe zaid Nairobi. n za animt k wa wa hika k m a li a w e ccinadtioi. Ted, w i u a a s T u v o T c . u k , e t n u u a n o g r mek ol fees u e n M zan n Treza mko ju e co frey Ngu ing me ja imed c ho wo r k na Hele od jovbijana wakiuwwa- God anks for snaav hata mo o g e ma tuu--apply h T h u, h a k u e ma time il a p up t ya k s a na. kuk . B, keie ninge -advaict the rig.ht Gilber t tok J D x n a a M u h ur u n ! a r a im e a n c L k a s right pla na ma e up g, a m asi- goivd it is 5 a e e h m eze sh a li t t r p t a o m a a h n o h ya .FM caround us,ent. Tribalis M -show Calize how agndpa had avoida. za projo anda hujaaz a - re J B? Melly ur gr Thik ference to S’s happenin, g harrassamccept umeadnaga k wa kvuibpea Niaje aDke fathakrse around. tO anymore. aen vijiti na bours n re ame thing corruption red to ong us, I m o u ku neighbo m but n , ni the s ations, eing tor tuteracy amht them, a hizouuzia neigh speeucnhafaa li to f ig o ili to haveame proble ig b il t e s t n e a na k e v e h r h in ple a eds. T ts and ara the s Webuye. ii risto ya a-youth tocialise Peo eone’s de our righ kuchota k . f r o m e D J B h kama m wa ku - s a e w , m o id o w n a s u o k san a n’t we kn ries. e yo ichanuka, Maz a sisi mple, k ribe. o a iv d d g n e e o t w p lit tle ie hizo sto kini ninge ajipata k w nom a exa king at t wantukuma, zikuri, pia e h t onyeshwithout loo nyang sijawahi lau incase nmika. ant s humea viz u a k k a ni oja g hizi, For ma erights zano. Isabel Kia kama BoyieRuth pam iy . o ju h . a u u r a t k a e m na k ht s z n ka bricks. situatio na kubambwaa tujue rig u-makee Musyoki k a im y z ia a P aida, la na idet 10 bob. Mik k aw . ga n oja ai. a p a n njala a , a w n k u W lo it K a s a pat a do o h y nce endy from fNuanirdoisbhi.a a e n l iz u b o k i . a a e v in n y n a vija e W ebu ya kufunaztu. Mercy, W Nili-star t biz KuzusaiaDJ B? Hnuiygurenai t seankaw.aNeimstate. onflict i. w r e a y z a Sa hapta 4 violenc a ob c ve in N uzia m a PHD nind Hii C kumaliza B, mara omngo. Lazhimata a jaaz eIali pigs na ekuwanafanym ja o w ls e J u a my p o sawa Dmours za astori zeny cesar y. guin dent weny ia 50 0/- ka ni Hap nza na ru aku na m vita unne y stu mi huwauzep, problem hua aache ud italeta e n a e a s y t o ke o r o ya e s o e. watu awhusiki juu ugh svtiolence, o r h t is t w r t o ha or. ve nime - g agains Trev DJ Bju, u ya youx,thAthi River. -suppor t je ia N ia Kim t y Nya ny a N awa Mar ake reali hapaa. lism. Waeke, let ’s h o m m iy u na t hujaaz, Je ri ya tribot as a tribto them. Hi S hiyo sto a nation n do good k wa ku wa as ot her an d CHA a a h f c a a n e tu k, love na ! thin hero. n da Be a a i d

shin

!! jaa

17


Ee msupa, chill kidogo...

Sikuwa supposed kukwambia, lakini take care sweetness, kuna watu hawafurahishwi na kile unafanya.

Sema mresh, najua umenimiss.

Sasa Maria, naeza ongea na wewe?

Si-understand...

In private.

Mwambie kile unataka nikiwa hapa.

Twende J.K.

18

GRRRRRRRR!


Nimepata new info juu ya LATF na ina projects za constituencies kote nchini.

Last year, constituency yetu ilipata 4 Million na ikatumiwa kujenga library.

Hio ni poa, lakini sijaona laibu hapa. Iko?

si naweza kuwa nafanya homework kwa laibu?

Fathangu ni pastor. Twende tumuulize.

Unajua pale library iliojengwa iko?

Naijua. Twende niwaonyeshe.

19


Ndio hii library!

Siamini!!

4 million!

Mlitoa 4 million wapi? Hii library ilijengwa na 300,000 shillings!

Nilituma SMS kwa 3002 na kupata hiyo information.

Mmm... 3002. Nitajulisha congretation na watu wengine juu ya hio number kwa sermon ya Sunday. Elimu ni nguvu!

Yaani pesa za laibu zimetumika vibaya bila sisi wenyeji kujua?!

Asante sana.

20


Hatutakubali!

Wacha ku-jam hivo Maria, kumbuka fathangu alisema, knowledge is power.

LATF meeting ya next itakuwa September. Tunaweza julisha watu juu ya umuhimu wa kui-attend na juu ya 3002 SMS service. Then watu wanaweza jua venye LATF inatumiwa kwa area zao na ku-question maendeleo ya area yao.

Kwani ulikuwa ukitaka?

Kesho morning ni too late! Hebu tuziweke usiku!

Finally jobo imeisha.

Tutaweka hizi posters kesho morning.

Sawa, tuanze na sides gani?

21


Sunrise inapendeza. Kama wewe, Maria...

Thanks J.K! Tuchekiane baadaye

er... um... Hebu nicheki brathangu‌.

22


Nonsense!

Deal na huyu msichana once and for all! Hii ni serious bizness! Naskia unapenda huyu msichana. Nakupa advice, Pata pesa na wasichana wataifuata. Mnyamazishe mara moja!

Endeleza area yako through LATF Local Authority Transfer Fund/ LATF ilianzishwa 1999 kupitia LATF act No. 8 ya 1998 ili ku-improve huduma kwa local community kwa kuendeleza projects kwa wards kote nchini. A certain percentage ya budget kwa kila council huwa ni ya LATF. Mkutano hu-anncounce-iwa ili wanaward wa-attend. Mmoja wa community hu-appoint-iwa ku-chair mkutano wa ward. Kisha wana-ward hu-discuss venye wanaweza ku-solve shida zao kwa kuanzisha projects kwa ward. Hizi projects ni kama health, education, maji, na ingine itakayo benefit watu wa community. Community ina-prioritize projects tatu zitakazo anzishwa. Hizi proposed projects hu-forward-iwa kwa council committee inayo-forward kwa local council ili zipresent-iwe kwa Annual LATF Meeting. Kila mwaka, council huwa na Annual LATF Meeting inayo-announce-iwa through newspapers. Kwa annual LATF meet-

ing, wenyeji wa wards zote za council hukutana na ku-present projects zao ili ziwe-considered kwa plans za council. Hata kama hizi meetings hu-advertiseiwa, wananchi wachache hujua juu ya hizi meetings za ward na councils. Hii inafanya decisions kufanya na wachache. Miradi pia huchukuliwa na watu wanao ji-benefit wenyewe /cartels na impact ya miradi haifikii wenye kijiji. Ili LATF fund iweze kutumika ku-benefit local communities, ni kuhimu kwa wenyeji 1. Kupata info juu ya dates za mikutano kupitia posters badala ya newspapers sababu ni wachache hupata kuona announcement Annual LATF Meeting ya kupitia newspapers. Posters na mbinu zingine zinaweza kutumika. 2. Wananchi wachukue jukumu la ku-attend LATF meetings kwa wards wa-participate kwa ku-identify na ku-

run projects ili kuji-develop. In that way, watapata ku-own hizo projects. Ni responsibility yako ku-participate kwa maendeleo ya area yenu. Infonet imeunda SMS system ya kusaidia wananchi na info juu ya funds zilizo allocate-iwa kwa matumizi ya LATF kote nchini. Tuma SMS yako kwa 3002 iliyo na jina la ward na mradi/project na utapata amount iliotengwa kwa hiyo project. Hii info itasaidia kufanya viongozi kuwa accountable na transparent. Mfano: Rabai#Education. Tumia DJ B views na opinions juu ya hii storo ya LATF on 3002.

23


Tuna enda

Tunachelewa na hakuna matatu?! Tuanze kutembea!

Tuna enda so-ko-ni! Tuna enda so-ko-ni! Nyamaza na hizo nononi zako! Kwani una-enjoy sokoni?

Ngoja baba. Naona matatu inakaribia.

Wacha kurukaruka kwingi Charlie! Kusanya vitu tutauza sokoni.

24


sukumeni! sukumeni! sukumeni! sukumeni!

sukumeni!

Hii ni soko ama Hii Hiini nisoko sokoama ama ama Hii ni soko mbolea?! Taabu, mbolea?! Taabu, mbolea?! mbolea?! Taabu, Taabu, tafuta space space ya tafuta space ya tafuta tafuta space ya ya Hii ni soko ama kuuzia. kuuzia. kuuzia. kuuzia. mbolea?! Taabu, tafuta space ya kuuzia.

aki aki hii hii aki hiibarabara! barabara! barabara! barabara! aki hii barabara!

WOi!

WOi! WOi!

WOi!

Saidia mama

Saidia Saidia Saidia weee!!! mama mama mama Saidia weee!!! weee!!! weee!!! mama weee!!!

Taabu! Una shida gani? Taabu! Taabu! Una Una Umeharibu shida shida gani? gani? bidhaa zetu!! Taabu! Una

Umeharibu Umeharibu shida gani? bidhaa bidhaa zetu!! zetu!! Umeharibu bidhaa zetu!!

Kichwa yangu huumia kwa kufikiria vile nitaenda sokoni! Sio barabara, mbaya. Matatu ni matata, Kichwa yangu huumia kwa Kichwa Kichwayangu yanguhuumia huumia kwa kwa kanjo hawafanyi kazi Kichwa yangu huumia kwa kufikiria vile nitaenda kufikiria kufikiria vile vile nitaenda nitaenda yao!! kufikiria nitaenda sokoni! Sio barabara, sokoni! sokoni!vile Sio Siobarabara, barabara, sokoni! Sio barabara, mbaya. Matatu ni matata, mbaya. mbaya. Matatu Matatu ni nimatata, matata, mbaya. Matatu ni matata, kanjo hawafanyi kazi kanjo kanjo hawafanyi hawafanyi kazi kazi kanjo hawafanyi kazi yao!! yao!! yao!! yao!!

25


Baba, ume-pick Baba, ume-pick Baba, ume-pick Baba, ume-pick Baba, ume-pick pocket-iwa na pocket-iwa na pocket-iwa na pocket-iwa na pocket-iwa na yule mtu! yule mtu! yule mtu! yule mtu! yule mtu!

Waa waa! Waa waa! Waa waa! Waa waa! Waa waa!

Mwizi! Shika Mwizi! Shika Mwizi! Shika Mwizi! Shika Mwizi! Shika mwizi! mwizi! mwizi! mwizi! mwizi!

Fathe unaFathe unaFathe unaFathe unaFathe unachomoa chomoa chomoa chomoa chomoa styles za styles zaza styles za styles za styles goalkeeper! goalkeeper! goalkeeper! goalkeeper! goalkeeper!

Aaah Mifupa! Aaah Mifupa! Aaah Mifupa! Aaah Mifupa! Aaah Mifupa! Puua Puu! Puua Puu! Puua Puu! Puua Puu! Puua Puu! Nanuka Nanuka Nanuka Nanuka Nanuka mbolea! mbolea! mbolea! mbolea! mbolea!

Napata Napata Napata Napata Napata hasara kwa hasara hasara kwa hasara kwa hasarakwa kwa kuja na kuja na kuja na kuja na kuja na kuuza kwa hii kuuza kwa hiihii kuuza kwa hii kuuza kwa hii kuuza kwa mbolea! mbolea! mbolea! mbolea! mbolea!

Pesa ya? Hii Pesa ya? HiiHii Pesa ya? Hii Pesa ya? Hii Pesa ya? mbolea? mbolea? mbolea? mbolea? mbolea? Forget it!! Forget it!! Forget it!! Forget it!! Forget it!! wewe kabila wewe kabila wewe kabila wewe kabila wewe kabila gani?! gani?! gani?! gani?! gani?!

Kila muuzaji Kila muuzaji Kila muuzaji Kila muuzaji Kila muuzaji analipa ili analipa iliili analipa ili analipa ili analipa kuuza kwa kuuza kwa kuuza kwa kuuza kwa kuuza kwa soko. Kweli au soko. Kweli au soko. Kweli au soko. Kweli au soko. Kweli au rongo? rongo? rongo? rongo? rongo?

26

Kweli!!! Kweli!!! Kweli!!! Kweli!!! Kweli!!!

Yaani tumeYaani tumeYaani tumeYaani tumeYaani tumefungwa macho! fungwa macho! fungwa macho! fungwa macho! fungwa macho! Tunalipia serTunalipia serTunalipia serTunalipia serTunalipia services ambazo vices ambazo vices ambazo vices ambazo vices ambazo hatupati. hatupati. hatupati. hatupati. hatupati.

Wateja wameWateja wameWateja wameWateja wameWateja wamepungua sababu pungua sababu pungua sababu pungua sababu pungua sababu hawataki kutemhawataki kutemhawataki kutemhawataki kutemhawataki kutembea juu ya bea juu ya bea juu ya bea juu ya bea juu ya uchafu. Kweli au uchafu. Kweli au uchafu. Kweli au uchafu. Kweli au uchafu. Kweli au rongo? rongo? rongo? rongo? rongo?

Kweli!!! Kweli!!! Kweli!!! Kweli!!! Kweli!!!

Habari mzee, Habari mzee, Habari mzee, Habari mzee, Habari mzee, lipia ticket ya lipia ticket ya lipia ticket ya lipia ticket ya lipia ticket ya soko hapa! soko hapa! soko hapa! soko hapa! soko hapa!

Ona, kuna uchafu, Ona, kuna uchafu, Ona, kuna uchafu, Ona, kuna uchafu, Ona, kuna uchafu, barabara ni mbaya, barabara nini mbaya, barabara ni mbaya, barabara ni mbaya, barabara mbaya, hakuna maji, ni hakuna maji, nini hakuna maji, ni hakuna maji, ni hakuna maji, total balaa hapa total balaa hapa total balaa hapa total balaa hapa total balaa hapa sokoni. sokoni. sokoni. sokoni. sokoni.

Hatutauza Hatutauza Hatutauza Hatutauza Hatutauza kwa hii kwa hiihii kwa hii kwa hii kwa soko ikiwa soko ikiwa soko ikiwa soko ikiwa soko ikiwa hali hii. hali hii. hali hii. hali hii. hali hii.

Ndioo!!! Ndioo!!! Ndioo!!! Ndioo!!! Ndioo!!!


Lazima Lazima Lazima Lazima kanjo kanjo kanjo kanjo Sasa Sasa Lazima Sasa anirudSasa anirudBarabarani Barabarani anirudanirudtutauzia Barabarani tutauzia kanjo Barabarani ishiepesa pesa tutauzia ishie ofcourse! tutauzia Sasa ofcourse! ishie pesa wapi? ishie pesa anirudofcourse! wapi? ofcourse! Barabarani za zaticket! ticket! wapi? tutauzia wapi? ticket! pesa za ishie ticket! ofcourse! za wapi? za ticket!

Woiyee rudini Woiyee rudini tuongee.Basi Woiyee rudini tuongee.Basi sitawalipisha! Woiyee Woiyee rudini rudini tuongee.Basi sitawalipisha! tuongee.Basi tuongee.Basi sitawalipisha! sitawalipisha! sitawalipisha! aki! aki! aki!

aki! aki! keshoye...

keshoye... keshoye...

keshoye... keshoye...

Sijui tutauzia wapi tutauzia kama soko Sijui Sijui tutauzia imefungwa. wapiwapi kama soko kama soko Sijui tutauzia Sijui tutauzia imefungwa. imefungwa. wapi wapi kama kama soko soko imefungwa. imefungwa.

Cheki juu ya mlima! Chekijuu juu Cheki mlima! yaya mlima!

Cheki Cheki juu juu ya ya mlima! mlima!

Habari, njia ya kwenda Habari, njia sokoni ni Habari, njia ya kwenda gani? ya kwenda sokoni ni sokoni ni gani? Habari, njia Habari, njia gani?

ya ya kwenda kwenda sokoni sokoni ni ni gani? gani?

Ni pande ile, lakini soko Ni pande ile, imefungwa. Ni pande ile, lakini soko lakini soko imefungwa. Service mbaya ya imefungwa.

Ni ile, Ni pande pandeimefanya ile, kanjo Service mbaya ya lakini soko lakini soko wauzaji wakatae Service ya kanjombaya imefanya kuuza sokoni. imefungwa. imefungwa. wauzaji wakatae kanjo imefanya kuuzawakatae sokoni. wauzaji Service mbaya kuuza sokoni. Service mbaya ya ya kanjo kanjo imefanya imefanya wauzaji wauzaji wakatae wakatae kuuza kuuza sokoni. sokoni.

27


Watu wetu walikuwa na Watu wetu walikuwa nana shida kama hiyo. WaliWatu wetu walikuwa Watu wetu walikuwa na shida kama hiyo. Walikubaliana na council shida kama hiyo. Walishida kama hiyo. Walikubaliana nana council kuwa wauzaji wangetumia kubaliana council kubaliana na council kuwa wauzaji wangetumia nusu ya malipo ya soko kuwa wauzaji wangetumia kuwa wauzaji wangetumia nusu yaya malipo ya soko kui-maintain na nusu nusu ya malipo ya soko nusu malipo ya soko kui-maintain na nusu ingine kwa council. kui-maintain na nusu kui-maintain na nusu ingine kwa council. ingine kwa kwa council. council. ingine

Tunahitaji hio idea Tunahitaji idea sokoni. hio Twende Tunahitaji hio idea Tunahitaji hio idea sokoni. Twende tuambie fathangu. sokoni. Twende sokoni. Twende tuambie fathangu. tuambiefathangu. fathangu. tuambie

Usijali Charlie, ebu Usijali Charlie, ebu Usijali Charlie, ebu Usijali Charlie, ebu tuwapeleke kwa tuwapeleke kwa tuwapeleke kwa tuwapeleke kwa uncle yangu. uncle yangu. uncle yangu. uncle yangu. Najua Najua Najua Najua atawasikia... atawasikia... atawasikia... atawasikia...

Kwetu tulisuluhisha tulisuluhisha hii Kwetu hii shida shidakwa kwakuonkuonKwetu tulisuluhisha hii shida kwa kuongea na na council na wauzaji Kwetu tulisuluhisha hii shida kwa kuongea council na kukubaliana kukubaliana wauzaji gea na council na kukubaliana wauzaji wange-maintain soko na gea na council na kukubaliana wauzaji wange-maintain soko nanusu nusuya yamalipo malipo wange-maintain soko nusu malipo ya wange-maintain soko nana nusu yaya malipo ya soko. soko. soko. yaya soko.

Huo ndio mpango wa Baadaye, kuendeleza hii soko. Huo wa sokoni... Baadaye, Huo ndio ndio mpango mpango wa Baadaye, Huo ndio mpango wa Baadaye, kuendeleza hii sokoni... kuendeleza hii soko. soko. sokoni... kuendeleza hii soko. sokoni... Naona ni bora tuchukue huo mpango ili soko iwe Naona ni tuchukue Naona ni bora bora tuchukue safi na vizuri. Naona ni inaendele boraili tuchukue huo soko iwe huo mpango mpango ili soko iwe huo mpango ili sokovizuri. iwe safi na safi na inaendele inaendele vizuri. safi na inaendele vizuri.

28

Ati niongee na Ati niongee na na nani? Siongei Ati niongee Ati niongee nana nani? Siongei na watu wa kabila nani? Siongei nani? Siongei nana watu wa kabila ingine. watu wa kabila watu wa kabila ingine. ingine. ingine.

Habari Habari Habari Habari zenu? zenu? zenu? zenu?

Nusu ingine Nusu ingine Nusu ingine inapewa Nusu ingine inapewa inapewa council. inapewa council. council. council.

Mmeniletea Mmeniletea Mmeniletea Mmeniletea wageni? wageni? wageni? wageni?

Twende Twende Twende tuulize Twende tuulize tuulize council juu juu tuulize council council juu ya huo council juu ya huo yahuo huo mpango. ya mpango. mpango. mpango.


Tumekubali kufuata huo mpango wakufuata wauzaji na Tumekubali huo mpango council! wa wauzaji na council!

YeeeEEa!!! YeeeEEa!!!

HAiYA! HAiYA! Shika mwizi wa ng’ombe!!! Shika mwizi wa ng’ombe!!!

Shika mwizi! Shika mwizi! Shika mwizi! Shika mwizi!

usiwe kama fathake charlie aliekosa kupata new ideas kutoka kwa wasamburu kwa sababu kuwa wa kabila ingine. kuwa open minded na wise kama uncle yake rosie na utafaidika kwa njia nyingi zaidi!!

Wenyeji wa Samburu wana-manage soko yao Wenyeji wa Samburu council wamefanya kitu hakijafanyika nchini, lakini ni poa ku-learn kutoka kwao na kuijaribu kwa area yenu. Committee ya wanasoko wa Samburu wamekubaliana na council yao kuwa watasaidiana ku-maintain soko. Wenyeji wa Samburu wanasema kuwa mamilioni ya pesa hupitia mikononi yao kila siku. Nusu ya malipo ya soko huenda kwa council na nusu ingine hutumiwa kwa mahitaji ya soko kama maintenance, wana kitty ya kusaidia wanasoko na loans ndogo za ku-attend mahitaji ya kibinafsi kama ku-provide higher education bursaries

na kulipa bills za hosi. Kila mwaka, wenye soko hukutana na kupewa report ya vile pesa zimetumika ili kuwa accountable. Councils zingine zime-visit Samburu council ili ku-learn zaidi vile wana-operate soko zao. Inaaminiwa kuwa itakuwa rahisi kwa wenye soko kukubali kuchukua mpango kama wa Samburu Council wakiona vile itawa-benefit. Wenye soko wata-create employment kwa wenyeji. Unaweza iliza council yenu ku-adopt hii idea juu ime-work kwingine na kufanya soko kuwa maintained vipoa, na kusaidia wanasoko kujiendeleza. 29


Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.