15 - Shujaaz.FM - Chapta 15

Page 1

inspiring kenyan youth

not for sale web

fm

cchapta hapta hap ta 15 sms

comix


AHA! kama unapenda futa kunIlIko, jarIbu hII quiz yangu! good luck!

m

i l a asw

a ni? y n e K am ya e t l l a b angapi? al foot w n o s i l t a i a ya N offic e a m m a n a k n of the u r k e h y c a 1. Nic l t ican P ball ma r t f o A o n f i a li ali-w a 2. Kw k m i n ions t ayer ga 10? l a p N i N f 3. Cup o rd 20 a a c w i r A f r A Yea li-win i i n a g aly? try t n I u a o y c i i 4. N m gan a e t a e ? 2010 anchez a g i r a nald M i? o a u chini b D i N j c i a p m a M i 5. Chek bwa ng u k i d a a st 6. Kun MA J I BU : 1. Harambee Stars 2. 4 3. Didier Drogba 4. Egypt 5. Inter Milan 6. Tatu: Kasa, Nyayo na City Stadium


CHANUKA ONLINE!

3


4


5


6


7


8

Cheki idea za ku-make dooh kwa www.shujaaz.fm


Taka ni pato!

Ok, so tuji-organize. Kwa hii fashion show lazima kila mtu a-take responsibility yake seriously.

Halafu Malkia afanye wardrobe…yaani kung’Arisha models wote on that day.

Jipendo wewe ndio Top Model…

Ati Malkia afanye?!

Malkia hana swag! Hajui kumatch colours...

...cheki hata nywele yake ni orange! YUko down tu sana…

9


Ati sina swag?! Ngoja ataona vile niko tops kwa design!

Wazi, hii duka ina vitu noma‌

Hizi ni how much?

10

19,999/=, unalipa na cheque ama card?

Ati?!

Kwani hizi nguo zitajifua ndio uziuze hiyo bei? Hata si poa vile‌


ntaanzia wapi? Jipendo atanichongoa‌

hana swag!

Hajui ku-match colours

nywele yake ni orange...

Niko down tu sana!

Aunty?

nisaidie kobole?

?! Zii! Sipatiani!

Si unipatie?

Ulitoa wapi hii bracelet?

11


Hii ni kitambulisho ya group yetu. Tunazi-make halafu kila member wa group lazima avae.

Kwa nini?

Fanya hivi, chukua hii finje... Wazi! Sitakudisappoint!

...halafu kesho uniletee bracelet kadhaa kama hiyo yako na mu-make vitu zingine poa. KESHOYE... Ndio huyu yule msanii nilikuwa nakuambia. I hope umetuletea vitu poa?

12

Ni selection kali! Cheki...

Wow! Si mnatalent! Malkia wasee watang’ara!


siku ya fashion show... JUDGE YA SHOW YETU LEO NI MR. g KUTOKA STYLEZ BOUTIQUE…

...NA tutaanza na our top model Jipendo…

And we have a winner….

JIPENDO!!

BAADAYE KIASI…

Uli-get wapi hizi earrings noma? Excuse me?

13


Vile nilimada Form 4, niliamua kufanya something about the environment, na pia kujitafutia dooh kwa njia poa. Hapo ndio Mother yangu alini-show kushona bags kutumia plastic bags.

Mimi hushona bags noma sana, na kuziuza.Takataka inaweza kukuinua kama una-recycle ama kuitumia kwa njia creative.

Sikujua ati unaweza tumia takataka ku-make vitu poa na bado u make dooh! Lakini nina beste yangu ameni-show: Unaweza recycle vitu kadhaa: Tyre Akala (viatu) Gazeti Kufungia nyama / mboga, cover vitabu Ndoo mzee dustbin Jaribu ku-recycle na uambie DJ B experience yako kwa sms 3008!

BOTUL ABOUBAK AR Mtaa: Kibera

14

Phone: 020 80406333

[ulizia Medina ama Alfred] Email: info@carolinaforkibera.org

Pata info zaidi juu ya hawa wasee kwa web: www.cfk.unc.edu


Art: Daniel Muli | Eric Muthoga |

Well Told Story © 2011 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indi ect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication.

Content producer: Audrey Wabwire Content: Paul Peter Kades | Charles Ouda | David Ouma Art Producer: Fatima Aly Jaffer Layout design: Stefanie Freccia | Susan Mwange Naddya Oluoch-Olunya | Noah Mukono | Joe Barasa Radio: Eunice Maina Special thanks to Just A Band for their fantastic music on ShujaazFM radio

Shujaaz(TM) is published by Well Told Story Ltd. , P. O. Box 1700 00502 Nairobi, Kenya. Tel: 02 02603214 www.wts.co.ke. Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466 - 00100 Nairobi GPO. Produced in collaboration with: Safaricom, Twaweza, RIU. Distributed by Saturday Nation and Safaricom.

MCHONGOANO

na biro. Ati wewe ni fala unarewind CD u ina tyre za sunday best! Ati nyi ni wadosi mpaka gari yen a kichwa. tembea kivuli yako inatingish Wewe ni mjinga sana hadi uki zako ziko na stripe tu moja. We ni mkonda mpaka pyjama y zake zimeisha!* Ati nyanyako ni mzee adi birthda er Des Omollo Constabiliz Hussein ki inadhani ni mzinga.* Garat Ati una nose biggie mpaka nyu simu inasema Wewe ni m-black hadi ukipigiwa i uliopiga haonekani.” “Samahani, mteja wa nambar ’ mpaka mathegi walikuja Umezoea kutuma ‘plis call me # kwenu ukatuma*130*999 ing school alienda boarding! Mbuyu wenu ni mjinga hadi driv nza... “Je Munatuona?” TV yenu ndogo mpaka news hua * UME-WIN TISHO!

SHENG DICTIONARY

Nangos - Simu/mungorio

Steam - Chang’aa/Kronic

Bleki - Blackout/ Tupa mbao

Chengerere - Pingu/ Handcuff s

Chipipi- Mrembo

Gwaisa- Dem ana-boo

Chuck/ Inua- Enda/Ishia

Dak - Ku-sneak out

es Digaga/Nding’ndong’ Sunglass

Fyang’- Hepa

Gafi - Vuta sigari

15


16


17


18


Najua mimi ni orphan, na nime-grow-ia ghetto, lakini siwezi stand story za corruption. Niko ready kwa any challenge!

Âť sasa bryo? habari ya ma-days? poa sana. eh, maze unasikia hiyo harufu?

Nyama nyama nyama?!

nadhani kuna msee ana-make mishikaki. twende tucheki.

cheki... ni chuxx na roba na dan wana-roast na kuuza.

i hope uko na coins kadhaa unibuy-ie. twende tupange line. aaaah! hehe! tutakuwa masonko! dan, fanya chap chap ma-customer wasichoke kungoja.

chuxx niliku-show hii story huwezi harakisha. lazima hizi vitu zichomwe ziive poa! golden brown! j.k. i hope una dooh enough. hizo vitu zina-smell poaa!

19


haiya! roba, nyama inaisha!

saa hizi tutatoa nyama ingine wapi?

eeeeh... tegeeni kidogo... narudi.

baadaye...

taraaaaaa!! nimeleta NYAMA!

after masaa kadhaa...

eh! bryo! nini mbaya?

ni m-sick.

kwani alikula nini?

20

tuli-buy nyama kina chuxx wanauza huko.


wewe mbona ulimpeleka huko? mpeleke home alale.

chuxx, hii nyama mnauza ni poa kweli?

msuper, hii nyama ni first class! five star!

maria kim acha hizo maswali. utatupotezea ma-customer

hebu nione hii damu inaenda mpaka wapi.

hiyo ni damu?

inaenda nyuma ya hizo boxes

what!! wanauzia watu nyama ya mbwa!

mnauziwa nyama ya mbwa!

21


aki maria kim unaezaje sema hivo? hii si nyama ya mbwa, ni ya ngombe. roba, chuxx, si mumwambie?

eh!

kwani... kwani...?

you know what? najua mtu anaeza kupa ma-ideas. twende!

dan...

aki siamini! naezaje kaa na watu wanalisha wasee mbwa?!

iza dan. haukujua.

22

sasa nita-do? hiyo ilikuwa job poa. mi sitaki kushinda niki-idle mtaani.


Nilianza kufuga sungura last year na tayari zimefika 50! Hizi ndio zinanipatia pesa ya kusomesha watoto wangu.

Sungura mmoja anazaa watoto kama 32 kwa mwaka, na sungura ya miezi 2 utamwuza kwa Kshs 1,500.

ala!

Na bado! Mbolea ya sungura inatumika sana kwa shamba, hautanunua fertilizer tena.

Unakimbia wapi?

Niwaambie! Nyama ya sungura ni tamu kwelikweli, kilo 1 ni Kshs 300, na huyu sungura ana kilo 3. Hebu imagine!

Haiya! Najipanga nianze hii bizna mara hiyo hiyo.

Maria Kim wewe ni hero wa mine! Baadaye‌

23


kwenda huko!

utaona!

wee!

NA UTAACHA HIZI GAME ZAKO CHUXX!

Kutokana na hiyo risto ya Maria Kim, pia nime-get text kutoka kwa fan wangu Levi ambae anafuga sungura na imemuinua sana. Skieni experience yake!

AT LEAST UNAPONA BRYO. AKI NILIKUWA WORRIED!

DJB, sungura ni source poa sana ya food na dooh, ambia mafans waanzishe hii mradi.

“Nilinunua sungura mbili kwa Kshs 400 miaka 3 iliyopita. Sasa nina sungura 14 na wana watoto wengi sana.”

“Hizi dooh zinanisaidia kujitegemea na kulisha familia!”

Unaweza kuuza sungura moja kwa Kshs 600 na ukiuza sungura karibu 4 kwa mwezi, utapata Kshs 2400 [ 4 x 600 = 2,400 ]

LEVY MIDAM BO na mothe FLORENCErAyake Y 30 years - K akurosi villa UMA

ge - Sabatia

24


Kazi ya ofisi... hii ni kazi poa sana, taabu! UNA TALENT HAPA SHAMBANi! NAFURAHiA KUWA MY NiECE PURiTY AMEPATA MTU KAMA WEWE! UNCLE!! taabuUUUUU!!

nimeget job kwa bank! naanza monday!

taabu! nilidhani ungejazzika...

purity... usichukue hiyo job... please...

...lakini unajaribu kunifungia nyumbani na hata bado hujanioa! kwenda huko!

25


purity ame-get job kwa bank...

Atadosika! Atakataa kuolewa na mimi...

...juu sina job ya ofisi.

Na nimeongelesha mbuyu vibaya! Noma! Lazima nihame... Lazima pia nisake job ya ofisi, yenye ina dooh...

si hata wewe uende kwa bank u-get job? UTAKUWA NA CASH MONEY THEN UTAMWOA.

ndio, kuna vacancy...

26

...CHUKUA MOP KWA STORE MANAGER, NA UANZE KUPANGUzA PALE RECEPTiON. KUNA MTU ALiTAPiKA ASUBUHi...


usijali! BADO KUNA CHANCE YA KU-GET KiTU POA!

imagine, tu... UKi-GET JOB KWA AiRSTRiP...

unaweza kuwa pilot!

...ndio, tunahitaji ma-pilot... lakini wewe, na hizi qualifications zako...

...kazi yako itakuwa kufagia... unaweza kuanzia hapa kwangu tafadhali?

27


pole, taabu... lakini usijali; tutapata njia ya kukusaidia...

COME UCHEKi! wacha ni-suggest kitu ya mwisho...

semeni! WACHA NiKU-SHOW ViLE MiMi HUFANYA...

TAABU AMEJARiBU KUPATA JOB YA OFiSi NDiO AOE PURiTY. LAKiNi HAPATi....

hii

ndio ofisi yangu!

28


KAZi Si LAZiMA iWE OFiSiNi!

uko poa kwa kazi ya ukulima...

...kitu ya mwisho...

...BAADA YA MUDA MFUPi, SHAMBA YAKO iTA-GROW NA iTAKU-SUPPORT WEWE NA FAMiLiA YAKO...

KUNA MTU ALiKUWA aNAKUTAFUTA...

HATA MiMi NiMESOMESHA WATOTO NA SHAMBA Hii!

taabu... niliskia ulikuwa unatafuta kazi ya ofisi... NAKU-UNDERSTAND...

purity!

lakini... kazi ya ofisi si lazima.

SiKUPENDi JUU YA JOB UNA-DO.

29


Unaweza chop hizi risto zote in full kwa www.shujaaz.fm!

1.

“Wacha ni-text DJ B nim-show vile SHAMBA INAWEZA KUKUPA DOOH POA UKIFUATA TIPS RAHISI KAMA HIZI…

Kuwa na co nsta saka waterp nt supply ya maji – ump u-irrig ate mimea zako.

3.

Uki-plant, tu Buy kwa de mia mbegu zinaaminik anaaminika aler wa mpoa mwenye a. . yenye itaku Kuna new variety ya m patia mahin ahindi di biggie!

2. Make sure plant seeds po kila time una a upate mavuno ndio mwishowe poa. Time ye ny unavuna, usi kule mbegu zo e te poa, chague zing na uzirudishe ine, ubakishe, kwa shamba! 30



Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.