23 - Shujaaz.FM - Chapta 23

Page 1

blished by pu

not for sale

empowering kenyan youth

r a ! e Y w e N improve yako pia! a t i , u t y e p ife y l p e ov a r p Haz ime im

uja h S

chapta 23 web fm

sms comix


Utamchagua nani?

TUMEKUJA HAPA KUOMBOLEZA KWA MAZISHI YA MAREHEMU.

MASKINI MAREHEMU ALIKUWA KIJANA MWENYE HEKIMA SANA

2

sema Boyie, YULE MP WA MTAANI AMEKAM KUFUNGUA ILE BRIDGE

NIMEHUZUNIKA SANA NA MKASA HUU uliofanyika juzi, LAKINI NIMEHAKIKISHA HAUTAFANYIKA TENA


KAMA MBUNGE WENU, NIMEAMUA KUZUIA MKASA KAMA HII KUFANYIKA TENA, NJOO MJIONEE…

…MNAONA NIMEJENGA DARAJA NZURI AMBAYO ITAZUIIA VIFO

MHESHIMIWA YEEEY!!

HIYO NDIO BRIDGE?

ULIKUWA WAPI WADHII WAKI-DIE?!!

3


HIYO BRIDGE NI MBAO TU UMEWEKA!!

EHEE EHEE…

WASEE, PIGIENI MSEE WA NGUVU KA BI AMANI, HATA AMEJENGA CHILDREN’S HOME PEKE YAKE…

WACHIENI HUYU MP HII BRIDGE YAKE FAKE! TUKO PAMOJA?

4

TUISHIE KADES! HAWA WASEE NI WAOOOGA


5


DERE, HII NDIO KEJA INAANGUSHWA

ATI NINI?? SITOKI HAPA, LABDA MNIKANYAGE KAMA MNATAKA KUBOMOA…

NIACHENI, NIACHENI!!! TOKA HAPA MATHE!!

KWANZA WE BOYIE UTAFUNGA HIYO MDOMO BIGI

NIACHENI, MNANI-TAKE WAPI

6


KUWA donga SIO KUWA LEADER!

Hii story ya political intimidation lazima ma-youth wamalize. Tusiitikie kutumika kwa violence. Kama MP wenyu ha-perform, ishieni kwa debe na m-make choice poa.

Sheria inasema hivi kwa Chapta 7 ya Constitution: “Msee yeyote anaweza simamia uchaguzi kama independent candidate kama yeye – sio member wa chama yoyote registered ya kisiasa…” STO. TUMA SM II RI

S NA

NENO DON G

sms 3008

WA 3008 UTO AK

donga

AONI JUU YA H EM

kama wewe ni: Unaweza kuwa MP r. • Registered Vote ation nduct cert na educ co od go na o Uk • a). h na Kisw yako iko juu (Englis see thao moja wa ya t or • Uko na supp y yenu. kutoka constituenc

Youth leaders wenyu wanangoja views zenu kwa facebook. Wana need mu-washow vile mnataka kwa page ya Inter-Party Youth Forum (IPYF) au page yao na ukue fan. Hii ni chance yenu kubwa ku-make positive change.

Inter-Party Youth Forum (IPYF) 7


KUWA READY

KU-VOTE!

CHUKUA ID YAKO SASA KAMA UNATAKA KU-REGISTER KUPIGA KURA! Ndio hii information yote unahitaji ili Nani ana-qualify ku-register kama voter? • Lazima uwe Mkenya. • Lazima uwe over 18. • Lazima uwe na ID ama Kenyan passport.

kuhakikisha umepiga kura kwa election ina-come. Kumbuka, kama uko over 18, ni right yako na duty yako kupigia kura leader wako.

Na-registrer aje kama voter? • • • • • •

Enda kwa registration clerk kwa designated registration centre. Patia clerk ID ama passport yako. Huyo clerk ata-fill OMR form ambayo uta-sign na kuweka thumb print. Clerk ataandika ID number ama passport namba kwa register. Voters card yako itaandikwa, ikuwe laminated kisha upewe. Kama uko na voters card mzee rudisha kwa polling clerk upewe mpya.

ILANI:

Kuuza ama kuharibu voters card yako ni kosa kwa laws za Kenya! Naweza katazwa ku-register kupiga kura? Kama… • • • •

Nimekuwa declared bankrupt Kama court ishawahi kunipata guilty of any election offence Kama uko neti/gerezani Kama kotiko/koti imeku-declare chizi

Q&A

Nafaa ni-register wapi kama voter? Kila constituency iko na offe inafunguliwa six months before elections. Zitakuwa advertised soon kwa daily papers kwa hivyo, kaa gangare. Naweza change registration details zangu? Ndio. Unaweza change jina yako na address ukienda kwa centre ya voter registration.

Naweza register zaidi ya mara moja? Zii/Hapana. Ni noma kubwa sana kisheria ku-register more than once. Unaweza fungwa miaka sita ama u-fainiwe tenga tano ama both.

Niki-lostisha voters card yangu inaweza kuwa replaced? Ndio. Lazima u-present national ID yako kwa registration clerk mahali ulikuwa ume-register lakini ujue haiwezi kuwa replaced on 8 election day.

So kuwa prepared! Kama ushafikisha miaka 18 na hauna ID bado….Usingoje mpaka last minute! Utakuwa disappointed. Ili kupata information zaidi cheki www.IIEC.or.ke ama visit facebook page yao “IIEC Voter Education” INTERIM INDEPENDENT ELECTORAL COMMISSION


9


keshoye...

Ahhh! kaa mimi wewe ningejazika sana! I wish mbuyu angenishow nitoke chuo!

Ata singe-think twice, kutoka mara that that!

Acheni za ovyo! Tunafaa kuhepi juu kesho kuna show ya NAMELESS!

Jipendo! Achanga izo, chuo ni muhima sana. Tunafaa kuwa tunafikiria venye tuta-help Kazuri...

KESHO YAKE Bado ile stori ya Kazuri inanisumbua. Nataka kum-help.

10

Cheki venye kuna watu wengi!! Tuharakishe!

9


Karibu masupa!

Aha! Unaenda wapi wewe?

Niko na idea!

We ni mtio sana. Ebu rudi home spidi!

11


Hiyo concert imekuwa smart!

whaaat!!!

Ni Malkia! Queen wa mchongoano!

Wahhh! Nini mbaya Malkia!

keshoye...

12

So unanikumbuka?!

Aki pole, ni vile lazima ningebonga nawe kabla uishie.


Nime-invite Nameless a-come abongeshe community kuhusu umuhimu wa madem kuwa chuo.

Nameless ni jina kubwa. Hawezi tokelezea kwa hio event yako!

SIKU YA CONCERT...

Aki ako wapi?!

Yaaaay! Nameless, wohooooo!

Malkia tume-come mtaa yako kuwakilisha, ebu come apa uangushe mistari kadhaa.

13


Malkia

karibiaaaaa.

Hadi lini madame tutakaa down kusini, time imefika tupande juu kaskazini. Kwenda chuo ndio deal then life iwe real. Umaskini utakill, ukipata hizo skills. Hakuna shame ukiwa dame, GIRL or BOY mbele ya GOD tuko same!

ebu come apa uangushe mistari kadhaa.

Wacha niwaambie wasee, kila mtu ana GIRLS kwa life yake. Anaeza kua matha, sistako ama wife yako. Jambo la muhimu ni kuhakikisha wasichana wameget elimu. Kumpa msichana uwezo na skills ni kuendeleza jamii yote. Walami husema, ukimwelimisha msichana, umeelimisha mtaa.

NENO SOM A

sms 3008 soma

AONI JUU YA H EM

ie ka Suz mbo a irobi a Adhia N n , a a s r u e S JINA: 9 BASE: Kib 1 AGE:

ISTO. TUMA S II R

NA MS

3008 UTO KWA

Wasee, madem kuenda na kumaliza system ni kitu poa! Mamanzi wana haki ya ku-chop ndio hata baadae wajitegemee ausio?

Mimi ni Group Leader wa madem 56 hapa mtaani. Mother yangu amenilea peke yake. Yeye ni m-sick na hana job. Wasee wengi hawakutaka nisome, waliambia mother kila time ati aniachishe chuo. Uzuri, mother hakuwaskia na aliendelea tu kukazana na mimi. Nilifukuzwa chuo mara mob juu ya fees. Sikuchoka! Niliendelea kubonga na wasee mtaani wanipe ideas za vile naweza get scholarship, na pia wenye wanaweza nisaidia! Nilisoma hivyo kwa shida lakini nikamaliza Form 4 2010. NAEZA ADVISE MA-DEM hivi, tusi-lose hope na tusisahau dreams zetu. Kuwa na tabia poa na wasee hawatakosa kuku-help! Join groups za maana ili upate ujanja kutoka kwa wenzako.

14

Binti Pamoja ni group ya madem wengi wa Kibera wenye huinuana through ma-training na kutumia talents za drama na performance.

Pata info zaidi juu ya kuelimisha madem tofauti kutoka: Binti Pamoja – Carolina for Kibera Nangos: 020 80406333 Email: info@carolinaforkibera.org


mchongoano

DJ B. @i we ni mstrange hadi any place umeenda hata viroboto wanakulenga. B Kevo

Kulisten comments za mayuts wote sio mchezo. Kumaanisha DJ B una maskio BIG hadi ur no 1 enemy ni mahoka wa blanketi! Stelvio Stekay Ati unachawa mingi mpaka ukivua nguo zinauliz,a kwani tumehama?

Ati manzi yako nim-fat hadi akivaa T-shoo ya Safcom anakaa ka kibanda ya M-PESA! Joe Dzombo DJ B wewe simu yako umezoea msoto mpaka ukiiweka credo inakuuliza, 'kwani leo umeangukia wapi?!' David Mbuthi *Ati Buda yako ni m-short mpaka aki-pocket mikono zinaingia kwa socks! Tabel from Kajiado.

Ati wewe ni fala, ukiambiwa uandike 11 unauliza uanze na 1 gani!

Ati hii gava ya Kenya haijali hadi ma-refugees wanarudi kwao. Ati dem yako ni m-slim hadi ukitembea naye, wasee wanazusha “chunga hiyo mkuki isindunge msee!”

Simu yako imezoea bamba 20 hadi ukiweka 50, inasema "invalid amaunt!"

1. Kuchala –Kuiba 2. Mabeba –Matatu school (Rolf Junior) 3. Ndari/Seco – Secondary 4. Ka-remix – Dem mrembo 5. Uombitho –Ujinga

6. 7. 8. 9. 10.

Ku-Torres –Ku-miss Gwangu –Mtu ugly Ng’at – Soo Moja Mbwatuka -Kulewa Ku-stak –Kulala

SDICHTIOENANRYG

Ati Nairobi imekuwa scary hadi madogi hawabweki. Kwanza wana-investigate.

by Well Told Stor y Ltd., Shujaaz(TM ) is published stor y.co.ke. 02 026 03214, www.welltold Tel: ya. obi, Ken P. O. Box 170 0 005 02 Nair . GPO obi Nair 00 001 66ted, P. O. Box 444 Printed by Colourprint Limi Distributed by Saturday RIU. a, wez Twa , ricom : USA ID, Safa Produced in collaboration with Nation and Safaricom. Mwiti r: Audrey Wabwire | Koome uce prod ti Content a | Sylvia Thuku | Koome Mwi Oum d Davi | hini Mut ent | Vinc Content: Paul Peter Kades ign: Tim Odero Des out Lay ro Ode Tim Art Producer: ch | Joe Barasa I Shin Tuxedo | Naddya Aluo Art: Daniel Muli | Eric Muthoga thy Acholla Doro : nce Fina Oigo inic Radio: Eunice Maina | Dom ic on ShujaazFM radio Band for their fantastic mus Special thanks to Just A or be transmitted in any form or by any means, electronic or Well Told Story © 2011 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system information contained in this publication, in no event shall the mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of connection with the use of the information in this publication. in or of publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out

15


MAKE MKWANJA VI-SIMPLEST! ASANTE SHUJAAZ!

Mambo DJ B! Imagine job ya kuuza kuku ina dooh sana. Mi hu-buy kwa farmers nauza sokoni. These days na-earn @least soo tano per day! Geof hapa Thika.

*Thanks DJ B 4 ur inspiration. Sasa nishama primo n I've left a good name as a peacemaking student, skull captain, a Shuja a gud leader! Kudos kwa ma-ujanjez! Kimathi kutoka Meru

DJ B! Nimemada class 8, sa nimeanza job ya kupanda skumawiki thru irigation na napata dooh mob tu sana!. Chepkoech From Kericho. Niaje, DJ B! Nime-try hiyo idea ya kutumia taka kumake doo na nimepata doo mob sana. Thanks for your info. Wewe ni mtungwaz. Na uendelee na mchongo! DJ B saa hii naenda practise ya dancing. Mayuts, polictians saa hizi wana show mob! Mki-perform mnapata kaunga. Mi nina talent ya dancing na drama acting, so ganji itaingia! Emiliano Ajez DJ Boyie...njia ya mayuts ku-mek doo They cn mek plates with old magazine papers soaked in water, then sell the plates kwa waxe wenye wako na ma-bash...those plates r used 2 serve food lyk snacks only...dat cn help em than kukuwa invlved in bad groups...Daglas Barasa

Hi DJ B. Tulikua na gang mbaya chuo but n realise tunaezat soma na 2change others hio grup. Musa Aka kartel.

Niaje Dj B?i jst wanted to congraturate u 4 ideal umedevelop ya kusave mayouths. Ke on keep’n on. Marto ,Thika.

SH

Boy Shu Ma Ba

*Hustle yangu, mi hu-buy njugu 1kg inacost kshs 140 kisha nafunga za 5bob ju ya ma stude na wasee wa veve. Ukifunga poa, profit ni soo 300 per day! Joyttez Nyambura ALEMAVU TUSIBAGUE W . a walemavu sana kubagu a y a b m a y H.W hufan e alianzisha Wanadamu ry Wanyoik mavu. Tuwache n e H a m a k Bingwa idia wale al. na sasa inasa evable talent na potenti Foundation li e b Wako na un kuwatenga. . za Tri tukiwapa Tiffany a.k.a tutawasaidia community. vu a m le a w a ma equality kw DJ B mi nase nditions na co g in rk o w better na njia alemavu wa Hey DJ B! W gia an mingi za kuch a wenye Kun community. in za utumia mash ukata er k mikono, eith make akifunguo na w jisaidia ata hizo dooh, w hutoa Tax. na tena wao achangia wan So it means ty. in our socie angemi Ben Kioko, K KUMBUKA: INCLUDE JINA NA LOCATION KWA MESSAGE

16

SMS 3008 ni 5/tu

Nitumie message ya mpendwa wako na nitazisoma kwa VALENTINE special Show

MULIKA WEZI WA MAJI

Vipi Boyie? Mie ni Jimmy toka Coast. Manze sisi h na end month bill ina-come! I wish tuzengue haw

He! DJ B, kwanza hapa home kuna kalandi kanga makanjo macho na juju. Marvo Njoro DJ B hawa watu huiba pipes sababu hawana job. kusaidia community. Ben Nganga

Wasee wakishikwa waki-vandalise water resourc zitafanywa kwa hizo pipes waliharibu. Steffi


AZ!

ishamada as a a Shujaa & njez!

o but nika others na

te u 4 hvo ths. Keep .

P3 NA NOMA

P3 NA NOMA But ikiwa polisi amekuk osea, si kesi itazimwa 2 hivyo coz utakuwa unaripoti kwao na ni mwenzao, ama? Mariam Chao. “Usiogope Mariam. Ke si haitazimwa. C uliona ma tata alipata justice? Pia wewe utapa ta ukiwa na courage ya ku-report. �

I? ATIKANA WAP SHUJAAZ ZINAP copy za town (Garisa) ma Boyie hapa nilipo G ed risto za iss m I ly plz act. Sure so s, ar sc ni z aa uj Sh up. zi!! N-wei, thumpz Maria, Malkia na we Mafans Bajal Almeida Sawa Bajal nashugulika. mic 1st Sato co m wote, pata Shujaaz.F Saturday Nation na of the month kwa u na wewe Pia kwa Mpesa karib onth. the m starting 1st Sato of

e sisi hu-get maji once per month. Tunateseka sana ue hawa mamatheri wa h2o.

kangati sana! Hakana mita ya wode. kaufunga

a job. Wanastahili wakishikwa wafanye kazi ya

esources wanafaa walipie renovations zote zenye fi *Huku Taita, 2liunda squard ya mu2 tano (big 5) naku-show hiyo squard 2kisaidiana na area counselor 2mesaidia sana kuelimisha watu umuhimu wa ku-conserve maji ya pipes na wa2 walipoelewa, uizi wa maji ukapungua. Hata 2liongea na wasee wa region hiyo wa maji wa bring down rates za kuweka maji kwa nyumba na wali reduce 4rm 500 to 350. Renson Saidi

SHUJAA OF THE MONTH

JINA: Peris Gumbo AGE: 17 yrs BASE: Yala Mimi ndio the biggest Shujaaz fan! Nimesoma Shujaaz all along juu iko na ideas zinasaidia ma-youth. Nilisoma risto yak u-harvest rainwater na nika bambika sana. nili-show Dad hiyo comic na tukam-help ku-install gutters na water-tank home kwetu. Vile mvua ili-come, hatujawahi kosa maji tena! Tuli-collect maji mingi sana! Ma-youth, msilale. With DJ B on our side, for sure tuta-make. Chukua hiyo idea ndogo na uta-save doo ama u-make doo! Bro wangu ni example. Alichukua idea ya rabbit na saa hii ana-reap benefits. Thanks sana DJ B!

KUPANDA NYANYA *Hii issue ya ny anya ni true! Kw anza kwa greeninalete dooh vi house deadly! Nime bu y motorbike juu kupanda na ku ya uza nyanya. W hen I started, ni nauza ki-retail. likuwa From there nika pata habitual customers. Sasa wen hawawezi mi hu yewe hukujia kwa shamba na wale wapelekea na m otorbike. Julius Mauka Boyie hiyo ni id ea poa sana, ila tu nyanya huta diversified ecol ka ogical requirem ents...So it is gu wasee lazima w d but apewe guidelin es on minimise costs and maximise pr how to practice to ofits! Bwiyere *Wow, maze id ea ya nyanya ik o yuu! Imagine but nimezipanda xina land in between mai ze rows kwa sh ya mzae. zinaka amba m poa, infact zi tajisapot kwa iz hakuna haja ya o mei so vijiti vya suppor t. Kixinga David 17


18


Mulika Daktari daktari! daktari! hapa! saidia hapa!

msichana yangu anashindwa kupumua... si umuletee ile machine ya oxygen?

aaaah! mama acha kunisumbua! mwenye kifunguu ya oxygen ameenda lunch!

alice jikaze tu... mungu atakuponya. jikaze msichana yangu...

na uwache kuniitaita hivyo. huoni niko busy?

sasa mama alice. nime-come kumcheki. anaendeleaje?

ako tu. ana shida sana ya kupumua lakini hawa madaktari... mimi sijui!

19


20


21


22


h a ya ! breakfast show hapa! it’s twenty minutes to 8 a.m. na tuko na show kali leo! unakula breakfast? haya basi, kula na mdomo lakini utupatie sisi masikio maanake you don’t want to miss this!

mama junior, si utachukua junior kutoka shule leo?

sawa.

kuna dem fulani ametutumia clip noma sana! madaktari wengi ni wapoa, lakini kuna some rotten fish among them! sisemi zaidi, sikiza mwenyewe uniambie...

siku ya next...

asipolipa by friday, mimi mwenyewe nitatupa hiyo msichana yake huko tunatupanga takataka.

daktari! rafiki yangu anaitwa alice ali-die hapa leo. mathe yake anaomba umpe mwili azike. yeye hu-do bizna ya kuuza fish. to be honest, hawezi afford hizo doh mnataka. tafadhali... oh, unajuana na huyo mama? mwambie aache kunisumbua. na hiyo mwili ya mtoto wake hatuwezi kumpatia.

my friend, umesikia huyo daktari vile anaongea? huyo ni binadamu kweli? yaani hana huruma hata kidogo! sasa nakuuliza wewe mwezangu, umewahi kuenda kwa hospitali ama clinic kutibiwa halafu...

aaaahh!!

nini mbaya? unasikia baridi?

aaah... ndio... hapana... ndio... aaaah...

aaaah! mimi nimeenda job. kuna kitu nataka kufanya kabla saa mbili... aaaah...

23


tuna huzuni, lakini tuna furaha pia. huzuni kwasababu mwenzetu ametuacha. furaha kwasababu kule ameenda hakuna kuumia... lakini nyinyi nataka mujiulize jambo moja: kuna kitu unaweza-do ku-prevent mambo yasiyofaa kama haya kutokea? kama vile yona mbatizaji...

sato...

Wasee, mnaweza report madoki, na ma-nurse wenye hawatuheshimu hosi. Una haki ya kupewa treatment poa kwa hosi.

eh, maria kim, asante sana. kweli ulifikiria. kama si wewe hatungeweza kumzika vizuri. asante!

alikuwa beshte yangu. nilifurahi kusaidia.

HIVI NDIVYO UTA-DO: Kama una simu yenye ina camera, record huyo daktari au nurse mwenye anakosa heshima. MAKE SURE USIONEKANE UKI-RECORD! Piga simu kwa media house uwa-show uko na evidence ya hii risto. Wataku-show vile ya kuwatumia hiyo video yako. Pia watafanya uchunguzi zaidi na kumulika hawa wasee wote. Eleza wasee wa media wasiseme jina yako, ili baadae usifuatwe! REPORT SERVICE MBOVU KWA MA-LEADERS WENYU.

STO. TUMA S I RI

doki

24

• CH ION

A KUA CT

sms 3008

ACTION

Kuwa na evidence ni njia poa ya ku-report ukiukaji wa sheria! Ukiona umeteswa na daktari au dentist unaweza download complaint form kutoka www.medicalboard.co.ke

• CHU

NENO DO K A 3008 UTOE I KW

NA MS

A

kuteswa au kutunzwa poa hosi bila Kila mtu yuko na right ya to katiba ya ing a vile inafaa accord kunyayaswa na pia kutibiw Kenya Article 43(1)a. ient au mtu yuko ya rights zako kama pat Ukitaka kujua more juu watakupatia. a hii website, pia advice na patient hosi enda kw A ANG MK ation.org www.morrismosesfound

NI JUU YA H MAO I


NGA A G M INE C C A V yule daktari wa wanyama, uncle rosie, ameniibia customers wengi tu sana...

ai, biashara siku hizi ni mbaya!

itabidi nianze ku-strategize aggressively...

...kabla nianze kuisha!

wah! vile figure yangu inakuwanga sweet...

grrr!

weweeeee!!!

ngoja tu nimpate huyo uncle rosie!

nimejazzika tu sana!

ai! sasa hawa ni akina nani?

ni taabu na mwenye kelele nyingi, charlie pele!

naenda home ku-make dye ni-colour hizi chicks mpya!

25


nizi-make pink kama zile zingine? Ama labda ni orange this time?

oho!

strategy imeiva!

ama green, kuzitofautisha? ama blue?

ama purple???

wah, unajua hizi chicks ni vile nitaanza kuchanga dowry ya komwoa purity? itabidi nizilee vizuri...

baadaye...

...unajua, hizi kuku ni pesa! huwezi kuzilea bila mimi kuzi-bless! zitakufa!

na vile wewe ni customer mpoa, niko na special offer, kuku moja tu badala ya mbili zangu za kawaida... ...ni dj B kwenye dial, na leo tunawakilisha wakulima! sikizeni stori fulani...

eh, sijui mambo ya hizi chicks za taabu, lakini siwezi kuhata offer...

uncle rosie?!? umeshafika???

26

sangoma! habari yako?


unafanya nini hapa? nimekuja ku-vaccinate hizi chicks...

sikizeni! DJ B anaongea juu ya stori kama hii yetu!

kwenda huko na hizo madawa zako! blessings zangu pekee ndio zinahitajika hapa!

ehm, taabu ndiye ameniita...

aaaah, hawa watoto wanajua nini? wacha kudanganya watu na hizi madawa zako!

wasee!

dj b, thanx 4 da tip about chicken vac. i've started a project 2 help generate sme income.

pia nimeweka trees flowers nursery coz we need them and also i'll get some money big ups 4da gudwork. lydia amagoro.

lydia, asante sana kwa hiyo message yako, hiyo ni stori poa sana... si utuelezee more kuhusu project yako?

27


Base: Webuye, lakini nasoma Machakos Technical Age: 33 years

Name: Lydia Amagoro Namaemba

Tulikuwa na kuku mob sana kwetu time nilikuwa mdogo. Then later vile nilienda high school, kuku zetu zilianza ku-reduce pole pole. Sikujua reason then, but baadaye Mum aliniambia diseases zilikuwa zimeongezeka sana. Later on long baada ya kumaliza shule, nilikuwa tu home. Most of the time nilikuwa free. Around hiyo time ndio niliona story ya chicken vaccines kwa Shujaaz.FM. Nili-realize kuwa kama ningechukua hatua, maybe kuku zangu zingeacha kufa ovyo ovyo. That is when niliamua kutafuta place yak u-buy vaccines. Kulingana na wasee wa hapa mtaani, kuku zinalindwa na Mungu. In case of disease outbreak, wanaziacha tu zife na zile zina-survive ndio wanaanza nazo afresh. Mimi niliamuanii-give a try nione kama ita-make a difference.

28


So outbreak ilipo-come, nilienda kwa agrovet na nikam-show symptoms. Huyo msee anajua kazi yake. Alinipa dawa flani inaitwa Coprsol ambayo hu-prevent chicks kupata magonja. Ali-advise nizipe for 4 days only. According to instructions, hii dawa inafaa kuwekwa kwa maji ili chicken zikunywe maji pamoja na dawa. Yeye alini-advise nizipatie drops za hiyo maji mwenyewe kwa sababu haiko guaranteed zitakunywa ukiiweka hapo nje.

After the 4 days nilianza kuzipatia Avapox ambayo nilizidunga kwa mabawa. Imagine hiyo dawa yote ilini-cost 65 bob! Of the 13 chicks ambazo zilikuwa na dalili ya ugonjwa, only 1 died. Saa hii niko na over 60 chickens, nimeuza more than 10 na zenye nimepeana kwa harambee hazihesabiki. Thanks to Shujaaz.FM, nina project inani-susutain nikirudi home during holidays. Pia pocket money ni constant.

29


TO. TUMA S I RIS

WA 3008 UTO UK

Advise yangu kwa ma-youth na farmers ni, tuwe wajanja. C ati kuku zinajilinda. Hizo kuku zinakula uchafu na ni lazima tuzitunze sisi ili kupata faida zaidi. Vaccine ni cheap lakini outcome ni rewarding. Kuku moja inauzwa 450 A NENO KU N K MS at the moment huku ocha. Imagine utapata how much kwa kuku 60! Pia sms tunauza mayai, na tunakula incase tunataka mboga. 3008 kuku Thanks sana DJ B!

AONI JUU YA HI EM

na-hope stori ya lydia imewasaidia, wasee! tupatane next time! tuko gangare!

agh, sawa, basi. mnaweza kuzivaccinate.

grrr... uncle rosie... ngoja tu! siku moja nitakupata...

30


t e xt s m o t o Niaje mafans. Valentines iko kwa corner, hebu mnitumie text zenu kwa 3008 mkianza na jina “LOVE� alafu zile text moto zitakua announced na DJ B kwa show yake kila siku!

31


Radio Pamoja

Koch

99.9FM @8.30 a.m.

99.9FM @4.30pm

Radio lake Victoria

Radio Sahara

Kisumu 92.1FM @6.30 P.M.

94.3 FM @2:55 p.m. every weekday

Radio Namlolwe

Radio Mang始elete

mtaa radio

Ghetto.Fm

Mwanedu

Star fm

Hossana fm

Mugambo fm

97.3FM @6.30 P.M.

89.1FM @8.20 P.M.

96.1 FM @11:15 a.m. 9:20 p.m.

Nairobi 97.1FM Garissa 105.9FM @11.10 A.M.

Kenyatta University (KU FM)

Early life online radio www.earlylife radio.com Every Monday and Fridays @3.00 P.M.

Lodwar 101.1FM @3.00pm

89.5FM @7.55 A.M. (repeat @7.55 P.M.)

99.9FM @12.00 P.M.

102.3FM saturdays @12.45, 2.30, 4.45, 5.15pm

MMU Q fm

Nairobi 94.4FM Mombasa 87.9FM From ten

minutes to 4.00 p.m.

MMU

99.9FM saturday @12.45, 2.30, 4.45, 5.15pm

99.9FM @6.30Z P.M. weekdays From 1.00 P.M. - 3.00 P.M. Saturdays

sifa fm

Garissa 101.1FM 11.05am Voi - 107.7FM 12.55pm Marsabit 101.1FM 3.00pm Lamu 101.1FM 12.55pm

Shujaaz. FM radio show inapenya kwa hizi station kenya mzima. pata story zote za comic kwa show yangu. cheki time na ukae rada!


Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.