23.b – Malkia

Page 1

9


keshoye...

Ahhh! kaa mimi wewe ningejazika sana! I wish mbuyu angenishow nitoke chuo!

Ata singe-think twice, kutoka mara that that!

Acheni za ovyo! Tunafaa kuhepi juu kesho kuna show ya NAMELESS!

Jipendo! Achanga izo, chuo ni muhima sana. Tunafaa kuwa tunafikiria venye tuta-help Kazuri...

KESHO YAKE Bado ile stori ya Kazuri inanisumbua. Nataka kum-help.

10

Cheki venye kuna watu wengi!! Tuharakishe!

9


Karibu masupa!

Aha! Unaenda wapi wewe?

Niko na idea!

We ni mtio sana. Ebu rudi home spidi!

11


Hiyo concert imekuwa smart!

whaaat!!!

Ni Malkia! Queen wa mchongoano!

Wahhh! Nini mbaya Malkia!

keshoye...

12

So unanikumbuka?!

Aki pole, ni vile lazima ningebonga nawe kabla uishie.


Nime-invite Nameless a-come abongeshe community kuhusu umuhimu wa madem kuwa chuo.

Nameless ni jina kubwa. Hawezi tokelezea kwa hio event yako!

SIKU YA CONCERT...

Aki ako wapi?!

Yaaaay! Nameless, wohooooo!

Malkia tume-come mtaa yako kuwakilisha, ebu come apa uangushe mistari kadhaa.

13


Malkia

karibiaaaaa.

Hadi lini madame tutakaa down kusini, time imefika tupande juu kaskazini. Kwenda chuo ndio deal then life iwe real. Umaskini utakill, ukipata hizo skills. Hakuna shame ukiwa dame, GIRL or BOY mbele ya GOD tuko same!

ebu come apa uangushe mistari kadhaa.

Wacha niwaambie wasee, kila mtu ana GIRLS kwa life yake. Anaeza kua matha, sistako ama wife yako. Jambo la muhimu ni kuhakikisha wasichana wameget elimu. Kumpa msichana uwezo na skills ni kuendeleza jamii yote. Walami husema, ukimwelimisha msichana, umeelimisha mtaa.

NENO SOM A

sms 3008 soma

AONI JUU YA H EM

ie ka Suz mbo a irobi a Adhia N n , a a s r u e S JINA: 9 BASE: Kib 1 AGE:

ISTO. TUMA S II R

NA MS

3008 UTO KWA

Wasee, madem kuenda na kumaliza system ni kitu poa! Mamanzi wana haki ya ku-chop ndio hata baadae wajitegemee ausio?

Mimi ni Group Leader wa madem 56 hapa mtaani. Mother yangu amenilea peke yake. Yeye ni m-sick na hana job. Wasee wengi hawakutaka nisome, waliambia mother kila time ati aniachishe chuo. Uzuri, mother hakuwaskia na aliendelea tu kukazana na mimi. Nilifukuzwa chuo mara mob juu ya fees. Sikuchoka! Niliendelea kubonga na wasee mtaani wanipe ideas za vile naweza get scholarship, na pia wenye wanaweza nisaidia! Nilisoma hivyo kwa shida lakini nikamaliza Form 4 2010. NAEZA ADVISE MA-DEM hivi, tusi-lose hope na tusisahau dreams zetu. Kuwa na tabia poa na wasee hawatakosa kuku-help! Join groups za maana ili upate ujanja kutoka kwa wenzako.

14

Binti Pamoja ni group ya madem wengi wa Kibera wenye huinuana through ma-training na kutumia talents za drama na performance.

Pata info zaidi juu ya kuelimisha madem tofauti kutoka: Binti Pamoja – Carolina for Kibera Nangos: 020 80406333 Email: info@carolinaforkibera.org


Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.