23c – Maria Kim

Page 1

Mulika Daktari daktari! daktari! hapa! saidia hapa!

msichana yangu anashindwa kupumua... si umuletee ile machine ya oxygen?

aaaah! mama acha kunisumbua! mwenye kifunguu ya oxygen ameenda lunch!

alice jikaze tu... mungu atakuponya. jikaze msichana yangu...

na uwache kuniitaita hivyo. huoni niko busy?

sasa mama alice. nime-come kumcheki. anaendeleaje?

ako tu. ana shida sana ya kupumua lakini hawa madaktari... mimi sijui!

19


20


21


22


h a ya ! breakfast show hapa! it’s twenty minutes to 8 a.m. na tuko na show kali leo! unakula breakfast? haya basi, kula na mdomo lakini utupatie sisi masikio maanake you don’t want to miss this!

mama junior, si utachukua junior kutoka shule leo?

sawa.

kuna dem fulani ametutumia clip noma sana! madaktari wengi ni wapoa, lakini kuna some rotten fish among them! sisemi zaidi, sikiza mwenyewe uniambie...

siku ya next...

asipolipa by friday, mimi mwenyewe nitatupa hiyo msichana yake huko tunatupanga takataka.

daktari! rafiki yangu anaitwa alice ali-die hapa leo. mathe yake anaomba umpe mwili azike. yeye hu-do bizna ya kuuza fish. to be honest, hawezi afford hizo doh mnataka. tafadhali... oh, unajuana na huyo mama? mwambie aache kunisumbua. na hiyo mwili ya mtoto wake hatuwezi kumpatia.

my friend, umesikia huyo daktari vile anaongea? huyo ni binadamu kweli? yaani hana huruma hata kidogo! sasa nakuuliza wewe mwezangu, umewahi kuenda kwa hospitali ama clinic kutibiwa halafu...

aaaahh!!

nini mbaya? unasikia baridi?

aaah... ndio... hapana... ndio... aaaah...

aaaah! mimi nimeenda job. kuna kitu nataka kufanya kabla saa mbili... aaaah...

23


tuna huzuni, lakini tuna furaha pia. huzuni kwasababu mwenzetu ametuacha. furaha kwasababu kule ameenda hakuna kuumia... lakini nyinyi nataka mujiulize jambo moja: kuna kitu unaweza-do ku-prevent mambo yasiyofaa kama haya kutokea? kama vile yona mbatizaji...

sato...

Wasee, mnaweza report madoki, na ma-nurse wenye hawatuheshimu hosi. Una haki ya kupewa treatment poa kwa hosi.

eh, maria kim, asante sana. kweli ulifikiria. kama si wewe hatungeweza kumzika vizuri. asante!

alikuwa beshte yangu. nilifurahi kusaidia.

HIVI NDIVYO UTA-DO: Kama una simu yenye ina camera, record huyo daktari au nurse mwenye anakosa heshima. MAKE SURE USIONEKANE UKI-RECORD! Piga simu kwa media house uwa-show uko na evidence ya hii risto. Wataku-show vile ya kuwatumia hiyo video yako. Pia watafanya uchunguzi zaidi na kumulika hawa wasee wote. Eleza wasee wa media wasiseme jina yako, ili baadae usifuatwe! REPORT SERVICE MBOVU KWA MA-LEADERS WENYU.

STO. TUMA S I RI

doki

24

• CH ION

A KUA CT

sms 3008

ACTION

Kuwa na evidence ni njia poa ya ku-report ukiukaji wa sheria! Ukiona umeteswa na daktari au dentist unaweza download complaint form kutoka www.medicalboard.co.ke

• CHU

NENO DO K A 3008 UTOE I KW

NA MS

A

kuteswa au kutunzwa poa hosi bila Kila mtu yuko na right ya to katiba ya ing a vile inafaa accord kunyayaswa na pia kutibiw Kenya Article 43(1)a. ient au mtu yuko ya rights zako kama pat Ukitaka kujua more juu watakupatia. a hii website, pia advice na patient hosi enda kw A ANG MK ation.org www.morrismosesfound

NI JUU YA H MAO I


Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.