blished by pu
not for sale
Transforming Kenyan youth NK...
HII LI FUATA
AY!
IRTHD B E T A R
LEB
INSIDE
...TU-CE
• Mchongoano hot! • Meet the new Miss Fabulous! ! • Kenya’s most inspiring vijanas • The ultimate national exam!
chapta 24 web fm SHUJAAZ_C24.indd 1
sms comix 17/01/2012 17:56
9 Sheng Mpya 10-11 Shujaaz National Exam 12 Mchongoano 13-16 Cheki Mafans wetu wana-say? 17 Art Kona
INSIDE
2-8 Boyie & Deepti
Miss Fabulous 18 Miss Confidence 19 Guarantee future ya family yako 20 Tuwache Ubaguzi wa walemavu 21 Njia za kupata ID 22 Saidia wakenya wenzako 23
Download QR Reader na phone yako, alafu piga hii code picha na camera ya phone yako
2 SHUJAAZ_C24.indd 2
17/01/2012 17:57
Mnakumbuka kwa Chapta 11 nilifikiria Deepti anataka ku-expose DJ B? Manze si nilikuwa wrong, hii time yote amekuwa akisaidia DJ B. Ame-help kucall mafans na kufanya research ya DJ B.
3 SHUJAAZ_C24.indd 3
17/01/2012 17:57
Sis wangu m-less aliskia nasakwa mtaaani, nikajua ni kubaya! Wagwan, karibu nishikwe
4 SHUJAAZ_C24.indd 4
17/01/2012 17:57
Nika-get yule dem alikuwa ananisaka anabonga na kina Scarface...kumbe anaitwa Deepti
5 SHUJAAZ_C24.indd 5
17/01/2012 17:57
Manze si huyo dem nim-hot!!
6 SHUJAAZ_C24.indd 6
17/01/2012 17:57
7 SHUJAAZ_C24.indd 7
17/01/2012 17:57
Lakini amekataa nimpeleke out!
Mafans, Deepti amejitolea kuni-help kubonga na mafans. Najua amebonga na wengine wenu kwa phone. Cheki risto kadhaa za mafans wenye wame-share experience zao na yeye! BIG UP DEEPTI!!
SMS 3008 ni 5/tu
Bonga na Deepti na unaweza shinda T-Sho
8 SHUJAAZ_C24.indd 8
17/01/2012 17:57
Ariba - story/hadithi
kugenya - kudedi/kuukata
Bangaiza - Dunga
lola - sisya/cheki/angalia/tazama
hema/relax/tulia
mtiacha - home/mtaani/nyumbani
China - imbo/mwitu/fake Dvd - Mudavadi Enga - kilami/kizungu/kimombo fala - mjinga/Dwanzi/zuzu gava - karao/ponyi/sonyi/fedi haha - ingizia/ogopa piga u-turn - Nyongoa vako - uongo/Kata Washa - nyahunyo/kiboko/rash x-mas - Christmas/krismasi Ya mi - Ya mine/yangu Za ovyo - kuudhi/kasirisha/jamisha Ing’ang’a - oos/soo/mia
nyongolo - kunyongwa koo/tekiwa/shikwa kabare ocha - mushatha/ushago
para - picha/character query - swali Rada - macho/kaa ritho/kaa chonjo/mwangalifu sare - wacha tikithe - mbio/teke
g n e sh ary diction
janjez - mjanja/mwerevu
SMS 3008 ni 5/tu
Ume-like hizi words mpya? Tuma zako kwa FB page ya Dj Boyie au Text 3008 Tuma mob Ushinde T-sho.
Shujaaz(TM) is published by Well Told Story Ltd. ,
special thanks
P. O. Box 1700 00502 Nairobi, Kenya. Tel: 02 02603214, www.welltoldstory.co.ke. Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466-00100 Nairobi GPO. Produced in collaboration with: USAID, Safaricom, Twaweza, RIU. Distributed by Saturday Nation and Safaricom. Content producer: Koome Mwiti Content: Paul Peter Kades | Vincent Muthini | David Ouma | Sylvia Thuku Art Producer: Tim Odero Layout Design: Tim Odero Art: Daniel Muli | Eric Muthoga I Shin Tuxedo | Naddya Aluoch | Joe Barasa | Salim Busuru Radio: Eunice Maina | Dominic Oigo Finance: Dorothy Acholla Special thanks to Just A Band for their fantastic music on ShujaazFM radio Well Told Story © 2011 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication.
SHUJAAZ_C24.indd 9
9
17/01/2012 17:57
10 SHUJAAZ_C24.indd 10
17/01/2012 17:57
11 SHUJAAZ_C24.indd 11
17/01/2012 17:57
DJ B ati siz wako ni m-fat hadi akivaa T-sho ya safcom anafanana kibanda ya M-pesa. Joe-g Dzombo
Mafans nyi mko msoto hadi hamwezi ata aford kupay attention. Jimmy Muriuki
Dj Boyie budako mdogo hadi akivaa vest ye hukunja sleeve. yusuph jay
DJ B wewe ni m-black, ulianguka kwa baro hiyo place ikaitwa BLACK SPOT. Evans Mucheru
Ushago kwenyu ni ku-sloppy hadi dogi hu-berk kaa zime-cling kwa mandizi. Linikony Gatimu
Kwenyu kuna insecurity hadi police station iko na watchman.. Njenga Unitedao Ati kwenyu mko wengi mpaka mkitoka nje majirani hudhani kuna maandamano. Vincent Kogei
Ati tv yenu ni kali Dj inashika stations ati shosh zote including police wako amezeeka station na petrol mpaka birth day station. zake zimeisha. Jason Kirangi Abdul Aziz Al Ati Macruf dj ukona FOREhead biggi hadi yako inaitwa Ati Mbuyu wako FIVEhead. wewe ni ni mjinga hadi Priscilla mjinga sana hadi driving school Gathoni ukitembea kivuli alienda boarding.
12
Ati wewe ni mshamba hadi phone yako iko na game ya kulima. Thomas Masese TV yenyu ni ndogo. Mkiangalia 100 metre race mnamalizia kwa neighbour.
SHUJAAZ_C24.indd 12
yako inatingisha kichwa Ati DJ B ni mzee hadi ID yake imeandikwa kwa stone tablet. N McPelah
Eti we nim-harsh mpaka mosquito huji-explain kwako b4 aku-bite. Erickyttho Juliunthos Ati nyi ni walafi hadi mki pika chapo, mnakaranga omena ndio m-confuse ma-neighbor
Ati kwenyu mko wengi hadi time ya kumanga mnajipanga in groups of ten.
mchongoano Hottest za Malkia!
17/01/2012 17:57
Mi na-like Boyie. Yeye ni ka far guardian wa mine coz nime thug, ma fight kibao, kupigwa ju ya doo manze bt toka ile day nilianzana na shujaaz manze nime change mpaka chief alinige zawadi.
Abubakar ni Mtu wangu, Kuwa fan wangu pia na Utashinda Prize
Kuna kwanza ile stori ya Boyie, yenye Chief alituma ma-thugs kutafuta studio ya DJ B na kui-destroy. Lakini hao wasee wakaharibu studio ya Boosh.
Niaje DJ B! Radio show yako imeni-teach lessons kibao na many have bin assisted especially ya traibo. Otherwise show iko fine. Billow Abdi.
Niaje DJ B. Mi huwa chuo. Imagine nili-come home holidays nilisoma mag za Shujaaz na zinanikimbia kwa damu, as in zimenijaz mbaya. Saa hii na-feel tu me ni Shujaa. Keep it up Boyie. Beth Agoya.
Name: Abubakar Kanjagwa Age: 21 Base: Kamukunji
Hiyo stori ilini-jazz sababu ilionyesha venye Chief aligeuka hao wasee na akasema wakuwe-arrested.
ASANTE ABUBAKAR, MIMI NI FAN WAKO PIA! 13 SHUJAAZ_C24.indd 13
So ma-yuts, mi nataka kuwashow hivi, msikubali kutumiwa ovyo ovyo. Unacheki ata hao wasee, wengi walipewa dooh, lakini sasa unaona wenye walifaidika ni wale wa-bigi. Na ni stuff kama hi indo itarudisha post election violence. So tujichunge sana. Dj B anakungoja kwa fb, link yake ni www.facebook.com/DJBoyie 17/01/2012 17:57
Congrats
kwa NUMBER 1 FAN WANGU!
Mi ni fan wa Maria Kim sababu despite yeye kuwa orphan, ako determined, courageous na yeye huwa ready kitu yoyote iki-shoot up. Yeye husolve ma problems zenye hutokea ki-extensively na anatokea na solution despite ma challenges. Stori ya Maria Kim yenye ilini-jazz ni ile yenye walikuwa chuo na hakukuwa na maji, alafu kukatokea outbreak ya disease.
Kama yule mtoi disabled katika Shujaaz chapter 19 anapanda sukuma kwa gunia, i swear dats da perfct idea a human can come-up with. Bruno Mars
Mazee thanks a lot 2 Maria kim kuhusu story ya meat. We have been eating nyama ya punda in our area all this time, but not anymore. ALEX .G.M
Name: Beth Wachira Age: 21 Base: Nyahururu
kuna places zingine kama Turkana hakuna maji na badala ya kushinda tukisema Gava iingie ijaribu kuhelp out ndo wapate maji, sisi tunaweza tumia methods za kuwahelp. Kwanza sahi time ya mvua, tunaweza tafuta containers tutrap maji ikatumika kusaidiana. MAYUTS, TIMES ZA long holidays na Dec huwa tym ya raha mob. HiI NDIYO tym watu wana-try out drugs, kunakuwa na unwanted pregnancies. Ni poa mayuts WAJUE life haina rehersal. Sis ndio future leaders na ni lazima tujichunge sana.
ASANTE beth, wewe ni shujaa kamili! 14 SHUJAAZ_C24.indd 14
Beth anangoja kubonga na mafans wengine wa Maria Kim kwa www.facebook.com/DJBoyie
17/01/2012 17:57
Mi nina-like Charlie Pele na reason ndo hii. Hiyo story ya ukabila na mbuyu wake inatuonyesha kuwa the young generation ndio wanaeza fanya kenya kuwa tribal free country na ku-enable wasee kuishi na ma neighbours wa kabila tofauti ili tu-share ideas za kimaendeleo.
Congrats
kwa NUMBER 1 FAN WANGU!
Most of my friends have donated blood after I told them the benefits and even gave them a copy of Shujaaz. INDEED, they lyked the the story. Kudos Shujaaz.FM and Charlie Pele for the inspiration! Debron Naisma, ongata
Niaje Dj B? M-show Charlie asi-give up ku-make fathake a-realize how good it is to have neighbors around. Our Grandpa had the same Problem but not anymore. Melly from Webuye
Wow! Asante Irene. Uko poa sana! 15 SHUJAAZ_C24.indd 15
Name: Irene Akinyi Age: 23 Base: Mumias
Stori ya Charlie Pele yenye ilini-touch sana ilikuwa ile yaku-donate damu. sisi mayuts tuna-discourage-iwa na tribalism. Tunaona Baba ya Charlie Pele alitoa damu kupatia msee wa tribe ingine. Inashow hii Kenya, tunaishi as one, si kabila tofauti. Damu yangu ya m-luo, bado naweza patia m-kale. So ningependa ku-show mayuts kuwa ni sisi ndo tunaweza make country i-move out of tribalism. Tukiwa na country yenye iko free of tribalism, then, ile generation next haitakuwa na problems za ubaguzi. Niaje mafans wa Charlie? www.facebook.com/DJBoyie 17/01/2012 17:58
Congrats
kwa NUMBER 1 FAN WANGU!
Mi nina-like Malkia coz u-fight-ia justice na ni girl wa-power! Ile stori yenye Malkia alishow wasee venye madoki wa ma-hosi hu-behave ilinijazz sana.
I liked da story about Malkia,how she & her frnds handled da prblm of tribalism...my mother has da same prblm 2. I cant marry a kikuyu coz im a kissi despite love. Almasi kutoka Emba Name: Aaron Muteki Jonathan Age: 25 Base: Mtito Andei Nasomea national skul na nimejazika na hio risto ya Malkia ya ku-fight tribalism. Tumeanza peace council kwa chuo na ina-work poa. Robert Kim, Nyeri
Reason hiyo stori ilinibaba ni sababu hiyo stuff hu-happen. Ma-doki wengi wanawork kwa hosi za gava na at the same time, wako na private clinic zao. So wana-direct wasee wengine kwa hizo private clinic zao. Hiyo stuff mimi nimeona iki-happen. In general, ningependa kushow mayuts ma-jobs zimelost na hakuna job utapata ki rahisi. Unacheki kaa mimi, niko na tomato farm na nitegemea mvua ikamu ndo nipande, though area yetu ni kavu sana. So, ni poa mayuts wakijua inatakikana wajikaze.
Aaron, big-ups sana. Wewe ni wangugu! Kama unataka kuleta change na 16 kubonga na malkia enda kwa www.facebook.com/DJBoyie SHUJAAZ_C24.indd 16
17/01/2012 17:58
Art Kona
Kelvin Omondi
Imani Kidula Yohaan David
Niaje mafans, cheki picha za mafans wa Shujaaz.fm!
Peter Kelvin SHUJAAZ_C24.indd 17
17 17/01/2012 17:58
18 SHUJAAZ_C24.indd 18
17/01/2012 17:58
19 SHUJAAZ_C24.indd 19
17/01/2012 17:58
HI! NAITWA DEEPTI. DJ B ALINIAMBIA NIPIGIE MAFANS KADHAA SIMU NIJUE MORE KUWAHUSU NA VILE WALITUMIA IDEAS ZAQ SHUJAAZ.FM KU-IMPROVE MAISHA YAO. HIZI NDIO STORY ZAkO. I HOPE ZITAWA-INSPIRE KU TAKE ACTION.
DANIEL AYAKO 27 YEARS NAKURU
Ulionaje hiyo risto ya kuandika Will? Nafanya job kwa ofisi ya advocate na nimekuja ku-realize venye stori ya kuandika will ni noma. Wills husaidia a lot. Kuchora will ni important? Mtu akisha-write will yake, anapewa copy ya kuishia nayo na advocate anabaki na ingine. Huyo msee akisha dedi, mara mob, wasee wa family huanza kugombana juu ya stuff ya inheritance. Lakini wakishasomewa will, wengi hukubali na kui-accept. Hizi risto za kuishia kortini zitaisha wasee wengi wakiandika will.
Nini huwa involved kwa hiyo process ya kuchora will? Kuna huyu msee mwenye angependa kuichora. Kama ni wife, aende na bwana yake na vice versa. Lazma pia wakuwe na wasee kama 3 hivi. Hawa wasee ndo wata-testify ku-show hiyo will ni valid. Hawa wasee wote wakiwa around ndo msee anakubaliwa kuchora will yake. Kama msee anaandika yake kwa mother-tongue, ni lazima itakuwa translated to English na Kiswahili. Ata hiyo will ikienda ku-contest-iwa kortini na imeandikwa in mother-tongue, ni lazma translator ataletwa. Kuna venye kusoma Shujaaz imekusaidia kwa life? Imenifunza mengi juu ya tribalism. Ni lazima tribalism iishe. Unajua hii ni generation ya mixed marriages, na ni poa hiyo risto ya tribalism ikiisha. advice yoyote ungependa ku-show ma yuts wengine? Si too late kwa msee yoyote kuchora will. Usiangalie age. Kama unaogopa kuichora sababu unataka kuolewa mapema, jua kuwa will inaweza kuwa revised na re-written.
20 SHUJAAZ_C24.indd 20
SMS 3008 ni 5/tu!!
TAFUTA INFO ZAIDI KWA: KENYA LANDOWNERS ASSOCIATION TEL: 202 2643326 or Info@landowners.org
17/01/2012 17:59
Niaje mafans, cheki vile nili-inspire nancy oyaro, dem wa 17 years kutoka kisii
Ulionaje ile stori Maria Kim alitoa juu ya disability? Kutenga, kunyanyasa walemavu na kuwachukulia kama si watu, si poa. Inatakikana tuwachunge. Ata Maria kim husema disability si inability. Wanaweza do anything.
Wasee disabled hu-face ma-challenges ka gani? Wengi hawaendi shule, hawakuwi considered ati aka ma-leaders wa mayuts na ata ma-researchers hawaendi kuwacheki kupata opinions zao.
Sasa, hawa wasee wanahitaji ku-supportiwa na community ama wenyewe wanaweza ji-support? Hawa wasee wanaweza ji-support. Wanaweza do bizna sababu wako na hiyo ability. Wanaweza fuga kuku ama kupanda sukuma kama vile Sifa-yule beshte ya Maria Kim hu-do. Wanaweza jiinua sana.
So wewe unaona hawapewi chance ya ku-shine? Hawapewi chance ya ku-excel. Gava inatakikana at least iwa-recognize, but inawalenga. Wanakuwa tu supported na ma NGOs. Unacheki, kuna mmoja hizi sides, hana Miguu. Yeye huuza mayai. So stock yake ikiisha, ananikol, naenda namchukulia zingine alafu anauza. Hii ni kitu small, lakini huwa inamsaidia sana.
Kuna venye kusoma Shujaaz imekusaidia kwa life yako? Shujaaz imeni-help sana. Kuna vitu mob sana sikuwa najua but sahi nazijua.
SMS 3008 ni 5/tu!!
SHUJAAZ_C24.indd 21
CHEKI RIGHTS ZA WALEMAVU HAPA: WWW.NCPWD.CO.KE TEL: 020 225 2877 ncwpd@africaonline.co.ke
21 17/01/2012 17:59
Ulionaje ile stori ya ID cards? Hiyo stori ni kweli. Kupata ID imekuwa challenge kwa ma yuts. Processing ya ID yako ili-take muda gani? Yangu ilikaa miaka mbili before itokee. Nilienda kujaza forms, nikangoja, wengine wanapata, mi sipati yangu.
Niaje mafans, cheki vile nili-inspire jude juu ya umihumu wa ku-get ID, yuko 20 years, ametoka mtito
Kuna challenges uli-face venye hukuwa na ID? Nilikuwa nimejaza hizo forms nikiwa shule. Kulikuwa na shida moja lakini. Mi sikuwa na birth certificate na since miaka yangu yalikuwa yameedelea, niliitishwa ID nilipoenda ku-apply. Na huku wasee wa ID pia wanataka birth certificate before waanze ku-process ID yangu. Na life yako ilikuwa affected aje? Bila ID, hautambuliwi kama msee kwa society, unachukuliwa kama mtoi. Kuna ma-games zingine huku mtaani zenye sisi kama yuts hupenda kucheza. Maaskari walikuwa wanatusumbua sana sisi wenye hatuna IDs. Wengi wao walikuwa wanataka bribes ndo watuachilie. Na ushawahi ulizwa kutoa ka-kitu na hao wasee wa ku-process ID? Si ile outright lakini vile hao ma registration officers walikuwa wanabehave, ni kama wanataka bribe. Hawana shughuli na watu.
Na kwa nini ni important kwa mavijana kuwa na ID? Sababu ma-yuts wengi hukosa vitu vingi sana ambazo huhitaji ID kama employment. Pia, ukitaka kujaza forms, whether ni za bank ama kitu yoyote ingine, ni lazima uwe na ID
SMS 3008
20 22 SHUJAAZ_C24.indd 22
ni 5/tu!!
Cheki kama ID yako iko ready ukituma hizo number tisa ziko kwa form 103 au waiting card yako kwa 2031 ukitumia phone yako. Pia unaeza cheki status ya ID yako online kwa www.identity.go.ke Alafu ukiget response andika kwa wall ya Dj B kwa www.facebook.com/ djboyie.shujaaz Utuambie kamaulisaidika au kwa 3008
17/01/2012 17:59
Niaje mafans, cheki vile mercy alini-show stori yake ya blood donation, dem wa 19 years kutoka ruiru
Kwa Shujaaz, kuna wakati Charlie Pele alikuwa ameongea juu ya blood donation. Ulionaje hiyo risto? Blood donation hu-save life. Ukiitoa, toa na heart ya ku-help msee na si sababu ya hizo snacks wasee hupewa after donation. Kuna venye life yako ime-improve tangu uanze kusoma Shujaaz? Ndio, hii season ya mvua, mimi na matha tuliplant beans by kuzi-soak kwanza, na tuliona hiyo idea kwa Shujaaz. Pia mabeshte yangu kadhaa wamesaidika. Kuna mwenye alianza kufuga rabbits afta aone hiyo stori.
Ku-donate blood ni important? Sababu ina-save life. Manzi mwenye ako healthy anaweza donate blood every 4 months. Machali wanaweza donate every 3 months. Na wewe mwenyewe ushawai donate blood? Ndivyo. Mara mbili
Wasee wengi huogopa ku-donate blood. Wako justified kuogopa? Apana. Mara mob, watu huogopa sababu ya venye sindano inafanana. But si painful. Msee husikia tu ile pain ndogo ya kawaida ya sindano kuingia. Ata mi mara ya kwanza hiyo sindano iliniogopesha but afta niskie si uchungu, siiogopi anymore. Na ushawahi ambia mabeshte wako wa-donate? Ndio, wengi sana. Kuna website ingine mi huwa na mi hushow wasee donation ina save lives. Wengi huenda ku-donate na wanakuja kuni-thank juu ya kuwashow hiyo risto. SMS 3008 ni 5/tu!!
Pata info juu ya ku-donate damu: BLOODLINK FOUNDATION www.bloodlinkfoundation.org Tel: (020) 2738 418/26
23
SHUJAAZ_C24.indd 23
17/01/2012 17:59
Radio Pamoja
Koch
99.9FM @8.30 a.m.
99.9FM @4.30pm
Radio Lake Victoria
Radio Sahara
Kisumu 92.1FM @6.30 P.M.
94.3 FM @2:55 p.m. every weekday
Radio Namlolwe 97.3FM @6.30 P.M.
Radio Mang’elete 89.1FM @8.20 P.M.
Q FM
Nairobi - 94.4FM Mombasa - 87.9FM From ten minutes to 4.00 p.m.
Mtaa Radio Lodwar -
Ghetto.FM 99.9FM
Star FM Nairobi -
Mugambo FM
101.1FM @3.00pm
97.1FM Garissa 105.9FM @11.10 A.M.
@12.00 P.M.
102.3FM saturdays @12.45, 2.30, 4.45, 5.15pm
MMU MMU 99.9FM
Saturday @12.45, 2.30, 4.45, 5.15pm
Kenyatta University (KU FM)
99.9FM @6.30Z P.M. weekdays From 1.00 P.M. - 3.00 P.M. Saturdays
Early life online radio www. earlyliferadio. com Every Monday and Fridays @3.00 P.M.
Sifa FM
Garissa 101.1FM 11.05am Voi - 107.7FM 12.55pm Marsabit 101.1FM 3.00pm Lamu 101.1FM 12.55pm
Hossana FM
89.5FM @7.55 A.M. (repeat @7.55 P.M.)
Mwanedu 96.1 FM
@11:15 a.m. 9:20 p.m.
Shujaaz. FM radio show inapenya kwa hizi station kenya mzima. pata story zote za comic kwa show yangu. cheki time na ukae rada!
SHUJAAZ_C24.indd 24
17/01/2012 17:59