Uwekezaji wenye tija ni ule unaozingatia haki na maslahi ya wananchi kwenye maeneo yenye rasilimali husika kwa mujibu wa sheria zinazosimamia rasilimali hizo.
Ardhi ni Uhai
Baadhi ya mifano hai ya uwekezaji wa aina mbalimbali kwenye ardhi ya vijiji.
2016
januarI J’pili
J’tatu
Ijm
J’mosi
1
2
3 4 5 6 7 8
9
7 8 9 10 11 12 13
10 11 12 13 14 15 16
14 15 16 17 18 19 20
17 18 19 20 21 22 23
21 22 23 24 25 26 27
24 25 26 27 28 29 30
28 29
31
1.
J’nne
Mwaka Mpya
12. Sikukuu ya Mapinduzi ya Zanzibar
J’tano
Alh
J’pili
FEBRUARI J’tatu
J’nne
J’tano
Alh
Ijm
J’mosi
1 2 3 4 5 6
Migogoro ya ardhi inaweza kudhibitiwa kwa kuweka mgawanyo sawa wa matumizi ya ardhi kati ya wakulima, wafugaji, wachimbaji wadogo na makundi mengine ya watumiaji wa ardhi.
Ardhi ni Uhai
Matumizi endelevu ya ardhi sharti yawe na tija kwa makundi mbalimbali ya watumiaji ardhi
2016
MACHI J’pili
J’tatu
J’nne
J’tano
Alh
Ijm
J’mosi
1 2 3 4 5
J’pili
APRILI J’tatu
J’nne
J’tano
Alh
Ijm
J’mosi
1
2
6 7 8 9 10 11 12
3 4 5 6 7 8 9
13 14 15 16 17 18 19
10 11 12 13 14 15 16
20 21 22 23 24 25 26
17 18 19 20 21 22 23
27 28 29 30 31
24 25 26 27 28 29 30
25.
Ijumaa kuu
7.
Kumbukumbu ya Karume
28.
Jumatatu ya Pasaka
26. Muungano
Ardhi ni Uhai
Ushiriki mkamilifu wa wananchi ndio chachu ya utekelezaji bora wa sheria za ardhi.
Mkurugenzi mtendaji wa HAKIARDHI, mwenye tai akiwa na baadhi ya viongozi na wananchi walionufaika na mpango wa matumizi bora ya Ardhi wilaya ya Kilolo.
2016
MEI J’pili
J’tatu
J’nne
J’tano
Alh
Ijm
J’mosi
J’pili
JUNI J’tatu
J’nne
J’tano
Alh
Ijm
J’mosi
1
2 3 4 5 6 7
8
9
10 11 12 13 14
5 6 7 8 9 10 11
15 16 17 18 19 20 21
12 13 14 15 16 17 18
22 23 24 25 26 27 28
19 20 21 22 23 24 25
29 30 31
26 27 28 29 30
1.
Sikukuu ya Wafanyakazi
1 2 3 4
Sheria za ardhi zimetoa fursa kwa wanawake kupata, kutumia na kumiliki ardhi sawa na wanaume ingawa taratibu nyingi za kimila bado zinawabagua katika kunufaika na rasilimali ardhi.
Ardhi ni Uhai
Baadhi ya wanawake wakishiriki katika hatua mbalimbali za utekelezaji wa sheria za ardhi sehemu mbalimbali nchini
2016
JULAI J’pili
Ijm
J’mosi
1
2
1 2 3 4 5 6
3 4 5 6 7 8
9
7
8 9 10 11 12 13
31
J’tatu
J’nne
J’tano
Alh
J’pili
AGOSTI J’tatu
J’nne
J’tano
Alh
Ijm
J’mosi
10 11 12 13 14 15 16
14 15 16 17 18 19 20
17 18 19 20 21 22 23
21 22 23 24 25 26 27
24 25 26 27 28 29 30
28 29 30 31
5. Eid al Fitr (Inategemea muandamo wa Mwezi) 7. Saba Saba
8.
Sikukuu ya Wakulima
Mpango shirikishi wa matumizi ya ardhi ni nguzo muhimu katika kuwezesha upatikanaji, umiliki na udhibiti wa ardhi kwa makundi mbalimbali.
Ardhi ni Uhai
Wananchi wa wilaya za Kilolo na Mufindi mkoani Iringa wakishiriki katika hatua mbalimbali za uandaaji wa mpango shirikishi wa matumizi ya ardhi mwaka 2015
2016
SEPTEMBA J’pili
J’tatu
J’nne
J’tano
Alh
Ijm
J’mosi
1 2 3
4 5 6 7 8
9
10
J’pili
OKTOBA J’tatu
30 31
J’nne
J’tano
Alh
Ijm
J’mosi
1
2 3 4 5 6 7 8
11 12 13 14 15 16 17
9
18 19 20 21 22 23 24
16 17 18 19 20 21 22
25 26 27 28 29 30
23 24 25 26 27 28 29
14. Eid al Hajj (Inategemea muandamo wa Mwezi)
10 11 12 13 14 15
14. Kumbukumbu ya Nyerere
Mafunzo juu ya sheria za ardhi na utawala vijijini ni nyenzo muhimu ya kuimarisha usimamizi wa ardhi na rasilimali nyinginezo kwa wananchi na viongozi wa serikali za mitaa.
Ardhi ni Uhai
Wakufunzi wa HAKIARDHI wakitoa mafunzo ya kuwajengea uwezo viongozi na wananchi wa sehemu mbalimbali nchini
2016
NOVEMBA J’pili
J’tatu
J’nne
J’tano
Alh
Ijm
J’mosi
1 2 3 4 5
J’pili
DESEMBA J’tatu
J’nne
J’tano
Alh
Ijm
J’mosi
1 2 3
6 7 8 9 10 11 12
4 5 6 7 8 9
13 14 15 16 17 18 19
11 12 13 14 15 16 17
20 21 22 23 24 25 26
18 19 20 21 22 23 24
27 28 29 30
25 26 27 28 29 30 31
9.
10
Uhuru
12. Maulid (Inategemea muandamo wa Mwezi) 25. Sikukuu ya Kristmas 26. Siku ya Kufungua Zawadi