An InnovatorsBox ® Innovation karatasi ya kazi
Jinsi ya kuongoza kwa Ubunifu Kazini Utengenezaji wa Timu yenye Utendaji Kazi wa Hali ya Juu
Cultivating a High-Performing mvumbuzi ni ngumu.Team Unaweza kuhamasisha
Kwa muda wa miaka kumi, nafasi za kampuni tatu kati ya nne kwenye Fortune 1000
timu yako vipi ili waweze kuwa na fikira
zimechukuliwa. Ukweli ni kwamba, mashirika
tofauti? Unaweza kuwasaidiaje ili wachukue
ambayo hayataki kubadili mienendo, kuskiliza
hatari? Yote haya huanza kwa matumizi bora ya
ama kuwa na fikira tofauti hayawezi kustahimili.
rasilimali yako kuu, watu wako.
Hata hivyo, kujifunza jinsi ya kuwa mbunifu na Maswali haya yatakusaidia kutafakari unapojenga kazi ambayo itawezesha timu yako kuwa bunifu. 1) Ninapofikiri kuhusu shirika bunifu, huwa wana tabia zifuatazo: Kidokezo: Je ni wadadisi, wenye uanuwai, wachangamfu?
2) Kwa mwezi, kitu kimoja ninachoweza kufanya ni kutengeneza muda na nafasi ili timu yangu ˇˇˇiweze kuvumbua mawazo mapya kwa furaha ni : Kidokezo: Kila mwezi, jaribu kupanga vipindi vya dakika 30 vya kutafakari, au kutenga mahali kazini ili kufanya chemsha bongo za ubunifu au kutafakari mchana.
1
INNOVATORSBOX LLC © 2019. HAKI ZOTE ZIMEHIFADHIWA.
3) Wakati wa mikutano yangu na wafanyakazi, ninaweza kuwapa moyo kufanya mazoezi yenye ˇˇˇubunifu kwa njia ya kimchezo kwa : Kidokezo: Jaribu kutenga dakika 15 za kushirikishana mawazo bila kuhukumiana au mpe nafasi mtu mmoja ashirikishe wazo au uvumbuzi wa kuvutia kutoka katika sekta yoyote..
4) Ninaweza kutumia maoni ya papo kwa hapo kwa ajili ya mawazo mapya na kufuata ˇˇˇvipaumbele vya timu ipasavyo kwa:
Kidokezo: Je, unaweza kutoa maoni ya papo hapo katika vipindi vya kutafakari, au kuwa na mchakato ambao unawezesha timu yako kufuata vipaumbele vyao?
5) Ninaweza kuhimiza timu yangu kupiga mahesabu wanapobuni hatari na kujaribu mawazo ˇˇˇmapya kwa: Kidokezo: Je unaweza kuweka njia yenye ufanisi ya kujaribu mawazo mapya bila kuwa na mipango ya muda mrefu? Kwa mfano, iwapo memba wa timu ana wazo jipya, mhimize kutengeneza sampuli ya haraka bila kuhofia ukamilifu.
6) Ninaweza kusaidia timu yangu kuona makosa na kutofaulu kama njia ya kuimarika, kukua, na/ ˇˇˇau kuunda kwa: Kidokezo: Je, unaweza kuweka mchakato ambao memba wa timu wanahimizwa kutafakari juu ya mafunzo waliyojifunza?
2
INNOVATORSBOX LLC © 2019. HAKI ZOTE ZIMEHIFADHIWA.
7) Ninaweza kuwatuza timu yangu kwa ubunifu wao kupitia: Kidokezo: Je, kuna motisha yoyote unayoweza kupendekeza , kama vile utambuzi wa mtu kwa mtu, bajeti ndogo inayowezesha kufanya miradi ya ubunifu, au shindano la kupata wazo bora la mradi?
Hali imekuwaje? Je, ilikua vigumu kujibu baadhi ya maswali haya? Kumbuka, kuwa mbunifu kazini ni kama mbio za masafa marefu, sio mtelezo. Itachukua majaribio na makosa kujifunza ni nini kinachofanya kazi vema zaidi kwako na kwa timu yako. Hapa kuna pointi kuu za kutafakari unapoendelea kukuza ubunifu wa timu yako!
Pointi Kuu
Kumbuka pointi hizi kuu 5 za kuongoza kwa ubunifu na uvumbuzi:
1
Waamini timu yako na ubunifu wao.
2
Toa fasili ya ubunifu na mipaka yake ambayo timu yako inaweza kufanyia majaribio bila kuhukumiwa.
3
Tenga muda na mahali kazini ili kuwa na ratiba ya ubunifu.
4
Tunuku matendo ya ubunifu.
5
Fanyia ubunifu kwa burudani.
info@InnovatorsBox.com INNOVATORSBOX.COM
3
Tafadhali kuwa huru kusambaza Chati za Uvumbuzi za InnovatorsBoxŽ. Hakikisha unarejea InnovatorsBox.com baada ya kila matumizi. INNOVATORSBOX LLC Š 2019. HAKI ZOTE ZIMEHIFADHIWA.