An InnovatorsBox ® Innovation karatasi ya kazi
Jinsi ya kuwa Mbunifu Zaidi Uchambuzi binafsi wa Ubunifu Wako
“Je, wewe ni Mbunifu?” hili ni swali tata. Sisi
au utengenezaji wa mtindo wa bidhaa.
SOTE ni wabunifu – katika njia tofauti. Utafiti
Ubunifu ni jinsi ya kufikiri, kuishi, na
wa tangu miaka ya 1950 umegundua kuwa kila
kufanya mchakato tofauti. Unakusaidia
mtu ameumbiwa ndani yake kuwa mbunifu.
kuwa mtatuzi bora wa matatizo, mshiriki, na
Kadri tunavyozidi kukua, tunapoteza umbio letu
mtengenezaji wa mawazo. Chati hii inakusaidia
la kufikiri na la uchangamfu. Ubunifu wetu wa
kuamilisha ubunifu wako. Tunajua upo ndani
ndani ni wa maana zaidi kuliko uchoraji wa vito
yako, tunakusaidia tu kuupata.
Ukiwa unajiuliza maswali haya, kuwa huru kuchora, kucharaza, au kuandika majibu yako.
1) Mara yangu ya mwisho kujihisi mbunifu ilikua lini? Kwa nini? Jaribu kuelezea wakati huo kiundani.
1
2) Kama Ubunifu ungekua mtu, ningemfafanuaje mtu huyo? Ni vielelezo vipi vinavyokuja akilini? Mtu huyo ana utu gani? Anafananaje?
INNOVATORSBOX LLC © 2019. HAKI ZOTE ZIMEHIFADHIWA.
4) Ni matukio gani matatu yanayonivunja moyo wa kuwa mbunifu?
3) Ni matukio gani matatu yanayonipa moyo wa kuwa mbunifu? Ni vitu vipi vinavyonisisimua?
Yanaweza kuwa mawazo yaliyokataliwa kazini au makosa binafsi, ni matukio gani yanayonizuia kutaka kujaribu jambo jipya?
Vitu hivi vinaweza kuwa hadithi fupi au utoaji wa wazo jipya kazini, la ufanyaji kazi tofauti kusikiliza wimbo mpya.
1.
1.
2.
2.
3.
3.
5) Tazama majibu yako ya swali la 3 na la 4 Ni matukio gani yanayotokea zaidi maishani mwako? Je unavunjwa moyo au unapewa moyo zaidi katika swala la ubunifu? Utaanzaje au utaendeleaje kujipa moyo wa kuwa mbunifu?
6) Andika vitu vitatu unavyovifanya kila siku katika maisha yako ya kazini/ ya kawaida.Halafu,tafakari na uandike jinsi unaweza kufanya kila kimoja tofauti. Ni kipi kimoja wapo unachoweza kujitolea kukifanya tofauti kwa siku 30 zijazo? Zungusha mduara kwenye jibu lako. 1.
2.
3.
Diriki kufanya shughuli zinazohamasisha ubunifu na badili ratiba yako ya kawaida kwa angalau dakika 15 kila siku! Kumbuka kwamba kujitengenezea ubunifu wako huchukua muda, lakini sasa upo hatua moja karibu zaidi katika kuishi maisha ya ubunifu (yasiyo na mipaka)! 2
info@InnovatorsBox.com • INNOVATORSBOX.COM Tafadhali kuwa huru kusambaza Chati za Uvumbuzi za InnovatorsBox®. Hakikisha unarejea InnovatorsBox.com baada ya kila matumizi.
INNOVATORSBOX LLC © 2019. HAKI ZOTE ZIMEHIFADHIWA.