Jan, 2018

Page 1

SASA UNAWEZA SOMA Matoleo yetu yote Mtandaoni

HALIUZWI

TOLEO: Januari, 2018

www.issuu.com/limaonline

Vijana na Kilimo Biashara

Je, wajua TFA ipo karibu nchi nzima?

Funguo: Matawi yaliyopo Matawi Tarajiwa

WAUZAJI NA WASAMBAZAJI WA PEMBEJEO ZA KILIMO P.O. Box 3010, Arusha - Tanzania, Tel: +255 27 250 3041 / 250 4297 Fax: +255 27 254 8213 | Email: tfa@tfatz.com | www.tfatz.com


EFTA LTd wakishirikiana na Lonagro Tanzania/John Deere wanauletea ofa maalum kwa muda maalumu kukuwezesha kumiliki Trakta ya ndoto yako kwa gharama nafuu, BILA DHAMANA YOYOTE.

Habari njema kwa wakulima! Lonagro-John Deere ikishirikiana na EFTA na John Deere Financial inawaletea ofa maalum ya trekta mpya za John Deere 42Hp pamoja na majembe ya sahani 3 inchi 22. Yote haya kwa bei ya Shilingi milioni 32 tu! Yani kwa punguzo la Shilingi milioni 3.2!. Usikose! Kwani vifaa havipo vingi. Kwa maelezo zaidi, piga 078 909 0999 au tembelea tawi la EFTA au LonAgro leo.



Mpendwa

MSOMAJI

Kutoka kwa Mhariri

Mpendwa msomaji/mkulima, ni matumaini yetu umeupokea mwaka salama na tayari safari yako, hususan ya kilimo na ujasiriamali imeanza vizuri. Sina hofu kuwa jarida hili la LIMA limekuwa la msaada kwako katika kukuelimisha na kukuhabarisha maswala mbali mbali ya kilimo na ufugaji. Wapo waliosoma na kutekeleza yale tuliyowafundisha kupitia makala mbali mbali bila hata ya kuuliza maswali ya ziada na baadae kutoa ushuhuda. Wapo waliotaka kufahamu kwa uzaidi, nasi tumeshirikiana nao kwa karibu kupata usaidizi kadri ya matakwa yao, hili limekuwa jema kwetu na tunapenda kuwashukuru wote kwa ushirikiano wenu wa dhati. Kama ilivyo ada yetu tumewaandalia mambo kem kem mwaka huu wa 2018, ikiwemo makala ya kusisimua kutoka shambani/masoko, bila kusahau maonyesho ya muendelezo ya TFA Expo huku tukijiandaa na maonyesho haya mikoani. Endelea kutembelea kurasa zetu za kijamiiFacebook.com/LiMaonlinebiz na soma majarida yetu mtandaoni kupitia www.issuu.com/limaonline Asante! Pauline Kimambo .................................................

PUBLISHER & PRINTER Kiliative Solutions (EA) Ltd P.O. Box 16027 Arusha, Tanzania Meru View Business Park, Kaloleni near New NSSF Building, Tel: +255 784 712 303 +255 783 857 777 E-mail: marketing@kiliativegroup.com Web: www.kiliativegroup.com

Kiliads Solutions (EA) Ltd - KENYA Softa Plant, Off Enterprise rd next to General Motors, P.O. Box 16745 - 00100 Nairobi. Mob: +254 780 712 303 Kiliative Solutions (EA) Ltd - RWANDA North Airport Rd, Mathias House - Remera P.O. Box 1863, Kigali - Rwanda Tel: +250 781 467 752

DISCOVER MORE... Check out our issues online at www.kiliativegroup.com

MAKALA

ZA KUELIMISHA

Simulizi za Mafanikio: 04 | Vijana na Kilimo biashara

A R T I C L E S AVA I L A B L E T H I S M O N T H

Makala: 08 | Namna ya kutengeneza Mbolea

2.

Jan, 2018

Wellness Tips: 16 | Are you really hungry?



VIJANA NA KILIMO BIASHARA na Pauline Kimambo

Katika karne ya sasa,ajira imekuwa ni changamoto kubwa sana kwa mataifa mbali mbali hasa zile zinazoendelea. Vijana wengi hasa waliohitimu ngazi ya juu ya elimu wamekuwa wakiangaika kutafuta ajira bila mafanikio. Wengi wamekuwa wakitegemea ajira za maofisini jambo ambalo haliwezekani kuligana na ufinyu wa ajira hizo. Maendeleo huletwa kwa kujituma na kufanya kazi kwa bidii. Kuongeza maarifa na ujuzi wa kufanya kazi ni mojawapo ya njia. Kama kijana inabidi kutumia muda wako vizuri katika kutafuta maarifa zaidi ya kusaidia katika shughuli za kila siku. Moja wapo wa ajira ambazo zinaweza kumsaidia kijana kujikwimu kimaisha ni kujikita katika “Kilimo Biashara�. Kilimo biashara ni; Mojawapo ya shughuli za mwanadamu ambayo humsaidia kupata mazao kwa ajili ya chakula na mazao mengine kwa ajili ya biashara ambayo inaweza kumuingizia kipato kwa ajili ya maisha yake, pia kipato hicho husaidia katika kukuza uchumi wa nchi. Sekta hii ndiyo kiinua uchumi kikubwa kwa mataifa mengi kwa sasa. Serikali nayo kwa upande mwingine inayo nafasi kubwa kuwahimiza vijana kuhusu umuhimu wakujiari na kuondokana na dhana ya kupata ajira maofisini. Pamoja na kwamba tatizo la ukosefu wa ajira linawalenga watu wote katika nyanja mbalimbali lakini Kipindi hiki tunawalenga vijana zaidi.Takwimu zinaonyesha kuwa wao ni zaidi ya asilimia 60% ya idadi ya watu wote nchini Tanzania. Vijana wengi kwa miaka ya hivi karibuni wamekimbia vijijini na kutafuta maisha mijini! Kazi kubwa vijijini ni kilimo na ufugaji. Kilimo hiki sasa tumewachia wazee ambao kiukweli hawana nguvu za kutosha kumudu shughuli ngumu za shamba.

4.

Jan, 2018

SIMULIZI ZA MAFANIKIO

Kama vijana wengi tuko mijini tunategemea sembe ishuke bei kivipi kwa mfano? Tunapo shindwa maisha mijini na kurudi vijijini wazee hawa ndo wanatupa chakula, basi tuwakumbuke japo kwa pembejeo za kilimo. Kijana anapaswa pia kufahamu ya kwamba hakuna mtaji maalumu kwa ajili ya kuanza kufanya kilimo biashara, unachotakiwa ni kuwa na wazo kwanza kisha wazo hilo unalitaftia mtaji. Kilimo, Mifugo na Uvuvi ni nguzo na maendeleo ya Taifa vijana shiriki kikamilifu.





NAMNA YA KUTENGENEZA MBOLEA YA MAJI YA KUNYUNYUZA KWENYE MAJANI

Mbolea ya kunyunyiza ni nzuri kwani inasaidia kuupa mmea virutubisho moja kwa moja kupitia kwenye majani au shina ambapo ndipo chakula kinahitajika. Faida za mbolea ya maji ni pamoja na kuongezeka kwa kiwango cha mavuno, uwezo wa mimea kukabiliana na wadudu pamoja na magonjwa, kuvumilia ukame, na kuongeza ubora wa mazao.

Aina hii ya mimea inasaidia sana katika kuzuia magonjwa, wadudu na kutoa virutubisho muhimu kwa mimea vinavyosaidia mkulima kupata mazao bora bila gharama ya ziada ya kununua virutubisho..

Jinsi ya kuandaa mbolea ya maji kwa kutumia samadi

Mbolea ya maji hutengenezwa kwa kuchukua kiroba kilichojazwa samadi, aina mbalimbali ya mimea yenye virutubisho na inayoaminika kuwa dawa ya mimea. Kiroba hicho kinafungwa kwenye kijiti, na kutumbukiza kwa kuning’inia kwenye pipa lililojazwa maji. Kiroba hicho ni lazima kichukue kati ya kilo 30-50 za samadi pamoja na aina nyingine za mimea kwa maji lita 200. Unaweza kushika upande mmoja wa mti na kunyanyua na kushusha kila baada ya siku tano ili kuchanganya na kuharakisha kutolewa kwa virutubisho zaidi. Kwa kawaida mchanganyiko huo unakuwa na harufu kali sana maana Nitrojeni nyingi inayopatikana hugeuka kuwa Amonia. Ni vizuri kufunika pipa ili kuzuia kuyeyuka kwa nitrojeni. Harufu ikishaisha, ujue mbolea yako ipo tayari kwa matumizi. Ongeza maji na utingishe vizuri kabla ya kutumia. Nyunyizia mimea yako kila wiki mpaka utakapoona mabadiliko

Vigezo vya kunyunyiza mbolea ya maji Ili upate matokeo mazuri wakati wa kunyunyiza mbolea ya maji unatakiwa kufuata vigezo vifuatavyo: • Inashauriwa kutumia mbolea iliyochanganywa vizuri ili kuepukana na kuunguza mimea. • Acha maji utakayotumia kuchanganyia mbolea yako nje katika pipa lililowazi usiku kucha, hii inasaidia kutoa madini hatarishi, na kufanya mchanganyiko wenye faida kwa mimea. • Unatakiwa kutingisha vizuri mbolea yako ya maji kabla ya kunyunyiza. Chembechembe ndogo ambazo hazikuyeyuka zinaweza kuziba mdomo wa bomba la kunyunyizia. • Matokeo mazuri yanaweza kupatikana endapo mbolea imechanganywa vizuri na kunyunyiziwa wakati hakuna upepo. • Unatakiwa kunyunyizia mbolea wakati wa asubuhi au jioni wakati hakuna joto na upepo ukiwa umepungua.

Jinsi ya kutengeneza mbolea ya maji kwa kutumia mimea peke yake (Majani fresh) Mbolea hii hutengezwa kwa kuchukua majani mabichi na kuyakatakata na kisha kuyachanganya na maji kidogo. Baada ya kuchanganya na maji unaacha kwa siku tatu au nne ambapo utatikisa mchanganyiko wako kila siku. Baadae utatikisa na kuchanganya na maji na kunyunyiza shambani. Vilevile unaweza kutumia mbolea ya majani ambayo itakuwa kama dawa ya kuulia wadudu, kwa kutumia aina ya mimea kama vile mivule, mibangi mwitu, majani ya minyanya, mwarobaini, mashona nguo, pamoja na vitunguu saumu. 8.

Jan, 2018

Angalizo Kabla ya kunyunyiza dawa au mbolea uliyoitengeneza mwenyewe shambani nyunyiza kwenye eneo dogo au mimea michache kwanza ili uone kama inaunguza au haiunguzi. Kumbuka kuwa mchanganyiko mwingine ukiwa cream au ukikolea sana unaweza kuchoma. Kwa hiyo kuepuka hili nyunyiza mahali padogo kwanza. Imeandkiwa na; Melkisedeck Leon Shine









WELLNESS TIPS

ARE YOU REALLY HUNGRY?

by: Jennifer Ayoti - Wellness Coach, Nutritionist

This topic has been the most interesting in my practise so far. Its even more interesting when we set health goals based on keeping fit or losing excess weight, yet we cannot tell when we are really hungry; we end up consuming more calories than we need which equals to weight gain. A simple guideline that we encourage people to follow is to eat only when you are hungry which can be every four to five hours. Food takes approximately 24-72 hours to move through your gut. The exact time depends on what you’ve eaten; simple carbs (cakes, bread, biscuits) take the shortest time to digest as they contain sugar and no fiber, leaving you feeling so hungry in no time. Fruits, vegetables that are rich in fiber take less than a day and they are so good for your gut. Protein/ fats (e.g. meat) take up to 2 days to digest as they have complex molecules that require more time to break them down. Other factors include age, gender, metabolism and your health status. If you feel hungry in less than 3 hours after eating a meal, you might not be truly hungry. Signs of hunger include feeling weak, irritable and the most obvious one is when the stomach rumbles or feels empty. Always remember that true hunger comes on gradually, not suddenly. Here are some hunger triggers that are commonly mistaken for real hunger. 1. Thirst Did you know that the part of your brain that is responsible for interpreting hunger signal is also responsible for interpreting thirst signal as well? What does this mean...? This means that it is very possible to get mixed signals. Thirst can be mistaken for hunger. This happens to many of us a lot. Signs that signal dehydration are: dizziness, headache, dark yellow urine, dry skin, constipation etc. The easiest and most effective way of staying hydrated is to drink a glass or two of water before each meal. I tell my patients to drink water until their urine is clear. This simply means, drink water at regular intervals throughout the day, even when you think you don't feel thirsty. When you drink water before your meals and you feel satisfied, then that proves you were just thirsty, not hungry. If your stomach is still grumbling after taking the water, then the hunger could be real or you could be experiencing emotional hunger.

16.

Jan, 2018

2. Emotional Hunger Most of us eat to satisfy our emotions. Remember this advertisement.” when thirsty drink soda X. Why is it so memorable? Because the food industry has learnt over the years how to capture and market to our emotions. We prefer to eat food when we feel down, unhappy or idle as opposed to filing up our emotions with activities like a walk, reading, connecting with friends etc. When we get caught up in this unhealthy cycle where eating becomes our primary emotional coping mechanism our wellbeing is at risk because the real feeling or problem is never addressed. We need to learn to identify when we are satisfying emotional hunger as opposed to real hunger. If you are bored, read a good book or call your best friend for a chat, if you are anxious or feeling low, go for a run; it has been proven that exercise is the number one unutilized anti-depressant in the world. 3. Low blood sugar Low blood sugar (glucose) is so common today and mostly mistaken for hunger. Sadly, many people don’t understand the importance of having and keeping balanced blood sugar levels every day. The sugar levels in your blood stream determines your energy levels, mental clarity etc. When you have low blood sugar levels, you crave for carbs (sugar) as opposed to good fats and or protein. Sugar is addictive, infact there is a study that shows sugar is 7 times more addictive than cocaine. When you eat too much of refined sugars, you crave for it more. It is quickly processed in your body and within minutes you are super hungry. The sugar hunger resulting from low blood sugar decreases after abstaining from eating for about 15-20 minutes. It is important to balance your blood sugar by eating a balanced diet from whole nutrient dense foods. Other triggers that are mistaken for hunger include; lack of enough nutrients in the diet, addictions, seeing or smelling food etc… The most important approach to dealing with hunger is cultivating awareness. Learn to know when you are truly hungry and nourish your body with nutrient dense foods. Just think of how good you feel when you eat well, when you look good, when you feel good. Remember junk will increase your cravings for the wrong food, you will feel sluggish, you will have less energy. Before you serve yourself always learn to ask “I’m I really hungry and do I want that food to become part of me? Here is to your wellbeing


DISTRIBUTION

CHANNELS

Arusha CBD Jeds Agro Chemicals Shop +255 745 202 704/+255 759 533 366 Petwana Enterprises Ltd Poultry Feeds +255 764 954 527/+255 752 330 636 Siang’a Intertrade Ltd +255 786 99381 Matuyani Agrochemicals Ltd +255 787 015 903/+255 755 015 903 Impala Agrovet +255 754 314 499/+255 754 371 955 Anold Agribusiness Blandina Agrovet +255 754 761 939 Tadei Agrovet – Duka Kubwa Poultry Centre +255 763 009 009 Ocean Agrovet +255 754 360 687 Tan Farm Vet Care Shop +255 765 676 057 QB Agrovet +255 755 022 572 Usariver – Meru District Usa River Animal Care Shop - Leganga +255 784 319 992 TABE Enterprises Ltd +255 717 931 681

Usa River Agro Input Service +255 757 132 024 Judity Agrovet +255 758 617006 Oloo Agrovet Shop +255 754 401 199 Dar es salaam Kariakoo Market Ametec +255 659 482 530 Telic George Shop +255 719 811 843 Edna Agrovets +255 764 850 255 Ifakara – Kilombero District Ibuta Agribusiness +255 788 430 841 Salum Bohari Investment +255 718 431 567 Mono General Enterprises +255 713 316 079 Mwinyimvua Agrovet +255 717 648827 Mpango Mpangile Agrovet +255 786 377 420 Kapilima Agrovet +255 714 470 381 Sunking Shop Toll Free No: 0800 751 023 Doto Agrovet +255 783 081 110 Mwasaki Investment +255 719 330 246 Divine Supplies +255 786 309 344 Sengo Agrovet

JARIDA BORA LA KILIMO AFRIKA MASHARIKI Tembelea UKURASA wetu wa Facebook

@LiMAonlinebiz www.issuu.com/limaonline

ADVERTISE SUBSCRIBE TO EARN

DISCOUNTS

WITH US TUNAZIDI KUENEA AFRIKA MASHARIKI, TANGAZA NASI Tupigie: +255 764 515 222 au + 254 787 448 452 Barua pepe: limamagazinetz@gmail.com limamagazine@kiliativegroup.com


Mlimba Wailenge Agrovet +255 788 564541 Gairo Agrovet +255 784 486 596 Shindika Agrovet - Main +255 787 359 012 Shindika Agrovet – Annex +255 766 580 594 Khaji Agrovet Itete – Malinyi District Mkokeli Agrovet +255 712 967680 Makambako Townhip Makambako Agrochemicals +255 757 296 116 Makambako Agrochemicals – Annex +255 757 296 116 Rehema Agrovet : Dawa na Vyakula vya Mifugo +255 757 018076 Mhagama Enterprises +255 762 895 709 Abba Station Mbilinyi +255 755 804 888 JT Mangi Agro +255 755 634693 Lubuye Agrobusiness +255 759 432 249 Meru Seed Company +255 752 688 051 Ngoma Agro +255 754 064 797 Siasa Agrochemicals +255 754 775 841 Baluka Agrochemicals +255 762 592 031

Machum Agrochem +255 713 786 990 Dastan Agro Trading +255 767 110 790 Mbembat FarmChem +255 768 471 247 Magoma Agrobusiness +255 754 335 540 Iringa Township Wakulima Agrovet +255 756 207 920 Futuga Vet Centre Mahelasa Investments +255 755 469 490 Iwawa Agrovet +255 757 926 515 Kwa Frank Agrovet +255 762 834 860 Mbeya City – Mwanjelwa/ Mafiat Kahama Import & Export Commisioner +255 762 661177 Kalinga Agro Company Ltd +255 755 361403/ +255 759983350 Kalinga Agro Co Ltd – Annex +255 755 361403/ +255 759983350 Vivian Agrovet +255 742 713004 RAI Agrovet +255 754 889103 Mbilinyi Shop +255 754 365902 Mbilinyi Shop II +255 754 365902 Hangzou Agrochemicals Industries Ltd +255 754 380732

Subscribe to LiMA Magazine 3 months Client Details Client Name: Individual / Corporate: Postal Address: Physical Address:

6 months 12 months Payment Options 1) Cash deposit to Bank A/c Kiliative Solutions

Contact Person: Mobile: Email: Town:

2) Cheque deposit or Hand delivered to LiMA’s physical location 3) Cash payment / M-PESA Signature: _______________

Mail your subscription by email to: limamagazine@kiliativegroup.com

Date: ___________________


Mwanjelwa Agrovet +255 754 691001 Meru Seed Company – Kabwe +255 788 808545 Dynapharm Shop – Kabwe +255 758 791641 MAKI Enterprises +255 763 827940 Isimila Agrovet +255 768 036098 Kibo Seed Company Shop HAI Agrovet +255 784 398154 Tom Vet Shop +255 686 571900 Sura Agro International +255 754 299 413 Mama Francis Agrovet+255 754 443 849 Sura Agro Shop II +255 754 299 413 Mbeya City –Uyole Lake Zone Zunya Enterprises +255 767 276864 Suluti Agrovet +255 768 237522 Sufian Agrovet Kerry Agrovet +255 753 187 140 Lusamba Enterprises +255 755 494 979 Mtewele Agrobusiness +255 767 637 125 Mwananchi Agrovet +255 755 050 050 Mamba Agrochemicals +255 754 806 660 Rombo Agrovet +255 754 045 312 Israel Mahenge Agrovet +255 757 307 999 Mama Sanga Agrovet +255 757 767 662 Mwandemba Agrovet +255 757 840 337 Anold Agro +255 767 805 743 Ndondole Agro +255 758 120 966 Mwalingo +255 753 494 232 Saja Simoteke Agro +255 758 380 380 Abdi (T) Ltd +255 756 865 453 Mbeya City - Mbalizi Centre MW Mbogoro Agro Chem +255 757 611 380 Mwailakale +255 754 234 915 Kalinga company Ltd – Mbalizi +255 755 361403/ +255 759983350 Kalingo Agro Company Ltd – HQ +255 755 361 403/ +255 759 983 350 Mboma Agro +255 764 731 333 Manyovu Agric Input +255 753 835 099 Mwamagabasi Agrovet +255 752 195 854 Kinemo Agro +255 622 118 021 Baraka Agrovet +255 759 718 041 AST Agrobusiness Ltd +255 767 060 011

Tunduma Town Centre Mama D Agrovet +255 765 941 425 W. J Shitindi Agro +255 767 793 386 Maria Agrovet +255 768 541 967 S Mwenga Agrovet +255 757 740 978 Mwalukomo Agro Dealers +255 755 000 843 Mwashoma Agrovet +255 752 085 583 Poli Kwa Poli +255 752 475805 +255 676 805475 Mwalukomo Agro Dealers Annex +255 755 000 843 +255 765 958 528 Gorofani Tunduma +255 753 094 177 Nairobi – Kenya Nikifarm Care EA Ltd – HaileSellasie Avenue +254 716 118 663 info@nikifarmcare.com Mifugo Agro Centre Ltd – Haile Sellasie Avenue Jumbo Agrovet Ltd – Haile Selasie Avenue +254 722 510 291 Wibiliv Trading Co Ltd Agrovet Kenya Uwezo Agrovet – Haile Sellasie Avenue +254 720 284 953 Anagro Chemicals – Mfangano Street +254 727 203 858 Eldoret - Kenya Lessos Vet Supplies Ltd –Tilil Hse +254 722 822 561/+254 703 500 674 Jogoo Agricultural Machineries – Savon Complex Baraton Veterinary Centre +254 722 250 363/+254 712 619 747 Mosop Farm Inputs- Kenyatta Street +254 729 713 600/+254 704 667 283 Tarakwa Agrovet Ltd+254 722 444 765 Thika Kilimo Agrovet Waki Agrovet Athi Agrovet Supplies +254712204061 Ruiru Wakiki Agrovet +254710665287 Ruiru Farmers Point +254713914700 Gikoe Agrovet Center +254712947506 Providence Agrovet Supplies +254724633014 Juana Agrovet +254720787160





Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.