March, 2017

Page 1

EDITION: March, 2017

Experience Limitless Possibilities

FREE COPY TANZANIA | KENYA | RWANDA

www.kiliativegroup.com

TFA NDIO WASAMBAZAJI WAKUU WA BONTERA. ZINAPATIKANA KATIKA MADUKA YOTE YA TFA NCHI NZIMA




Kutoka kwa Mhariri

THE MONTH COVER

Mpendwa

MSOMAJI Finally the rains have come and we couldn’t be happier. The year has began with so much food scarcity and drought but by the Grace of God, As the rain and the snow come down from heaven, and do not return to it without watering the earth and making it bud and flourish, so that it yields seed for the sower and bread for the eater, so is my word that goes out from my mouth: It will not return to me empty, but will accomplish what I desire and achieve the purpose for which I sent it. God is GOOD! This March revamp issue, we have discussed and looked into a few challenges faced by livestock keepers mainly donkeys and touched a little on poultry keeping. Kindly take the time to enlighten and familiarize yourself on those noted topics.

DISTRIBUTION CHANNELS Kibo Palace Hotel | Le patio | Kase Store | SIAN’GA INTERTRADE | MAMS | Meru Agro | Fifi’s Arusha | Africafe’ | Njiro Complex | Riverside Offices | Mchaki Agro & Pet care | Mohan’s Drinks Ltd | Kibo Seed | Roll Agrovet | TFA | Nakumatt Arusha | MOSHI | SINGIDA | BABATI | KILIAD SOLUTIONS - Nairobi | CAS - Monduli | MOROGORO | IRINGA Others: Agrovets, Restaurants, Hotels, Airports, Supermarkets, Airlines & Shops. NAIROBI: Utungi TV offices | Local Agrovets Nuclear Saccos | Mololine | Easy Coach

We would love to continue thanking all our beloved readers and customers at large for their continued love and support as we carry forward, tackling all matters to do with agriculture. Kindly follow our Facebook page for more news and updates. God Bless

Pauline Kimambo

To be appointed a distributor, or for a copy please call or email us.

+255 718 967 846

limamagazine@kiliativegroup.com

MAKALA

ZA KUELIMISHA

A R T I C L E S AVA I L A B L E T H I S M O N T H

Marketing Tips: 09 | Makala 04 | Raising Wakulima wa a healthy generation.

2.

March, 2017

PUBLISHER & PRINTER Kiliative Solutions (EA) Ltd P.O. Box 16027 Arusha, Tanzania Meru View Business Park, Kaloleni near New NSSF Building, Tel: +255 784 712 303 +255 754 226 116 E-mail: marketing@kiliativegroup.com Web: www.kiliativegroup.com

mradi wa VINESA washauriwa

12 | Makala 14 | Makala Je, unamtendea Soko la Punda vyema?

Serengeti

15 | Makala Mwongozo

kuzuia magonjwa na maambukizo kwa kuku



Raising a healthy generation; How well are we doing?

Tips

Marketing

by: Jennifer Ayoti

Wellness coach, Nutritionist

I had an amazing time this past Saturday with over 20 kids speaking on nutrition. Why did I decide to do the class? Well, I have two school-going daughters aged 10 and 7. I have been getting a lot of feedback regarding the juices and snacks I pack for them to take to school. The others kids love them which means they have to share whatever it is that I have packed. I decided to investigate what kind of snacks these particular kids take to school and to cut the story short, I decided to sell the idea of a nutrition class to all parents in my circle. The idea was warmly received. We are in an era where school-aged children are growing at a tremendous rate hence they need healthy, nutritious choices to keep up their energy and optimal growth. Many parents complain that meal times are fighting times. The kids just don’t want to eat vegetables or greens. One of the best ways to teach healthy nutrition to a school aged child is simply to get the child involved. Making the child feel they are part of the process and helping them make good choices can limit the natural fights or arguments that can spring up during mealtimes. Using a healthy food pyramid (lean protein, grains, dairy, vegetables, fruits, fats & oils and water), get children to help you select menus for the week, go shopping with them and let them assist in meal preparation. E.g kids can assist in cleaning the vegetables, cracking eggs etc. Apart from eating a healthy balance diet, Children also need physical activity every day. Activity and nutrition must go together in order to ensure your child’s nutritional health. If a child is heavier than they should be, as parents, we should never place a school-aged child on a diet. The best available option for parents is to change the child’s food and/or increase their physical activity. The extra weight can put a child at a greater risk of high blood pressure, diabetes, high cholesterol and other issues in the long-term including issues such as low self esteem and sleeping problems. The 2 main areas of concern with our children that I picked up during the class are fast food and sugar. The bitter reality is that many kids prefer junk food to fresh and healthy food as they are exposed to so many fast food joints.

4.

March, 2017

When I asked the kids what their favorite food was, 80% of the class proudly responded; burgers, pizzas and chips. Most of these foods have a lot of bad fat and salt that can harm the body. A good rule of thumb is that when eating out in restaurants, is to watch the portions- you can split one meal amongst two people. Incorporate salad/ greens to be part of the meal (many outlets now offer healthy options) and then have the kids take milk or water as their beverage. You may skip dessert or order fresh cut fruit slices sprinkled with nuts. It’s no secret that sugar is a drug. Sugar contributes to weight gain and is the number one cause of obesity in the society today. Here are some of the names used on labels that refer to sugar. Corn Sweetener, Corn Syrup, or corn syrup solids, Dehydrated Cane Juice, Dextrin, Dextrose, Fructose, Fruit Juice Concentrate, Glucose, High Fructose Corn Syrup, Lactose, Maltodextrin, Malt syrup, Maltose, Raw sugar, Rice Syrup, Saccharose, Sucrose, Syrup, Treacle, Turbinado Sugar, Xylose. They should all be avoided. Sugar is also extremely addictive- It brings about feelings of highs and lows in the body similar to what drugs do and the negative side effects are just as bad as drugs, if not worse. You will find sugar in juices, sodas, cereals, bread, pastas, rice and starches. These are the very foods we are serving our kids everyday. Many children react badly to consumption of sweet foods and drinks especially if eaten alone without other food. A typical reaction is hyperactivity. This does not mean to say your child suffers from a condition such as ADHD, but just that these foods need to be restricted. Sweets are best eaten in small quantities as treats after main meals. Remember fruits are healthy sweets and are a better option for your kids.



Marketing continues...

Tips

Once the child stops taking too much sugar, the addiction disappears; if a child is on sugar, they will always crave it. Kids who are overweight or obese drop the weight as soon as they stop taking artiďŹ cial sugar. As parents and as a society, we need to re-think our approach to feeding our children. Let’s go back to raw foods as opposed to processed foods- what our grandparents fed us.

6.

March, 2017

We never ate from cans or boxes. We picked food from the shamba. Let us involve our kids more when it comes to choosing healthy meals. Let us eat on the table as a family as opposed to eating in front of the TV. Let us get rid of artiďŹ cial sugar and read labels always. When we do this, we shall help raise a healthy generation. Here is to a healthy generation! Licial wellness We help individuals and organizations to choose a healthy lifestyle so as to stop the release of death hormones




Makala

Wakulima wa Mradi wa VINESA washauriwa kutumia Ujana wao kama Hazina ya Mafanikio

Mradi unaofadhiliwa na ACIAR ujulikanao kama “Kuboresha Kipato na Lishe Mashariki na Kusini mwa Afrika Kupitia Kilimo cha Mboga na Mifumo ya Chakula Pembezoni Mwa Miji (VINESA)” unawafundisha wakulima vijana kilimo bora cha mboga, uboreshaji wa uzalishaji na mnyororo wa thamani ili kuongeza kipato).

Alipoulizwa kwa nini analima mboga za aina mbali mbali na wakati huo huo yeye pia ni muuzaji wa mboga Moses alikuwa na haya ya kusema “ukilima mazao ya aina mbali mbali inasaidia kupunguza athari za majanga tofauti – kama zao moja likiangamia au bei kwenda chini, nina zao la kunikinga”.

Tangu mwaka 2013, mradi wa VINESA umewawezesha zaidi ya wakulima wa mboga 400 kando kando ya miji katika nchi za Ethiopia, Malawi. Msumbiji na Tanzania kwa kuwawezesha kupata ujuzi wa kuzalisha zaidi, mboga zilizo salama na ambazo wanaweza kuziuza kwa bei ya juu.)

“Vile vile kuuza mboga kunaniwezesha kupata taarifa sahihi za nini wateja wanahitaji”. Namna hii mkulima anapata fedha zaidi ukilinganisha na mkulima mboga za aina moja tu.

Ili kuboresha mafunzo waliyopata katika shamba darasa la mradi wa VINESA katika shamba la Madiira, Arusha, Tanzania, kikundi cha mwisho katika mafunzo ya mradi chenye wakulima 25 walipelekwa katika ziara ya mafunzo ya siku tatu katika wilaya ya Lushoto, wilaya ambayo ni kitovu cha uzalishaji salama wa mboga kwa ajili ya masoko ya mji wa Dar Es-Salaam). Ziara hiyo ya mafunzo ilifanyika tarehe 1 – 3 Februari 2017, ilikuwa ni fursa maalum kwa wakulima wa mradi wa VINESA kujifunza kutoka kwa wakulima wenzao wa Lushoto katika maeneo mbali mbali namna ya: 1. Viongozi wa vikundi wanavyotafuta masoko yenye ubora maeneo ya mijini kwa ajili ya wanavikundi wenzao; 2. Namna ya kuendesha vikundi vya wakulima, namna ya kutatua migogoro na kuboresha mshikamano wa kikundi; na 3. Namna ya kugawana shea wanazopata, namna ya kuwatambua washirika watakao shirikiana nao na namna ya kuboresha mahusiano ili kuendeleza mshikamano katika biashara. Wakulima wa mradi wa VINESA walimtembelea Bw. Moses Mbecha, mkulima mashuhuri wa mboga wilayani Lushoto anayelima na kuuza katika masoko ya Dar Es Salaam mboga zenye thamani ya juu kama brokoli, koliflawa, parsley, lettusi, zukini, vitunguu nyeupe na nyekundu leeki, na bitiruuti.

Mkulima mwingine aliyetembelewa anaitwa Bw. Penzel Paulo, mkulima wa mboga mwenye juhudi katika eneo la bondeni wilayani Lushoto. Penzel alizawadiwa greenhouse na mradi uliokuwa unafadhiliwa na USAID uliomwezesha kulima mazao ya mboga kama nyanya na pilipili hoho za rangi mwaka mzima. Penzel aliwatahadharisha wakulima wa mradi wa VINESA kwamba “kazi kubwa ya kuchoma udongo, kukuza mimea kwenye matrei na kuangamiza wadudu na magonjwa juhudi hizi zote zinaweza kuwa hazina tija kama mkulima hana maji ya kumwagiliaji mboga zao kila siku”. Ukosefu wa vyanzo vyenye uhakika wa maji safi na salama ya umwagiliaji kumesababisha greenhouse nyingi kutotumika kwa miaka mingi. March, 2017

9.


Penzel Wakulima wa VINESA pia walitembelea kikundi cha Usambara LISHE TRUST, kikundi kilichosajiliwa ambacho kilianzishwa mwaka 1996 kikiwa na wakulima 16. Leo hii kikundi hiki kina wanachama 200 na kina kituo cha kupokea na kuchambua mboga za aina mbali mbali zaidi ya 60 zinazopokelewa mara mbili kwa wiki, kuwekwa kwenye madaraja mbali mbali, kupimwa uzito, kuwekwa katika kumbukumbu na kufungashwa tayari kupelekwa katika masoko ya daraja ya juu ya Dar Es Salaam, zaidi ya kilomita 400 kutoka Lushoto. Muungano huu wa vikundi sasa umeshanunua gari maalumu lenye vipoozeo vya kuhifadhi mboga ili zifike kwenye masoko mbali mbali zikiwa katika hali nzuri.

Eneo la kupokea mboga, kuchambua na kupanga katika madaraja Lushoto

10.

March, 2017

Siku ya tatu ya ziara ya wakulima wa VINESA pamoja na mambo mengine ilitumika kama siku ya mahafali yao ambapo walitunukiwa vyeti vya kumaliza mafunzo yao na Bi. Mary Rimoy, mtaalamu wa mboga na matunda wilaya ya Lushoto mstaafu. Bi. Rimoy aliwapa changamoto wakulima wa VINESA kuwa wakifanya kazi pamoja umri wao wa ujana “ni hazina kubwa” ambayo ikitumika vizuri inaweza kuvuna bei nzuri inayotolewa na supermarkets, hoteli za kitalii na masoko ya daraja la juu katika grosari za kijani kwa kuzisambazia mboga zinazohitajika na ambazo ni za ubora wa hali ya juu mfululizo. Ziara hii ya mafunzo imehitimisha mafunzo ya wakulima vijana 120 wa Tanzania)



Makala

Je, unamtendea Punda vema?

P.O. Box 1743 Arusha Tanzania | +255736 500 678, info@aspa.co.tz

Punda amekuwa akitumika miaka mingi sana hata kabla ya yesu na Mtume Mohamed kuzaliwa. Mnyama huyu ni mvumilivu wa magonjwa na dhoruba mbalimbali ambazo anazipata. Mnyama huyu akitunzwa vizuri huweza kuishi hata miaka 40. Pamoja na faida kubwa ambazo watu hujipatia kutokana na punda kuna baadhi ya mambo mabaya ambayo watu huwatendea punda aidha kwa kujua au kwa kutokujua. Uislamu na ukristo unatilia nguvu sana haki za wanyama na wajibu wa mwanadamu kwa wanyama hao. Mfano mzuri kutoka teuzi ya mafunzo ya Kiislamu juu ya utunzani wa wanyama; imepokewa kutoka kwa jabir kwamba Mtume (S.A.W) amekataza kupiga uso na kutia alama usoni (Kwa chuma cha moto). Imepokewa kutoka kwake kwamba Mtume (S.A.W) alipita akamuona punda aliyetiwa alama usoni (kwa chuma cha moto) akasema, “Mungu amlaani Yule aliyemtia alama”(imeelezwa na Muslim). Biblia Hesabu 22:27-32 Punda alipomwona Malaika wa Bwana, alilala chini Balaamu angali amempanda, nae Balaamu akakasirika na kumpiga kwa fimbo yake. Kisha Bwana akakifunua kinywa cha punda, akamwambia Balaamu, “Nimekutendendea nini kinachokufanya unipige mara hizi tatu? Je, mimi si punda wako mwenyewe, ambaye umenipanda siku zote, hadi leo? Je, nimekuwa na tabia ya kufanya hivi kwako?” Akajibu, “Hapana” Kisha Bwana akafungua macho ya Balaamu, nae akamwona Malaika wa Bwana amesimama barabarani akiwa ameufuta upanga wake. Balaamu akainama akasujudu. Malaika wa Bwana akamwuliza Balaamu, “Kwa nini umempiga punda wako mara tatu hizi? Nimekuja kukuzuia kwa sababu njia yako imepotoka mbele yangu. Punda aliniona na kunikwepa mara hizi tatu. Kama punda hangenikwepa, hakika ningekuwa nimeshakuua sasa, lakini ningemwacha punda hai” Hii inatuonesha kuwa kuna matendo ambayo hayasitahili kumfanyia punda.

12.

March, 2017

Mojawapo ya mambo hayo ni kukimbizwa wakati anafanya kazi; mfano punda anapokuwa amebeba mizigo mgongoni , kukokota mikokoteni ukiwa na mzigo, kulima, n.k Unapomkimbiza punda wakati anafanya kazi unaweza kuanguka chini au punda kuanguka au kugongwa na chombo cha usafiri na mwisho kupata majeraha au kusababisha kifo. Kwa kumkimbiza ukiwa barabarani ni hatari kwako na kwa maisha yake pia kwani anaweza kukatisha barabara na kuleteleza ajali ya gari, pikipiki na hata baiskeli. Ajari hizi zinaweza kukuletea majeraha, ulemavu wa kudumu au kifo. Punda pia hasitahili Kufanya kazi akiwa na mimba kubwa. Kama alivyo binadamu Unapomfanyisha kazi punda akiwa na mimba kubwa unaweza kumsababishia madhara kama kutoka kwa mimba au kifo chake na mtoto aliyeko tumboni. Pamoja na hilo punda pia hatakiwi Kuchapwa fimbo kama njia elekezi. Punda wengi ukiwaangalia wana majeraha na makovu meni kutokana na Kuchapwa fimbo. Kwa kumchapa viboko punda humsababisha pia punda wako kuwa mkorofi na sugu. Kipigo pia kwa punda husababisha ulemavu na hata kifo na humpunguzia maisha. Usimfanyishe punda wako kazi akiwa ni mgonjwa. Punda anapofanya kazi akiwa mgonjwa anaweza kufa au kushindwa kufanya kazi kabisa au kua mkorofi. Mfano unakuta punda na vidonda vingi mgongoni bado mtu anaweka mzigo palepale kwenye kidonda. Ni tendo amablo sio la kiungwa na wala la kiubinadamu. Jitahidi kutombebesha punda wako mzigo kupita kiasi. Hali hii inaweza kusababisha vidonda au jeraha katika uti wa mgongo au kupelekea ulemavu wa mgongo na hata kifo. Jitahidi kuwa mwema kwa punda kama yeye alivyo mwema kwako. Ili kuweza kufanikisha wema wako epukana na imani kama hizi; Kama punda akiuugua atakufa tuu hata kama utamtibu, kama utambeba punda kwenye gari atacheka mpaka kufa, Punda atakufa kama hafanywishi kazi nyingi kutwa nzima, Punda anakula usiku tuu, Punda nakuwa mzembe kama hazidishiwi kazi, ukimchanganya punda na majike ya ng’ombe basi ng’ombe hawazai, Kila punda mgeni lazima apate majeraha kabla hajazoea kazi. Hizi ni imani zilizokwisha pitwa na wakati.



Makala

Soko la Matunda la Serengeti Jijini Arusha na Pauline Kimambo Arusha ni mkoa unaofahamika kwa mandhari nzuri ya kijani pamoja na vivutio vikubwa vya watalii Afrika Mashariki, ikiwemo mbuga za wanyama na mlima Meru. Mbali na shughuli za ki-diplomasia pamoja na utalii, shughuli nyingineyo kubwa ni kilimo. Kama inavyofahamika kilimo ndio shughuli kuu inayoinua pato la Taifa. Wakulima wengi huendesha maisha yao ya kila siku kwa kutegemea kilimo kukidhi mahitaji yao binafsi pamoja na familia zao.

Wengi hupendelea soko hili pindi wanapoelekea manyumbani baada ya kazi hasa ukizingatia soko hili liko kando kabisa na barabara. Soko hili maarufu ambalo limekuwepo kwa zaidi ya miaka 30 sasa,waanzilishi wake wakubwa walikuwa ni wauzaji wa ndizi mbivu pekee na baadae wauzaji wengine kujumuika na kuuza matunda tofauti na bidhaa mbali mbali kama vile vikapu. Kinacho tofautisha soko hili na masoko mengine jijini Arusha ni aina moja ya bidhaa ambayo ni matunda na mboga mboga pekee.

Sio jambo geni miongoni mwa wenyeji na hata wageni kukutana na wauzaji wa mboga mboga na matunda maeneo mbali mbali ya jiji, maarufu kwa jina la “MAMA YEYOO” yani kwa Kiswahili mama wa kimaasai

Changamoto kubwa inayowakabili ni; Kwa muda mrefu halmashauri ya jiji imekuwa ikiwasumbua wauzaji wa eneo hilo kuhama hapo kwa kisingizio kuwa ni kando kabisa na barabara na kwa ajili ya uzingatiaji wa usafi wa jiji na mazingira. Ingawa kiukweli kabisa hali ya mazingira na usafi ni yakuvutia sokoni hapo kuliko hata unapolinganisha na masoko mengine jijini.

Wengine wao wamejikita katika masoko na magenge madogo madogo katika maeneo mbali mbali ya jiji. Masoko makubwa makuu yanayotambulika zaidi ni;-(a) Soko kuu - Lipo katikati ya jiji na (b) Soko la Kilombero ambayo mazao kutoka mikoa ya karibu na mbali nchini husafirishwa hapo. (c) Solo la Samunge au kwa jina jingine soko la NMC. Masoko mengine ni yale ambayo yako karibu na maeneo ya watu kuishi ili kurahisisha upatikanaji wa chakula kwa wenyeji wa eneo husika. Baadhi ya masoko ni rasmi kwa kusajiliwa na Halimashauri ya jiji na mengine kutokuwa rasmi kwa sababu ya kutopewa kibali na Manispa. Vivyo ndivyo ilivyo kwa soko maarufu la matunda liitwalo “Serengeti fruit market”, maeneo ya Uzunguni mkabala na round about ya Kijenge au kwa jina lingine “Impala hotel roundabout”. Ukibahati kupita maeneo hayo na kukuta magari yaliyopaki hapo unaweza kujua ni soko la watu wa daraja flani kwenye jamii au raia wa kigeni kulingana na vibao vya magari.

14.

March, 2017

Wauzaji wamezingatia sana usafi wa eneo hilo ambapo kwa sasa ndicho kivutio kikuu kwa wateja. Wengi wao pia wamejitahidi kuuza matunda yenye ubora na ya kuvutia ambayo yote yanalimwa na kununuliwa ndani ya nchi pekee na sio kusafirishwa kutoka nchi za kigeni kama wengi wanavyodhani. Wito mkubwa kwa serekali na halimashauri ya jiji kutoka kwa wauzaji wa soko hili ni; 1. Soko hili lipate kusajiliwa na kutambulika kama yanavyotambulika masoko mengine jijini Arusha kwa kuwapa kibali cha kuendesha biashara yao hapo. 2. Wauzaji wa hapo wapate kuwezeshwa kupata eneo kubwa mahali hapo na sio kuhamishwa kwenda eneo lingine zaidi. 3. Wananchi wapate kuwaungisha wauzaji hao kwa wingi na kuondokana na imani potofu kuwa bidhaa za hapo ni ghali kuliko masoko mengini na zaidi kuboresha soko la matunda na mboga mboga nchini.


Makala

Mwongozo

namna unaweza kuzuia magonjwa na maambukizo kwa kuku na Pauline Kimambo

Ni muhimu kufahamu ya kuwa, Pindi unapoamua kufuga kuku ni vyema kutambua mazingira sahihi na salama ili uepuke hasara zinazoweza kusababishwa na magonjwa ya kuku na mlipuko. Kitaalam mfugaji anapaswa kujua mahitaji ya upashaji habari juu ya ufugaji kuku,matukio ya mlipuko na hata madawa mapya sokoni ya kuzuia na kutibu magonjwa yanayokita jamii ya kuku.

MBINU ZA KUZUIA MAGONJWA

AINA YA MAGONYWA YANAYOKITA JAMII YA KUKU

• Ondoa mbolea mara kwa mara ikiwa ndani ya mifuko na tupa mbali na eneo la mabanda.

• Coryza (Mafua)

• Zuia watu wasiohusika,kuku na ndege kuingia au kukaribia mabanda yao.

• Fowl Typhoid(Kideri) • Gumburo • Mycoplasmosis(Chronic respiratory disease) • New Castle Disease (Mdondo)

Ili kuweza kudhibiti magonjwa ya kuku uangalifu mkubwa huhitajika katika kuchagua dawa gani itumike,namna gani itumike,wapi itumike,kiasi gani itumike na kwa wakati gani? MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA • Hakikisha banda lako liko katika mazingira safi yasiyofurika au kutuama maji.

• Mapanda yapumzishwe wiki mbili kabla ya kuweka kuku wapya. • Kabla ya kuweka kuku wapya, safisha mabanda kwa kutumia dawa aina ya VIRUTEC na tumia dawa hiyo hiyo kuwekwa mlangoni mwa banda na kubadilishwa kila wiki.

• Paratyphoid • Colibacillosis • Avia Leukosis March, 2017

15.





Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.