Issue 003

Page 1

M o n t h l y

P u b l i c a t i o n

vel, Hotels Airport, Tra ere to Buy, What & Wh out, ent & Hang Entertainm Car r, u anks to Directory, B te ta s e ns, Real hire, Saloo

Scan the code with your mobile device to read our magazine online!

To u r i s m & A d v e r t i s i n g SEPT - OCT, 2018

Free Copy

|

ISSN - 2919-872X, ISSUE #003




SEPT - OCT 2018

AIR TANZANIA WITH NEW DEVELOPMENTS

A

viation industry continues to face dynamics on domestic and international level, in complementing the upswing in passenger numbers worldwide. Looking back before October 2016, Air Tanzania was in a negative face in the aviation arena, struggling to put together different melodies in order to get a chorus line for survival. Air Tanzania is appreciating for the support and cooperation offered during all previous bad times they went through. Also pleased to be of your service and currently the company is taking very seriously the fact that do not want to become the airline of choice that meet the customer expectations, and the airline which provides a reliable, safe and sustainable high-quality airline services globally. Proudly ATCL thank the government of Tanzania who made a strong and firm decision of revamping Air Tanzania by purchasing the new aircrafts for operations. ATCL is recognizing the effort made by both stakeholders and the government in justifying the importance of a strong reliable and competitive national carrier. Air Tanzania is undergoing a revamping process whereby together with the purchase of new planes, the government appointed a new

4

management and board of directors. Our current fleet is standing at five aircrafts, the operations increased from three to fourteen destinations, the eleven domestic are Dar es Salaam, Zanzibar, Kilimanjaro, Mwanza, Bukoba, Kigoma, Tabora, Dodoma, Mbeya, Songea, Mtwara, and three regional destinations are Hahaya (Comoro), Entebbe (Uganda) and Bujumbura(Burundi). We have an improvement on “OTP”, market share, uplifts etc. All these achievements are moving hand by hand with the upgrading of the systems and working tools, also recruitment of the qualified staff. Air Tanzania entered into agreement with HANN AIR where ATCL will be visible into the GDS globally. We have gone through the IOSA auditing, before commencement of the intercontinental routes. We are in the discussion with IATA on reviving our membership (ICH and BSP), hopefully before the end of 2018 you will be notified on the status . ATCL is expecting to expand the network in the remaining 2018 quarter after the completion of the mandatory requirements and acquiring two aircrafts. In previous two months we received a Boeing 787-8 Dreamliner with the capacity of 262 seats (22-Business class and 240-economy class) which commenced the domestic

flights pending to the intercontinental flights between Dar es Salaam and Mumbai (China), Guangzhou (China) and Bangkok (Thailand). The fleet will increase from 4 planes to 8 in five years of strategic plan (SP-2017/2022) including Bombardier Dash8Q400(3), Airbus220-300(2) and Boeing787-8 Dreamliner (2). Two Airbus220-300(previously known as Bombardier CS300) both with the capacity of 132 seats each will join the fleet immediately in November 2018 and B787-800Dreamliner in Oct 2019. India will be our first intercontinental destination of which we will commence landing at Mumbai three times a week that’s Wednesday, Friday and Sunday and will be operated by our new planes equipped with WIFI and a various entertainment. We are targeting, tourists, business community, people in need of medical activities and visiting friends and relatives. Keep in mind that, both countries are full of potentials in resources and professionals. Let’s believe in ourselves and work together for the benefits of Tanzania. Welcome Aboard Air Tanzania, The Wings of Kilimanjaro.

By Josephat Kagirwa (Air Tanzania) info@mawm.co.tz



WELCOME

SEPT - OCT 2018

www.mawm.co.tz

NOTE

A

From the CEO

wali ya yote, ningependa kuchukua fursa hii kuwashukuru na kuwapongeza wahisani na wadau mbalimbali katika kufanikisha gazeti letu la Mbeya advertise with macrine.

Hili ni toleo namba tatu (issue 003), ikiwa ni muendelezo wa mfululizo wa nakala zetu tunazotoa kila mwezi.

Macrine J. Ntabagi Chief Executive Officer

macrine@mawm.co.tz

Ungana nasi kila toleo kuvumbua uzuri na upekee wa Vivutio vya kitalii vya Tanzania Tukianza na Nyanda za juu kusini mwa Tanzania. Unapo soma Mbeya advertise with macrine unasafiri kifikra, unatalii, na pia unakutana na soko katika namna ya pekee ukiwa ndani ya kurasa “Uzuri wa kusoma ni huu, unakupa fursa ya kusafiri katika namna hata huwezi kuidhania” “The beauty of reading is that it lets you travel in a way you could never know.” Alen Wek.

Nikiwa kama mwanamke shupavu, kiongozi na mjasiriamali, ni ndoto yangu kuhakikisha utalii ndani na nje ya nchi unatangazika vyema na kukua kwa kasi huku tukiibua tamaduni, historia, vivutio na makala mbalimbali za kuvutia bila kusahau fursa zipatikanazo katika maeneo hayo. Pia sijaacha kuwasahau wajasiriamali na wafanyabishara kupata fursa ya kutangaza biashara zao mbalimbali kupanua wigo wa biashara zao.

Mambo ni moto. Tegemea kupata mambo mazuri Zaidi na Zaidi kila toleo jipya. Hatupoi, tunadamshi kila toleo jipya.

Asanteni! na

ISSUE 003

FREE! TAKE IT PLEASE

6

info@mawm.co.tz


DIGITAL

inside? 4

Ukiwa unaendelea kufurahia toleo hili lililo chapishwa, hakikisha una scan QR Code kusoma jarida hili mtandaoni kupata habari nyingi zaidi. EDITORIAL Macrine Justine CREATIVE & LAYOUT OSE Creative Agency

SEPT - OCT 2018

GO What is 6 8 10 12 14 16 18 20 22

AIR TANZANIA WITH NEW DEVELOPMENTS CEO’s Note RESTAURANTS & HOTELS HIFADHI YA MLIMA ASILIA WA RUNGWE UZAO WA MAPACHA KATIKA JAMII YA KINYAKYUSA SERVICES SERVICES SERVICES SERVICES SERVICES & EVENTS

PHOTOGRAPHY Kelvin JM ADVERTISING

24

Macrine Justine

Advert space size Full page: 195 x 260mm potrait Half page: 170 x 117mm landscape Half page: 123 x 84mm potrait Half page: 85 x 228mm potrait info@mawm.co.tz

7


SEPT - OCT 2018

Restaurants & Hotels USUNGILO CITY HOTEL Is a newly constructed modern hotel fitted with the latest amenities of international standard offering accommodation facilities. Strategically located along side Mzumbe universities campus of mbeya. Giving you all the comfort and convenience of being centrally located with easy access to Mbeya main business centres. Bus Stand, Market, Regional Hospital, Taxi Stand, are all within walking distance. Food & drinks some are Pasta e.g (Penne Arrabiatta, spaghetti bolognise e.tc) Sato choma, Sato foil, Sato makaange, chicken makaange, chicken wings, chicken sotee, Indian food, different types of Pizza, also we have breakfast buffet and (dinner buffet for oder) Different types of beef also we have new model conference hall. Contact us: 0657 033 487 / 0753 465 264 Head chef, 0766510824 Manager TABASAMU RESTAURANT & FAST FOOD Breakfast Chai rangi, Chai maziwa Supu ng’ombe, Supu ya Kuku Maandazi, Chapati, Sambusa Bagia, Half keki, Egg chop Simbasi, Spanish Egg Lunch Wali nyama, Wali kuku Wali maharage, Wali maini Wali mboga mboga, Ugali nyama Choma, Ugali kuku choma Ugali Foil, Ugali mishikaki Ugali mboga mboga, Ndizi nyama Pilau, Chips mayai, Chips mishikaki Chips nyama choma, Chips kuku Choma, Beverage - All Soft Drinks & Water

8

location Opposite zonal referral hospital (Rufaa) Mbeya Contact: +255 65 381 1049 manager 501 SOUL FOOD Kwa huduma ya chakula bora na vinywaji.tukiwa tumebobea kwenye mapishi ya kuku na samaki. ukishushia na African cocktail’s. Tupo Lupa way uhindini Mbeya mjini opposite Bhojan pharmacy. Instagram 501soulfood. Mawasiliano 0754 664 777. 0789438649 na 0716059 344 PIA TUNA 501 Orchard / Ni shamba la matunda ambapo kila jumamosi ya mwisho wa mwezi tunaangusha bonge moja la nyama choma BBQ Mbuzi, kuku, ng’ombe sousage. nk. ikiwepo michezo ya watoto. Instagram 501soulfood. Mawasiliano 0754 664 777. 0789438649 na 0716059 344 T&C’s Burger Shack Red shack 100 meters before stoplight, Mbeya, Tanzania Contact: +255 625 055 181 THE RIDGE CAFE SERVICES Coffee: espresso, machiato, cortado, cappucino, cafe late, Africano, favoured latte’s, Assorted teas, Hot chocolate, French press|pour-over. Juice: mango and orange, pineapple and passionfruit, Tropical medley. Smoothies: sunrise surprise, protein booster, Island style, parachichi delight. Iced Frappe’s: mango groove, coconut cooler, iced mocha Frappé’ lime soda.Soft drink: soda and water.

food: chicken sandwich, vegetable salad, chicken samosa, Quiches, Cake: orange, carrot, chocolate, and cup cake, choc- chip. 0753359895, 0766742807 0684708175 Location - Uhindin near Airtel shop

NYATI VILLAGE IN

feel comfortable ......feel at home! Very comfortable bed and well appointed updated room. Quiet but centrally located in town. Garden sitting area right outside the room as well. Suite set-up with pull out couch and kitchenette/sitting area in separate room. Convenient parking- Karibu Nyati Village Inn

We are located in Tunduma Mwaka street, Sumbawanga road, near by Mnyonge Petrol Station. Call: 0743 222 220, 0745 111 113 Email: nyativillageinn@gmail.com

MILELA DISHES kwa chakula safi. Tupo uhindini mtaa wa Sisimba jirani na ofisi za PPF. 0754390278. MBEYA COFFEE SHOP Espresso & Americano Coffee Milkshake, Fresh Juice, Ice Cream Soft Drink & Bites. Located in Soweto Mbeya 0784 822 142, 0754 822 142

TO LIST YOUR

CLASSIFIED HERE

CONTACT US 0745 885 399, 0673 606 012 info@mawm.co.tz



SEPT - OCT 2018

Utalii

Rungwe

Hifadhi ya mazingira asilia mlima

Hifadhi ya msitu wa mlima Rungwe inayopatikana katika wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, ilianzishwa na serikali ya kikoloni mnamo mwaka 1949 kwa lengo la kuhifadhi vyanzo vya maji na baionuai (biodiversity). Ukubwa wake ni hekta 13,652.1, Hifadhi hii ipo umbali wa km 25 kusini mashariki mwa mji wa Mbeya na umbali wa km 7 kaskazini mwa mji wa Tukuyu. Baada ya kuona umuhimu mkubwa wa hifadhi ya mlima Rungwe, mchakato wa kuipandisha hadhi ulianzishwa mwaka 2008 na hatimaye mwaka 2009 hifadhi 10

ilipandishwa hadhi na kuwa hifadhi ya mazingira asilia ya mlima Rungwe katika hifadhi ya mazingira asilia hairuhusu matumizi mengine zaidi ya elimu, utafiti na utali. Hifadhi asilia ya mlima Rungwe inamilikiwa na serikali kuu chini ya wizara ya maliasili na utalii, usimamizi wake uko chini ya wakala wa huduma za misitu Tanzania (TFS). Wakala huu ulianzishwa mwaka 2010 kwa ajili ya kusimamia rasilimali za misitu na nyuki kwa tangazo la serikali na. 269 La

tarehe 30/07/2010 kwa Tanzania, kuna hifadhi 12 tu zenye hadhi ya mazingira asilia ambazo ni mlima Rungwe (Mbeya), Kilombero (Iringa & Morogoro), Uzungwa (Iringa & Morogoro), Uluguru (mMrogoro), Mkingu (Tanga), Rondo (Lindi), Amani (Tanga), Chome (Kilimanjaro), Nilo (Tanga), Minziro (Kagera) na Magamba (Tanga), hifadhi mazingira asilia mlima Hanang (Manyara). Shughuli ambazo mtalii anaweza kuzifanya katika hifadhi ya mlima Rungwe ni pamoja na kupanda mlima, kuangalia aina mbalimbali za wanyama akiwemo nyani adimu info@mawm.co.tz


SEPT - OCT 2018

ajulikanaye kama Rungwe Cebus Kipunji, kutembea ndani ya msitu na kujionea mandhari mbalimbali yakiwemo mashimo ya kreta, kupiga picha na kupiga kambi. Hali halisi ya hifadhi ya mlima Rungwe. Hifadhi asilia ya mlima Rungwe imeboreka kwa kiasi kikubwa ikilinganishwa na kipindi cha miaka 5 iliyopita. Matukio mengi ya uharibifu kwa kukata miti na kilimo yamepungua kwa kiasi kikubwa. Upekee wa hifadhi ya mazingira asilia mlima Rungwe • Hifadhi asilia ya mlima Rungwe ni ya kipekee kwa kuwa na uoto aina mbalimbali ikiwa ni pamoja na msitu wa mlimani (lower and upper montane forests), ukanda wa mianzi (bamboo belt), heathland, mchanganyiko wa miti mifupi na nyasi (woodland), na nyasi (grassland). • Ni sehemu ambayo sampuli ya nyani apatikanaye tanzania pekee (Rungwe Cebus Kipunji) ilichukuliwa na hivyo nyani kupewa jina la Rungwe kwa ukumbusho huo.

info@mawm.co.tz

• Volkano iliyotulia yenye mashimo ya kuvutia (volcanic craters) kreta hizo ni pamoja na lusiba lukafu, lusiba lwa misi na ng’ombe • Ni mlima wa tatu kwa urefu Tanzania ukiwa na urefu wa meta 2,981 baada ya Kilimanjaro 5595m) na meru (4,600m). • Makazi ya vinyonga adimu wenye pembe tatu (three horned chameleons) wapatikanao katika hifadhi hii pekee. Mikakati ya baadaye ili kuboresha hifadhi Hifadhi ya mazingira asilia mlima rungwe ina mikakati mbalimbali ili kuboresha uhifadhi wa msitu wa hifadhi mazingira asilia mlima Rungwe 1. Kuboresha miundombinu ya barabara na njia za utalii. 2. Kuingia makubaliano (joint management agreements) na jamii inayozunguka hifadhi ili wajue kwa kina faida za hifadhi hii na baadaye washiriki vizuri zaidi katika kuhifadhi mlima Rungwe. 3. Kupandisha hadhi kutoka hifadhi mazingira asilia na kuwa urithi wa dunia (world heritage).

11


SEPTEMBER 2018

Mila Zetu

UZAO WA MAPACHA KATIKA JAMII YA KINYAKYUSA anaweza kwenda kujifungulia, lakini popote watakapo chagua walikuwa wanaambatana na mama mzazi au mlezi wa mwanamke na mama mzazi / mlezi wa mwanaume (mama mkwe) katika uzazi (NKUPANJA UBHUFYELE), endapo walichagua ajifungulie kwa wazazi wa mwanamke ilikuwa ni lazima akaishi kwa wazazi wa mwanaume japo siku chache ikiwa kama kumpa heshima mumewe.

Katika jamii zetu nyingi za Afrika mtu au familia ipatapo mtoto huchukuliwa kuwa jambo la heri, Baraka na furaha sana katika familia hiyo, na kwa binti ama mama atakaye bahatika kuzaa mapacha huchukuliwa kuwa mtu mwenye bahati sana, kwa miaka ya nyuma ilikuwa tofauti kidogo endapo mtu ama familia fulani watabahatika kuzaa watoto mapacha jambo lilikuwa linageuka na kuwa laana/ balaa ama mkosi mkubwa sana kwa familia na jamii husika. Kwa mila na desturi za Kinyakyusa mama mjamzito akiwa anakaribia kujifungua (zikibaki siku chache ama miezi michache) mke na mume wake walikuwa wanafanya maamuzi ni wapi hasa mwanamke 12

Siku ya kujifungua alikuwa anachukuliwa mama mwenye uwezo na uzoefu wa kuzalisha (mkunga) (UNGANGA UGWA KUPAPISYA) kwa ajili ya kuhakikisha mama mjamzito anajifungua salama, Jamii kubwa haikuwa ikizalia ndani walikuwa wanazalia kwenye Mgomba uliojificha na wenye majani mengi ili kuzuia watu wasiweze kuona kinachoendelea, mama mjamzito akijifungua kondo la nyuma likitoka walikuwa wanachimba shimo na kulikalisha vizuri kondo hilo kwa imani yao mama mzazi azidi kuwa na uzao mzuri, na endapo wakalitupa ama wakati wa kufukia wakalilaza basi mama anakuwa hana uzao mzuri. Vivyo hivyo kitovu cha mtoto aliyezaliwa kikikatika walikuwa wana utaratibu maalum wa namna ya kukifukia kwa maana ya kwamba kilipo katika kunakuwa chini na kulikofungwa uzi kunakuwa juu walikuwa wakifanya hivyo ili mtoto wao mzazi aendelee vizuri, lakini pia waliamini endapo kitovu kikafukiwa

ndivyo sivyo mtoto atakua kwa shida sana. Mama mjamzito akijifungua mapacha (BHA MBASA), ambao waliitwa kulwa (MBASA) Doto (SINDIKA) jamii ilikuwa inaamini kwamba ni mkosi mkubwa sana hivyo alikuwa anatafutwa mtaalam au mganga wa kienyeji ili kuja kutakasa familia, ukoo na ikiwezekana na majirani wote ili isiweze kujirudia tena. Kama itatokea katika familia kuna wanafamilia hawapo wako nje ya kijiji, wilaya, mkoa ama nchi walikuwa wanatunziwa dawa za kienyeji mpaka watakapo rudi, hata kama watakaa miaka kadhaa. Dawa maalum za kienyeji zenye kutoa mikosi zilikuwa zinachemshwa kwenye chungu kikubwa (ISYALA), ambacho pia kili tumika kupikia makande wakati wa msiba, mganga wa kienyeji anachukua ufito wa majani ya mgomba mabichi na kuutwanga kisha kuwa na vikambakamba kama mswaki (IFUNGUBHO IMBISI) analoweka kwenye maji ya moto na kuanza kuwapiga wanafamilia, ukoo au majirani wanaume kwa wanawake na watoto kuanzia magotini mpaka kwenye unyayo huku akisema maneno ya kutoa mikosi, anafanya hivyo mpaka atakapo maliza watu wote, hivyo familia hiyo na majirani wote wanakuwa wametakaswa.

info@mawm.co.tz


NEW CITY

PUB &M BLOUNGE E YA

WE DON’T CLOSE TILL THE SUN BURNS OUT

Experience The Difference Of Good Music, Full Hospitality of Services, Drinks (Cocktails & Shots) New city lounge

WEDNESDAY

THURSDAY

FREE ENTRY

GENT 5K LADIES FREE

African Night

Ladies Paradise entry

BREAKFAST Mchemsho wa Samaki, Kuku, Ng’ombe, Kongoro , mbuzi, Filigisi, Figo, Maini, Ndizi, Sambusa, Andazi, Chai Chapati

W E E K LY

FRIDAY

BINGO NIGHT ENTRY 7K

S C H E D U L E

SATURDAY

SUNDAY

ENTRY 7K

ENTRY 6K WITH COUPON OF BEERS

INTERNATIONAL SATURDAY

CHAKULA Wali nyama Mbuzi, Samaki, Ng’ombe, mboga mboga, Ugali nyama Ng’ombe, Mbuzi. Samaki, mboga mboga. Chips Nyama Mbuzi, Ng’ombe, mayai ya kienyeji, mayai, Samaki.

KARAOKE DAY

NYAMA CHOMA Kuku choma, Samaki choma Samaki roast, Mbuzi choma NAMBA ZA JIKONI 0769 745 571, 0765 317 340


SEPT - OCT 2018

Services

DRY CLEANER

AK’S MODERN DRY CLEANERS Our services: Washing, drying & ironing. We are located in Jakaranda oil. Call: 0715 200 966

PHARMACY

GACINIA PHARMACY Your neighborhood pharmacist Our Branches. GACINIA PHARMACY Near bus terminal 0756519286 GACINIA PHARMACY Esso area near bhanj petrol station. Contact: 0756519286 AKASIA PHARMACY Near G. R hotel 0756529286 Huduma zetu Wauzaji wa dawa za binadamu na vifaa tiba Email.gaciniah@yahoo.com

EBENEZER LAUNDRY AND DRY CLEANERS Old Airport Road opposite Tanzania Institute of Accountancy (TIA) Mbeya. 0758 988 356

TUGHIMBE CONFERENCE CENTRE

Tupo Mafiati Mbeya au mataa huduma zetu ni kumbi za mikutano, Harusi, Matamasha, hotel, Bar na Restaurant. 0758 985099

DRY CLEANER

TWINKLE TIME LAUNDRY & DRY CLEANER Pickup and delivery service within Mbeya, Washing, drying & ironing, Express service. 0754 530217, 0713 530217 14

Tunatoa huduma za chakula na usafiri, Tunapokea watoto kuanzia miaka 2. Tunapatikana karibu na chuo kikuu Teku Mbeya, Kwa mawasiliano zaidi 0765222232 / 0754710464

SCHOOLS

St Francis Girls Secondary School

(Let Education Light Our Way) Welcome to st. Francis Girls secondary school where everyone is working together to encourage the students to believe in learn and grow, not only academically, but spirituallity as well P.O. Box 924, Mbeya Contact us 0768 616 395

MARANATHA HOSPITAL huduma ni 24/7 Ct scan, Dental. Madaktari bingwa 24/7, Phamarcy 24/7 Maabara ya kisasa. Located in Mwanjelwa Contact: 0753 703000 SOKOMATOLA PHAMARCY Tuna toa huduma zote Located in barabara ya pili karibu na kiwanja sokomatoraphamarcy@gmail. com Contact: 0784 429557

GOODHOPE-DAY CARE

MORNING STARS KINDERGARTEN & DAY CARE

Ni kituo cha kulelea na kujifunza kwa watoto wa awali. Ina mchepuo wa Kiingereza. Ina walezi na walimu waliobobea toka nchini mbali mbali. Karibu tukulelee na kuwapa msingi watoto wako kuanzia umri wa miaka miwili. Tupo Forest mpya mkabala FEED THE FUTURE/ Kanisa la KKKT usharika wa Meta. Kwa mawasiliano zaidi +255 759 765 153.

Nazarene Secondary School

Is among the best school in the city of Mbeya, has a reasonable perfomance in the region. P.O. Box 3449 Mbeya 0712 116 977, 0765 046 258

TO LIST YOUR

CLASSIFIED HERE

CONTACT US 0745 885 399, 0673 606 012

info@mawm.co.tz



SEPT - OCT 2018

Services

SASA UNAWEZA KUSOMA GAZETI HILI MTANDAONI NA KUJUA BIDHAA ZINGINE ZA MACRINE

www.mawm.co.tz WEKA TANGAZO

HAPA 16

Itangaze biashara yako nasi kwa gharama nafuu 0745 885 399, 0673 606 012

info@mbeyaadvertisewithmacrine.co.tz

info@mawm.co.tz



SEPT - OCT 2018

Services

CAKES

TANGAZO LA KAZI

Nafasi ya kazi kwa upande wa Sales & Marketing (mauzo na masoko ya matangazo ya gazeti). 0717 733 303

VECKY CAKES Tunapokea order za keki na kutengeneza keki, Tunauza vifaa vya keki na kukodisha standi za cake, Tunapatikana mabatini kituo kinachoenda stendi kuu mkabala na boda boda. O767940842. 0718940842 GRACIOUS Ni Planner mzuri sana. Kuanzia mwanzo mpaka mwisho. Kwa choice yako mwenyewe tunakufanyia tukio lako kuwa la kihistoria. Usiogope kwa sababu huna kamati. Tunakusimamia kila kitu kwa bei poa ya utendaji wetu lakini pia watendaji kazi wangu kwakunitumia mimi itakupunguzia gharama pia. Harusi, Sendoff, kparty, Engagement, Bridal and Baby shower. Tupo Mbeya nyuma ya Lux Lounge, Pembeni ya Penge Forest ya zamani 0767 218 014 | 0745 910 995

18

Weka oda yako tutakuletea ulipo, vile vile sabuni hii utaipata katika maduka ya jumla na rejareja. 0745 885 399, 0673 606 012

Making Chocolate Cake 1. Gather your ingredients Pound cake is one of the simplest cakes to bake. Here’s what you’ll need: • • • • • •

1 cup (225 g) of unsalted butter, softened 1 cup (225 g) of granulated sugar A pinch of salt 2 teaspoons (9.9 mL) of vanilla extract 5 eggs, room temperature 2 cups (240 g) of cake flour

2. Preheat the oven to 325 °F (163 °C) and grease and flour a cake pan. Pound cakes are best baked in deep pans, such as loaf pans or bundt pans. Use butter or shortening to

grease the pan. Then, sprinkle a light layer of flour into the pan, rotate the pan until it’s evenly coated, then tap out the excess flour.

3. Cream the butter and sugar.

Place the butter and sugar in a mixing bowl and beat them together until the mixture is light, fluffy and creamy. To continue...

info@mawm.co.tz


Gracious ni Planner mzuri sana. Kuanzia mwanzo mpaka mwisho. Kwa choice yako mwenyewe tunakufanyia tukio lako kuwa la kihistoria. Usiogope kwa sababu huna kamati. Tunakusimamia kila kitu kwa bei poa ya utendaji wetu lakini pia watendaji kazi wangu kwakunitumia mimi itakupunguzia gharama pia. Harusi, sendoff,kparty,engagement,bridal and baby shower. Mbeya nyuma ya Lux Lounge, Pembeni ya Penge Forest ya zamani 0767 218 014 | 0745 910 995


SEPT - OCT 2018

Services

Duka la kisasa tunauza Simu, Ipod, Camera, Memory Card, Flash, Bluetooth, psp car, Mp3, Laptop, kwa bidhaa bora na za uhakika zenye warranty. Instagram. Brayan_matelephone. Location: Uhindini Mbeya 0715670675, 0755670675 NBC BANK. Ni Benki ya Kitanzania, wachapakazi inatoa huduma zifuatazo kwa Mbeya tunapatikana. Mbeya branch _ near Mbeya hotel - Uzunguni. 1. Huduma za mikopo Tunatoa mikopo kwa wafanyakazi, wafanyabiashara, wastaafu, na mikopo ya nyumba 2. ATM & Digital Channel zinazotoa huduma ya kuweka na kutoa pesa, Kwa hapa mbeya mjini ATM zetu zipo. 1. Infinity oil mafiati 2. Kituo cha mafuta - Soweto 3. Mbalizi road XINOVO COMPUTER CONNECTION - ATM CRDB, NMB, EQUIT BANK, DTB. Location. Uhindini near Babito pharmacy. SAUNA META BARBER SHOP Muda wa kazi kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 3:30 usiku. Tupo Meta. 0742 845106 SAUNA SPECIAL (kwa ubora wa Afya yako tupo kwa ajili yako tukuhudumie) Massage, Manicure & Pedicure 20

Sauna, Chai, Matunda Price. 10,000/= Muda wa kazi saa 2 mpaka saa 4:00 usiku. Tupo Soweto karibu na Mkulu hoteli. 0753500017, 0675959910

TO LIST YOUR

CLASSIFIED HERE

CONTACT US 0745 885 399, 0673 606 012

4. Mbeya branch - near Mbeya hotel Uzunguni. TUNATOA HUDUMA ZA AKAUNTI ZA AINA MBALI MBALI. Watoto, Malengo, Wanafunzi Pure transaction, Privilege account, Private banking Fixed deposit guarantee Islamic akaunti, Vikundi akaunti WAKALA Tunatoa huduma za pesa kwa kutumia wakala ambao Wanapatikana nchi nzima. SUPERMARKET. Yatenga company ltd tunatoa huduma za mahitaji mbalimbali, vinywaji kwa bei ya jumla na rejareja,vocha kwa bei ya jumla na reja reja. Mawasiliano. +255767877419 Location. Tupo Magorofani Elegante supermarket Kwa mahitaji ya nyumbani kwa rejareja. Tupo Mbeya mafiati au infinity petrol station Mawasiliano. 0753 111 111 info@mawm.co.tz


Photo by: Native Studio

Paz Pazia WEDDING | KITCHEN PARTY | SEND OFF BIRTHDAY | ANNIVERSARY

TOKELEZEA NA PAZIA LETU KWA KUWEKA MATUKIO YA KUMBU KUMBU ZA SHEREHE MBALI MBALI

Kupata nafasi hii wasiliana nasi kwa simu namba 0745 885 399, 0673 606 012


SEPT - OCT 2018

Services & Event DM PROCUREMENT AND LOGISTIC COMPANY LIMITED This is a company based in Mbeya which provides various Procurement and Logistics services according to the client needs. Some of the services include Training of PSPTB’s Professional stage IV & V candidates which usually start in late January and July each year in Mbeya town. Other services include professional workshops/ seminars, procurement, distribution, warehousing, etc. For more details, please contact DM procurement and logistic Company Limited P.O. Box 4229, Mbeya E-mail: dmprocurementlogistic@ gmail.com 0765572991 / 0713153850

Shops

BARBER

AM - BARBERSHOP Hair cutting, pedicure, manicure, scrub, facial steamer, magic shaving, massage & sauna special. OPEN DAILY: Mon - Sun Located in Tetco, 0658 004 231 LUCHELELE BARBERSHOP Scrub, hair cutting, massage, Pedicure, manicure, facial steamer, magic shaving, black & wave. Located in Esso, 0658 655 868

TUNATENGEZA WEBSITE KWA GHARAMA NAFUU 0717 733 303 / 0714 400 450 22

MBEYA CULTURAL ARTS AND CRAFT

Arts making, Uchoraji, Uimbaji, Uchongaji wa vitu mbali mbali, Tunafinyanga, Tunapamba katika nyumba, Hoteli na Kumbi za sherehe, Tunauza vinyago, Tunatengeneza mavazi ya kiafrika na kutengeneza picha za migomba.

Maduka yetu yana patikana Sokoine mkabala na Mbeya hotel Kwa mawasiliano - 0652 018 855, Ras Nasser .M. Omary (Mwenyekiti). joshuafrank410@gmail.com P.O.Box 2028 Mbeya Tanzania

IBS Car

WASH

Tunatoa huduma zetu kama ifuatavyo, Tunaosha gari kwa kutumia mashine ya presha yenye ubora wa hali ya juu, tuna vacum yaani mashine ya kutolea vumbi ndani kwa kunyonya, tuna mashine ya kuoshea carpet za nyumbani kwa kuzingatia usafi kwa kina. Huduma ya dash bod polish inapatikana, wax ya nje ya gari pia ipo. Tunapatikana Mbeya Magorofani Tunduma Road. Karibuni sana mtafurahia huduma. Kwa mawasiliano zaidi piga simu

0767 774 282 au 0626 737 936.

SECURITIES

SIMU ZA DHARURA

POLICE MBEYA 0677002790 Mapokezi 0677002104 Mkuu wa kituo Mbeya kati. 0659888065 Mkuu wa upelelezi 0659884996 Mkuu wa police REGIONAL IMMIGRATION Office P. O. Box 791 Mbeya ZIMA MOTO Call no. 114

KATAVI MCK SECURITY GROUP CO.LTD We provide a full security solution to individuals, business and communities. Office located in Mpanda town opposite Pentecostal Church. P.O.Box 62, Mpanda-Katavi. E: katavigroupsec17@gmail.com Managing Director Mr Yohana Francis - 0754 972 065. PANIC GROUP SECURITY Kazi zetu ni ulinzi wa majumbani, maofisini, magodauni, shule. pamoja na dharula za usiku info@mawm.co.tz


zinatolewa, pia ulinzi huo ukiambatanishwa na mbwa wakali .Tunapatikana Sinde Mbeya. Muda wa kufungua ni saa 2:30 kufunga ni 11:00 jioni.

SEPT - OCT 2018

Events

NEW IMARA SECURITY COMPANY Ofisi ipo Sokoine stadium Mbeya. Muda wa kazi. 24/7. 0763 032 021 / 0656 990 599

NEEMA SHOP Kwa nguo bora za ndani za kike (cotton less) & seam less na Sidiria. Perfumes za kijanja za kiume na kike kutoka Dubai, hereni za kisasa, cheni, pete na mikanda ya suruali. Duka liko Mzumbe University opposite na Viva night club. Instagram@Nee24seller WhatsApp 0653815485 Simu 0768471636

INSURANCE COMPANIES

Mbeya Branch Karume Road, 583 Mbeya Tanzania +255 25 2502031/ 2503540

ICEA GENERAL INSURANCE COMPANY LIMITED Kisangani General Enterprises Ltd Building. info@mawm.co.tz

P.O.Box 1926 Mbeya Tel: +255 25 2503372 Fax: +255 25 2503373 mbeya@icealion-tz.com

JUBILEE INSURANCE Mbeya town, Ground Floor NBC (1997) Ltd Building, Karume Avenue P.O.Box 2182, Mbeya Tel: 2503172 / 0766 624 520 jicmby@jubileetanzania.com

ADVERTISE YOUR EVENT IN THIS PAGE Conference, Parties, Concerts,Trainings, Sports, Seminars,

0745 885 399 0673 606 012 23


SEPT - OCT 2018

VIWANJA VYENYE VYOO HULINDA AFYA KWA WANAMICHEZO

Viwanja vya michezo vilivyopo kote Ulimwenguni ni dhahiri kuwa vina jukumu kubwa katika kutekeleza adhma ya kuwaburudisha wale wote wanaohudhuria kwenye viwanja hivyo kwa sababu mbalimbali kama vile kuangalia mechi za mipira au matamasha ya kimuziki. Mamilioni ya mashabiki huweza kuhudhuria kwenye viwanja kila wiki ili kujionea kwa macho timu mbalimbali zikiumana ili kupata ushindi, na penginepo mashabiki wa muziki nao huweza kuhudhuria kwenye viwanja kuwashuhudia nyota wa muziki, au matamasha mbalimbali. Mfano halisi ni ule wa wastani wa mashabiki waliohudhuria mechi za ligi kuu ya Uingereza kwa msimu wa mwaka 2015/16 ambao idadi yao ilikuwa 36,452 wakati huo 24

huo kukiwa na idadi kubwa ya mashabiki walioweza kutumia vyoo wakati wa mapumziko. Kuna baadhi ya viwanja hapa Ulimwenguni wakati vinajengwa wahusika waliona umuhimu uliopo wa viwanja hivyo kuwa na idadi ya vyoo inayoweza kulingana na mashabiki watakao ingia ndani ya viwanja hivyo, kwa mfano Wembley Stadium wa Uingereza wenye vyoo 2,618. Moja ya vigezo vinavyopelekea uwanja wa michezo kuwa bora ni uwepo wa vyoo kwa ajili ya matumizi ya mashabiki au watumiaji wa viwanja hivyo. Vigezo hivyo pia vinatambuliwa na vyama vya mpira Ulimwenguni yaani FIFA na pia UEFA. Viwanja vingi vya michezo hutoa fursa ya mashabiki au wapenzi

wa michezo waliopo viwanjani kuweza kupata vyakula na vinywaji mbalimbali wanapokuwa ndani ya viwanja hivyo vingine vikiwa na migahawa ndani yake. Kutokana na fursa hii ni dhahiri kuwa mashabiki wa michezo, inawalazimu kutumia vyoo pindi watakapojisikia wanahitaji kufanya hivyo. Lakini pia muda ambao mashabiki wanakuwa ndani ya uwanja ni zaidi ya dakika tisini za mchezo, hivyo matumizi ya vyoo yanawezekana. Kwa Tanzania viwanja vingi vya michezo vina vyoo vichache huku hali ya usafi kwenye vyoo hivyo ikiwa hairidhishi, tatizo linakuja pale mwanamichezo, shabiki au mpenzi anaposhikwa na haja, inabidi aende chooni kwa shingo upande akihofia usalama wa afya yake.

info@mawm.co.tz


Kwa viwanja ambavyo vipo maeneo ya wazi hili ni tatizo kubwa la kiafya hasa wakati michezo inapofanyika na mashabiki hujisaidia sehemu za wazi au sehemu zilizojificha, vichochoroni zisizo na vyoo karibu kabisa na eneo la uwanja wa michezo. Vimelea vya maradhi huweza kuenezwa ki rahisi. Utupaji ovyo wa kinyesi usiozingatia kanuni za afya mara zote huwa unahatarisha afya za wanamichezo, ambao huwa wanafika viwanjani ili waweze kushuhudia michezo au mashindano yanayofanyika kwenye viwanja hivyo. Utupaji wa kinyesi ulio salama kama kanuni za afya zinavyoelekeza huweza kusaidia kujikinga na maradhi mbalimbali ya kuambukiza na ya milipuko ambayo husababishwa na vimelea vinavyosababisha maradhi hayo, vikitokea kwenye kinyesi au mkojo. Magonjwa hayo ambayo mwanamichezo, mashabiki au wapenzi wa michezo wanaweza

kuyapata kutokana na hali hiyo ni pamoja na yale yanayosababishwa na bakteria, kama vile kipindupindu, homa ya matumgo, kuhara, kuhara damu, na mengine.

AJALI YA MV NYERERE

SEPT - OCT 2018

Ni haki ya watazamaji na wapenzi wa michezo wanaohudhuria katika viwanja hivyo, kuwekewa vyoo bora, safi na salama ambavyo watajisikia huru kuvitembelea, pindi haja zitakapo washika wanapokuwa viwanjani kuweza kushuhudia mashindano mbalimbali.

Pia kuna yanayosababishwa na virusi kama vile kupooza (Poliomyelitis), yapo pia yanayosababishwa na Protozoa kama Amoeba na mwisho ni yale ya minyoo mbalimbali na kichocho. Hivyo viwanja vilivyopo maeneo ya wazi na vinatumika kuendesha mashindano mbalimbali, vitafutiwe utaratibu wa kuweza kuvijengea vyoo ambavyo vinatumia teknolojia rahisi na sahihi kwa gharama nafuu. Mfano ujenzi wa choo bora kilichowekwa bomba la kutolea hewa chafu. Ikumbukwe kwamba kinga ni bora kuliko tiba, hivyo juhudi za makusudi hazina budi kufanywa ili kuondosha kabisa tatizo hili lenye athari kubwa ki afya na mazingira kwa ujumla. Tukiamua tunaweza kabisa kufanikisha hili, wala hatuhitaji mjomba toka nje. TUSICHUKULIE POA, NYUMBA NI CHOO, UWANJA WA MICHEZO NAO NI VYOO. Makala hii imeandaliwa na mtaalamu wa sayansi za afya na mazingira kutoka chuo cha afya Mpwapwa, kwa jina ndugu Osmund F. Mbangati.

MBEYA ADVERTISE WITH MACRINE Mkurugenzi wa Jarida letu pendwa Mbeya advertise with macrine Ms: MACRINE J. NTABAGI pamoja na timu nzima ya jarida letu linatoa pole kwa wananchi wote waliopotelewa na ndugu, jamaaa na marafiki kufuatia ajali ya kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere iliyotokea tarehe 20/8/2018. Mungu azilaze roho za Marehemu mahali pema peponi Amen.

www.mawm.co.tz info@mawm.co.tz

25


Clearing and forwarding of goods Import, Export & Transportation of goods BRANCHES: KASUMULO | NAMANGA | HOLOLO | TUNDUMA | DAR ES SALAAM




Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.