M o n t h l y
P u b l i c a t i o n ,
C o p y
ere to Buy What & Wh out ent & Hang Entertainm ks n a Hotels, B Directory s ire, Saloon tour, Car h Real estate
To u r i s m & A d v e r t i s i n g NOVEMBER - DECEMBER, 2018
F r e e
|
ISSN - 2919-872X, ISSUE - 004
KAPIKI WATERFALLS One of the most beautiful tourist attraction found in Southern Circuit of Tanzania
UNITY
STRENGTH
SECURITY
SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA NIC MBEYA Jengo la Ofisi ya NIC MBEYA lipo mtaa wa KARUME, hapa mbeya jijini. Tunahudumia mkoa wa Mbeya na Songwe. Aidha tuna mawakala karibu katika wilaya zote, kwa hapa jijini tunao mawakala wafuatao:TAJACK INS. AGENCY (Karibu na jengo la NHIF) NTALISA INS. AGENCY (Soweto) RUMSS INS. AGENCY (eneo la Madaraka garage) Kwa upande wa mkoa wa SONGWE mbali na kuwa na mawakala wengi tu, tunayo ofisi kuu ya NIC katika mji wa TUNDUMA ( ofisi ipo ilipo shell jirani kuna msikiti, ni eneo linalotazamana na kituo cha forodha) Shirika linatoa huduma za Bima za maisha na Bima za mali na ajali. Kwa upande wa Bima za Mali na Ajali tunatoa huduma zifuatazo:-Bima za Magari, pikipiki, Bajaji, comesa n.k -Bima za Moto
NATIONAL INSURANCE OF TANZANIA (NIC) Head Office, Samora Avenue / Pamba Road P.O.Box 9264, Dar es Salaam, Tanzania Tel: +255 (0) 22 2113825/8, Fax: +255 (0) 22 2113403 Email: info-nic@nictanzania.co.tz Web: www.nictanzania.co.tz
-Bima kwa ajili ya wajenzi -Bima za mitambo -Bima za meli, shehena, ndege -Bima za kinga dhidi ya wizi. N.k Kwa upande wa Bima za maisha tunazo aina zifuatazo za bima:-Bima ya majaliwa. -Bima ya elimu -Bima ya matumaini. -Bima ya ndoa. -Bima ya matibabu n.k Aidha tunatoa ushauri kwa jamii kuhusu mahitaji tofauti ya bima kutokana na Utofauti wa mahitaji. Tunawakaribisha wananchi wote ili mpate huduma bora za bima toka NIC. ALLY S. MOHAMED BRANCH MANAGER - NIC
Mbeya Brach, Karume Road P.O.Box 583, Mbeya, Tanzania Tel: (025) 2502031, 2503540 Web: www.nictanzania.co.tz
MACRINE PRODUCT
Kuweka oda: 0745 885 399
anzan i in T
a
Bidhaa hii inapatikana katika fleva ya Ndimu, Chungwa Apple na Lavenda
Mad e
Safisha mikono kwa ulinzi wa afya yako
Ingredients:
Ungaloo, Sulphonic, Alka H2O, Soda ash colour & perfume, calcium
Distributed & supplied by Macrine Mbeya, Tanzania Manufactured by Mimjay’s Solution Company Ltd, Mikocheni kwa Nyerere, Jued Building, Dar es salaam Tanzania
500mil
www.mawm.co.tz | macrine@mawm.co.tz
NOV - DEC 2018
Classfieds
INSURANCE COMPANIES
ulinzi huo ukiambatanishwa na mbwa wakali .Tunapatikana Sinde Mbeya. Muda wa kufungua ni saa 2:30 kufunga ni 11:00 jioni.
SIMU ZA DHARURA
Mbeya Branch Karume Road, 583 Mbeya Tanzania +255 25 2502031/ 2503540
POLICE MBEYA 0677002790 Mapokezi 0677002104 Mkuu wa kituo Mbeya kati. 0659888065 Mkuu wa upelelezi 0659884996 Mkuu wa police REGIONAL IMMIGRATION Office P. O. Box 791 Mbeya ZIMA MOTO Call no. 114
ICEA GENERAL INSURANCE COMPANY LIMITED Kisangani General Enterprises Ltd Building. P.O.Box 1926 Mbeya Tel: +255 25 2503372 Fax: +255 25 2503373 mbeya@icealion-tz.com
JUBILEE INSURANCE Mbeya town, Ground Floor NBC (1997) Ltd Building, Karume Avenue P.O.Box 2182, Mbeya Tel: 2503172 / 0766 624 520 jicmby@jubileetanzania.com
EDITORIAL Macrine Justine
4
SECURITIES
KATAVI MCK SECURITY GROUP CO.LTD We provide a full security solution to individuals, business and communities. Office located in Mpanda town opposite Pentecostal Church. P.O.Box 62, Mpanda-Katavi. E: katavigroupsec17@gmail.com Managing Director Mr Yohana Francis - 0754 972 065. PANIC GROUP SECURITY Kazi zetu ni ulinzi wa majumbani, maofisini, magodauni, shule.pamoja na dharula za usiku zinatolewa, pia
ADVERTISING Macrine Justine
CREATIVE & LAYOUT OSE Creative Agency
NEW IMARA SECURITY COMPANY Ofisi ipo Sokoine stadium Mbeya. Muda wa kazi. 24/7. 0763 032 021 / 0656 990 599
HOTELS & RESTAURANTS
JAB KITCHEN RESTAURANT Mafiati Nyuma ya Chuo TIA 0713 474 241 DALUKE RESTAURANT Iwambi, Mbeya, Tanzania +255 769 283 931
TO GET THIS
SPACE CONTACT US
0745 885 399, 0673 606 012
Advert space size Full page: 195 x 260mm potrait Half page: 170 x 117mm landscape Half page: 123 x 84mm potrait Half page: 85 x 228mm potrait ARTICLES Uyole Cultural Tourism
info@mawm.co.tz
NOV - DEC 2018
www.mawm.co.tz info@mawm.co.tz
5
SONGWE AIRPORT TANZANIA AIRPORTS AUTHORITY, is a Government Agency of the United Republic of Tanzania established by the Government Notice No.404 of December 1999, made under the provisions of Section 3 of the Executive Agencies Act No. 30, Cap. 245 (R.E 2002), whose head office is at Julius Nyerere International Airport Terminal One of P.O. Box 18000 Dar es Salaam, Tanzania and is empowered under the Aerodrome (Licensing and Control) Act, CAP 92 R.E 2002 and the G.N. No. 404 of 1999 to:Manage and operate government owned Airports in Tanzania mainland including Songwe Airport. Provide facilities for passengers and other persons making use of the services or the facilities at the Airports. Enter into Agreements with any person or agency for inter alia the performance or provision by that person or agency for any of the services including aviation or such other facilities that may be performed by the Authority at the Airports. VISION The Vision of TAA is to be a world class airport operator in the provision of airport facilities and services.
MISSION The mission of TAA is to provide high quality airport facilities and services in a cost-effective manner. CORE VALUES In fulfilling its vision and mission, the authority has adopted out of six the following core values: Customer focus. Our customers are the focus of our business and we have aligned our Strategic Objectives in anticipation of their expectations and we shall strive to meet these expectations with courtesy, willingness, efficiency and professionalism. Safety and Security. The foundation of all of our operations are based on safety, and maintaining a zero tolerance on security breaches. We shall endeavour to provide a conducive environment for our employees and customers which ensure safety against harm and loss. Songwe Airport is located along Tunduma Road (TANZAM HIGHWAY) 25Km SW of Mbeya City Centre. Address: Songwe Airport, P.O Box 249, Mbeya, Tanzania. Tel/Fax: 0255 25 2504274 E-mail: songwe@airports.go.tz All correspondence to Airport Manager.
NOV - DEC 2018
IMPORTANCE OF SONGWE AIRPORT Economical To support national economic development by providing the necessary airport infrastructure, facilities, and services eg. Business environment for office accommodation, airline operation, providing comfortable, efficient and secure services and facilities for the movement of passengers and cargo. Social Creation of job opportunities for citizens and stimulation of city economic growth for residents. SERVICES OFFERED BY SONGWE AIRPORT ● Airline operation ● Rent of office premises ● Land lease for property assets ● Lease space for advertisement ● Taxi/Shuttle services from/to airport ● Concessionaire for regulated services ● Video shooting ● Airports information ● Passenger traffic data ● Fire services ● Information on travel schedules ● Parking space ● Investment opportunities ● Technical proposals
info@mawm.co.tz
SCHEDULED AIRLINE OPERATING AT SONGWE AIRPORT Currently we have two airline operating at Songwe Airport namely: ● Air Tanzania operating with Bombardier Q400 Dash 8 with a capacity of 72 passengers full on board. The flight is coming everyday at once per day flying between Dar es Salaam and Mbeya 14:30. ● Fastjet operating with Embraer with a capacity of 110 passengers full on board. The flight is coming everyday once per day making route between Dar es Salaam and Mbeya 15:00.
PUBLIC PRIVATE PARTNERSHIP (PPP) POLICY Having in place the PPP Act and its regulations will enable TAA (Songwe Airport) to partner with private sector in developing and modernizing airports infrastructures and facilities for sustainable air transport in Tanzania. At Songwe Airport we are proposing to eligible partners to invest in construction of three star Airport Hotel, Cold Storage facility, Aircraft Hangar Maintenance and Cargo Terminal.
7
NOV - DEC 2018
Utalii
ZIWA NGOSI (NGOSI CRATER LAKE) Ngosi ni ziwa la kreta (crater lake) lipatikanalo Mkoa wa Mbeya kwenye milima ya Uporoto, Wilaya ya Rungwe lipo katika nyuzi 9.008°Kusini na 33.553°Mashariki, ni ziwa la pili kwa ukubwa barani Afrika katika crater lake baada ya lile lililoko nchini Ethiopia. Ziwa hili lina kina cha mita sabini na nne (74) Urefu wa kilomita 2.5, upana wa kilomita 1.5 Hata hivyo, wataalamu wanasema kwamba Ziwa Ngosi lina sifa za kipekee linazolitofautisha na lile lililoko Ethiopia. Moja ya tofauti hizo ni kwamba Ziwa Ngosi limezungukwa na milima na misitu minene tofauti na lile la Ethiopia ambalo liko eneo lililo wazi na hufikika kwa urahisi kabisa kwa gari kitu ambacho hakiwezekani kwa Ziwa Ngosi. Wataalamu wanasema kwamba kuwepo kwa ziwa hilo sehemu hiyo kunasaidia
8
kuzuia milipuko ya mara kwa mara ya volkano kwa kuwa linasaidia kupunguza misukumo ya gesi inayojijenga chini na kuanza kutafuta upenyo wa kutokea chini ya ziwa. Kitu cha kushangaza ni muonekano wa ziwa hili linakaribia kuwa na muonekano kama ramani ya bara la Afrika pamoja na visiwa vyake kama ilivyo kule Njombe ambapo kuna mwamba wenye ramani ya bara la Afrika unaitwa Lwivala, uliopo katika pori la hifadhi ya msitu Lwivala kijiji cha Igodivaha. Wilaya ya Njombe ziwa hili pia lina ingiza tu maji na hali toi maji kwa sababu liko katikati ya milima hivyo kuonekana kama liko shimoni na pia halina ufukwe. Ziwa hili linalopatikana katika Hifadhi ya msitu Uporoto (Poroto Ridge) yenye eneo la hekta 9,332 ipatikanayo karibu na vijiji vya
Kisanga 4.3km Uyole (24.4km) na mji mdogo wa Tukuyu upatikanayo wilaya ya Rugwe. Yapo masimulizi mengi sana juu ya ziwa hilo la maajabu watu husema ziwa hili lilichomwa moto na wakazi wa kijiji cha Mwakaleli kwasababu lilikuwa likileta mikosi mingi kijijini hapo ikiwemo vifo vya mara kwa mara kwa watu na wanyama, Zipo imani miongoni mwa watu kuwa ziwa ngosi watu wanapotea kimazingara, Kuwapo kwa sauti za watu wasioonekana ndani ya misitu, wengine huamini huruhusiwi kuzungumza kinyakyusa, huruhusiwi kunywa maji, ziwa hilo limekuwa likigeuka rangi mara kwa mara na kuwa na rangi za kijani, bluu, nyeusi na nyeupe kitu ambacho kinawafanya waamini kuwa ziwa hilo sio la kawaida.
info@mawm.co.tz
▶ Lipo ndani ya safu ya poroto ambayo ni sehemu ya hifadhi ya mlima Rungwe
NOV - DEC 2018
Kwa nini utembelee ziwa Ngosi?
▶ Ni ziwa la pili kwa ukubwa barani Afrika kwa maziwa yatokanayo na mlipuko wa volkeno. ▶ Ziwa lina muonekano wa ramani ya Afrika na visiwa vyake. ▶ Maji yake yanabadirika rangi kutoka Bluu kijani, na Bluu Bahari. ▶ Halina mto unaoingiza maji wala kutoa maji.
info@mawm.co.tz
9
NOV - DEC 2018
Utalii
PANGO LA IBADA LIKYALA
(LKYALA RITUAL CAVE)
Wilaya ya KYELA ni wilaya mojawapo kati ya wilaya za mkoa wa Mbeya, Wilaya ya Kyela inapatikana kusini mwa mkoa wa Mbeya kandokando ya ziwa lenye sifa kedekede duniani si lingine bali ni ZIWA NYASA. Wilaya ya kyela inapakana na nchi ya Malawi, mkoa wa Iringa (wilaya ya makete), wilaya ya Ileje pamoja na wilaya ya Rungwe, leo tutaangazia macho yetu katika kivutio hiki adhimu cha pango walilokuwa wakiabudia wazee wa zamani Safari ya kutoka fukwe za ziwa nyasa kuelekea lilipo pango hili ni moja kati ya safari nzuri sana na zenye kuvutia, ni sehemu ambayo unapanda mtumbwi taratibu kujongea pahala hapa, safari hii huweza kuchukua takribani dakika kuanzia dakika 30 hadi 45 kulingana na spidi ya mwendesha mtumbwi, uwapo ziwani utaweza kuona samaki wa rangi kwenye kupendeza na kuvutia machoni pako, samaki hawa ni njano, bluu, nyeusi, mchanganyiko nyeupe na nyeusi (pundamilia) n.k na ifahamike kwamba Ziwa Nyasa linajulikana kuwa na aina nyingi za samaki (zaidi ya 1500)
10
kimuonekano pango hili si pana sana bali ni refu sana, Inasemekana limetoka Matema kyela kwenye kingo za safu za milima livingstone, likipita chini kwa chini katika safu za milima livingstone mpaka Rudewa japo haijathibitishwa kitaalam, wapo popo ndani yake japo si wengi sana kama wale wanaopatikana katika pango la popo Songwe, lakini pango hili kuna giza nene sana maana hakuna sehem mwanga unapenya. Wenyeji wanasema pango hili lina umuhimu mkubwa sana katika historia ya wakazi wa eneo hili inayotakiwa kutunzwa ili kuja kueleza vizazi vijavyo. Hapo kale lilitumika na viongozi wa kimila (machief wa eneo la matema) kama sehemu ya kuabudia Haya yanathibitishwa na uwepo wa chungu ndani ya pango hili ambacho kilitumika katika matambiko yao ya kimila. Lakini pia wanasema Ni sehemu ambayo zilikuwa zapatikana kuku zenye rangi nyeupe (kuku pori) tangu wazee waache kupatumia kwa ibada hata kuku wamepotea na hawaonekani tena.
info@mawm.co.tz
NOV - DEC 2018
Welcome Mr Abdulmajid Musa Nsekela A new CRDB Bank Group CEO
We witness a bright and new era for CRDB Bank Plc as it’s new CEO Abdulmajid Musa Nsekela hit the ground running, spelling out his vision and business blue print for the “ The Bank that Listens”
Be it for Corporate clients or SME and for Government, institutional clients as well as personal businesses the Southern Highlands has been providing CRDB Bank with a great platform for business presence.
We, in the Southern Highlands accord Mr. Abdulmajid Nsekela warm congratulatory message and indeed welcome him to the Big Five regions. the Southern Highlands have always been a great partner for business growth and profitability of CRDB Bank Plc.
info@mawm.co.tz
www.crdbbank.co.tz +255 755 197 700 11
NOV - DEC 2018
Warmest wishes are what this brings to you for joy that lasts all season and throughout the new year, too!
12
info@mawm.co.tz
NOV - DEC 2018
Classfieds
JAMBO SOUTHERN HIGHLANDS
Msimu wa sikukuu, Watu wengi tunapenda kusikia habari nzuri. Tunaamini kila mtu amejipanga kuukaribisha mwaka 2019 kwa mipango maridhawa kabisa. Mbali na mipango mingi ya kujenga kiafya, Kielimu, kiroho na kiuchumi. Taasisi ya Kufundusha “FINANCIAL MARKETING TRADING “ inayofahamika kama GOLD FOREX MONEY INDUSTRY (FX MONEY INDUSTRY) wanakuletea huduma hii ya kufundisha biashara bure kabisa KATIKA MKOA WA MBEYA Unaweza tufuatilia zaidi kwenye mtandao wetu wa Instagram: @fx_moneyindustry. Kwa maelezo zaidi: 0677 703 266 PREPARED BY: VINCENT KADUMA Marketing & Digital Manager PO BOX 12478 DAR ES SALAAM TANZANIA | #2019 #KilaKituBure
ADVERTISE Your Business Pay 1 full page, info@mawm.co.tz
WITH US!
Get free design for your advert, Be seen to our website home page, www.mawm.co.tz 13
Nature | Hiking | Camping
A SANCTUARY LOCATION IDEAL FOR NATURE, HIKING & CAMPING
Mob: +255 764 933 134, +255 629 641 466 Email: booking@magoroto.com, website: www.magoroto.com Amboni Sisal Properties Limited, P. O. Box 5040, Tanga, Tanzania.
Chunya Mbeya, Tanzania, 0764 020 900 | konzokate@gmail.com
NOV - DEC 2018
HISTORIA YA MAMA HANCOCK NA UANZISHWAJI WA SHULE YA WASICHANA LOLEZA
Shule ya wasichana ya loleza inayopatikana mkoani Mbeya, si shule ngeni sana miongoni mwa wakazi wa jiji la Mbeya na Tanzania kwa ujumla, shule hii ina historia nzuri na ya kipekee sana iliyoachwa na kipepeo jasiri na shupavu, 16
aliyethubutu kuruka na akafanikiwa hatimaye kutuachia alama ambayo haiwezi kusahaulika kwa wakazi wa mkoa wa Mbeya. Jina Loleza ni jina la asili ya kabila la kisafwa linalotamkwa LOLEZYE
lenye maana ya msindikize, Kwa mujibu wa masimulizi kutoka kwa mwene mkuu wa wasafwa anasema “miaka ya nyuma eneo la mjini kuanzia Sokoine mpaka ilikojengwa shule ya sekondari ya wasichana ya Loleza. info@mawm.co.tz
Historia ya uwepo wa shule ya sekondari ya wasichana ya loleza imeacha alama ya mashujaa wengi wa kike tangu ilipoanzishwa hadi sasa, kwani watoto wengi wa kike walikuwa hawapewi nafasi ya kusoma kabisa kama ilivyokuwa kwa mwanzilishi wa shule hiyo Bi Marry Hancock. Bi Marry Hancock alizaliwa huko Survey uingereza, Baba yake aliitwa Padre John Hancock. Alikuwa ni padre wa kanisa la KiAnglikana, tunaambiwa baba yake alikuwa mjamaa halisi, Bi Marry Hancock alitamani sana kusomea masomo ya udaktari lakini kwa sababu za kiubaguzi wa masomo ambao unaendelea sehemu nyingi ulimwenguni, hakuweza kuchukua masomo ambayo yangalimuwezesha kuwa Daktari. Hali hii ilijidhihirisha mno katika huduma alizokuwa anazitoa kwa watu aliokuwa anaishi nao, mara nyingi alikuwa akiongoza sala na ibada mahala pote alipoishi, alionesha moyo wa kupenda na kuheshimu dini zote.Pia ukija katika huduma za kitabibu alikuwa ni hodari sana katika kuwatunza na kuwatibu watoto wake mpaka pale palipokuwa tu nje ya uwezo wake. Bi marry Hancock alikuwa mtetezi wa haki za wanawake popote alipokuwa ni kwa sababu aliuona ubaguzi huo tangu utoto wake,
info@mawm.co.tz
na aliahidi kupambana nao na alijitahidi sana kupambana nao hadi mwisho wa maisha yake. Bi Marry aliwahi kutoa matamshi yake mwenyewe kwamba “nitaitumikia nchi hii hasa kumkomboa mwanamke mpaka tone la mwisho la Damu yangu” Baada ya kushindwa kusomea udaktari, alisomea ualimu akajiunga na Serikali ya Kikoloni lakini matamanio yake makubwa ilikuwa ni kuja Tanganyika (Wakati huo), Waajiri wake walitamani kumpeleka mashariki ya mbali lakini alikataa. Ndipo mnamo mwaka 1941 akasafiri kwa meli hadi Dar Es Salaam, ikumbukwe wakati huo ilikuwa ni wakati wa vita na bahari haikuwa salama lakini mama Hancock alithubutu kwakuwa alikuwa na nia ya dhati aliyotamani kuitimiza. Alipofika Dar Es Salaam alisafiri mpaka Tabora na kuwa mwalimu wa shule ya wasichana, shule hiyo ilikuwa na hali mbaya sana na kwa wakati huo kwani ilikuwa na darasa la kwanza mpaka la nne tu, lakini yeye alianzisha darasa la tano mwaka 1942, na baadaye darasa la sita na hatimae chuo cha ualimu.
mahusiano mazuri sana na wazazi ambayo hayaji kusahaulika kamwe. Wakati huo huo shule ya Loleza ilikuwa ikijengwa nay eye mwenyewe akisimamia na kuona inajengwa kama alivyopendelea.
NOV - DEC 2018
Kulikuwa na msitu mnene sana, uliokuwa na mikuyu mingi hivyo kufanya wapita njia wengi kuogopa kupita peke yao bila ya kuwa na mtu wa kuwasindikiza”.
Mwaka 1950 Januari yeye na watoto wake wakahamia Loleza, wengi kati ya wanafunzi wake wataikumbuka lile gari lao dogo lililopakwa rangi nyekundu ikiitwa Denja na dereva wao mzee Mwantimwa, mnamo mwaka 1954 aliondoka Mbeya baada ya kupewa kazi nyingine kama afisa elimu msaidizi wa mkoa wa Mwanza na Musoma ni wakati huo huo alifanikiwa kuingiza somo la kilimo katika ratiba za shule, Mwaka 1970 aliteuliwa kuwa Mbunge wa taifa kutoka U.W.T kazi ambayo aliendelea nayo hadi tarehe 27/10/1977 alipofariki.
Aliweza kuanzisha mpango uliowapatia baadhi ya wasichana kusoma Tabora Boys school ilimradi tu wapate nafasi ya kuchukua masomo ambayo yalikuwa ni ya wanaume tu. Mnamo mwaka 1946 akaombwa kuja kufungua shule ya wasichana Nyanda za juu kusini mwa Tanzania, Alianza na shule ya Kyimbila Tukuyu, alijenga
17
NOV - DEC 2018
Services
TUGHIMBE CONFERENCE CENTRE
PHARMACY
Tupo Mafiati Mbeya au mataa huduma zetu ni kumbi za mikutano, Harusi, Matamasha, hotel, Bar na Restaurant. 0758 985099
GACINIA PHARMACY Your neighborhood pharmacist Our Branches. GACINIA PHARMACY Near bus terminal 0756519286 GACINIA PHARMACY Esso area near bhanj petrol station. Contact: 0756519286 AKASIA PHARMACY Near G. R hotel 0756529286 Huduma zetu Wauzaji wa dawa za binadamu na vifaa tiba Email.gaciniah@yahoo.com MARANATHA HOSPITAL huduma ni 24/7 Ct scan, Dental. Madaktari bingwa 24/7, Phamarcy 24/7 Maabara ya kisasa. Located in Mwanjelwa Contact: 0753 703000 SOKOMATOLA PHAMARCY Tuna toa huduma zote Located in barabara ya pili karibu na kiwanja sokomatoraphamarcy@gmail. com Contact: 0784 429557
GOODHOPE-DAY CARE
Tunatoa huduma za chakula na usafiri, Tunapokea watoto kuanzia miaka 2. Tunapatikana karibu na chuo kikuu Teku Mbeya, Kwa mawasiliano zaidi 0765222232 / 0754710464
SCHOOLS
MORNING STARS KINDERGARTEN & DAY CARE
Ni kituo cha kulelea na kujifunza kwa watoto wa awali. Ina mchepuo wa Kiingereza. Ina walezi na walimu waliobobea toka nchini mbali mbali. Karibu tukulelee na kuwapa msingi watoto wako kuanzia umri wa miaka miwili. Tupo Forest mpya mkabala FEED THE FUTURE/ Kanisa la KKKT usharika wa Meta. Kwa mawasiliano zaidi +255 759 765 153.
ADVERTISE Your Business Pay 1 full page,
18
Reimeta School
Mpanda, Katavi Tanzania. we provide a quality education reimetaschool@yahoo.com
St Francis Girls Secondary School
(Let Education Light Our Way) Welcome to st. Francis Girls secondary school where everyone is working together to encourage the students to believe in learn and grow, not only academically, but spirituallity as well P.O. Box 924, Mbeya Contact us 0768 616 395
WITH US!
Get free design for your advert, Be seeen to our website home page, www.mawm.co.tz
info@mawm.co.tz
NEW CITY
NOV - DEC 2018
PUB &M BLOUNGE E YA
WE DON’T CLOSE TILL THE SUN BURNS OUT
Experience The Difference Of Good Music, Full Hospitality of Services, Drinks (Cocktails & Shots) New city lounge
WEDNESDAY
THURSDAY
FREE ENTRY
GENT 5K LADIES FREE
African Night
Ladies Paradise entry
BREAKFAST
22
Mchemsho wa Samaki, Kuku, Ng’ombe, Kongoro , mbuzi, Filigisi, Figo, Maini, Ndizi, Sambusa, Andazi, Chai Chapati
W E E K LY
FRIDAY
BINGO NIGHT ENTRY 7K
S C H E D U L E
SATURDAY
SUNDAY
ENTRY 7K
ENTRY 6K WITH COUPON OF BEERS
INTERNATIONAL SATURDAY
CHAKULA Wali nyama Mbuzi, Samaki, Ng’ombe, mboga mboga, Ugali nyama Ng’ombe, Mbuzi. Samaki, mboga mboga. Chips Nyama Mbuzi, Ng’ombe, mayai ya kienyeji, mayai, Samaki.
KARAOKE DAY
NYAMA CHOMA Kuku choma, Samaki choma Samaki roast, Mbuzi choma NAMBA ZA JIKONI 0769 745 571, 0765 317 340 info@mawm.co.tz
NOV - DEC 2018
Kijana jitambue kuelekea Tanzania ya Viwanda 2025 Moja ya Sera zinazotiliwa mkazo hivi sasa na Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais John Pombe Magufuli ni Sera ya Viwanda.Ni lengo la serikali kuona kuwa Sera ya Viwanda inatumika katika kukuza uchumi wa nchi kutoka uchumi wa chini hadi kuwa uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025. Kutokana na mpango huo, Sera ya Uchumi wa Viwanda imekuwa ajenda inayozungumzwa na kila kiongozi, lakini pia na kila Mtanzania mpenda maendeleo na mwenye kuitakia mema nchi yetu katika ukuaji wa uchumi. Mataifa makubwa duniani yaliyoendelea kiuchumi, yamefikia hatua hiyo kutokana na namna yalivyoweza kutekeleza vizuri sera ya viwanda kama chachu ya kuuhisha maendeleo ya kiuchumi. Hata hivyo ni ukweli ulio dhahiri kuwa ili kufikia azma ya kukuza uchumi kupitia viwanda, nguvu kazi ni moja ya rasilimali muhimu inayohitajika na bila shaka vijana ndiyo tegemeo kubwa katika nguvu kazi inayohitajika ili kuchochea maendeleo ya viwanda. Kwa muktadha huo, ni ukweli usiopingika kuwa viongozi wetu wanawajibika na wanapaswa kuwatumia vijana walio katika taifa letu kama funguo muhimu ya kujenga ubunifu na utekelezaji wa mipango mikakati ya nchi katika kuifikisha nchi kwenye uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025. Kwa kutambua umuhimu, wingi na nguvu zao, mataifa makini duniani yanawekeza zaidi kwa vijana. Takwimu za mwaka 2015 zinaonyesha zaidi ya watu bilioni 1.2 duniani ni vijana chini ya miaka 25. Takribani aislimia 90 kati ya vijana hao wanapatikana katika nchi zinazoendelea ikiwamo Tanzania.
24
info@mawm.co.tz
Vijana si rasilimali ya kesho tena, bali ni rasilimali ya leo katika uongozi, ulezi wa familia na utumishi lakini pia ni mtaji wa leo unaotakiwa kulindwa na kuwezeshwa ipasavyo. Ni vema wakati Tanzania inapiga hatua kuelekea uchumi wa kati kutokana na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kiuchumi chini ya Rais Magufuli, viongozi na vijana wenyewe wakajitambua kuwa wao ni injini ya serikali katika kufikia ujenzi wa uchumi wa kati. Nikiwa mmoja wa vijana wa Tanzania, natamani sana kuona viongozi wenye dhamana ya maamuzi katika ngazi zote wakiwatumia vijana katika kuhamasisha, kufanya na kujadili suala la uchumi wa viwanda. Mbali ya kutumika katika ubunifu na uzalishaji viwandani, bado vijana wakiwa ni wengi katika Dunia ya leo ikiwemo Tanzania, wanaweza kutumika kwa jicho la kimkakati kama sehemu ya soko la bidhaa zitakazokuwa zinazalishwa katika viwanda hivyo kabla hata ya kuangalia makundi mengine ya soko ndani na nje ya nchi yetu. Aidha, pamoja na kujenga na kuandaa miundombinu mizuri ya kuelekea uchumi wa viwanda, ni vema kama vijana watajengewa uwezo na mbinu za kuweza kuiba teknolojia ya viwanda kutoka
mataifa yaliyoendelea, hii itasaidia kujenga sekta endelevu ya viwanda kwa Taifa letu. Ninataka kuwahakikishia Watanzania na Dunia kwa ujumla kuwa vijana wakitanzania wana uwezo mkubwa sana katika suala zima la ubunifu, usimamizi na utumiaji wa rasilimali kama wakishirikishwa na kuelimishwa ipasavyo. Lengo la Mheshimiwa Rais Magufuli ni kuiona Tanzania ikiwa kinara katika uchumi hasa katika jumuiya za kikanda, kuanzia Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Umoja wa Afrika (AU) na duniani kwa ujumla, na jamii ya Tanzania wakiwemo vijana wenyewe ni lazima tumuunge mkono Rais ili kufikia ndoto zake hizi. Ningependa kuwaona vijana wenzangu wa Tanzania wakiunga mkono juhudi za serikali iliyopo madarakani kwa kuchangia mawazo na nguvu zao ili tuendelee kupiga hatua kusonga mbele. Hata kama hatua zetu ni ndogo kiasi gani lakini tutakuwa tunapiga hatua kusonga mbele. Katika kukabiliana na changamoto ya ajira, serikali imeahidi kuanzisha viwanda vidogo, vya kati na vikubwa, imeahidi pia kuweka nguvu kubwa kwenye sekta za kilimo, mifugo na uvuvi ambazo zinaweza kuajiri vijana wengi ni vizuri vijana pia kwa upande wetu tukazitumia fursa hizi ipasavyo kila zinapojitokeza.
kufanya uzalishaji, vijana tuweke kipaumbele kwenye kuelekeza nguvu na ubunifu wetu katika kuzalisha mazao ya kilimo ikiwemo kilimo cha mbogamboga, matunda, maua, mbegu za mafuta na nafaka na katika uvuvi.
NOV - DEC 2018
Umoja wa Mataifa (UN) katika ripoti zake mbalimbali za kuhamasisha maendeleo ya uchumi wa Dunia, umekuwa unasisitiza nchi zinazoendelea na zilizoendelea kuwaona vijana kama rasilimali na si tatizo. Vijana wakitumika ipasavyo wana faida nyingi za kijamii na kiuchumi.
Katika ufugaji, serikali iwekeze kwenye vikundi vya vijana kwa ajili ya ufugaji wa ng’ombe, kuku, mbuzi na usindikaji wa mazao ya mifugo ikiwemo nyama, maziwa na ngozi. Changamoto kubwa kwa vijana wa Tanzania ni ukosefu wa mitaji, serikali iwasaidie vijana mitaji kwa kuwaunganisha katika vikundi na wakati mwingine kuwawekea dhamana kwenye taasisi za kifedha ili waweze kupata mikopo ya pembejeo, zana bora na mashine za usindikaji kupitia Saccos. Lakini pia serikali ihamasishe vijana wajiunge na mifuko ya hifadhi ya jamii ili kuweza kunufaika na fursa mbalimbali ikiwamo mikopo nafuu inayotolewa. Pia, kuzielekeza halmashauri zote kwa vijana kupata zabuni za miradi ya serikali inayotekelezwa vijijini. Lakini pia iendelee kutoa asilimia tano ya mapato ya ndani ya kila halmashauri kwenda kwenye mifuko ya vijana. Aidha serikali ianzishe pia dirisha maalum la mikopo kwa asjili ya vijana kwenye taasisi za kifedha. Jukumu letu vijana liwe ni kufuatilia na kuihimiza serikali kutekeleza ahadi zake kwa manufaa ya vijana wote ili kuhakikisha kuwa tunakuwa sehemu ya kufanikisha Sera ya Tanzania ya Viwanda ifikapo Mwaka 2025.
Kwa kutambua kuwa viwanda vinavitaji rasilimali mbalimbali ili Na Allen Mbasha Boy Mbuza
info@mawm.co.tz
25
Utalii
MBEYA CULTURAL ARTS AND CRAFT Arts making, Uchoraji, Uimbaji, Uchongaji wa vitu mbali mbali, Tunafinyanga, Tunapamba katika nyumba, Hoteli na Kumbi za sherehe, Tunauza vinyago, Tunatengeneza mavazi ya kiafrika na kutengeneza picha za migomba. Maduka yetu yana patikana Sokoine mkabala na Mbeya hotel Kwa mawasiliano - 0652 018 855, Ras Nasser .M. Omary (Mwenyekiti). joshuafrank410@gmail.com P.O.Box 2028 Mbeya Tanzania
CUSTOM CLEARING | FREIGHT & FORWARDING AGENCY Clearing and forwarding of goods Importing Exporting and Transportation of Goods
OUR BRANCHES KASUMULO | NAMANGA | HOLOLO | TUNDUMA DAR ES SALAAM
Contact us /
+255 754 304 085 | +255 715 304 058 | +255 764 108 424
+255 252530075 | Head office: 022 2181534