Mbeya Advertise with Macrine Issue 002

Page 1

M o n t h l y

P u b l i c a t i o n ,

F r e e

C o p y

ere to Buy What & Wh out ent & Hang Entertainm ks n a B , Hotels Directory s n o ire, Salo tour, Car h Real estate A U G U S T, 2 0 1 8

|

ISSN - 2919-872X, ISSUE - 002




AUGUST 2018

Jambo! Awali ya yote, napenda kutumia fursa hii ya kipekee kukukaribisha katika toleo letu la pili (Issue 002) la gazeti letu pendwa la Mbeya Advertise with Macrine linalotoka mara moja kwa kila mwezi, lenye lengo kuu la kuibua, kutunza na kutangaza utalii na utamaduni wa Mtanzania pamoja na matangazo mbalimbali ya wajasiliamali na wafanyabiashara. Gazeti letu limeangazia maeneo mbalimbali ya utalii na utamaduni ikiwemo simulizi za kale, maeneo ya kihistoria, mazingira, vivutio vya kitalii na mbuga za wanyama. Mtakatifu (Saint) Augustine alisema “The world is a book, and those who do not travel read only one page” Kwa lugha nyepesi tunaweza kusema “Dunia ni kitabu, na wale wote wasio safiri wamesoma ukurasa mmoja tu”, Hivyo ungana nasi katika gazeti letu uweze kujua uzuri na upekee wa vivutio vya kitalii vya Tanzania tukianzia na nyanda za juu kusini mwa Tanzania, bila kusahau fursa katika ujasiriamali na biashara mbalimbali zipatikanazo. Mwisho, napenda kuwashukuru wadau wote ambao kwa namna moja ama nyingine wamekuwa na mchango mkubwa sana katika kufanikisha gazeti hili. Kwanza kabisa ni timu nzima katika uandaaji wa gazeti hili ambayo imekuwa bega kwa bega kuhakikisha kila kitu kinakuwa vizuri na kwa mafanikio. Pili ni wasomaji wote, watangazaji wetu pamoja na wadau mbalimbali ambao mmekuwa chachu ya sisi kusonga mbele na kufanya vizuri zaidi.

Macrine J. Ntabagi Chief Executive Officer

macrine@mbeyaadvertisewithmacrine.co.tz

4

info@mawm.co.tz


AUGUST 2018

ISSUE 002

FREE! TAKE IT PLEASE

EDITORIAL Macrine Justine CREATIVE & LAYOUT Wallizard - Creative & Marketing Agency PHOTOGRAPHY kelvin JM ADVERTISING Macrine Justine

Weka oda ya nafasi ya kutangaza 0745 885 399, 0673 606 012 macrine@mawm.co.tz info@mawm.co.tz

5


Onja Asali Ya Anga Na Dreamliner 787-8 Agosti Hii Safiri kutoka Dar kwenda Mwanza na Kilimanjaro kwa bei sawa na bure

Mwanza

Dar es Salaam

Kilimanjaro

Nauli Elekezi Dar es Salaam - Mwanza

Kilimanjaro - Mwanza

Dar es Salaam - Kilimanjaro

Kwenda Pekee Inaanzia

Kwenda Pekee Inaanzia

Kwenda Pekee Inaanzia

113,000/= Tsh.

93,000/= Tsh.

98,000/= Tsh.

Pamoja na Kodi

Pamoja na Kodi

Pamoja na Kodi

Kwenda na Kurudi Inaanzia

Kwenda na Kurudi Inaanzia

Kwenda na Kurudi Inaanzia

206,000/= Tsh.

166,000/= Tsh.

176,000/= Tsh.

Pamoja na Kodi

Pamoja na Kodi

Pamoja na Kodi

airtanzania_atcl

@airtanzania

#EndeleaKupasuaAnga www.airtanzania.co.tz | 0800 110045

@airtanzania



AUGUST 2018

Utalii

KIVUTIO PEKEE CHA BONDE LA UFA MKOANI MBEYA Mkoa wa Mbeya ni moja kati ya mikoa ya Tanzania inayopitiwa na Bonde la ufa (Bonde la ufa Kuu) linalosadikika kutokea miaka thelathini na Tano (35) milioni iliyopita, bonde hili lina urefu wa Kilomita (Km) 6400 na Upana wa kilomita (Km) 64 likianzia Bara la Asia, Afrika Mashariki na mwisho Msumbiji.

8

Sayari ya Dunia hapo awali ilikuwa bara moja lililojulikana kama PANGEA Kutokana na mitikisiko ikajigawa ikasababaisha kutokea kwa Mabara saba ambayo ni Bara la Afrika, Bara la Asia, Bara la Amerika ya Kaskazini, Bara la Amerika ya Kusini, Bara la Antaktika, Bara la Ulaya, Bara la Australia.

Hivyo tafiti za wanajigrafia zinaonyesha kuwa miaka kadhaa ijayo Nchi za Afrika mashariki (Kenya, Uganda na Tanzania) zitajigawa kutokea bara lingine Bonde hili la ufa limejigawa katika sehemu kuu ambazo ni: Mkondo wa Mashariki, Mkondo wa Magharibi na mkondo wa Kusini.

info@mawm.co.tz


Mkondo wa Mashariki Mkondo huu unaanzia kuonekana katika nchi ya Syria (Magharibi mwa bara la Asia) kuelekea Kusini mpaka nyanda za juu za Ethiopia, Somalia kuja Kenya kupitia ziwa Turkana, Kwa Tanzania limepita ziwa Natron. lapanuka pasipokuonekana tena kwa macho Kwenye bonde la Usangu linaonekana kama bonde lenye safu za milima kando. Mkondo wa Magharibi, huonekana vizuri kuanzia ziwa Albert na kuendelea katika maziwa ya ziwa Edward, ziwa Kivu, ziwa Tanganyika na ziwa Rukwa. Mkondo wa Kusini, Bonde la ufa likianzia Katika bonde la usangu(ambapo mkondo wa mashariki na mkondo wa magharibi imekutana), linaendelea mpaka Ziwa Nyasa, halafu katika mabonde

ya mto Shire na sehemu ya mwisho wa mto Zambezi hadi kuingia katika Bahari ya Hindi.

AUGUST 2018

Utalii

Mkoa wa Mbeya ni sehemu pekee ambapo pande zote za bonde la Ufa zinakutana (Mashariki, Magharibi na Kusini). Pia unaweza kuliona kwa uzuri bonde hili kupitia maeneo mbalimbali ndani ya mkoa wa Mbeya, Lakini sehemu nzuri zaidi ni sehemu iitwayo VIEWING POINT ambayo inapatikana katika eneo la misitu ya Kawetile barabara ya kuelekea Chunya, eneo hili ni zuri haswa kwa muonekano wake, hali ya hewa mwanana na linamuwezesha mtembeleaji kuona bonde la ufa kwa muonekano mzuri zaidi. Kwa mtalii Ukitokea Mbeya mjini kuelekea eneo hilo utaweza kuona vitu mbalimbali kama; eneo maalum kwaajiri ya kutizama muonekano wa jiji (MBEYA CITY VIEWING POINT), Barabara ya Uwanda wa Juu kuliko zote Tanzania (THE HIGHEST POINT OF ALL TRUNK ROADS IN TANZANIA), yenye Muinuko wa 2457M latitudo 0835’S longitudo 3325’E, Soko dogo la viungo (spice) na vyakula lililopo njiani, Kona kali sana iliyopewa jina la kona ya mkoa na mwisho kabisa ni sehemu ya kuangalizia bonde la ufa. Ambapo ukiwa sehemu hii utaweza kuona sehemu kubwa ya Bonde la usangu, ukiwa na kiona mbali (Darubini) unaweza kuona sehemu ya hifadhi ya Taifa ya Ruaha.

info@mawm.co.tz

9


AUGUST 2018

Utalii

IJUE HISTORIA YA KIMONDO CHA MBOZI (MBOZI METEORITE) NA SIFA ZAKE Kimondo cha Mbozi ni kimondo ambacho kimeanguka kutoka angani karibu na mji wa Vwawa, Kinakadiriwa kuwa na uzito wa zaidi ya tani 12, kilianguka ndolezi, kijiji cha isela wilayani mbozi katika mkoa wa Songwe, Tanzania. Kipo kati ya vimondo vizito kumi (10) vinavyojulikana duniani, kimondo hiki ni cha nane (8) kwa ukubwa duniani Lakini ni cha pili (2) kwa ukubwa barani Afrika, kina urefu wa mita 3.3, upana wa mita 1.63 na kimo cha mita 1.22. Lakini pia Kina maumbile maalum tofauti na vimondo vingine. vinavyopatikana ulimwenguni kwa kuwa hiki hasa cha chuma ambacho chaundwa na Chuma

10

90.45%, nikeli 8,69%, sulfuri0,01% na fosfori 0,11% ya masi. Kimondo hiki kina sifa za upekee sana mja ni kuwa na ubaridi katika msimu wote wa mwaka hata kama jua kali likiwaka hii ni kutokana na utofauti wa madini kiliyonayo, Pia ukiweka sumaku inanata kana kwamba inagusa chuma kitu ambacho ni tofauti na mawe mengine ya kawaida tunayoyafahamu, Tatu ukigonga gonga kinatoa Mlio kana kwamba ndani kinauwazi mithiri ya Debe tupu. Halele simbaya ndiye mwafrika wa kwanza kuliona jiwe (Nyota) ya maajabu, alikuwa ni mchunga Ng’ombe lakini pia mfua vyuma (Mhunzi) katika pita pita zake

aliona jiwe linalo ng’aa aka jaribu kuligongagonga na kubaini kuwa si jiwe la kawaida, ndipo alipo rudi kijijini na kutoa tarifa kwa Wana kijiji na machifu, wakalitumia jiwe hili kama sehemu ya kuabudia, katika kimondo kuna shimo ambalo lina maji ambayo hujaa wakati wa mvua na waliyatumia kupata baraka. Kihistoria hakuna binadamu aliyeshuhudia kimondo hiki kikianguka kutoka angani, Katika pitapita za bwana yenga yenga mjini akakutana na William Helman Nott, Soroveya (Mchora Ramani) kutoka Johannesburg ambaye akawa rafiki yake ndipo akamueleza kuwa kijijini kwetu tuna jiwe (Nyota) ya maajabu ambayo wazee wa kimila hulitumia kuabudia, Ndipo

info@mawm.co.tz


mzungu akaomba kwenda kuliona jiwe hili, Mara baada ya kuona aliandika hekaya ya kwanza kutokana na masimulizi aliyoyasikia kwa wenyeji na akaweza kuchorea michoro mbalimbali mnamo mwezi Oktoba mwaka 1930 na kasha kuiwasilisha kwa Serikali ya Kikoloni Mnamo mwaka 1931, Walitumwa wataalam wa miamba kwa ajili ya kufanya tafiti wakiongozwa na Dakt. D. R. Grantham wa Chama cha Jiolojia walikata sehemu ya kimondo nambacho kilikuwa na Kilo

info@mawm.co.tz

Tano (5) ambacho kilisaidia sana kujua uzito wa kimondo, Pamoja na aina ya madini yaliyomo katika Kimondo hiki. Kisehemu hicho kinaweza kuonekana katika makusanyo wa vimondo kwenye Jumba la Makumbusho la Uingereza huko London. Anasema mnamo mwaka 1967, kimondo hiki kilionekana kinadidimia taratibu kadri

AUGUST 2018

Utalii

siku zinavyoendelea ikabidi waweze kukijengea kwa kimtaro kukizunguka, na kufanya kionekane kana kwamba kimeinuliwa na kuwekwa juu ya madhabahu ya mawe. Namna ya Kufika, Kimondo hiki kipo umbali wa kilometa kumi na mbili (12) kutoka barabarani katika kijiji cha mahenje, kusini mwa Tanzania, katika barabara kuu ya TanzaniaZambia, njia kuu ya kwenda Tunduma.

11


AUGUST 2018

FURSA YA KIBIASHARA MBEYA MJINI.TENGENEZA KUANZIA ELFU 60 KWA SIKU HADI MILIONI MOJA KWA WIKI Erick Youngson Silavwe -Di/Trainer Contact 0763 341564 12

info@mawm.co.tz


AUGUST 2018 info@mawm.co.tz

13


AUGUST 2018

WAUZAJI WA VIFAA VYA FINISHING SPANISH TILES SANITARY WARE BATHROOM ACCESSORIES

Tupo Maghorofani New Forest, Tunduma Road Contact: 0786 865 276 | Email: mbeyashowroom@darceramica.co.tz

TWINKLE TIME LAUNDRY & DRY CLEANER

14

Pickup and delivery service within mbeya, Washing, drying & ironing, express service, 0754 530217, 0713 530217

info@mawm.co.tz


Art

is not what you see but what you make others see

FOR More Info Contacts 0719 321 032 / 0757 008 105


AUGUST 2018

Health Tips

How do you tell the difference between good stress and bad? Feeling stressed can feel perfectly normal, especially during exam time. You might notice that sometimes being stressed-out motivates you to focus on your work, yet at other times, you feel incredibly overwhelmed and can’t concentrate on anything. While stress affects everyone in different ways, there are two major types of stress: stress that’s beneficial and motivating good stress and stress that causes anxiety and even health problems bad stress. Here’s more on the benefits and side effects of stress and how to tell if you’re experiencing too much stress.

Benefit of Stress

According to experts, stress is a burst of energy that basically advises you on what to do. In small doses, stress has many advantages. For instance, stress can help you meet daily challenges and motivates you to reach your goals. In fact, stress can help you accomplish tasks more efficiently. It can even boost memory.

16

Stress is also a vital warning system, producing the fight-orflight response. When the brain perceives some kind of stress, it starts flooding the body with chemicals like epinephrine, norepinephrine and cortisol. This creates a variety of reactions such as an increase in blood pressure and heart rate. Plus, the senses suddenly have a laser-like focus so you can avoid physically stressful situations such as jumping away from a moving car and be safe.

Side Effects of Stress

Stress is key for survival, but too much stress can be detrimental. Emotional stress that stays around for weeks or months can weaken the immune system and cause high blood pressure, fatigue, depression, anxiety and even heart disease. In particular, too much epinephrine can be harmful to your heart. It can change the arteries and how their cells are able to regenerate.

Signals of Too Much Stress

It may be tough to tell when you’re experiencing good or bad stress, but there are important ways that your body lets you know that you’re struggling with too much stress. Watch out for the following warning signs: • Inability to concentrate or complete tasks • Get sick more often with colds • Body aches • Other illnesses like autoimmune diseases flare up • Headaches • Irritability • Trouble falling sleeping or staying awake • Changes in appetite • More angry or anxious than usual

What You Can Do

Stress is an inevitable part of life, but you can improve the way you respond to stress and avoid or change some of the situations that create negative stress.

info@mawm.co.tz


Gracious ni Planner mzuri sana. Kuanzia mwanzo mpaka mwisho. Kwa choice yako mwenyewe tunakufanyia tukio lako kuwa lakihistoria. Usiogope kwasababu huna kamati. Tunakusimamia kila kitu kwa bei poa ya utendaji wetu lakini pia watendaji kazi wangu kwakunitumia mimi itakupunguzia gharama pia. Harusi, sendoff,kparty,engagement,brida and baby shower. Mbeya nyuma ya Lux Lounge, Pembeni ya Penge Forest ya zamani 0767 218 014 | 0745 910 995


AUGUST 2018

Kilimo

HISTORIA YA KILIMO CHA KAWAHA NA FURSA ZA BIASHARA KATIKA MJI WA MBEYA

H

istoria fupi ya zao la kahawa Kwa mujibu wa wavumbuzi, Mmea wa kahawa aina ya Arabica ulianza kuonekana mnamo mwaka wa 600 huko katika milima ya misitu ya kanopi katika nchi inayoitwa Ethiopia kwa sasa. Historia inasema kuwa Mchungaji mbuzi anaetambulika kwa jina la Kaldi ndiye mtu wa kwanza kuona mmea wa kahawa katika katika milima ya misitu ya kanopi. Wakati akiwa katika misitu ya

18

kitalu cha miti ya miparachichi kutoka kampuni ya Lima kwanza Ltd kanopi akiswaga mbuzi wake Kaldi alishuhudia mbuzi wake wakiwa wanakimbia na wachangamfu kupita kiasi ndipo alipogundua kuna kitu kisichokuwa cha kawaida kimewatokea mbuzi wake. Kaldi alipojaribu kupeleleza alitambua kuwa mbuzi wake walikuwa wakifurahia kula matunda mekundu na majani ya shina la mti usiojulikana na uliokuwa mgeni machoni mwake, Kaldi aliamua kujaribu kula matunda mekundu ambayo mbuzi wake walikuwa

wakila na kuyafurahia mara baada ya kufanya hivyo Kaldi alijiunga na kucheza pamoja na mbuzi wake na akajiona kuwa yeye ni mchungaji mwenye furaha Zaidi. Wakati kaldi akiendelea kufurahi pamoja na mbuzi wake alipita kiongozi mmoja wa dini na Kaldi alimueleza juu ya mmea wa ajabu, basi kiongozi huyo aliona kama mti huo unaweza kuwa ni jibu kwa sala zake kwa maana alikua akilala usingizi mara kwa mara wakati wa ibada na alipoanza kula matunda info@mawm.co.tz


mekundu kutoka kwenye mti wa ajabu hakusikia usingizi tena wakati wa ibada. Kiongozi mkuu wa dini asiyejulikana alikuja na wazo la kukausha na kuchemsha matunda ya mti wa ajabu na kufanya kama kinywaji, wakuu wenzake walipenda kunywa kinywaji kipya kwa kuwa kiliwaongezea utimamu wa mwili na waliweza kufanya ibada zao kwa umakini Zaidi bila kuwa wachovu. KAHAWA KATIKA NCHI YA TANZANIA Kahawa ni zao la kudumu ambalo likitunzwa vizuri linaweza kukaa shambani zaidi ya miaka 50 likiendelea kuvunwa. Iliingizwa Africa mashariki kwenye karne ya 19 na Wamisionari. Aina: Kuna aina kuu mbili zinazolimwa Tanzania nazo ni: 1. Arabika 2. Robusta • Kahawa ya Arabika asili yake ni misitu ya milima ya Ethiopia, yenye jotoridi kati ya nyuzi 16 na 24 za sentigredi, na mvua zinazonyesha mwaka mzima. Punje za kahawa aina hii ni chungu, huwa na ladha ya matunda, na hupendwa zaidi duniani. Kahawa aina ya Arabika hulimwa zaidi kwenye Nyanda za Juu za Kaskazini (Kilimanjaro, Arusha) na Nyanda za Juu Kusini (Ruvuma, Mbeya, Songwe) Mikoa mingine inayolima kahawa kidogo ya Arabika ni pamoja na Iringa, Kigoma, Morogoro na Rukwa. • Kahawa ya Robusta asili yake ni kwenye misitu ya ikweta kwenye Bonde la Mto Kongo, lenye hali ya hewa ya joto na unyevu mwingi. Mmea huu unastamili joto zaidi na info@mawm.co.tz

kwa kawaida haupendi sana baridi. Kahawa aina hii ni chungu sana, na hutumika zaidi kwa kutengeneza kahawa ya unga. Viwango vidogo huchanganywa na kahawa nyingine ili kupunguza ukali wake. Kahawa aina ya Robusta hulimwa zaidi Mkoa wa Kagera (Bukoba). UZALISHAJI WA KAHAWA KATIKA MKOA WA SONGWE Pamoja na kuwepo na changamoto mbalimbali katika uzalishaji wa zao la kahawa kuanzia ngazi ya mkulima mpaka katika masoko ya kahawa, uzalishaji wa zao la kahawa katika mkoa wa Songwe umebaki kuwa nguzo muhimu katika kuimarisha uchumi wa wananchi wa mkoa wa songwe. Uzalishaji wa kahawa katika mkoa wa songwe unahusisha wakulima wenye mashamba madogo, mashamba ya kati na wakulima wenye mashamba makubwa (estates). Zao la kahawa katika mkoa wa songwe hulimwa katika kata mbalimbali kama vile Nyimbili, Halungu, Nambinzo, Mlowo, Itaka, Mlangali, Iyula, Ipunga nk. Ili kuongeza tija katika uzalishaji wa zao la kahawa, wakulima wanapaswa kufuata na kutumia mbinu bora za kilimo cha zao la kahawa ili kufanya zao la kahawa kuwa endelevu na lenye manufaa kwa kizazi cha sasa na baadae. MAHITAJI YA MTI WA KAHAWA

Wanapoanzisha shamba la kahawa, wakulima wanapaswa kupata ushauri kutoka Afisa Kilimo, Afisa wa TCB au TaCRI aliye karibu nao ili kupata taarifa kama ardhi yao inafaa kwa kilimo cha kahawa. Pia, wakulima wapate ushauri juu ya aina ya mbegu ya kahawa inayofaa kupandwa, ambayo itaendana na hali ya hewa na mazingira yao.

AUGUST 2018

Kilimo

Kahawa inahitaji matunzo ya kutosha ili kuhakikisha kuwa inapata virutubisho na maji ya kutosha, na pia kinga dhidi ya wadudu waharibifu na magonjwa. Wakulima wanapaswa kuwa tayari kuwekeza utaalam na kuwa makini na utunzaji wa zao lao ili liweze kuwaletea kipato na manufaa kiuchumi. Kwa sababu ya thamani ya kahawa kiuchumi,kahawa ni zao linalosimamiwa, wakulima wanatakiwa kujifunza sheria na kanuni za uzalishaji, usindikaji na masoko yake ili kutekeleza masharti na viwango vilivyowekwa na kanuni. Vigezo vikuu vya kimazingira kwa ustawi mzuri wa kahawa ni jotoridi, maji, mwanga, udongo, na upepo. Vigezo vyote hivi vinapaswa vizingatiwe na kufanyiwa tathmini kipekee na kwa ujumla kabla ya kuanzisha shamba la kahawa. Ili kufaidika na kilimo cha kahawa, kupunguza gharama za uzalishaji na kukabiliana na vihatarishi vya kilimo, wakulima wanapaswa kuelewa ardhi yao na jinsi itakavyoathiri mbinu zao za kilimo.

Mti wa kahawa ni mali na unahitaji matunzo kama mazao mengine, kahawa inahitaji hali nzuri ya hewa (mvua na jotoridi), udongo laini na virutubisho mbalimbali ili mmea ustawi na kuzaa vizuri. 19


AUGUST 2018

Kilimo

MAMBO YA MUHIMU YA KUZINGATIA WAKATI WA UAANDAAJI WA SHAMBA JIPYA LA KAHAWA • Mahali panapofaa kupanda kahawa • Aina ya udongo • Kiasi cha mvua • Mwiinuko • Joto • Usafishaji wa shamba • Upimaji wa nafasi ya kupanda • Uchimbaji mashimo • Uchaguzi wa mbegu za kupanda • Uchanganyaji mbolea kabla ya kupanda. Jiografia ya shamba: hii inahitaji tathimini ya mwinuko na ukali wake ili kuamua kama shamba litahitaji lipangiwe matuta ya kuzuia mmomonyoko wa ardhi na makinga maji. Tathmini hii inasaidia pia kuamua kama miti ya kivuli itahitajika kwani mwinuko unaathiri kiwango cha mwanga naoangukia shamba. 20

Mvua: Kahawa huhitaji mvua kiasi cha milimita 1900 kwa mwaka. Hata hivyo mazao huongezeka mvua zinapokuwa kati ya milimita (15002300) kwa mwaka. Joto: Kahawa huhitaji kiasi cha nyuzi joto kati ya 15 hadi 25 Udongo: Hustawi kwenye aina mbali mbali za udongo, ili mradi usituamishe maji, uwe na rutuba, unyevu nyevu wa kutosha, kina cha kutosha kama mita 1.8 kwenda chini, na tindikali kiasi cha 4.5 - 6.0 pH.

Wakati wa kuchagua miche ya mikahawa, kumbuka:

• Chagua aina ya kahawa inayoshauriwa kupandwa katika mazingira yako • Panda miche yenye afya tu. Miche dhaifu itazalisha miti kahawa dhaifu na mavuno kidogo.

info@mawm.co.tz


• Miche ya kahawa bora hukua kwa haraka na mavuno yake ni ya mapema • Miche ya kahawa bora huwa na kinga dhidi ya magonjwa na wadudu. KIVULI KATIKA SHAMBA LA KAHAWA Kutokana na kuwepo kwa mabadiliko ya tabia nchi yanayopelekea kuwepo na ongezeko kubwa la joto, kuwepo kwa miti ya kivuli shambani kumekuwa na umuhimu zaidi. Wakulima wanapaswa kupanda miti ya kivuli kwa manufaa ya miti ya kahawa, na pia kukidhi mahitaji mengine ya chakula na uchumi ya familia. Shamba la kahawa linaweza kuchanganywa na mazao mengine yanayopendekezwa na wataalamu wa zao la kahawa bila kuathiri mmea wa kahawa na kufanya mkulima aweze kufaidika ipasavyo kwa kuwa na uchumi unaotegemea mazao mbalimbali katika shamba moja.

info@mawm.co.tz

Baadhi ya mazao ambayo yanaweza kuchanganywa na mmea wa kahawa katika shamba moja ni kama 1. Migomba 2. Miacadamia 3. Miparachichi Baadhi ya miti ya kivuli inayopendekwezwa kupandwa katika shamba la kahawa 1. Mringaringa (Cordia Africana) 2. Mruka (Albizia Schimperiana) 3. Mvule (Milicia excelsa) 4. Mlusina (Leuceana leucocephala) Faida za miti ya kivuli: 1. Huua magugu 2. Huleta kivuli 3. Hukaribisha wadudu marafiki 4. Hupunguza kasi ya upepo 5. Huongeza rutuba ardhini (majani yanapooza) Ubora katika zao la kahawa Ubora wa kahawa unatoka shambani kulingana na ufuatiliaji wa kanuni za kilimo bora, ikifuatiwa na uvunaji wa kahawa sahihi. Endapo kahawa haikutunzwa vizuri shambani, au mashambulizi ya wadudu waharibifu au magonjwa yanayoharibu zao la kahawa, basi ubora wa kahawa utaathirika.

Na hakuna chochote kinachoweza kufanyika tena.

AUGUST 2018

Kilimo

Ubora wa kahawa inayozalishwa na wakulima inaamua bei watakayoweza kuipata. Wakulima wanapaswa kutambua vigezo vya ubora vinavyoweza kusimamiwa na wakulima wenyewe, na jinsi ya kutambua na kupunguza mapungufu ili kuongeza ubora wa bidhaa yao. HITIMISHO Ili kupata kahawa bora na yenye bei nzuri inabidi kufuata utaratibu kama ilivyopendekezwa hapa chini pamoja na kufuata ushauri kutoka kwa wataalamu wa kilimo waliopo karibu. Ubora wa kahawa huanzia 1. Shambani (matunzo/Lishe, Udhibiti wa wadudu na Maogonjwa) 2. Hatua za umenyaji/Ukoboaji wa kahawa mbivu 3. Uvundikaji 4. Kuosha 5. Ukaushaji / Uanikaji 6. Kuhifadhi (stoo) 7. Kusafirisha 8. Ukoboaji wa kahawa kavu (parchment) kiwandani.

21


AUGUST 2018

Masoko

SOKO LA UHINDINI

Soko lipo uhindini, pata matunda na nafaka mbali mbali pia lina aina za mboga mboga ambazo ni adimu sana kupatikana lina utofauti katika nafaka zake pia lina mboga ambazo hutumiwa na wageni hata toka nje ambazo ni tofauti na masoko mengine.

SOKO LA UYOLE

Soko la Igawilo lipo Uyole wengi huita (Soko la uyole) lipo njia panda ya kwenda Malawi lilianzishwa mwaka 1980. Lina jishugulisha na biashara mbali mbali. Nafaka. Ngano, Maharage, njegere, mahindi, na aina zote za matunda. Soko la uyole ni maarufu kwa Ndizi, Mchele na nafaka zote zina patikana katika soko hili 22

info@mawm.co.tz


AUGUST 2018

Hotels

Luxurious hotel and leafy suburb within Mbeya City located at Uzunguni area (Mbeya’s diplomatic area) along Kaunda Avenue. Whether on Safari, official stay, holiday vacation trips, or night stay. Hillview hotel provides you rooms and apartments attached with sitting, dining rooms and kitchen whereby you have a choice for entire apartment or individual contained rooms. “Hillview Hotel guarantees you an ideal home away from home”. Kaunda Avenue, Uzunguni Area Mbeya, Tel: +255 252 502 766 Mob: +255 767 502 767, +255 783 760 906 P.O. Box 1099 Mbeya, Tanzania, E-mail : info@hillview-hotel.com

BEACO RESORT

Beaco Resort is a uniquely Hotel situated in the hilly valley of Mbeya Hills slopes. Due to the growth of Tourists that is, both local and Internationally, 2009. The proprietor so the demand and wasting no time Beaco Resort was born. It is along Tunduma Road, near Kadege Bus Stand on the left hand side on the way to Tunduma- Border; and Three (3) kilometers to Town Cente. Beaco Resort is in New Forest Estate in Mbeya near St. Mary`s School. info@mawm.co.tz

23


AUGUST 2018

Others

DJ DHIFA UNTOUCHABLE

Dj For Events,Clubs,Radio/TV & Special Events(Weddings,Birthday Parties etc) Contacts: +255715 847561 Follow: Instagram @djdhifa_untouchable, Twitter@djdhifa,Snapchat @deejaydhifa

DVJ NICKY THE BEST

FOR RENT

MITSUBISH FIGHTER - Model 2002 - 3200cc - Tandam option - 0692 469 669

FOR RENT

MITSUBISH MIGNUM - Model 1992 - 6500cc - Tadano - 300, 2 stages - 0692 469 669 24

Dj for Events,Clubs,Radio/TV & Special Events(Weddings,Birthday Parties etc) Contacts: +255655479127 Follow: Instagram @dvjnicky_thebest, Twitter @dvjnicky12 , Snapchat @ dvjnickypro info@mawm.co.tz


AUGUST 2018

Events

WEDDING CEREMONY 30/7/2018 Lusajo & Jack

Photographer Studio: Native Studio Block T House #55 Mbeya Tanzania 0717 282 217, 0768 470 486

info@mawm.co.tz

25


AUGUST 2018

Fashion

8 Designer Bags Every Woman Should Own

Proenza Schouler

Gucci bag

Fendi

Simon Miller

Zanellato

Mansur Gavriel 26

Mark Cross

Jeffrey Levinson info@mawm.co.tz


Clearing and forwarding of goods Import Export Transportation of goods

Clearing and forwarding of goods Import, Export &Transportation of goods


NEW CITY

PUB &M BLOUNGE E YA

WE DON’T CLOSE TILL THE SUN BURNS OUT

Experience The Difference Of Good Music, Full Hospitality of Services, Drinks (Cocktails & Shots) New city lounge

WEDNESDAY

THURSDAY

FREE ENTRY

GENT 5K LADIES FREE

African Night

Ladies Paradise entry

BREAKFAST Mchemsho wa samaki, kuku, Ng’ombe, kongoro , mbuzi, Filigisi, Figo, maini, Ndizi, Sambusa, Andazi, chai Chapati

W E E K LY

FRIDAY

BINGO NIGHT ENTRY 7K

S C H E D U L E

SATURDAY

SUNDAY

ENTRY 7K

ENTRY 6K WITH COUPON OF BEERS

INTERNATIONAL SATURDAY

CHAKULA Wali nyama Mbuzi, samaki, Ng’ombe, mboga mboga, Ugali nyama Ng’ombe, mbuzi. Samaki, mboga mboga. Chips Nyama Mbuzi, Ng’ombe, mayai ya kienyeji, mayai, samaki.

KARAOKE DAY

NYAMA CHOMA Kuku choma, Samaki choma Samaki roast, Mbuzi choma NAMBA ZA JIKONI 0769 745 571, 0765 317 340


Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.