Issue 0005

Page 1

M o n t h l y

P u b l i c a t i o n ,

C o p y

ere to Buy What & Wh out ent & Hang Entertainm ks n a Hotels, B Directory s ire, Saloon tour, Car h Real estate

Tourism & Advertising J A N U A R Y - F E B R U A R Y, 2 0 1 9

F r e e

|

ISSN - 2919-872X, ISSUE - 005

MAPOKEZI YA NDEGE MPYA, KIWANJA CHA NDEGE SONGWE MKOANI MBEYA


JAN - FEB 2019

Air Tanzania

Karibu Mbeya

AIRBUS (A220-300)

2

info@mawm.co.tz


JAN - FEB 2019

Air Tanzania

Shirika la Ndege ATCL ni la kwanza Afrika kumiliki ndege ya aina hiyo yenye namba za usajili 5H-TCH iliyopewa jina la Dodoma.

info@mawm.co.tz

3


JAN - FEB 2019

Air Tanzania

MAPOKEZI YA NDEGE MPYA, KIWANJA CHA NDEGE SONGWE MKOANI MBEYA “Mnamo tarehe 12.01.2019 siku ya jumamosi majira ya saa kumi jioni, Kiwanja cha Ndege cha Songwe kilichopo takribani kilometa 25 kusini magharibi kutoka katikati ya jiji la Mbeya kilipokea mojawapo ya ndege mpya za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) aina ya AIRBUS (A220-300) yenye uwezo wa kubeba abiria 141. Shirika la Ndege ATCL ni la kwanza Afrika kumiliki ndege ya aina hiyo yenye namba za usajili 5H-TCH iliyopewa jina la Dodoma. Ndege hiyo ilipokelewa na umati mkubwa wa watu wakiongozwa na Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mheshimiwa Albert Chalamila pamoja na viongozi wengine waandamizi wa serikali. Halikadhalika wafanyabiashara na wananchi wa mikoa ya Mbeya na Songwe kwa ujumla wao walihanikiza mapokezi hayo ya kihistoria katika Kiwanja cha Ndege cha Songwe.

Katika mapokezi hayo kulinadhifishwa na tukio la kurusha maji kutoka kikosi cha zimamoto cha Kiwanja cha Ndege cha Songwe maarufu kama “water salute” kama ishara ya kuikaribisha ndege hiyo katika Kiwanja cha Ndege cha Songwe. Ujio wa ndege hii utarahisisha usafiri wa anga kwa wakazi wa Mbeya na mikoa ya jirani pamoja na abiria wanaotokea nchi jirani za Congo, Zambia, Malawi na hata Zimbabwe. Na pia itasaidia kufungua fursa za utalii, biashara na kiuchumi na kuongeza pato la mkoa. Kiwanja cha Ndege cha Songwe kimejipanga vizuri kwa ajili ya kusaidia na kuhudumia abiria watakaotumia ndege hii na nyingine zitakazokuja.”

Makala imeandikwa na Mbura Daniel Mkuu wa Biashara na Masoko; Kiwanja cha Ndege cha Songwe

4

info@mawm.co.tz


JAN - FEB 2019 info@mawm.co.tz

5




JAN - FEB 2019

Tourisim

Katavi

National Park Katavi National Park is located in western Tanzania close to Lake Tanganyika in Mlele, Tanganyika and Mpanda Districts; it is located between Latitude S6.630-7.340 and Longitude E30.740-31.840. Formerly before 1974, it was a game reserve; The Park was established in 1974, with an area of 2,253km2. In 1997 it was extended to 4,471km2. Its location is 38km south of Mpanda town, Katavi national park is the third largest national park, after Ruaha and Serengeti in Tanzania. KATAVI CLIMATE Katavi has a bi-modal rain season, characterized by short rain in October to early November, followed by long rain lasting for Five months December to May, although the rainfall pattern is unpredictable but. Average rainfall is 950mm. October is the Hottest Month with average temperatures exceeding 30 oC, June is the coolest month with the temperature dropping below 24oC in lakeshores.

KATAVI VEGETATION. Katavi Vegetation is characterized by Miombo, colorful mosaic with closed to open woodlands. Shrub lands, Plain grasslands, plateau, Escarpment and riverine thickets. Flowers varieties during wet season are observed; about 226 species of trees have been identified. The life line of the Park is Katuma River, which feed Lake Katavi of about 150 Km2, in the North, Lake Chada and Katsunga Flood Plain with 425 km2 in the Centre. Lake Chada receives water from Kapapa (Msaginya) river which drains its water in areas from the North of Katavi. ACCESSIBILITY. Katavi is accessible throughout the year, with 4X4 vehicles, in December to May Months and from June to October and mid December, Any vehicle can be used. HOW TO GET TO KATAVI. By Air: Several companies like Zantas air, Safari air link (SAL) and

8

Coastal Air, have charter flight from Dar es Salam, Mwanza, Kigoma or Arusha cities to either Mpanda airport which is located in Mpanda town or to Sitalike and Ikuu airstrips inside the park for every Monday and Thursday. By Road: From either Dar es Salaam via Mbeya (1513Km), Dar es Salaam via Tabora (1392km), Arusha via Tabora (1015.7km) and Mwanza via Tabora-Inyonga (741 km). By Rail: It is also possible to reach Mpanda by train from Dar es Salaam via Tabora then catch a public transport to Sitalike, where game drives can be arranged. KATAVI TOURISM ATTRACTIONS. Major Tourist Attractions, Katavi have the spectacular concentration of animal varieties in Katsunga Flood plain, paradise spring, Kataukasi and Kakonje Plains, Chorangwa river, Lukima Woodlands, Mpunga Flood plains, Borass Palm woodlands at Nsakasa, Mbuga ya Duma and Ikuu.

info@mawm.co.tz


JAN - FEB 2019

Hippopotamus Schools at Katuma, Kapapa and Ikuu Rivers and high concentration of Crocodile to Katuma, Kapapa and Ikuu rivers, presence of Crocodile caves at Old Ikuu Bridge.

has Chorangwa Waterfall and river Rungwa has Ndido waterfall.

Lake Katavi, and Lake Chada, they provide a scenic beauty for Lake Katavi and Ilyandi sand ridges, sighting herds of Eland and Buffaloes and the views of Seasonal Lake Chada Surrounded by Accacia tortilis.

Vegetation, Katavi vegetation broadly can be classified as Miombo and Mixed Woodland,

The view of Escarpments, the Great Rukwa Rift Valley, The great Rukwa rift valley is divided into two sides, Lyamba lya Mfipa in the Western and Mlele in the East. Located at an elevation of 838 M above sea level. Birds Species, Presence of 450 species of Birds that have been identified in Katavi make it the best place for bird watching and researching, presence of large number of water bodies increases the chance for easy bird watching. Waterfalls, Katavi National Park has large number of water bodies, which some of the water bodies have huge and beautiful waterfall, River Lukima has a Lukima waterfall, Chorangwa info@mawm.co.tz

Tree of the spirit “Katabi” and the hills of his wife “Wamweru” mainly they are there for cultural tourism.

ATTRACTIONS OUTSIDE THE PARK. Lake Tanganyika, the second deepest lake in the world with beautifully beach Kalambo waterfall, best waterfall to view 120km from Sumbawanga. Hot Springs at Majimoto. Nearby National Parks like, Ruaha, Kitulo, Gombe and Mahale. TOURISM ACTIVITIES WITHIN THE PARK. Game viewing, it is the main activity for visitor’s enjoyment within the park, it is usually conducted in the day, by driving a vehicle that can be open or covered. Speed limit has to be considered not above 30km/hr and it should be in recommended tourism circuits within the park. Walking Safaris, conducted in designated trails for visitors

enjoyment, close view of wild resources and feeling of wilderness, it is strictly for Adults and that’s for safe reasons. It can be short or long walking safari depending on time to be spent walking in the park. Bird Watching, Katavi offer an outstanding diversity of bird species about 450 Species of Bird have been seen to Katavi, and therefore it easy to watch Bird during the early morning and late evening. Camping, two types, public campsite, with all important facilities, like toilets, kitchen and washrooms and Special campsite, conducted in a special areas, it has no any facilities. It is important to ensure anything you got in with, should get out with you. Bush Meals, Place for bush meals can be arranged upon request from a visitor. Pickniking best places for taking meals while a visitor is in a game drive, Filming, it’s an activity that involves taking still picture, moving picture for a purpose of preparing a movie, a song or any documentary within the national park environment. 9


JAN - FEB 2019

Tourisim

Its mandatory to obtain filming permits from the Ministry of information, sports and culture and then from the office of the Director General –TANAPA. Night game drive, Night game drive is an activity conducted during the night, using open vehicle and special spotlights to observe nocturnal animals’ and their behavior. Conducted in the night from 1; 00hrs to 23; 00hrs, special open Car with spotlight, armed ranger for Escort. Hicking, walking following special trails to a waterfall, popular waterfalls in Katavi are Ndido from River Rungwa, Chorangwa from River Chorangwa and Lukima waterfall from River Lukima. Cultural activities, local indigenous wabende and wapimbwe uses of tree of the Spirit

10

“Katabi” and the hills of his wife “Wamweru” for praying and asking for their needs. Since the gazation of Katavi National Park we have been experiencing the group of indigenous coming for praying in these areas. Other areas includes Kansanga ritual site, chada ritual site and marija ritual site. ACCOMODATION Inside the Park, accommodation facilities owned by the park includes, Rest house, Seven Bandas, Campsite (both public and special), public campsites have all basic facilities latrine, bathrooms and kitchens, special campsite don’t have any facilities. The private owned tented camps and Lodge which are inside the park are Chada tented Camp at lake Chada, Katuma Lodge at Katsunga plain and Katavi wildlife camp near Ikuu.

Outside the Park there is a lots of facilities to a town known as Mpanda about 38 km from Katavi national park.

Contact Chief Park Warden Katavi National Park P.O.BOX 89, Mpanda Tanzania E:katavi@tanzaniaparks.go.tz Katavi.tourism@tanzaniaparks. go.tz Phone +255767536128 +255689062314 Follow us on twitter@katavipark instagram@katavipark facebook@katavipark

info@mawm.co.tz



JAN - FEB 2019

Tourisim

KIJUNGU JIKO (THE COOKING POT) Kijungu jiko almaarufu kama Kijungu, kinapatikana katika kijiji cha Mboyo kata ya Lupepo Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya, Kijungu hiki cha maajabu kinapatikana katika Mto Kiwira wenye chanzo chake katika Hifadhi ya Mazingira Asilia ya Mlima Rungwe yakitiririka katika Vijiji mbalimbali na kisha kumwaga maji yake Ziwa Nyasa wilayani Kyela, Lakini pia ni moja kati ya vivutio vinavyofikika kirahisi sana katika misimu yote ya mwaka. Kivutio hiki kiko karibu sana na kivutio adhimu cha daraja la Mungu, uwapo sehemu ya juu kabla ya kushuka kilipo kijungu kuna muonekano mzuri wa mandhari ya milima, iliyopambwa kwa ragi ya kijani chenye kupendeza. Eneo la kijungu limezingirwa na mwamba wa jiwe wenye kureta taswira nzuri na yenye kupendeza sana, Sehemu ya juu

12

ya kijungu hiki imefanyika kuwa na muonekano sawa na chungu na ndio sababu kimeweza kuitwa kijungu jiko. Katika kivutio hiki lipo daraja ambalo hutumika na baadhi ya wakazai wa eneo la pili kuvuka, kwa mujibu wa masimulizi zipo taratibu za kufuata hasa unapovuka Daraja Hili Inaelezwa kwamba mtu akitokea upande wa mashariki lazima atangulize mguu mmoja wa kulia kisha kuusogeza taratibu mpaka akimaliza kuvuka, naendapo akitoka upande wa magharibi atatakiwa kuanza mguu wa kushoto na kuusogeza taratibu huku mguu wa kulia ukifuata nyuma, Lakini pia kama mtu anavuka na atakuwa kabeba mazao basi itampasa achukue kidogo kwenye kapu ama kifaa alichobebea atupe kwenye kijungu kama sadaka.

upande wa pili yake kwa kasi kidogo, ukitembelea wakati wa mchana hasa jua likigonga maji unapata bahati ya kuona upinde wa mvua katika maji, kuna sehemu ni kama chujio la uchafu maana taka zote mfano makopo, Rambo na N.k hujizungusha pale, baada ya hili eneo ambalo taka hujizungusha maji yanaonekana kuingia sehemu ya ndani kwa uelekeo kwenye andaki tulikopaki magari na kupitiliza kidogo, hupokea maji yote ya mto huo na kuyapeleka chini bila kuyapitisha juu ya mwamba huo. Namna ya kufika kijungu jiko ukitokea uelekeo wowote kama ni jiji la Mbeya ama Kyela utateremkia/Utakatisha Kijiji cha Kyimo Kijiji Kitulivu maarufu kwa jina la ‘KK’ na kisha kuelekea kwenye shimo la Mto Kiwira umbali wa kilometa 12.4 kutoka barabara kuu.

Maji yaingiapo katika kijungu yatashuka chini na kisha kutokea

info@mawm.co.tz


info@mawm.co.tz

JAN - FEB 2019

Utalii

13


JAN - FEB 2019

Luxurious hotel and leafy suburb within Mbeya City located at Uzunguni area (Mbeya’s diplomatic area) along Kaunda Avenue. Whether on Safari, official stay, holiday vacation trips, or night stay. Hillview hotel provides you rooms and apartments attached with sitting, dining rooms and kitchen whereby you have a choice for entire apartment or individual contained rooms. “Hillview Hotel guarantees you an ideal home away from home”. Kaunda Avenue, Uzunguni Area Mbeya, Tel: +255 252 502 766 Mob: +255 767 502 767, +255 783 760 906 P.O. Box 1099 Mbeya, Tanzania, E-mail : info@hillview-hotel.com

14

info@mawm.co.tz


JAN - FEB 2019

GACINIA PHARMACY -NEAR ESSO

GACINIA PHARMACY -NEAR BUS TERMINAL

GACINIA COMPANY Ltd Your Neighbourhood Pharmacis. Wauzaji wa dawa kwa Jumla, vifaa tiba na vipodozi

Our Branches. GACINIA PHARMACYNear Mbeya Bus terminal 0769-427340, 0756-519286

GACINIA PHARMACY -Near Esso 0759-093915, 0756-519286 Email.gaciniah@yahoo.com

AKASIA PHARMACY

Friendly Services

NEAR GR Hotel Soweto 0745-659769 0756-519286

info@mawm.co.tz

15


JAN - FEB 2019

Tourisim

MAPOROMOKO YA MAJI MALASUSA Ni moja kati ya maporomoko ya ajabu sana katika mto kiwira, yanakadiriwa kuwa na mita Thelathini na tano (35) yanayodondoka kutoka kutoka juu ya mwamba unaofanya pango kubwa linaloonekana kirahisi na kuleta mandhari ya kuvutia sana, Ni eneo ambalo wazee wa kimila (Machifu) walilitumia kufanya matambiko pindi yalipotokea majanga ya asili kama magonjwa, Njaa, Ukame, Mafuriko na N.k,. Maporomoko haya yanapatikana katika kijiji cha Ibililo kata ya Nkunga, Halmashauri ya wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya.

vionjo mbalimbali hasa kulingana na muda gani umetembelea, endapo ukafka asubuhi sana ukajionea jua linavochomoza uwapo hapa utafurahia sana muonenekano wake Shughuri zinazoweza kufanyika katika maporomoko ya maji malasusa Shughuri mbalimbali zinaweza kufanyika ikiwemo Kupunga upepo, Kuogelea, Uvuvi wa samaki N.K.

Namna ya Kufika Utokeapo Mbeya Mjini ama kutoka Kyela, shuka sehemu iitwayo karasha, kasha fuata barabara kuu kwa umbali wa kilomita nne (4) hadi maporomoko ya maji malasusa

Ni miongoni mwa vivutio vinavyofikika kirahisi sana katika misimu yote ya mwaka, Maporomoko ya maji Malasusa yanakupa fursa ya kupata

16

info@mawm.co.tz


info@mawm.co.tz

JAN - FEB 2019

Tourisim

17


JAN - FEB 2019

Tourisim

KAPIKI Maporomoko ya maji wilayani Rungwe moja ya kivutio pekee cha utalii nchini Tanzania

18

info@mawm.co.tz


Maporomoko ya maji kapiki ni miongoni

JAN - FEB 2019

Tourisim

mwa maporomoko marefu katika halmashauri ya wilaya ya Rungwe, ni maporomoko ambayo yana sehemu nzuri sana ya kutizamia (Viewing area), Yanapatikana katika kata ya Lupepo kijiji cha Lupepo. Ni sehemu nzuri sana kwa kupigia picha za shughuri mbalimbali kama vile picha za mitindo, Harusi, Ama kumbukumbu za kuzaliwa (Birthday) N.K. Shughuri zinazoweza kufanyika Unaweza kufurahia matembezi ya mguu ama chombo cha moto (Pikipiki, Gari) Ambapo utapata kuona shughuri mbalimbali zinanywazo na watu jamii ya wanyakyusa ikiwemo Kilimo cha Ndizi, Ukifika katika maporomoko haya unaweza kuogelea ama ukashuhudia shughuri za uvuvi.

Namna ya kufika.

Ukitokea uelekeo wa Mbeya Ama uelekeo wa Tukuyu na Kyela Shuka ama katisha katika kituo cha karasha (Kiwira) katika barabara inayopita Maporomoko ya maji Malasusa ni umbali wa kilomita 9.5 kutoka Barabara kuu hadi Maporomoko ya maji kapiki.

info@mawm.co.tz

19


JAN - FEB 2019

Feature

MALENGA MENTAL MODEL

as a successful thinking model. Dr. Raymond N Mgeni

The World is seen into two eyes perspective; one is to see from external events and deciding from internal perceptions, knowledge, experiences, belief, wisdom and skills towards life situations and challenges and the second eye is deeper on seeing the inner things of things. This is a part that see things from inside out and this is one of powerful tool most great people in different fields use in their daily activities and taking right risks and opportunities. This second part is not easily attained for most people more rather than people who have student mindset towards life. Mental model is a tool and system to use to see opportunities and take advantage in life in shortening the path to mastery and success.

20

It is a set of one’s thought process on how an individual understands deeper works of nature on how things work and interconnect one another as things in a one system. Seeing in this perspective needs a lot of continuous training and following instructions. Mastering this way of thinking is a leverage in life as other leverages like technology that make life easier. In knowing this early as a tool. There are benefits in how you will start seeing abundance in every area in life. This way of thinking will allow you to see possibilities in every situation in life as an opportunity that is ready to open the doors for insights, ideas, innovations and creativity. Model is a like a shortcut program installed to your mind on seeing things in their inner side and this gives you an extra mile step to go.

Malenga Mental Model is coined model from Malenga wa Ubena poetic understanding for more than 10 years of his experience in Swahili poems writing. This model based on how in a poetic perspective perceiving this world to opportunities consciousness in full endless pattern. As in composing poem verses just only you need to have wide view of things in deeper pictures and only available alphabets and letters are the one to be used in a wonderful fashion. As other masters of mental models like Charlie Munger also this model has a wide perspective on seeing things in 5 components. Opportunities or abundance consciousness is one component to be aware from now and the last of your life. The World is full of opportunities and is just to be info@mawm.co.tz


with people in creating value chains it gives a way for people wants you to be in their circles. “People networks are powerful tool and connect us in a miraculous patterns. Use of mentors, coaches, trainers, experts, elders can shorten the way to success”. Every day when you wake up think about building good networks with people in many possible ways such as attending seminars, classes, social medias, volunteering works, meetings, symposiums, emails and many more.

Solutions thinking culture is another second component that opens inspiration and motivations when you see how people feel when their problems are solved. From ages to ages people suffer from varieties of problems from internal to external problems. In this sense there is an open platform to offer solutions. “Whenever there is a problem there is an opportunity for you to offer solutions. And when you give solutions you create value. And money is a reward after giving value to people’s lives”. Just go and be a solution creator.

Volunteering, altruism, internship and philanthropy is another component of Malenga Mental Model on how is beautiful to make a difference in the community through volunteering, being altruistic and pure philanthropist. There is something even little to share to the world to make it be a better place to live. Through talents, gifts, potentials, smiles, money, skills, giving can add something of value to the humanity.

Building networks with right people is a powerful thing more than money and this comes after other two you have mastered in your life. When you take an opportunity to live well

Just little contribution can make a huge impact that will be a living legacy. “Our lives will be meaningless if we only think for ourselves. Through giving our time, smiles, money, skills, talents to help others is what make life beautiful. Through cultivating volunteerism, altruism and philanthropy spirit can be a tool

to touch people’s lives” Technology (internet) is exponential component. We see on how one post can go viral to social media in minute. We see how things can turn worse and good paradoxically in minute through mobile technology and we see how easily accessible to information overload in this era and future. This is how technology as a powerful exponential tool that can impact the community in short duration of time.

JAN - FEB 2019

conscious about it. And you are only limiting yourself to see abundance from seeing scarcity in your ways of thinking. Your ability to think and reasoning is your opportunity to endless ways towards endless imagination. You can imagine things that will make you fear yourself but have powerful effects when they are acted upon in action based life. Your abilities, potentials, gifts, people around you are all opportunities to open doors for you. Just take a step to act from now.

“Mobile technology is growing fast and worse and good paradoxically is growing exponentially. Mobile technology is a tool nowadays to connect people in a minute. Through this can help to make a room to impact exponentially for a better future to humanity”. Technology is a pillar to make all other four components of Malenga Mental models to be complete set of impact to the community. As other disciplines take time to master also this model needs a lot of dedications and show up on how all five components to be in one system of thinking (system thinking). As we to develop second eye on seeing things in their atomic size, this model will amaze you as you never stop to selfdiscipline and test the experience.

This model can be installed to systems from schools, family, governance, community and individual to massive impact to the World. Email: raymondpoet@yahoo.com +255 676 559 211

info@mawm.co.tz

21


JAN - FEB 2019

WEB DESIGN TZS 300,000/=

• Free Domain • Free Hosting one year • 10 email users

0658417542

TANGAZA SHUGHULI YAKO KAMA Mikutano, Pati, Tamasha,Mafunzo, Michezo, Semina,

0745 885 399 0673 606 012 22

info@mawm.co.tz


JAN - FEB 2019

Graphics Design Printing Services Motion Graphics Web & App

We believe in the power of collaboration and creativity through a sound understanding of all of our clients’ objectives and desires.

OVIOT Holdings Limited, First Floor, Plot 136, Magomeni Usalama, Dar es salaam Tanzania Mob: +255 717 733 303 | Tel: +255222171337 Email: info@ose.co.tz | www.ose.co.tz info@mawm.co.tz

23



Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.