Celebration of Jane Ngina Gichanga Kabiru

Page 1

Celebrating the life of Mrs Jane Ngina

Celebrating the life of Celebrating the life of

Gichanga Kabiru

ORDER OF SERVICE

WELCOME & ANNOUNCEMENTS

INTRODUCTORY RITES

• Reception and Blessing of the Body at the Church Entrance

• Processional and Opening hymn(s)

• Placing of the Insignia on the Casket

MASS BEGINS: Opening Prayer

LITURGY OF THE WORD

• First Reading - Wisdom 4: 7-15

• Responsorial Psalm - Psalms 130

• Second Reading - Corinthians 5: 6-10

• Gospel Acclamation - Revelation 14: 13

Happy are those who die in the Lord. Now they can rest for ever after their work, since their good deeds go with them.

• Gospel - John 11: 17-21

• Homily

• Prayers of the Faithful

OFFERTORY

LITURGY OF THE EUCHARIST

HOLY COMMUNION

EULOGY: Kevin and Jemima Gichanga

TRIBUTES

• Family: Mugo Kabiru, Terri Kabiru, Victoria Kabiru & Rosemary Kiragu

• Friends: Joss Wambui & Jane Maina

• St Charles Lwanga Jumuia (Small Christian Community), Nottingham

• Our Lady’s Church Community: Jane Rooksby

• Catholic Women Association (UK)

VOTE OF THANKS & ANNOUNCEMENTS

CONCLUDING RITES

RECESSIONAL HYMN

FINAL VIEWING

Entrance Procession

Amazing Grace

1. Amazing grace how sweet the sound That saved a wretch like me I once was lost, but now I’m found Was blind but now I see.

2. ‘Twas grace that taught my heart to fear And grace my fears relieved How precious did that grace appear The hour I first believed.

3. Through many dangers, toils, and snares I have already come This grace that brought me safe thus far And grace will lead me home.

4. When we’ve been here ten thousand years Bright, shining as the sun We’ve no less days to sing God’s praise Than when we first begun.

Cha Kutumaini Sina

1. Cha kutumaini sina, ila damu yake Yesu Sina wema wa kutosha, dhambi zangu kuziosha.

Kwake Yesu nasimama, ndiye Mwamba ni salama Ndiye Mwamba ni salama, ndiye Mwamba ni salama.

2. Damu yake na sadaka, nategemea daima Yote chini yakiisha, Mwokozi atanitosha.

3. Njia yangu iwe ndefu, yeye hunipa wokovu Mawimbi yakinipiga, nguvu zake ndizo nanga.

4. Nikiitwa hukumuni, rohoni nina amani Nikivikwa haki yake, sina hofu mbele yake.

Lord have Mercy Utuhurumie (Misa Fadhili)

Bwana, Bwana utuhurumie ee Bwana –Bwana, Bwana, Bwana, Bwana utuhurumie

Kristu, Kristu utuhurumie ee Kristu –Kristu, Kristu, Kristu, Kristu utuhurumie

Bwana, Bwana utuhurumie ee Bwana –Bwana, Bwana, Bwana, Bwana utuhurumie

Glory to God

Utukufu Kwa Mungu (Misa Centenary)

1. Utukufu kwa Mungu juu Mbinguni, Na amani iwe, kwa watu wenye Mapenzi mema duniani kote.

(Tunakusifu) tunakusifu, tunakuheshimu Tunakuabudu, tunakutukuza

2. Tunakushukuru Mungu kwa ajili, Ya utukufu wako, mkuu ee Bwana Ni Mungu ndiwe mfalme wa mbinguni.

3. Ee Baba Mwenyezi Bwana Yesu Kristu, Ee mwana wa pekee, ee Mungu Mwana Kondoo wa Mungu mwana wake Baba

4. Mwenye kuondoa dhambi za dunia Utuhurumie, tuhurumie Maombi yetu Bwana uyapokee

5. Mwenye kuketi kuume kwa Baba Utuhurumie, kwa kuwa ndiwe Pekee yako ni mtakatifu

6. Pekee yako Bwana, pekee yako mkuu Ewe Yesu Kristu, pamoja naye Roho mtakatifu milele yote

Bible procession Neno Litasimama

Neno litasimama x2

Ya ulimwengu yatapita, lakini neno litasimama (Neno!)

1. Umama wote utaisha, uzee pia utaisha

Ya ulimwengu yatapita, lakini neno litasimama

2. Ujana wote utaisha, utoto pia utaisha

Ya ulimwengu yatapita, lakini neno litasimama

3. Utajiri utaisha, umaskini utaisha

Ya ulimwengu yatapita, lakini neno litasimama

4. Urembo wote utaisha, mashaka pia yataisha

Ya ulimwengu yatapita, lakini neno litasimama

Responsorial Psalm Psalm 130

Response: Out of the depths, I cry to you, O Lord.

Out of the depths I cry to you, O Lord; Lord, hear my voice! Let your ears be attentive. to my voice in supplication.

Response: Out of the depths, I cry to you, O Lord.

If you, O Lord, mark iniquities, Lord, who can stand? But with you is forgiveness, that you may be revered.

Response: Out of the depths, I cry to you, O Lord.

I trust in the Lord, my soul trusts in his word. My soul waits for the Lord more than sentinels wait for the dawn. Response: Out of the depths, I cry to you, O Lord.

For with the Lord is kindness and with him is plenteous redemption. And he will redeem Israel from all their iniquities.

Response: Out of the depths, I cry to you, O Lord.

Profession of Faith Nasadiki (Misa Fadhili)

1. Nasadiki kwa Mungu Baba mwumba wa vyote Nasadiki kwa Yesu Kristu mwana wa pekee

Nasadiki, ninasadiki x2

2. Kwa uwezo wa Roho, Mungu katwaa mwili Na hapo Bikira Maria kawa mamaye

3. Kwa amri ya Ponsyo Pilato, kasulubiwa Akafa kazikwa akashukia kuzimu

4. Siku ya tatu kafufuka kapaa Mbinguni Kaketi kuume kwa Mungu Baba Mwenyezi

5. Atarudi siku ya mwisho kutuhukumu Nasadiki kwa Roho mfariji Mtakatifu

6. Kanisa pia takatifu la Katoliki Ushirika wa watakatifu wa Mbinguni

7. Na maondoleo ya dhambi kwa ubatizo Fufuko wa miili uzima wa milele

Offertory Songs As I Kneel Before You

1. As I kneel before you As I bow my head in prayer Take this day, make it yours And fill me with your love

Ave Maria Gratia plena

Dominus tecum

Benedicta tu

2. All I have I give you

Every dream and wish are yours Mother of Christ Mother of mine, present them to my Lord

3. As I kneel before you And I see your smiling face Every thought, every word Is lost in your embrace

How Great Thou Art

1. Oh Lord, my God When I, in awesome wonder

Consider all the worlds Thy hands have made I see the stars, I hear the rolling thunder Thy power throughout the universe displayed

Then sings my soul, my Saviour God to Thee

How great Thou art, how great Thou art

Then sings my soul, my Saviour God to Thee

How great Thou art, how great Thou art

2. And when I think that God, His Son not sparing Sent Him to die, I scarce can take it in That on the cross, my burden gladly bearing He bled and died to take away my sin

3. When Christ shall come, with shout of acclamation And take me home, what joy shall fill my heart Then I shall bow, in humble adoration And then proclaim, my God, how great Thou art

Offertory Procession Ngai Niariturathimaga

Ngai nîarîtûrathimaga, arathime mawira maitu (mawîra maitû)

Arathime mîgûnda itû twamûtegera na wendo (We Ngai witû) x2

1. Niegûtûhe kîrîa gîothe twamûhoya - twamûtegera na wendo

2. Niegûtûhe bûthi wa irio na mahiû –

3. Mawîra maitû namo mone umithio –

4. Mirimû itû yothe niegûtûhonia –

5. Atwehererie mogwati mawîra-inî –

6 .Mabiacara maitû magîthereme –

7. Kîrîa twahanda agatûma tûgethe –

8. Thuthi, mbûca, memenyi atwehererie –

9. Ng’aragu gwitû igûtwika rûgano –

Holy, Holy Mtakatifu (Misa Centenary)

Mtakatifu Mtakatifu, Mtakatifu Bwana Mungu

Mtakatifu Mtakatifu, (Mtakatifu Bwana Mungu wa majeshi) x2

Mbingu na dunia zimejaa utukufu

Mbingu na dunia, mbingu na dunia

Mbingu na dunia zimejaa utukufu wako

(Zimejaa utukufu wako) x2

Hosanna juu, Hosanna juu

Hosanna juu, Hosanna juu mbinguni x2

Mbarikiwa yeye ajaye kwa jina

Mbarikiwa yeye, mbarikiwa yeye

Mbarikiwa yeye

(Ajaye kwa jina la Bwana) x2

Mystery of Faith Fumbo la Imani (Misa Centenary)

Fumbo la Imani - fumbo la imani Yesu alikufa, fumbo la imani yesu alifufuka, (Yesu atarudi tena) x2

The Great Amen

Our Father - to be recited

Amina (Halleluyah) x2 Amina, Amina, Amina! x2

Sign of peace

Tunaomba Amani

1. Tunaomba amani - tunaomba amani x2 Kwa jina la Yesu tunaomba x2 amani

2. Tunaomba upendo . . .

3. Tunaomba neema . . .

4. Tunaomba hekima . . .

5. Tunaomba furaha . . .

Oh Amani …

Ooh ooh amani, . . (ooh amani) x2 Bwana tupe amani

Lamb of God

Ee Mwana Kondoo (Misa Centenary)

Ee mwana kondoo - Uondoaye dhambi za dunia, utuhurumie x2

Ee Mwana kondoo - Uondoaye dhambi za dunia, utujalie Amani

Holy Communion

Pokea Moyo Wangu

Pokea moyo wangu ee Mungu wangu, Niweze kukupenda kwa pendo lako, Unipe moyo wako, ewe Yesu Mkombozi wangu, Shinda kwangu, nami daima kwako.

1. Onjeni muone kwamba Bwana yu mwema, Na heri yule mtu anayetumaini Yesu Kristu.

2. Katika nguvu za giza katutoa, Na kutukaribisha katika ufalme wa upendo.

3. Habari njema alituhubiria na kutufungulia, Akatangaza mwaka wa neema.

4. Mchungaji wangu mkuu ndiye Bwana Yesu, Sikosi kitu kamwe kuniongoza kwenye njia nyofu.

Ikaari Riri

Ikaari riri ni Mwathani tukuria, Ngoro citu igie na hinya wa kuigana, Mathingithi maremwo ni gucienyenyia, Ikaari ii Mwathani uka gwakwa, Ikaari ii reke ngwamukire.

1. Ikaari twatigiirwo ni Muhonokia - Ikaari iii . . . Rituteithagie ithui agenda guku thiNi ikaari riri murio kuruga uuki -

2. O giathi ni kiri murugirwo wakioIkaari riri niwe ugithondekeirwoGithagathage ukiambiririe kuriria -

3. Uyu ti ugeni wa kuoyagirwo nguoTiga no nguo ya ukonyoku wa muoyoIkimenye ndugethirime mutino -

4. Njoya na muthece ndioyagira iria ingiWagitigwo na thutha ukagunwo ni ki?Nduhiuhe Mwathani we no agwetereire! -

Thanksgiving

Ninyonete Uria Ngai Wikaga

Nīnyonete, ūrīa Ngai wīkaga Arīa oothe makwīhokete Nīngūraha, magegania na tha ciaku Thengiū Ngai ūrotūgīra.

1. Ndarī mūrwaru, ūgīūka kūhonia - Thengiū Ngai ūrotūgīra Mahīndī makwa, ūkīmacokania –Amūkīra, ngaatho ciakwa Baba -

2. Ndacokia ngatho, nīūndū wa kūhe mūciī - Thengiū Ngai ūrotūgīra Ndacokia ngatho, nīūndū wa kūhe ciana –Magitagīre, no- mamenyagīrīre -

3. Ndirī na ūhoti, wa gūgūthukīra - Thengiū Ngai ūrotūgīra No ngūinīire, rwīmbo rwa ūgooci –Ngumo na ūgooci, irogūcokerera -

4. Niī na nyūmba, yakwa tūgūtūūra - Thengiū Ngai ūrotūgīra Tūkūgoocaga, tene ona tene –Kūrī mawega, ona kūrī ūūru –

Sending Forth Moyo Wangu Wamtukuza Bwana

(Moyo) Moyo wangu wamtukuza Bwana (Roho) Roho yangu inafurahi x2

1. Kwa kuwa amemwangalia, kwa huruma mtumishi wake Hivyo tangu sasa watu wote, wataniita mwenye heri

2. Kwa sababu Mwenyezi Mungu, amenifanyia makuu Jina lake ni takatifu

3. Huruma yake ni kwa wote, wote wale wanaomcha Kizazi hata na kizazi

4. Huyatenda mambo makuu, kwa nguvu za mkono wake Wenye kiburi hutawanywa

5. Hushusha wote wenye vyeo, kutoka vitini vya enzi Nao wale wanyenyekevu, wote hao huwainua

6. Huwashibisha wenye njaa, na matajiri huwaacha Waende mikono mitupu

7. Hulilinda taifa lake, teule la mtumishi wake Akikumbuka huruma yake

8. Kama alivyowaahidia, babu zetu kuwaahidia Ibrahimu na mzao wake

9. Atukuzwe Baba na Mwana, naye Roho Mtakatifu Leo kesho hata milele, kwa shangwe milele amina

FARE THEE WELL NGINA

A life so beautifully lived, deserves to be beautifully remembered and celebrated.

Rest in Peace Ngina witu

We loved you but God loved you most!

Till we meet again.

Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.