2
baAdaye... mzae ana doze haha!
amekula ama tumalize?
hehehe!
tumalize!
3
asubuhi...
hahaha! Hakuna. Amka uambie Purity hapPy valentine AmkaAa!!
oi! ni leo?!
ah! kwani kuna nini?
baAdaye...
babe?
eEeh? tutaoana lini? Tumeongelelea hii wedDing but haijaAi hapPen
basi si tuanze kujipanga kipesa ndio at least iweze?
4
tulia babe tutaolewa tu. Ni vile bado najipanga kwanza, plus hii corona imeharibu vitu mob, na unajua vile family yetu ni kubwa na wote watatakakuja.
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
kwingine..
leo ni valentines date na esther!
lazima ni impresS!
maua, chocolate, na mask ya red. asante, furahia valentines!
19
ayayai! nimechelewa! haikuwa iende hivi!
boda! haraka!
kwani huyu mish ni vipi?
20
nimekuletea hii!
kidogo.. mish! umefika!
nimefunga! nifungue sasa?
pole kwa kuchelewa!
haiya! kwani hiyo chocolate ilianguka?
eEeh? nakaA ka-snack?
babe! kwani umeEhepa tena?
hii ni nini?
oi! Ilikuwa red rose. funga macho, niko na surprise!
fungua sasa! eh! hivi ndio we huwa ukiwa m-romantic?
si unajua! hapPy valentines day! na si unakaA poa?!
raAaAuUuUu!!!!
21
SoO... niko na goOd news na bad news … kaA nazo!
anza na goOd news. Ile shule ya design imenichukua! Nitaingia next month babes!
oi! ebu kam hivi... That’s my girl! Congrats sana… wow tunafaA ku celebrate!
Thanks sana -- sherehe leo haitaki hasira – Bad news ninitaenda main campus naiko far!
Favor yangu babes ni uende shule main town ndio tukue Pamoja! Siezi imagine kuenda far bila wewe!
Asanti sana babes. Nakupenda.
Babes hio ni big deal. Mzae alikua ana plan niende chuo around but sasa nitatafuta shule town. Pia mimi siezi imagine kukuwa apart na wewe. Nakupendasana babes. Nita do anything ku prove love yangu kwako.
Unanipenda cha ukweli? EeE nakupenda sana. enyewe leo imekuwa such a romantic day, na itakuwa even betTer tuiishia kejani tumalizie poa zaidi.
pia mimi nime enjoy. But unanijua mishi, lazima tukuwe na protection mpangoni!
22
Leo tu…
Zii babe... tukaeza mesS unajua ita afFect plans zetu zote!
tunaenda wapi mbio hivi?
hadi on such a special and romantic day bado una insist story ya protection?!
Sasa hii ni story gani? Nakupenda babes
Narudi home… siamini umeharibu siku poa kama ya leo na kukuwa selfish!
Acha kuniita babes! Sio fair!
Wewe ndio hauko fair!
Tuli visit clinic na tukapata advice ya kukua safe…
agh!
Sawa! Kama ku protect future yetu ni selfish acha basi nikue selfish.
sawa!
unawezapea mish na esther advice gani kwa hii situation wako? Tuma advice yako kwa 20308 ukianza na word fujo. Kumbuka ku text ni sare!
23