2
3
4
5
6
7
8
9
10
12
13
14
15
manlike! mambo? bado unakam?
Naona naeza kua na doh lesS… budget ya hio music tour ni how much? Aiii! Kwani tuna perform majuU?
sasa giana? ...eEr…
Tuko na kila mseE, ni wewe tu una-misS. Plan yako ni gani?
Tuseme kama thao saba tu!
OoO wah! Kumbe hii kazi ya usanii inahitaji pesa mingi ivo… EeE lazima u-invest kwa mziki ndio uanze kukulia talanta yako ikijipa! Enyewe… So acha nione vile itakua nikupigie. Mnatoka saA ngapi? By saA sita ivi… Nieke na rada mapema!
Haha ujue apo tumepunguza vitu zingine… Ilikua 10k… Lazima! Acha niende na Boyie hivi na-come!
iza man... tutatafuta mpango!
16
17
18
19
20