Shujaaz Chapter 134

Page 1


2


3


4


5


6


7


8


9


10


Kulikuwa na mseE wa boda alikuwa ananiita ita kila siku but sikuwa nataka mambo yake…

Mrembo! Come twende! Mi sina doh!

Come tu. Sipendi kuona uki-strugGle ivi.

Asante, lakini...

Usinishukuru ata. Ni uzuri wa moyo wangu tu. Usijali!

11


12


13


14


15


Sikuwa na place ya kuenda so nilipata place kama kichaka. Hapo ndio nilikuwa nikilala usiku.

Nilikua naAmka mapema kutafuta vibarua ndio at least nikule. Sikua na jali ni kazi gani, bora nimekula. Nilisafisha choO, niliokota uchafu, nilisaidiana kwa mama mboga kadhaA…

Pole pole balL ilianza kuonekana na kupata job iliendelea kuwa ngumu. Watu hawakuwa wanataka kuandika mtu ako na balL!

Lakini kuna Mama Mboga alinihurumia akanipatia job ya kusafisha mboga na matunda, kukatia wateja mboga na kusafisha shop yake…

16


17


18


19



Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.