2
3
4
acheni mimi niwa show!
hii mambo ya sponsas ni ya watu waoga. hawataki kukubali wako in love! hata wahenga walisema: mutura bila supu bado ni mutura! sio lazima mseE akuwe na doh ndio mapenzi ipatikane!
hahaha!
ati wahenga? ni wahenga walisema hivo ama ni wewe tu?
apa tuko saA hii, mimi ndio wahenga! nimeishia! tuonane baAdaye!
5
ala! sawa dadDy! tumeona gari yako!
walalala! ona dem ameshukishwa? huyo ndio queEn wa ma slay queEn! mama mia mwenyewe!
6
leila mwenyewe ameingia sasa! hio ndio tunaita grain entrance! Inaitwa grand entrance, mama stacey!
acha kunitoa rangi nawe!
ata kabla unishow style unataka leo... tulikuwa tunaongea juU ya masponyo... huyo sponyo wako yuko aje?
acha za hizo!
sitengenezi nywele leo...
mama stacey, naweza kuongea nawe kidogo, pale nje?
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23