2
3
4
5
6
sana sana mr. jonathan. alim-show ako ready kusaidia in any way ataweza...
bye mum...
na shida zote zilikuwa home...
Hata roOm alipewa ilikuwa poa kuliko kubaki home kwao...
comfort alikuwa ready ku-acCept usaidizi wa mr. jonathan...
waliishi vi-simple, na in secret...
comfort... si unajua mtu yeyote hafai kujua tunaishi pamoja? ndivyo...
7
even though ilikuwa wrong, comfort alijua ana-falL in love na huyu ticha...
wakati mambo ili-hapPen, hakufikiria ku-insist kutumia cd...
wiki kadhaA baAdaye... alipo find out ako pregnant na mtoi wa mr. jonathan, world yake ili-turn upside down...
alifukuzwa shule...
mr. jonathan pia akamfukuza...
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
CP
23