Shujaaz Chapter 138. Cheki stori ya Boyie aki-reveal identity yake, Malkia anadai kuanza biz akiwa chuo, Charlie Pele hajarudi chuo after nyumba yao kuchomeka na Maria Kim ako stressed juu ya tabia ya bro yake Brayo.
Alafu kwa wasee wako na interest na stori za Biz, Shujaaz MESH ni place waseee wako serious na biz wana-connect na kujengana. Kama bado hujajion MESH, uko wapi? Join MESH hapa https://mesh.life/