Nahreel aeleza safari safari yake ya mafanikio
#Brand New Issue Muhudumu wa ndege Mjasiliamali Rahel Joseph Mahende
Guest Profile nauza perfume kutoka Zanzibar kwa wanachuo wenzangu. Baadae nikawa naagiza ubuyu wa Zanzibar, naupaki na kuweka “label” nakuuza kwa wateja wa rejareja na baadae nikawa na sambaza katika supermarket. Taratibu nika ingia katika biashara ya nguo za kike, kasha nikaanz a kuhudhuria vikundi vya ujasilriamali na hapo ndipo nikavutiwa na sanaa ya kazi za mikono yaani “handcraft design”. Nikahudhuria “short course” na mpaka sasa ninafanya kazi zangu mwenyewe. Ninatengeneza mikoba ya kike katika ukubwa tofauti tofauti na kuuza. Pia mimi nimeajiliwa katika kampuni ya bima hivyo huwa najaribu kupanga muda wangu ili niweze kufanya mabo yote kwa wakati sahihi.
USHAURI WANGU KWA VIJANA Kwakifupi mafanikio hayaji ghafla bin vuu, hata elfu inaanza na moja. Chamsingi ni kujituma, kuwa na moyo wa subira. kikubwa zaidi ni MAOMBI ndiyo mwanga wa mafanikio. Kinacho tuponza vijana ni tama ndio inatufanya tukimbilie mambo makubwa wakati hatuna uwezo nayo, wakati tunauwezo wakuanza na mambo madogo madogo kwanza.
Hamasa za upambanaji wa mama, umenifikisha hapa leo
N
aitwa Bertha Joseph Komba,nina miaka 29, nimeajiriwa na nimejiajiri pia kama mjasiriamali. Nimezaliwa kwenye familia ya kawaida, mama yangu ambaye ni kiziwi aliye jaliwa ujasiri katika kupambana na maisha pasipo kutegemea mume. Aliweza kunilea vema, siku wahi kulelewa na baba, nimekuwa nikiwa na mama huku akihangaika kufanya biashara ndogondogo huku kazi yake kubwa ikiwa ushonaji, ndio iliyo mwezesha kuni lea na kunitunza vema mpaka nilipo fika darasa la saba. Baada ya kuhitimu darasa la saba mjomba wangu alinichukua na kunisomesha sekondari,chuo na hatimaye nimefanikiwa kufika hapa nilipo. Nadhani zile jitihada alizokuwa akifanya mama kwaajili yangu nikiwa mdogo, ndizo zimenipa hamasa kubwa ya kuwa mpambanaji na mtafutaji. Nilianza ujasiriamali nikiwa chuoni. Nilikuwa
S
F
arida ni kijana muhitimu wa ngazi ya Diploma katika kozi ya Electronic Engineering anayefanya biashara na kampuni ya watu wa Marekani. Muda wa ziada anafanya biashara ili kukidhi mahitaji yake ya kila siku. Anaamka kila siku saa kumi na moja alfajiri na kujiandaa kuingia chuoni na baada ya masomo hufanya biashara zake. Alianza kufanya biashara Desemba 2014 akiwa chuoni mwaka wa pilli, hivi karibuni atatimiza miaka miwili katika biashara yake. Shughuli zinazomuingizia kipato ni biashara . Kipato anachopata kinamsaidia kuendesha maisha yake mwenyewe yakuwa hategemei wazazi. Mfumo wa biashara anayofanya ni kushirikisha watu kwa njia mbali mbali ikwemo njia ya mtandao.Alipokuwa mwaka wa pili chuoni alitamani sana kufanya biashara na hakufaham ni biashara gani aanze nayo na kuanza biashara ya kuuza cheni ili kumsaidia katika maisha yake ya kila siku. “Rafiki yangu wa karibu ndiye aliniunganisha na mfanya biashara aliyefanya biashara hiyo kwa uzoefu zaidi na kunielezea namna ya kupata kipato, nilianza biashara ndani ya siku tatu baada ya kutangaziwa fursa ya biashara” Kilichomsukuma zaidi kuanza biashara ni pale alipokutana na kijana mdogo kama yeye aliyefanikiwa katika biashara hiyo alipokuwa akiingiza kiasi cha laki sita kwa mwezim kutokana na biashara hiyo. Farida alipoanza biashara wazazi wake hawakumkubalia kuchanganya biashara na masomo wakihisi kufanya hivyo kungemkwamisha katika pamoja, wazazi na waalimu wakapenda anachofanya na kumpa nguvu kwa pamoja.
VIKWAZO ANAVYOKUTANA NAVYO KATIKA BISHARA YAKE..
Kikwazo kikubwa anachokutana nacho ni baadhi ya watu kumkosoa kuwa atashindwa katika biashara yake ya kwamba walio wengi amabao wamefanya biasharahiyo. “kama mtu ana roho nyepesi na malengo madogo katika maisha yake anaweza kukata tama katika kufanya biashara ila naamini kabisa sio kila aliyefanya akashindwa namimi nikifanya ntashindwa la hasha!”
WITO KWA VIJANA WASIOPENDA KUJARIBU KATIKA MAISHA
Farida amewaasa wanawake hasa wakinadada kujishughulisha na kutokuwa tegemezi kwa wanaume sababu wanadada wengi wanaolewa na wanaume ambao hawakuwapenda bali ni kutokana na kipato cha mwanaume kwa kupatiwa kila kitu. “Napenda kuwaambia vijana wenzangu hasa wakina dada wajitume ili waweze kufanya biashara yoyote nakujishughulisha na mambo mbalimbali ya kuongeza kipato sababu changamoto kubwa wanayokumbana nayo ni vijana kukosa ajira”
eline Richard ni kijana mwenye umri wa miaka 21 pia ni mfanya biashara ambaye amehitimu ngazi ya Diploma, amesomea Electronics and Communication Engineering katika chuo cha St. Joseph kilichopo jijini Dar es salaam. Seline huamka alfajiri na kusali, baada ya sala anafanya , mazoezi ya viungo kuweka mwili sawa. Saa moja kamili anaingia darasani na kuanza masomo yake ya kila siku mpaka saa 7 mchana. Baada ya masomo anakwenda katika shughuli zake za kumuingizia kipato ikiwemo kufuata mzigo mjini. Alianza biashara yake kwa kufuata mzigo Kariakoo lakini kwa sasa anaagiza mzigo kutoka Dubai. Anaporudi hostel hupitia madaftari yake na kusoma alichofundishwa darasani. Kabla ya kulala hufanya kazi ya kuedit picha sababu ni kitu anachopenda. . Anauza pochi za wanawake , pia anapiga picha kwenye shughuli mbalimbali kama harusi au matukio yoyote ya shule. Seline hufanya biashara yake muda wa ziada baada ya masomo kupitia kwenye mitandao ya klijamii kwa kupost pica hivyo haimuathiri sana masomo yake. Kuna kipindi alipata kazi ya kushoot kwenye harusi wakati huo huo ilibidi aingie kufanya mtihani, aliikosa pesa na kuumia sana kupoteza kazi ya muda ule. Pesa anayoipata inamsaidia kununa camera na kukamilisha mahitaji yake madogo madogo, pia kununua vifaa vya ofisi yake kama camera Seline amepata uzoefu mkubwa wa jinsi ya kufanya biashara, hapo awali alikua hafahamu jinsi ya kutafuta pesa mwenyewe, lakini kutokana na maeneo anayoishi na watu zikamsukuma kutafuta pesa
D
avid anasom Uhasib wa pili katika es salaam. David ni mm Campus Lan hiyo kwa le habari mbal vyuoni ili kuh vijana kutok hafifu baina ya wanaf kufaham ni vinapatikana “Nimeamua kwaajiri ya walivyonavyo nafasi vijana kuongea na kwa jamii” Anapotoka c kazi ya kuwe kwenye blog mchache sa mtandaoni. wapo wenzak omari Mhunz Mkandala Bocco na Ma humsaidia ku zikiwemo pic mbali. Ni miezi m ameanzisha
mwenyewe kutokana na mawazo mbali mbali naliyokuwa akipata toka kwa jamii iliyomzunguka.
JINSI ALIVYOANZA BIASHARA.
Alikua amekaa na rafiki yake wakiperuzi mtandaoni (Instagram) wakaona picha za pochi na viatu kwenye moja ya ukurasa, Seline akamuuliza mwenzake kama wanaweza kufanya biashara za kuuza pochi na viatu, aka screen shot picha za pochi zilizokuwa kwenye ukurasa wake wa instagram, Watu wakaanza kuulizia pochi alizotuma Seline kwenye ukurasa wake. Seline akawasiliana na dada aliyetuma picha mtandaoni na kumwambia anahitaji pochi tano. Akaanza biashara kwa pochi tano ambazo zilimuongezea mtaji na kukuza biashara yake mpaka leo hii. Alianza na mtaji wa shilingi 250,000 toka kwenye pesa za matumizi alizokua akitumiwa alipokuwa chuoni ambazo zilinunua pochi tano, kwa sasa Seline ana uwezo wa kuagiza pochi 23 hadi 30 kwa pamoja toka Dubai kulingana na mahitaji ya wateja wake. Kwa sasa mtaji wake umefikia kiasi cha shillingi 600000. Alianza biashara ya kupiga picha mwaka wa kwanza alipokuwa chuoni kwa kujifunza kutoka kwa rafik yake aliyekuwa na camera, wakawa wanapiga picha kwenye mahafali (Graduation) chuoni hapo huku mwenzao mwenye uzoefu wa kufanya editing alikua akiedit picha mbali mbali chuoni hapo. Walifanikiwa kuanzisha T-shirt zao binafsi zilizokuwa zikiwatambulisha walipokuwa wakipiga picha sehemu tofauti. Baadae mmoja wa rafiki yao aliyekuwa anamiliki camera aliondoka chuoni na biashara yao ikasimama ghafla. Baada ya muda Seline aliagiza camera kutoka nje ya nchi kutokana na pesa alizokuwa akihifadhi kama akiba,
Phocus Bampikya mea course ya bu(Accounts)mwaka a Chuo kikuu cha Dar
miliki wa blog inayoitwa ne, amefungua blog engo la kusambaza li mbali zinazotokea himiza na kuelimisha kana na mwasiliano ya vyuo, huku baadhi funzi wakishindwa i wapi vyuo vingine a. kuanzia hii blog kuendeleza vipaji o vijana pia kuwapa a ambao wanaweza a kutoa mawazo yao
mwenzake na Seline alinunua lense kubwa kwaajiri ya kupiga picha, baada ya kufanya kazi wakanunua vifaa vya studio ya kupigia picha ikiwemo speaker.
MCHANGO ANAOUPATA KUTOKA WAZAZI NA WALIMU.
Wazazi wa Seline wanamchango mkubwa sana katika biashara anayoifanya ikiwemo kumtafutia kazi za kupiga picha kwenye shughuli mbali mbali pia kumsaidia katika kutangaza biashara yake ya pochi kwenye mitandao ya kijamii. Walimu wa Seline wanafahamu kuwa mwanafunzi wao anafanya biashara ya kupiga picha , humkodisha Seline kwa matukio ya picha yanayotokea chuoni na kumuongezea kipato katika kazi yake.
CHANGAMOTO.
Seline anakutana na changamoto mbali mbali kwenye biashara ya pochi sababu
yake kwa muda mchache sababu hutumia simu yake kupost habari mtandaoni. Hakutumia pesa nyingi kuanzisha blog yake sababu anauwelewa wa jinsi ya kuandaa blog. David hutangaza blog yake kwenye mitandao ya kijamii kama facebook twitter na whatsapp. David Alianza na mtaji wa jumla ya shillingi 250,000 ambayo alitumia kuweka ukurasa wake hewani. Pia ni jumla ya gharama aliyotumia katika usafiri pia kutafuta na kuandaa habari mbalimbali alizotafuta kutoka vyuo tofauti. Tangu ameanzisha blog ameweza kujuana na watu mbali mbali na kujenga urafiki nao wakiwemo marais wa vyuo tofauti nchini pia kupata marafiki toka vyuo tofauti. Wazazi wake wanamchango mkubwa kwake kwani humsaidia kumpa pesa kama ikitokea hana pesa ya kwenda mjini, pia wanamshauri kipi aweke na kipi aondoe kupitia mtandao ya kijamii.
chuoni David hufanya eka habari mbali mbali yake , hutumia muda ana kufanya kazi hiyo Katika shughuli hiyo ke akiwemo AbdulAziz zi, Shadrack, Whitney artha Nyakato ambao CHANGAMOTO uweka vitu mtandaoni David anapata Changamoto cha na habari mbali ya kutopata taarifa kwa wakati sababu vijana wengi wanapenda mitatu sasa tangu habari za udaku hivyo huwa blog. Anafanya kazi ngumu kwake kupata habari
ambazo zitawaelemisha vijana. Changamoto nyingine ni vijana kutotembelea ukurasa wake. Sababu asilimia kubwa ya vijana hupenda burudani ya mziki na michezo. “Kwenye website yangu kuna kitu kinaitwa notice board ambayo inatoa habari za kuelimisha ambayo kwa sasa ni ngumu sana kupata kwenye mtandao” Anatazamia kuanza kuchapisha habari kwa njia ya mitandao ya kijamii ikiwemo facebook, twitter na whatsapp kwa kupost link ambayo itawapeleka moja kwa moja kwenye ukurasa wake ili kuepuka na changamoto hiyo.
WITO KWA VIJANA.
David ametoa wito kwa vijana kuanza biashara kwa wakati wanapopata mtaji, aidha amesema kuwa kikubwa kwa mfanyabiashara ni kukubali hasara kama itatokea na kujiamini, kwani kijana yeyote asikubali kusubiri kesho.“There is no right time, the right time is now, usisubiri kufanya kesho kwani mimi ningesema nisubiri mpaka mwaka mwingine nisingeweza kufanya nilichofanya”
pochi anazoagiza kutoka nje ya nchi zinakuja zimefungwa bila ya kuwa na lebo inayotambulisha bidhaa. Wateja wanapoona bidhaa hazina lebo wanakataa. “siku moja mteja aliniagiza pochi nne nilivopeleka akazikataa kwa kuwa hazikuwa na lebo akasema pochi sio mpya.” Ilimuathiri sana na kumsababishia hasara kwa muda ule, au mwingine anaweza akataa pochi kutoka na kuona vibaya kwenye mitandao ya kijamii wakati pochi ndio hiyo hiyo. Kwa upande wa kupiga picha hapati hasara yoyote sababu kabla ya kupiga picha ni lazima alipwe pesa ya awali kabla ya kupiga picha.
WITO KWA VIJANA.
Seline ametoa wito kwa vijana kufanya kazi na kuacha kuwa na mgando wa mawazo, “Kijana ni lazima awe na idea inayofanya kazi, asilale na mawazo kusema kwamba ntafanya tuu, kila kitu kinawezekana . kama unayo idea ni bora kuifanyia kazi na kutokuwa tegemezi kwa watu wengine” Kingine kinachokwamisha vijana wengi ni kutokujiamini sababu wengi wanafanya kitu pasipo kujiamini kwamba watafanikiwa maana wanao uwezo wa kufanya kitu na kuwazidi watu waliofanikiwa zaidi yao.
business enertainm
business enertainm
ment with sheria
ment with sheria
Schools Business Club
Jangwani Sec Xcul
H
ivi karibuni serikali na wadau wa maendeleo wamekua wakijadili kuhusu tatizo sugu la ajira kwa vijana ambalo ukubwa wake unaongezeka kwa kasi. Serikali kwa kushirikiana na taasisi zisizo za kiserikali kama Junior Achievement imekua ikijaribu njia mbalimbali kutatua tatizo hili. Serikali imekua ikiimba wimbo kuhusu ujasiriamali kwa vijana ingawa walengwa wamekuwa wakipuuzia fursa hiyo sababu hawana msingi wowote kuhusu ujasiriamali pia Jamii haiungi mkono ujasiriamali. Baadhi ya familia tajiri huwa na mawazo hasi kwa mwana familia kama anataka kuwa mjasiriamali, familia huwa ya kwanza kumvunja moyo kwa kuwa wengi hufikili wanaofanya ujasiriamali ni watu walioshindwa kimaisha. Hii inadhihirishwa pale ambapo mtu anashindwa kabisa kupata kazi ndipo atafikiria kuhusu biashara, Watu wengi wanaamini kuwa ukiajiriwa ndio utakuwa na mafanikio. Mashirika yasio ya kiserikali yameanza kutengeneza msingi mbao utawajenga wajasiriamali wa kizazi kijacho kwa kuwaandaa wanafunzi katika shule za sekondari kwa kuwapa mafunzo ya ujasiriamali, na kuwaongoza kupitia kampuni ambazo zinatumika kama darasa. Kupitia kampuni hizo, Wanafunzi watajifunza jinsi biashara zinavyoendeshwa katika maisha halisi. Junior Achievement Company Program ni Programu inayoendeshwa katika shule za sekondari nchini Tanzania na shirika lisilo la kiserikali liitwalo Junior Achivement, shule ya sekondari Jangwani ni moja kati ya shule tisa zilizopata fursa hii. Wanafunzi wa Shule hiyo wamewezeshwa kufungua kampuni iitwayo Green Innovation Enterprise inayotengeneza bidhaa za thamani kwa kutumia vifuu vya nazi na madafu. Bidhaa zinazotengenezwa ni vikombe, upawa, Majagi, vibakuli n.k
Mwanzo
Junior Achievement Company Program ni mpango unaoendeshwa katika shule za sekondari na taasisi isiyo ya kiserikali inayotoa mafunzo ya ujasiriamali kwa vitendo. Wanafunzi wanakaa vikundi na kuunda kampuni kwa kutafuta wazo la biashara, na kulitekeleza. Taasisi hii ya Junior Achievement inatoa mafunzo jinsi ya kuendesha kampuni ambayo itakuwa imeundwa na wanafunzi wanapokuwa shuleni.
“Junior Achievement walipo kuja kujitambulisha na kutueleza kuhusu mpango wa ujasiriamali tulikuwa wanafunzi wa kawaida tu ambao hatujui nini tufannye tuliambiwa tufikirie bidhaa za kutengeneza yakapatikana mawazo tofauti na mwisho likapatikana wazo kuu la kuutengeneze bidhaa kutumia vifuu vya nazi na madafu ” alisema Lillian Kilave mwanafunzi wa shule ya sekondari Jangwani. Jacqueline Chitomwa ni kiongozi wa Green Innovation Enterprises katika shule ya sekondari Jangwani ambaye alitoa wazo la kutengeneza bidhaa kwa kutumia vifuu ya nazi na madafu . “Nilifikiri kuhusu vifuu vya nazi na madafu kwasababu madafu yakiliwa yanatupwa ovyo mitaani hivyo husababisha uchafuzi wa mazingira , nikapata wazo nikafikiria ni jinsi gani tuna weza kutumia hizi taka kutengeneza vitu vya thamani,” alisema Jacqueline Chitomwa. Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Jangwa ni wanaounda Green Innovation
Enterprise walikubaliana na wazo la kutengeneza bidhaa kutumia vifuu vya nazi na madfafu sababu vifuu vinauwezo wa kutunza joto kwa masaa manne. Walitumiaa wazo lao katika vitendo na bidhaa ya kwanza kutengeneza ilikuwa jagi kama jaribio, baada ya jagi walifanikiwa kutengeneza bidhaa nyingine zikiwemo vikombe, bakuli, upawa nk.
MTAJI
Kupitia mafunzo waliyoyapata kutoka kwa wahamasishaji wa Junior Achievement. waliamua kuuza hisa kama njia mojawapo ya kukusanya mtaji...kampuni iliuza hisa zenye jumla ya laki moja na nusu, kila kipande kiliuzwa kwa thamani ya shilingi 1000/= Baada ya kupata mtaji walifikiria waanze kuuza bidhaaa mbazo mzunguko wake ni waharaka hapo shuleni. Wakaanza kuuza vifaa vya shule ikiwemo madaftari, peni, vitabu, chokleti, keki na ubuyu. Pesa waliyoipata iliwawezesha kutengeneza bidhaa zao kwa kutumia vifuu vya nazi na madafu. Wateja wakuu wa bidhaa hizo ni
Jiunge nasi katika kuandaa kizazi kijacho katika ujasiliamali kwa kutangaza nasi HAPA
Wasiliana nasi kupitia 0785313380