Mzito ushasema once u fall kwa hio trap ya drugs, possibility ya kuacha ni 8% n so, complete abstinence is required...let us live a drug free live for a beta tomorrow! Jean Claude Van Bryan.
3
nani anafaa kuleta change kwa life yako?
gava? So, Sisi wenyewe tuwe part ya solution! ma-elders?
mamode?
ma-N.G.O.’s?
makarao?
tunaeza ngoja forever hawa watu wa-solve shida zetu.
masonko?
CHANGE HUTOKA
KWETU!
Abubakar Kanjagwa Marim 22 Kamukunji HEALTH SERVICES
hawa heroes wanne ni ‘shujaaz super fans’!!! walikuwa inspired na ideas wali-get kutoka shujaaz na waka take action! si tuwa congratulate?
Tunaezabakia tuki-complain ama tunaeza act ku-create change na ku-improve life yetu forever.
Ben Ooko 34 Kibera TRIBALISM
Martha Chiaga 19 Landi Mawe WATER SERVICES
soma stori zao hata wewe uwe inspired!
4
Yvonne Njeri 20 Syokimau WATER SERVICES
5
unakumbuka ile time nilihata match ya foota kwa sababu akina bro walinituma kuwachoteia maji na pump ilikuwa imevunjika?
nilipoelezewa vile ni right yetu kuwa na maji safi within kilomita moja na penye tunaishi, nili-ensure MP wetu alijua ati asiporekebisha hiyo shida, hakuna mwenye angempa ma-votes! huskii, yvonne alikuwa na shida hiyo na ali-take action pia! yeye ni shujaa!
ndoto yangu ni kuenda colle, so nikaanza bizna ya ku-grow na kuuza crops, ku-save dooh ya fees. lakini, hii kazi iko na challenge kubwa kwa sababu ya shida ya maji. nahitaji maji ku-farm!
nilisoma stori ya charlie pele nikaonyesha mamangu. so tulienda kwa water and sewerage company kuomba usaidizi.
eventually wali-install maji kwa mtaa, na sasa naomba ndoto yangu ya kuenda colle ita-come true thanks to charlie pele na shujaaz!
6
7
8
Thanks DJ B for ur great contributions in molding youths in the society be blessed! Titus Kipchumba Taru. | Najaribu sana ku-encourage mayut waskize Shujaaz ju wanaeza learn most 4rm u. Alice Moruri.
9
Shujaaz (TM) is published by Well Told Story Ltd, P. O. Box 1700 00502 Nairobi, Kenya. Tel: +254 729 619 653 Web: www.welltoldstory.co.ke. Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466-00100 Nairobi GPO. Produced in collaboration with: USAID, Twaweza & Tupange. Distributed by Nation and Safaricom. ART: Daniel Muli | Eric Muthoga | Shin Tuxedo | Mmbasu Mbwabi | Joe Barasa PRODUCER: Koome Mwiti ART PRODUCER: Fatima Aly Jaffer DESIGN: Esphan Kamau RESEARCH: Sylvia Thuku | Farida Noah DISTRIBUTION: Joram Kioko RADIO: Rickie Mukunga | Paul Peter Kades | Jared Ngugi Special thanks to JUST A BAND for their fantastic music on Shujaaz. FM Radio Well Told Story Š 2013 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication.
11
12
Hi DJ B, nilikuwa nataka kukusho dat ‘the most beautiful thing from de world must be seen from de heart’ and u guyz have showed sisi mayuths jo. Endeleeni tu. Erick from Nax
Asante sana DJ B kwa shujaaz nimeget ideas mob kwa show yako. Alice Moruri | Thanks DJ B coz u r my hero of dis yr. Ningependa kueleza mayuts wakue rada. Fathili Teria
13
14
DJ B we luv u so so much for helping the farmers. Zack Ote | DJ B aki ulininice napenda job yako tu sana. Man, ma-ideas na advice poa kwa mayut kama sisi. Jacob Ayonga
15
16
DJ Bni ule shujaa kutoka Uasin Gishu county mine is to tel u that i like ua magazine sana mpaka imebidi ni teach mayuts how to get dooh in a good way. Cheruiyot Abraham
17
jongo love wapi?
jongo love iko tops!
asante jongo! nimekuwa mimi octopizzo!
na mimi ni amani. peace!
unakumbika hawa mabeste wangu kutoka jongo love?
huyo dem anashuka stage ni amani. na huyo mhandsome ni vinnie!
18
Vipi MK na DJ B Manze mume change life yangu. Sasa nimeanza ka-bizna ka kuni-support for a short tym yenye niko huku mashinani kabla ni-join colle. Thanx. Moses Wangai
Hae thanks 4 kila kitu dat u guys publish kwa Shujaaz huwa inamek mtu acha negative mind lyk stealing 2 projects za nguvu nguvu, thenx alot and GNT. Faith Nyambura
19
20
DJ B kuna hii risto ya kumek garden juu ya gorofa naona itawanyc wasee wenye wanahud tao, wanaeza kuplant mboga zao hapo. Plz washow mafans. Samson Nyamawi
baadaye, akienda home...
wewe chuxx ulinipa ball! ulifanya niache shule sasa sina dooh!
na tutajuaje huyo mtoi ni wangu?
eish! mimi sikujui!
hukumbuki?
ulinishow ati unanipenda juu mimi ni mhonest mbrave na strong! ukanishow nikuje nistay na wewe! halafu ukanitupa!
si hivo ndio vinnie pia ananipromise? na pia akiniacha?
ninaneed help!
Yani DJ B u av really made my brains wak out so many ideas ziko involved na budget making. Smith Mate | Manze u r so encouraging na ume change lyf ya ma yutx kibao includng me. Alex Ford
21
22
23