Hii idea ya kutengeneza compost iko juu ni cheap halafu itanisave kutumia dooh kubuy manure. Thanks. Carol Njeruh
3
maria kim, Na feel nervous sana! naogopa kuingia kwa clinic...
Part 3
Haya, sisi hao!
4
amani, Kwani niaje? si umekuwa huku mara mob sana?
it will be ok, usiogope... ndio, niki volunteer. This time ni tofauti, mimi ni client.
halafu pia ninakumbuka vitu watu husema juu ya ma clinic...
ngoja!
Manze hii risto ya kutumia compost ina help sana coz nilimshow mathe tuanze kutumia na akasema ni sawa na saa hii ndio 2na try. Denno Sanchez
SHUGHULI
Niaje DJ B. Mi geff kutoka hapa kibich ghetto. Mi nashona viatu na ninapenda 2sana hi job. I lyk ur show and big up urself. Geff
5
6
Nimejaribu hii idea ya kuplant sukuma kwa nursery halafu naziuza,wajua begu za sukuma ni ksh. 100 halafu unaeza get over 3k halafu zenye zinabaki unaziplant!unaget dooh mob. Stanley Kivaya
IN B
Y
Sema DJ B. Kuna vile hii idea ya kumake compost manure imeninyc kwa chapta 41. Vile nilipata ugumu kuget fertilizer naona nitajaribu hii idea. Thanks sana Shujaaz. Muchui Mtoto Mzuri
7
A
RELATIONSHIP,
8
Hi DJ B nilisoma story ya Gladys ika ni inspire sana thanks shujaaz ur my heroes keep it up. Mwaz from Nax.
Hey thanks DJ B for your advice by the way say hi to Maya! Need to attract ma youths. Manze jo! They need ua tactics! Shaniz Palmavalialber
9
10
I just love the ideas u share to my fellow kenyans u r my inspiration. Beatrice Gathia Big up for your endless effort making youths to be something. Yeya Demarco
11
Ni pleasure kwangu. Sa nishow, una do nini sahii?
Wazi. Unaplan ku study nini?
Nili clear form four 2010 na sasa nangoja kwenda kole.
Tourism Management.
Hiyo ni poa sana. Nikikua msoo, nataka kua tourist.
Hahaha!
Maze nakuwish all the best. Ahsante DJ B. Kwa sahii nafanya jobs za short contracts hapa na pale nikingoja kujoin kole.
Maze hiyo ni hustle poa.
12
Big up to u may God reward u to what u r doing to change the lives of many. Junior Rozada Hans Manze lets fight corruption coz sisi ndio tunasuffer. DJ B thanks kwa kuhelp mayuts. Beatrice
so, Hebu nishow story yako? Small bro alichomeka mguu akiwa class 6.
Maze iza bro. So nini ilihappen? Mathe alimpeleka hosi flani Machakos lakini haikuwork. So wakam refer hosi ingine.
Nini ilikuwa mbaya na hosi ya first? Haikua na services poa na wana patients excess!
akina maria kim walikabiliana na shida kama hii kwa chapta 23 ya shujaaz!
Iza jo! Na hiyo hosi ya pili? Ilikuwa better kiasi, lakini ndo place nilipata shida.
Hawangeniruhusu ni visit bro nikiwa na food. Mtu ame visit mgonjwa angetaka kudishi, either angeenda ku buy food kwa canteen yao na hiyo food huwa expe sana ama aishie tao kudishi ndo arudi ku chill na mgonjwa wake. Ukolonii, nini!
13
W
TULIMBONGESHA
14
Hi DJ B na ku-thank tu sana kwa guide zako na encouragements zako kwa vijana coz zimehelp wasee kuendelea na maisha.Big up tu sana DJ B. Manaseh Ayoma from Siaya
Alisema watakuwa waki chill kwa ward hadi mgonjwa amade kudishi ndo waishie. Na hiyo rule ya food ika change. Si hiyo ni best mtu wangu! Thanks kwako na ule mmatha kwa courage yenu.
Na feel poa juu services sasa ziko poa. Hata huyo mkubwa wa security alisema tulifikiria kitu poa sana. Ilikuwa hard ku do hivo? Ni courage tu nilihitaji na sasa services zikakua poa. Kitu ka hii ikihappen tena niko ready kutake the same action. Hiyo ni poa tu sana. Unaeza advise aje mayut?
Mavijana huogopa ku do kitu ka hio ju ya wakubwa. Mi nawashow ni courage tu wanahitaji. Ukitaka kitu kizuri kitendekee, lazima uwe tayari kukiulizia. Maze big up kwako tu sana kwa ku take action!
Niaje Shujaaz mi hulipa school fees yangu nusu from ku-supply sukuma chuo ambazo si hupanda na nacheki hii idea imeniokolea sana big up. David Otieno
15
16
Mimi hueducate my mum about vitu na vile anafaa kuparticate in building a better county govt badala ya kucomplain. Asante sana! Victor Chege
Nilishare na friends wangu njia ya kumake compost manure and material to be used. Walipenda the idea and most of them are small scale farmers.I like the idea. Elias Omondi
17
18
Nilishare comic yako na beshte zangu jinsi ya kureunite na wasee thru REFUNITE na tuna plan ku sign up kwa hiyo website kureunite na mapal 2liachana kitambo. Cheptoo Corizon
Guess what nilimshow mathangu mambo ya water harvesting na tayari amebuy tank amebakisha gutters .keep it up mtu wangu. Dennis Mbugua
19
20
DJ B you are the only person who knows my secrets, I’m an orphan and I do not have siblings either, you are like family to me and thanks for all your inspiring messages/ideas. Duncan O. Arende
You are my hero DJ B, I have gotten lots of money making ideas through Shujaaz and my business is booming. I’m also a peanut farmer and its helping me save for my college fees. Elias Ochieng
21
22
My wife and I have gone to hospital to learn more about the use of contraceptives, I would like to say thankyou to Maria Kim, I love the way she presents different issues. Alfred Asava
I had been a drug addict for quite some time but after learning and getting advice from Shujaaz, I decided to quit and go back to school. Thanks Shujaaz. Mong’osi Emmanuel
23
24
si leo ni siku poa?! niko excited sana!
ma-bro wote wame-come kusherehekea bash ya mbuyu!
ati ni silver jubilee? Hata hakai mzee sana!
agh, sasa nyinyi watoto mnatumia hii unga yote mara moja?
kama ni bash, tungekula loaf moja ya boflo na maji...
Hi DJ B I get you loud and clear in Nyeri and without Shujaaz I’m bored. Continue with the same spirit. Ann Njeri
25
na-hope next time tuko pamoja sisi wote hivi itakuwa kwa weddo yangu.
eh? hiyo weddo yako siwezi miss!
26
itabidi ukuwa sonko kwanza, ukicheki vile purity anashow madem weddo yake itakuwa!
Siwezi afford wedding kama hiyo!
Can job seekers can post their qualifications and prospective employers on your website? If you find jobs that qualify you can hook us up. What do you think? Collins Okari Nyangeri
sema taabu! uko poa? usijali ma-bro, wanakusumbua tu.
zii, charlie, wanabonga truth.
sitawai kuwa ni dooh enough.
si uombe mbuyu? mbuyu! hatawai kuni-lend hizo dooh!
si uanze bizna basi? na dooh gani? itabidi niombe mtu.
na uncle wa rosie? ama uombe kutoka purity?
zii, sitaki purity ajue nafanya hivi, nataka ikuwe surprise. Story ya Sifa imenibamba 2 sana. I think nitaanza kumek compost nipande nayo sukuma. Na-encourage mafans wengine waanze kumek compost ju ina dooh. Big up Shujaaz. Kennedy
27
unajua, mtu yeyote mwenye atakukopesha dooh atataka kujua vile atabenefit.
experience! nimekuwa nikiuza sweet potatoes miezi kadhaa sasa, na kila mtu anazinunua!
unajua hizi stori zote aje?
sijawai fikiria naweza funzwa na bro mdogo!
najua! nitakukopesha soo tano ukinilipa ngiri kesho! nataka kuwa msoo kama...
grr! wewe ni conman! mimi si conman! niko poa bizna tu. utafanya nini na hii dooh?
28
Ur encouragements imeni-nice sana mpaka nimeunda football club. Tunakutananga na maboiz 2nacheza game halafu nawa teach kuhusu drugs na kusare pia. Ur my rolemodel. Joseph Muthoka
taabu! hiyo haitawai work! itabidi uanze na bizna ndogo mpaka i-grow, so kwanza ufikirie penye unaweza kuanza... steps ndogo tu...
kumbukeni, haba na haba hujaza kibaba! nne. uko na kuku ngapi sasa?
hehe hehe!
mbona unanisengenya? si unishow nini kufanya?
unafaa kuwa realistic: uanze na kuku chache na uongeze pole pole.
sina dooh za kununua hata kuku moja extra na ukinipa soo tano unataka ngiri kesho?
si basi uombe soo moja kutoka kila bro, soo tano hizo, nikuongezee moja, na utulipe 110 interest baada ya kuuza ya ten kuku? bob.
interest?! wah, hiyo stori inanitisha... sasa nitamake dooh aje? ukinunua kuku mbili, moja ni soo tatu,
halafu uuze kwa soo tano, utakuwa na ngiri moja, pesa mfukoni.
halafu ukilipa hizo deni za akina bro, yenye ni 660 bob, utabaki na 340 bob profit!
Enyewe,wasee hawafai kuchagua jobs,kuna wale husema jobs kaa hizo ni za uchafu bt kazi ni kazi bora inakupa doh na ni halali. Gladys Maloba
29
30
Shujaaz (TM) is published by Well Told Story Ltd, P. O. Box 1700 00502 NBO, Kenya. Tel: +254 729 619 653 Web: www.welltoldstory.co.ke. Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466-00100 Nairobi GPO. Produced in collaboration with: Tupange, Twaweza, KMT & Futures. Distributed by Nation and Safaricom. ART: Daniel Muli | Eric Muthoga | Shin Tuxedo | Mmbasu Mbwabi | Joe Barasa CREATIVE PRODUCER: Paul Ekuru ART PRODUCER: Fatima Aly Jaffer DESIGN: Esphan Kamau RADIO: Rickie Mukunga | Paul Peter Kades | Jared Ngugi RESEARCH: Sylvia Thuku SOCIAL MEDIA COORDINATOR: Farida Noah DISTRIBUTION: Joram Kioko FINANCE: Ranjeeta Jani HUMAN RESOURCE: Nduta Mwangi Special thanks to JUST A BAND for their Music on Shujaaz Radio Well Told Story Š 2013 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication. This publication was supported by a sub-agreement from Johns Hopkins Bloomberg School of Public Health with funds provided by JHPIEGO under a grant from the Bill & Melinda Gates Foundation. Its contents are solely the responsibilty of the authors and do not necessarily represent the official views of JHPIEGO the Bill & Melinda Gates Foundation or the Johns Hopkins Bloomberg of Public Health.
31