Chapter 53

Page 1




4 Niaje DJ B nimesoma shujaaz chapta 50 na ile stori imenbamba ni hi ya madem kutumia condom wakihave sex i support it very much coz inazua many diseases na early pregnancies congrats kwa malkia. Nelson//Hizi book zenu ziukuwa encouraging 2 sana big up DJ B. Jane Watiri // hi na lyk venye we uimprov maixha ya mayutx na we uwahelp 2 xana. Hanna Montana // DJ B you are a bridge to success. Big up sana shujaaz.Simon


5 // Wazi DJ B ya chapta 50 ilinibamba kuruka manze endelea kupenda lessons mzae uko juu m2 wangu. Shirpeel Mzito // Mpango’ nime learn a lesson ya kwamba nisidu sex without kondom. Ishmael Murihe // Mamboz DJ B, thanx alot 4 educating young pple like mi, may God bles u n protect u.nilipata chapta 50 atandio nasoma sahii.ave a blessd mnth. Peter Gitahi // Hi DJ B, Big-up 2 sana i congrats u kwa job unafanya ku-


6


LEO NI POT BROKEN , KESHO NI BEE HIVE!

7 encourage sisi kama mayuts tume-educate how u can make better life na bzns even ku-save.anyway niko pamba 2 pamba na wewe nisha maliza ku-read chapta 50,so am waiting 4 chapta 51.otherwise never give-up mtu wangu.God bless u . Shiundu Gilbert // Poa poa DJ B you are my inspiration. Yobra // Thenx DJ B kwa kunikol shujaa, i really appreciate it. Sharon from Kirinyaga county // DJ B Hela Hela imenihelp vioma biashara


Hustle yako ndo imenileta huku.

Na keep bees alafu nauza asali na wax.

Uko na mzinga ngapi?

Niko na mzinga 9 na kila moja inatoa asali na wax worth Kshs. 1500. Kila Mwezi? Ndio. So hiyo ni around 13k kwa Ndo mwezi? hiyo sasa.

8

Ni hustle poa sana. Mtu ana need pesa ngapi kuanzisha hii hustle? Imagine ukitumia hii design yangu hau-need capital.

Kiaje?


Nimetumia vitu zinapatikana tu hapa ku-make hizi mzinga. Hakuna kitu nili-buy. Aha. Hiyo ni ujanja poa sana. Kweli. Msee anaeza okota tu jericans zimetoboka, na manyungu zimeharibika na azi-make mzinga.

Nilizi-attract. Uko juu! aje? Ni idea rahisi sana.

Kwanza unaseti mzinga zako... Na sasa ulipata wapi hizi bees?

9

yangu kubuy hen nakusale Hela*2, Hela Hela imenifunza njinsi yakutmia doh. DJ Fish //Poa DJ B umenibamba vile unahelp ma vijana ku grow in life. Hosea kutoka Eldy // Cheki mafans!,ni hivi,kuhustle ni ki2 normal kwa mayouth bt u will get 2 learn much of it.lyf iz simple when u take it simple bt hard whn u take it hard. Moreen Cheps. // Nimechop xtori zako kwa shujaaz na ni pouwah xana!...Canaam Mang’ara // Hae boyie hizi


REC

10 advise zako zimehelp wasee mob xana.Gerald Murimi // Thenkx 2 sana DJ B kipup we n msee wa vungu 2 xana...Vincent // Hey DJ B ? advice nzako nziko juu 2 sana, may God bless u a whole of your life,gddy. Josephine Wambui // Vipi DJ Boyie pickups 4 ur good jobs of inspiring youth god bless u. Paulo // Hi DJ B.... big up urself na crew yote ya shujaaz fm... mnahelp young minds too sana.... // Wagwan bro c hii story yako ya ku


Ni lazima u harvest usiku. Zinakuwanga zimepoa, lakini usiwahii kuzisumbua mchana!

Alafu unauzia nani hii asali na wax?

Naipelekanga Busia na juu ni karibu na border, unapata market ya wakenya na waseee wa Uganda pia.

Ni lazima ukae na majirani vizuri juu wanaeza zichokoza alafu zivamie village mzima. Utakuwa solo kwa blame.

Enyewe. Sasa kabla tumalize hii vibe, ningependa mafans wangu wajue Juma zaidi...

Mimi niko na wife na mtoi mmoja.

Nice. Mbona mmoja tu?

Hahaha. Mimi na wife tulibonga tukaamua tutajipanga.

Tunataka kupata watoi only tukiwa ready!

11


12



14


sema maria kim! huyo ni mtoi wako?

ng’aaaa! Hapana Shiro, ni bro. Mi hukaa na yeye.

naelewa. kutunza mtoi sio rahisi

tena? unaniomba doh tena? acha game, zedi! kila wakati unaniomba doh za ku-buy e-pills...

sawa daddy, time ya uji. twende home.

sitaki ku-do bizna na mtu m-careless. na-try kumake profit ni-build life yangu. zedi una-mess na dreams zangu.

aje sasa?

sasa flex unasema kwa sauti kila mtu asikie? ni 150 bob tu, shida ni?

cheki, comdoms ni free! ku-buy e-pills tatu kila wiki, kwa mwezi itakuwa 1800! uki-get watoi, wataku-cost mathao kila mwezi, forever!

acha ku-risk, uta-spoil career yako ya ku-dance. utaget mtoi mapema na hawa madem wata make sure umelipa!

eh?!

Umecheki huyo chali m-hot, anaitwa Flex na ana moves kali sana! Ukitaka kumcheki wakidance na Zedi for real, tune u-watch Jongo TV, show mpya ya DJB kwa Shujaaz TV hii

August!

15


16


17


18 motivate mayuts ime n nice endelea ivo ivo. paxton frm BMT // Then mi nataka kuwa encourage wazee wote wenye walimada forth wasigojee oportunity kujileta but wazitafute wao wenyewe.thanks shujaaz. Ken Mutuku // Hae DJ B, Ile story ya helahela game imexaidia maxtudent sana kumake bcna qwa chuo. Collins Mugenyu // Mimi nimechange sana frm the day nilikuwa natumia bangi na pombe . I thank Shujaaz and my sisters


19


20 kwa kunihelp na maadvise kibao. James aka Splanter // Shujaaz am proud of your idias zinatuhelp 2 sana, I thank u shujaaz vile mnafanya 1 day mtakumbukwa. Kamson // Kabisa, i Just Lyk Vle Mashujaa Mnajua Kuweka Wasee Wakiwa Updated. Asanteni sana. Virginia //Mimi ni student na ningependa mukuwe mukitembelea mashule ndo musikize story za mayouths na muwapatie help ju wengi wanapotea. Judith Akinyi //Poa


21 endelea kutuchanua stori za hustles za daily. Moses Wawire //Asante sana DJ B na huwa unainspire mayuts wa hii village tu sana continue with the same spirit big up shujaa. Kevo //Hi story ya mayouth na protection imeni touch sana. Ni sad sana at this generation kuna misinformed youths wanye hawa taki contraceptives. Kennedy Sitati // ÂŹÂŹHi DJ B thnx tu sana for chpter 45 imetusaidi cici mayths vle tunaeza plan our future kujiki


, NAIROBI NIKON A KIOSK BIZNA YA F . KUPAT NA SIEZI K OOD KABLA IA DEM BA UBALI LL SA NIKUW HI, E PERO . NATA READY KU BIZNA WA KA NI YANG E U BILA XPAND MI HU MA STRE S CONDO KE SURE NIMET S. MS NA UMIA MANZ I YAN GU. UNA MASWALI YOYOTE JUU YA HUSTLE YA CALVIN? PATA MAJIBU KWA LIVE CHAT FROM 18TH JUNE

WEWE NI HUSTLER? DJ B ANATAKA KUKU-MEET! SMS INFO YAKO KWA 20308

Skiza HII HUSTLE NOMA YA CALVIN KWA SHUJAAZ FM FROM 18TH JUNE

nga n sti’s, early prgnacies n pia kuavoid drugs. Nyambura muange makueni county // DJ B .nilisoma chapta 44 venye charlie alimshow taabu fomu ya kufuga kuku.last manth nilitry iyo fomu ya kuchanga doo.ma uncle zangu walinipa soo nguvu.nilibuy tuvifaranga tatu.saa hii wanaedelea kukua.m big up chalie na umshow akihelp taabu pia kuna msee mwingind alihelp.kwet hakukua na kuku saa hi kunam. Samuel // naplan kusoma


23


Shujaaz (TM) is published by Well Told Story Ltd, P. O. Box 1700-00502 Nairobi, Kenya. Tel: +254 719 407 512 Web: www.welltoldstory.co.ke. Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466-00100 Nairobi GPO.

24

Produced in collaboration with: Bill & Melinda Gates Foundation, Hewlett Foundation, Twaweza, Kenya Markets Trust & ESHE. Distributed by Nation and Safaricom. ART: Dan Muli | Joe Barasa | Kevin Mmbasu | Maurice Odede | Shin Tuxedo | Eric Muthoga. PRODUCER: Paul Ekuru ART DIRECTOR: Esphan Kamau GRAPHIC DESIGNER: Ann Ndichu OUTREACH COORDINATOR: Koome Mwiti RADIO: Jared Ngugi | Paul Peter Kades | Stephanie Boy RESEARCH: Sylvia Thuku DISTRIBUTION: Joram Kioko SOCIAL MEDIA COORDINATOR: Farida Nzilani PHOTOGRAPHER: Alex Kamweru FINANCE: Ranjeeta Jani INTERNS: Carol Naeka | Winnie Nduta Special thanks to JUST A BAND for their Music on ShujaazFM Well Told Story Š 2014 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced,stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection withe use of the information in this publication.


25 gd work na mbarikiwe tu sana. Shedrack // thnks 2 sana.ad i hv liked de way u hv being bulding minds zetu ka mayuts.2 me danx alot ju maidea zenyu huniokolea each ad every tym iam in need.by dah mi farmer wa rabit na iyo idea niliget k2ka kwenyu.mmmmw....ah 2 de operator reading diz na ubig up mafans wote kutoka hizo macounty zingine. Jeff Muchorz // Poapoa big up shujaaz uko wagwan 2 xana imenhelp kujua m2


26 akjiamini anaweza enda far. Lucy Mbugua // Mimi ni Freddy from migori county as agroup chairman of our youth group we’ve started empowering, enlightening the young youths in the society and mostly on use of contraceptives to reduce the spreading of HIV and in wanted pregnancy with the knowledge from shujaaz, we’re hoping that by a period of time the youths will be transformed completely, thanks to


27 shujaaz group. Fred mc odira // Enye xtry yako ya helahela imeni uplift 2 xana na najua kumaxmize prft kuxev na kuxaka mkt najua bzna yangu ya kuuza mayai ita upgrade kudos Dj. B! // By the way dj boyie hi game yako ya hela hela imeniweka juu sana.Denis okoth from Siaya county. // Hela hela,”game si ina shika tu sana huku mtaani.Ina teach wase huku mtaani,Baba dogo napia ina chanua wase.Kusema ukweli ‘hela hela game,’ni


28 mambo yote kwa ma youth.Big up shujaaz.NAME:Nickson Kinuthia // i salute u DJ B 4 ur great contribution in molding kenyan youthx,thnks man. James Nginya // Niaje dj nmebabika na venye mayuts wamedicide kuxhage laif yao denkx kwa idea ya rabbit imenhelp xana kwa kuget manure na meat. Kenny// Mariakim niaje huwa ananijass na risto zenyu pick up am a new member na ninafurahia advibce zenyu MUKHWANA SINDANI,


SIJUI NI DO

YRS

OLD A

: 18 HIK AGE ION: T E LEG AT COL KWA SS LOC RK CCE

O ED A A A-W A N UNLIMIT Y OME NAS TIME N L IWA UPP T PAR DIO INA MI HU-S MAKE A . . U N S T S DAY ISI ORD REC KWA OF 0/- PER THS 0 ON D FOO IT YA 5 HREE M AIDIA F T IS O OZ R C IN P UMIA ILI UTURE TO NAT TION F MTO MY EC INJ N FOR UPATA LA Y K ET. -P D U A K Y O RE JUST SIK

AN SUSAIGA H GIT

AGE LOC : 18 YR ATI S OL ON: D NAS T OM H

IKA

PAR EA T A STU TIME CCES S DIO NA NA- COLLE I NAI RE W FOO CORDS TWA U ORK K GE . D K W N PRO WA MI HU LIMIT A -S F O E NAT IT YA FISI. N UPPLY D 500 A M INJ UMIA /A KU- ECTIO THRE PER D KE PLA E M A N I ONT Y. LI I N F SIK O H N O R EAD R MY F ISAID S IE UT Y JUS KUPAT URE CO A M T Y ET. TOT Z O

SU GIT SAN HAI GA

UNA MASWALI YOYOTE JUU YA WEWE NI HUSTLER? HUSTLE YA DJ B ANATAKA SUSAN?PATA MAJIBU KUKU-MEET! SMS KWA LIVE CHAT INFO YAKO KWA FROM 20308 25TH JUNE

SKIZA HII HUSTLE NOMA KWA SUSAN KWA SHUJAAZ FM FROM 25TH JUNE

29


30 NAITIRI ,,niaje djb enyewe minimtu wabizna ume nichanuwa kwa story mob. charity m // hella hela waaah iko juu tew xana it iz improving our savings skills to us yutx enwai denkx tu xana shujaaz god blexx. Peter Maina // Dj b mambo vipi hapa niko poa sana na geme ya hela hela hata bryo zangu na siiz zangu wako Happy kwa hi geme wana say tanks shujaaz ni joyline nekesa. //


SKIZA SHUJAAZ FM KWA HIZI RADIO STATIONS

tUNE INTO...



Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.