2
3
4
5
6
7
8
9
10
hiyo siku tu...
kwingine...
Gai! Nisisahau mboga za akina Mama Stacy!!
eh, mama maria uko poa?
mama stacy, ata mi sijui...
Akh wewe mtoto uko na shida gani? Utanivunjia simu!!!
Acha nikuambie, hautakua ukichoka ivi kila siku. Hii stage itapita. WoOiye, baby usilie!
Mama Maria uko sawa? UnakaA uko stresSed. Ni nini?
11
Si kupenda kwangu, woi, mi nadhani nimechoka! Sikulala poa usiku.
Kwa sasa, mwongeleshe pole pole na ataskia. Muelewe ni mtoto hakuharibu vitu kimaksudi.
Watoto wa hii umri wanahitaji kubembelezwa. Wakiona wazazi wako stresSed pia wao watakuwa stresSed.
Nimepitia na Stacywangu by the way! Kuna time usiku tatu zilipita, sijalala!Mara mtoto akona njaA, mara diaper inafaA kubadilishwa, mara amekataA kulala!
khorRrR! kohHhoOoOr!
Heh! Hapo kwa kukataA kulala, kumbe ilikuwa kwa sababu nilikua nampatia sweEt akilia! Si unajua tu vile watoto wakikula vitu zina sukari hawatulii?
Haiya! Sunday ikafika tumekaA tu vizuri church! Mimi huyoO nikalala! Kuamka naona watu wananiangalia, kumbe nilikuwa nang’orota!
Saseni! Mboga zenu ndio hizi! Ni 50 bob!
Na za leo ni mob! Asante Maria Kim!
hahaha!
Kutoka saii nitakuwa nikipumzika na kuUlizia usaidizi aki!
Maria wangu pole!
Maria Kim kwani JK amekuwekea nini? Sikuizi kuna glow ingine kwa uso yako!
Ndio huyo customer! Kwaherini!
Hihihi! Aki mi nadhani naeza open up kwake!
Asante Mama Stacy. Mimi pia naishia!
Ata ivo napitia base yake sahi kuchukua Bryo!
12
13
14
15
16
17
18
19