Stori mob moto sana ndani ya Shujaaz Chapter 146. Charlie Pele ame-manage kumaliza stori ya Warriors but anaekelewa ngori. Malkia ameamua kusaidia mamake juu ya stori yake ya ulevi. Maria Kim anarudi Jongo na bro yake Brayo na JK ndio wa-deal na ule Karao amekuwa akiwa-harass. Mtaa ya Kina Boyie campaigns zimeshika.