3 DJ Bo thank kwa kujitoa kuenlighten mayouths.as for me kuna hustle nime-learn kwa shujaa na am courageous kuji-engage nayo. Kareithi Mwangi//Hi DJ B uko juu vi mo faya keep it up. John Mweya//Tunakupenda DJ B ,endelea na xame spirt, tunakufuata wewe na ideas zako. K.C.O Cnty,Kimtai Ryan.//Haez naitwa verroh na napnda Shujaaz tu xana DJ B naeza taka
4
kkuona in re-al. Verro Kim//Hi DJ B!kwetu msimu wa mvua kunakuaka na maji mingi juu kuna mto karibu ,lakini ukauka haraka mvua ikiisha.naplan kubuy mitungi ya 20litres nichoteleange nitumie kupada mbonga wakati wa kiangazi,ni advice kama iko poa. Stephen Musyoka//Thanks 4 encourging mayouth. Leo nimekucheki kwa NTV.
Shadrack Sheddy’//Na lyk ur show iko poa 2 sana. Sirquiz Young//show yako ya Shujaaz TV iko fyam kabisa thanxs DJ B. Stephen Mbugz//Nashkuru sana DJB. Ndimi Ali, tumetoka kujuana mda usio mrefu na ukanielekeza kwenye hii akauti yako. Nimeipenda Sana. Ahsante kwa kuimiliki kwa kuwa wakuza vijana vilevile na hata
5
6
jamii nzima. Ali di vybez//Dj B show imekuwa juu 2 sana na mi huilike ata ctaki kumiss ata a single minute. Delilah Kayla//Na count down hadi show yako i start. The biggest show in southern sahara . Kipngetich Vincent//I like your creativity. Edwin Okoth//walala DJ B uko mbele sana na hizo mradi zote. Amos Xatamu//Mtu wangu waguan,we
7
8
9
10
ni literate kwa idea kadhaa, Hatutaqiv up, tumefainika sana Ikiwezekana ututembelee hapa Kapkatet Kericho County one of the weekdays especially wednesday. shukran. Kimtay Kemooda Ryan//Hi DJ B umenice tu xana. Stiff Shan// Vipi mtuguyas?boy wako hpa nakusaluti joh, we n herro ju ya kucharge mayouth’s. Bernjac,//kuna vile hizo mar comic
11
12
unibamba ka mchongoano big up dude 4 gret work. Elly Jaiva//Hi DJ B ile idea ya kupanda swtpotatoes imeniinua sana gunia moja nauza 1500 thnks mtu wangu niwewe tu. Eliud Mwendwa//Hy DJ B nallyke qila advice unapea mayuth,coz nyxhatumia advice mob tu xana ulizozyweq qwa gaazo ya shujaaz.Thanqs 2 xana. Jimmy Boboy//Nalike quotes zako
tu sana. Wycliff Oyolo//Aje aje DJ B mh n fan wko na nalyk comics zko btw umechnge lyfstly ya ma uth ile mbya endelea ivo ivo kenya wil b a beta plce. Ale Crybaz Derambo//Mambo DJ B nimelyk xana comic zako nd am one of ur fans big up. Addi Fyeda//Man unamake impact bwaku xana kwa mayuth wa mtaani big up bro. Zacharia Oyugi//
13
14 Niaje ni collins sanya tena manze jo show imenijengea,respect. Wolf ManTunapenda show yako mbaya juu hiko juu tew xana. May God bless u 4 hlpng fellow Kenyans. Lilian Winnie//Haki DJ B m n lyk 2 zle ma advice ugei ma yuds,big up a xana. Achalode De Frash
16 Big up DJ Boyie..comics zako za hustles zna tuinspire tu sana.mathew mwenda from maua..//Nimewapata na advic yenyu imenifanya ni chg. Geoffrey Govogi//Nafurahi xana kupata hizo maristo zko 2 kali xanah na inaelimisha manze,,tho wasee wengi hawana idea yoyote hii place,,,tnx 2 uh DJ Boyie. Supa Yaska//Niaje mzito kama ilivyo
17
kikawa nalike your advice na nakuwishia gud luck kwa everything you do nko na chapter 56 na npoa xana continue encouraging us. God bless you poa. Charbel Chimaswa//Mamboz DJ B nliangalia shujaaz chapter 56 inanbamba poa. Mercy//DJ Boyie we ni role model wa myn koz umeniteach xo many thinks in lyf.apo nyuma nlikuwa cna pa kuhustle bt
18
19 nowadays nahustle kwa kudunga maworkz ya boda mtaani na per day nko na 4k bna .denkz 2 sana m2 nguyaz. Daniel Muyasco//Vipi Dj B? Si nimemada kuchop chapter 56 na nimebambika sana na hio story ya Ababubakar ya kumobilise mayuts kuchange society. Thnx xana kwa kutuencourage.keep it up.� -Jonathan Mitto 4m Got
20 matar;Bondo.//Shujaaz ile story ya cheezy,kitu angefanya angetumia condom ile kuprotect aganist unwanted pregnancies,kitu ingine hustle yake ya kila siku ni ka si poa ju ukicheki ni mara mob anaunda bike yake kwa jano na halipi doo,so kitu cheezy yafaa adu,asake idea poa ya job,ineza muokolea in lyf. Gerry wa malava. Hae DJ B, jana nilitry
21 kubonga beshte wa mie kuhusu hii stori ya contraceptives na nikaona amenyita kuruka.thenks DJ B! ur one in an m. Patrick B//Nimefurahi cz mimi nabf maen wehv xex & natuna 2mia protection na sitaki kajunia now thnx kwakutuhlp kujua alot poa DJ B. Naitwa Aka Shkz Aka Kshi//Hae DJ B aki uko juu kwa risto ya kusaidia madem ku avoid early
22 pregnancy thnx 4 ua advice. Elizabeth Nyakio//DJ BOYIE.imgn nilikua na kuku mmoja kwa kutanga mayai,alikua anatanga mayai ishirini nakula mbili ana angua zote vifaranga kwa xaxa niko na kuku hamsini nataka kuuza nilete cow ni poa kweli. Brian Kariuki//DJ B mimi nimepanda miwa kwetu halafu nikaask maparents wangu waninunulie
24 blender halafu inatumia batery ya solar .kila day after school nauza juice ya miwa.Nauza glas moja 4o bob nanget upto 1500.ambia mayut wainvest badala ya kuwaste life yao. Joe//DJ Boyie maze ulini-inspire vinoma na ile risto ya bee keeping, sahi niko na 3 hives na natarajia ku-harvest honey soon.George Kenya Blush//Ajez DJ B??!.una2nyc xana bt
Majina za mtu Panganga kwa hood
leo nafunza sheng’ word mlitumia DJ B kwa 20308. Cheki vile WAS wanaita was panganga mt yao.
Aljazeera
Msene
Allan Kiama, Sheng ya Ruai
Justus Havie,sheng ya Pango
Mdomo ya Bensouda
Mapashkuna
Robbah Mutiso, sheng ya Kibra
Sharon Abob, sheng ya Komarock
Amemeza Radio
mbona umechora dame anak mimi? EHE! lakini hizi sheng ni moto moto...
Mambenyee
Paul Mark Dornald, sheng ya Kisumu
Devoke Deprinx, sheng ya Eastleigh
Ana Perenyonyo Mob
Mama Anyone
Çôl Âbrâhâm Kîprønø, sheng ya Embu
Brian Wasuna, sheng ya Naivasha
Ana Parasha Benn Mugo sheng ya Ruaka
teac
her
as here ...marto w
1234
mag
ret n
i pir
iton
class ya wa huni.com
Shujaaz (TM) is published by Well Told Story Ltd, P. O. Box 1700-00502 Nairobi, Kenya. Tel: +254 719 407 512 Web: www.welltoldstory.co.ke. Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466-00100 Nairobi GPO.
ahsante wazito! singe tengeneza h comic bila nyinyi!
Produced in collaboration with: Hewlett Foundation, Twaweza, Bill and Melinda Gates Foundation, Sainsbury’s & ESHE. Distributed by Nation and Safaricom. PRODUCER: Paul Ekuru ASSISTANT PRODUCERS: Jared Ngugi | Stephanie Boy | Paul Peter Kades ART: Maurice Odede | Mmbasu Mbwabi | Dan Muli | Eric Muthoga | Joe Barasa ART DIRECTOR: Esphan Kamau GRAPHIC DESIGNER: Ann Ndichu SOCIAL MEDIA: Farida Nzilani Winnie Nduta RESEARCH: Sylvia Thuku | Lavinca Achieng | Norah Kopi OUTREACH COORDINATOR: Koome Mwiti | Getrude Bosire EDITORS: Blizzy Raura | Louiza Wanjiku ASST. EDITOR: Wangari Murage DISTRIBUTION: Joram Kioko PHOTOGRAPHER: Alex Kamweru FINANCE: Ranjeeta Jani | Carol Ariga | Mary Muthoni INTERNS: Ronny Omondi | Wambui Gathee Special thanks to JUNE RAPSHA for his Music on ShujaazFM
25
Well Told Story © 2014 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced,stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication.
26 kukuget on airwaves ndo ngori.woixhe jaribu ulete shows zako on popular radio stations km radio maixha n citizen. Mercie//Dj B leo nimekuskia kwa q fm man uko juu ata hustle ya uyo msee iko tops poa jamaa endelea ivo ivo! Mburu// Naje DJ B kwani kinyonyi uomba ka ten always pls si umsave na ma ideas ajihustlelie thanks alot for your good job still
27
going strong good night. Esther//Bydaway Dj b,nadai nianze biz but cna capital,niko motivated sana na article yako.naeza get help,sitaki kuwa kinyonyi. Dickens//Hi Dj Boyie,Nime note ukitumia ‘nisaidie na 10bob nibuy kitu...kinyonyi tu’ ni kweli watu kama hao wako. Na hao ni wasee wazii,badala ya kufanya kazi na kuget dooh. Thumbs up though. Dennis//Kinyonyi
28
wanaboo.mbona wasipik hizi ideaz zako noma wajiendeleze.yafaa wajihustlie hako ka-ashu men. Mercy//Hiyo ni idea poa na everything you do bro zina tu inspire tu sana kwa hivyo tuko ngangare kuruka sss! hebu angaria hikyo kinyonyi kazi yake ni kuombd omba tu. Kennedy//DJ B sauti yako imenibamba 2 xana Doreen wa kishushe mbela high 4m 1.Doreen//
29
30