2
Bennedict Inondah: Poa poa bana uwa unatuteach vitu most, big up jamaa. // Gregory Isanda: Vipi DJ Bn greroy isanda nilixoma shujaaz chapter 58 n poa xana ume improve lyfe style ya mayut wengi zidi kuwa n mtima huo huo hata mi umeniencourage n bro wangu anaitwa vinny isanda ameanza ku save dooh. // Yan Maina: Mi nimegt inspiration from wat u tell de yuts abt the future. >>
3
...hiyo wiki tulifunga shule kuna ile concert ya mc magnum ili-come...
ey, chuxX! umeweka posters nyingi sana kwa duka yangu!
posters zilikuwa kila mahali... mnakumbuka?
niliambiwa niweke hivyo!
chuxX!! hiyo concert itakuwa how much?
hiyo ni kazi yako kujua! kazi yangu ni kuweka posters!
madDo, huyo chuxX anakuwanga mzii!! sasa mbona anabonga vi-udu hivo?
4
ako down, lakini ana point. nafikiri nitaenda hiyo concert. na nitakuwa na date!
eEeEh! hehe! so ni madDo ndio alianzisha maneno, eh?
ebu malizeni kunitengeneza nywele! giza imeanza nitakosa mat ya kuenda home
so sunday... jana... nilipanda mat nikakutana naye... ...nilitaka sana kuwa naye penye mapero wa mine hawata tu sorora...
ah-ah! maliza hiyo stori! mimi nitakulipia taxi!
kabla twende flo-rada 2000, tulienda lunch pale kikwetu fish and chips... foOd ilikuwa safi!
hata mimi nitaongezea ya taxi! maliza risto!
...nimengoja leo sana. mi hushindwa kusoma shule juU ya kukufikiria tu...
ebu onja hii fish...
hihi! aki, madDo!
yoh! madDo! tuishie bana! tutachelewa!
hapa sasa!
5
6
Sammie Migiro: Ajez? DJ Bile idea ya kutumia protection imenhelp vitu mob aky.Ata ctaxtuka dem akybeba rubber tena. // Manase Ayoma from Siaya: Ajez mxito kuna vile round hii nimekua sonko bana, nilinunua ngurue last yr july ikiwa mtoi,this month ilizaa watoto sita nikauza mbili 1500 each nikanunua mbuzi bana. thanks alot kwa ideas xako bana. // Grace: Hii DJ B aki one day talk abt pple with >>
...karibu nishindwe kupumua...
halafu dj akaAnza kupoesha...
...nika-feEl madDo amenishika...
twende...
nilikuwa kwa dilemMa... sikuwa na nguvu ya kukataA, na sikutaka ku-disSapPoint!
madDo...
dixabilities coz they are kenyan youth n they hv many thingx they can do. // Francis from Lamu: NiajeDJ B nadhani ni vizuri hata madem kubeba cd. juu anything inaeza happen wakati wowote. naili kuzuia naona hamna ubaya wowote. // Dishon from Kakamega: Niaje DJ B uko chonjo endelea ivo ivo. // Chris: Nliquwa niki save dooh na imenioqolea qubuy cladi na via2. qusave inaoqolea xana. >>
7
8
Skylux Murithi: Hey Shujaaz i fm lt m thk u DJ B cz n mewexa kget ideas mob kw show yk n macting ments wk kw wexa ku build lf yng n mayuts wenxangu thks guys cogrnt’s n m tp tu xn. // Maureen: Kubeba cd si mbaya labda jk amechanganyikiwa mdem msmart ni ule anatumia CD. // Wanjiru Mathai: Hi DJ B mayut najua tuko poa ku keep peace nchi yetu tunasonga bele imara daima sisi tuungane >>
Shujaaz (TM) is published by: Well Told Story Ltd, P. O. Box 1700-00502 Nairobi, Kenya. Tel: 20308 [sms only] Web: www.welltoldstory.co.ke. Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466-00100 Nairobi GPO. Produced in collaboration with: Hewlett Foundation, Twaweza, Bill and Melinda Gates Foundation & ESHE. Distributed by Nation and Safaricom. PRODUCTION MGR: Grace Macharia PRODUCER: Paul Ekuru ASST PRODUCERS: Jared Ngugi | Stephanie Boy
ART: Maurice Odede | Mmbasu Mbwabi | Joe Barasa DESIGNERS: Esphan Kamau | Ann Ndichu RADIO: Paul Peter Kades SOCIAL: Farida Nzilani | Winnie Nduta RESEARCH: Sylvia Thuku | Lavinca Achieng | Norah Kopi OUTREACH: Koome Mwiti | Gertrude Bosire DISTRIBUTION: Joram Kioko FINANCE: Ranjeeta Jani | Carol Ariga | Mary Muthoni HR: Hellen Mwangi ADMIN ASST: Gloria Ndungi INTERNS: Wilfred Kariuki | Regina Lesilele | Jackline Njambi PHOTOGRAPHY: Alex Kamweru
Special thanks to JUNE RAPSHA for his Music on ShujaazFM
Well Told Story Š 2015 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication. pamoja. // Macklin Egesa: Hi DJ B nalike comics zako vile ziko juu tu sana. Zina tu enlighten. // Joseph Muthoka from Kitui: DJ B manze cku mwob cjakua code 254 buh nmerudi. Xema makubwa kwa shujaazTV. I liked every bit of it wen i woz in code 256. Big ups buda 4 the big job. // Stevo from Machakos: Shujaaz nilixoma chapta 56,cheezy angeweka ka bizna ya kufuga sunguch juu ni less expe alafu >>
9
10
inaleta dooh within a short. // Bernice: Sasa DJ B m bernice n on behalf of all parnts i wanna congratulate u 4 the gd wrk u r doing 2 the youths. // Xavier Ayuku: Hi DJ B? aki niko impressed na vle unatuelimisha c ka mayuts infact nilianza kimchezo kufuga kuku. Imgn frm 5 hens to 50 na nilianza last year Dec. // Adesovir Munyao from Machakos: Masii Town Nashukuru DJ B shwo ina nice aje alaf mchki >>
Sasa DJ B anataka sana kujua juU ya hii hustle yako.
Hamna noma. Nitakushow kila kitu.
Alright...
Sasa mimi huwa na-incubate mayai alafu nauza vifaranga.
Wow! Mimi najua tu watu wa kuUza kuku pekeE yake, we ndo wa kwanza nimeona wa kuincubate mayai. Kweli. Si watu wengi hufanya hivi.
mspread boox sana. // Danex: Hi DJ B za new year! Manze kuna kinyonyi moja hapa mtaani anangoja watu nje ya duka ukibuy kitu upewe change hata kaa ni 5 anakuomba eti umwogeze abuy nayo fud akona njaa. na saa hiyo ako na fegi mkononi.Sa na shindwa fegi ameget wapi na anaubao.Amejulikana sa hi watu wanamwambianga pole sio leo. Ame learn leson ya ke sahii ame hamia mtaa ingine.
11
Unanunua egGs ama yote untoa tu hapa?
Hapa hapa tu. Hawa kuku nimefuga ndo wananipa mayai.
Hii idea ulitoa wapi?
So idea ya kuincubate mayai ilikuja nikifikiria juU ya kuku.
Kwanza nilikuwa nataka kuanza bizna ya kuku alafu ndo nikafikiria watu wengi tayari wanaifanya.
Tuseme kwa mwezi una-incubate mayai ngapi?
Hii incubator inaweza chukuwa mayai 49.
12
Gabriel Kilui from Mwingigabrie: Hae DJ B next comic inatoka lyn.i lyk dat comix coz znakuwanga na maencourenge mob ya kubeneftz mayouthz. // Kaguta JK: Hae DJ B nmechk shujaaz chapter 58 na imenbamba 2 sana.We n role model wa myn coz umenteach so many things in my lyf. Cograts Dj kwa kueducate mayouths. // Damaris Wanjiru: Aki DJ B umekua help kwangu xana nilisoma story >>
Okay? Lakini huwa sana sana naweza hatch a m inimum of 21 chics.
Nice. Huwa unaeza uza zote kwa mwezi?
Yea, mwezi haiwezi isha kabla zijaenda zote. Kuna demand mzuri.
Chick moja unauza how much?
Price huwa ina-range from Ksh.130 to Ksh.180. Ni nini inafanya u-set price tofauti?
Huwa inadepend na age ya kifaranga. The more ina-grow the more inapanda bei.
furani nikawa suppoted xana. // Jamal Steinah: Mambo DJ B napenda hii comic yako tu sana ju ina encourage wathii sana. Big up manze JAH bless. // Juliet: Wasee mko 2 juu sana napenda vile mnaencourage mayuts abt life circumstances zao jo cheers DJ B. // Jack: Ai thnx 2 sana.bt nathnk hizo sms ume2ma nkuset umeset kwa com juu zimeka xo fast than a humam can send.wallaih nko sure >>
13
Enyewe sasa naelewa. So kama ni mwezi poa huwa una-make doO ngapi? Lakini si kulea ndo poa ama?
Ka kila kitu imeEnda fine huwa naAngusha Ksh. 3700.
Yeah. Kulea ndo poa juU uta-make profits mob kuliko mtu ana-buy mayai kwa shop. Ni venye waseE huogopa kazi ya kulea kuku.
Wow! So mtu anahitaji nini ndo afanye hii hustle? AaAah, hii hustle ni rahisi sana. Kitu unahitaji tu ni incubating machine. Unaeza lea kuku ama bado unaeza buy mayai kwingine.
I seE. Wateja wako huwa unawatoa wapi?
So hau-neEd kuenda soko?
Wengi wao huwa wanakuja tu hapa juU washajua mimi nabreEd vifaranga.
Soko si sana. Kitu mzuri ni uku treat customers vizuri huwa wanaenda alafu wana-refer wengine.
14
James Ngure: Manze mumekuwa mkiniencourage 2 xana kupitia mbuku ya Shujaaz kama vile market. Thankx 2 xana DJ Bkwa kuniinspire mkiwa na ngenge yako. // Krizy Mwende: Nimemanda borm four nabambika juu ya vle mayut wna huxtle na hii ariba ya kutumia cdx ina help xna mayutx dhankx DJ Bkwa job poa. // Partrick Lu Mpa: Napenda Job yangu na pia napenda venye unapenda job yako. >>
15
16
Imefanya nieze ku-providia familia yangu. Nashukuru Mungu. // Steve from KDO: Johnny we ni mnoma am 27yrs av one kid na wife yangu ana use contraceptives. Nadhani ukiwa m-active sexually ni poa kutumia condoms. // Lucy: DJ B niaje manze nataka nkurimind unado job poa xana kutushow ujanja wa bizna but drugs na immorality zinatufeilisha big up mtu wangu. // Brian Messi: I like the >>
Tumekuwa tukifanya rehearsals for long hours ili ku-make sure tunapata quality music na lyrics na pia wase wapoa wa kutupatia advise inafaA.
Imewa-take nini kufika place mko?
Hapo hata wewe umeangusha wisdom budaA. Kwetu kila chalLenge ni learning point. Tunamenyana nazo!
huyu mthii anaharibu starehe na hio fegi! Hiyo ni spirit poa sana. Nini ndo bigGest achievement so far?
KOFf!
Ku-release two singles, moja ikiwa colLabo ya nguvu na KING KAKA.
Pia tulipata honour ya ku-perform in front of our president His ExcelLency Uhuru KenyatTa. niaje wazito! niwai 10 bob ni-buy fegi!
pole lakini zii!
KINYONYI kuomba-omba tu! Hongera mzito.
Na thanks kwa time yenu. Maze mnaenda far!
Thanks DJ B.
sasa hawa wamenichorea tena...?
Thanks kwa hiyo morale na time yako pia. Shujaaz magazine unipatia ma tips za bizna. // Pascal: DJ B we ni role model wa myn koz umeniteach xo many thinkas in lyf, apo nyuma nilikuwa cna pa kuhustle bt nowadays nahustle kwa kudunga maworkz ya bricks mtaani na per day nko na 2k denkz 2 sana m2 nguyaz. // Victor Odhiambo from Dandora: DJ B wa shujaaz chpta 58 imenitach ile mbaya kwnza story ya Laurence kariuki manze abigap tu >>
17
18
sana napia we ume tuxaidia tu xana xi ka mafans wko Jo bigap DJ B. // Arasa Makori from Kisii: Enyewe Shujaaz imenijenga. i finished skul last year na nimebonga na masa amekubali kunigawia shamba 10X10metres nipande carrots. pia naplan kuunda rabbit house ju already nimezipata ni hao peke yake. DJ Bshow msee yeyote mwenye anataka sungura ani2mie meso kwa 0700411813. kuna watoy >>
19
Haina was! Hata wewe unakaribishwa big time.
Hahahaha! Wazi. Maze si hii hustle yako haina wengi! Asante bana.
Ndo hivo sasa. Tunaiitanga Afrocentric shoes.
20
Iko juU tu sana. SaA naona kila kitu hapa ni Africa‌
Ati Afronini?! Hahaha. Hahahaha. Tuseme tu ni ndula zina total African touch.
wadogo from soo tano hata wakubwa wako. msee pia anaeza eka order kwa page yangu ya facebook, Arasa Makori. // Macklin: Hey DJ B Meal angu m upenda ni saga,na vegetables difer zi du lyf angu m uishi widaut geting any disease. Stevo Musera: DJ B wewe ni inspiration 2 da youth,big up cz umefanya ni realise kuna msee out there anajali mayut,b blesed. // Calyx: Thanx DJ B happy for being >>
Noma sana. Na hii ni idea ulitoa wapi? Mimi nilianza design juU ya pasSion for fashion.
He, tena kwa turhymes pia hauko mbaya sana.
Hahaha.
So ilikuchukua doOh ngapi ku-start hii hustle?
Manze nilikuwa nauza gazeti sana tao, nika-save ikafika thao tano na hiyo ndo nilitumia ku-start.
recruited kwa hiyo army .nina furaha mpwito mpwito kuwa mmoja wa shujaaz.let keep in touch.pamoja dj b. // Annonymous: Vipi DJ B,mimi ni juma na hustle nikiwa busia.thanx maze thru shujaaz kuni inspire nilisare idlenes nkaamua kua busy now,i earn cash,niliborow 500 bob kwa jirani as capital ,nikaanza kupika mandazi, then nazisupply kwa shops za mtaa,zingine majirani na watoi wa shule wanabuy >>
21
Wao! Sema bidii! Bidii. Hiyo yako ndo inaitwa bidii.
Hahaha.
So ni vitu gani mtu anahitaji kwa hii hustle? Unahitaji hizi African fabric, cherehani, uzi, sole za viatu, mbao na machine zingine za kuchonga mabao zenye hatuna hapa. Naendanga industrial area kuchongewa.
Na sasa una-buy wapi material? Tuseme kama fabric? Hizi mi hutafuta Biashara streEt.
22
zile zimebaki. Now DJ B my life has change,thank u DJ B,thank u Shujaaz Fm. // Eric Njoro from Nax: Sema DJ B?,maze hio rysto ya ma diet n important xana na imen bamba vdeddly kuruka,maze DJ B kip on edukating mauths nauwasho dat ‘THAFAI’ inama nutriets kbao, sio lazma waendee ma njiva zenye ziko na maprotein most kwa mwili,waende food ziko na mavitamen kama ‘terere’. >>
inaeza
Dannex Duncan: Hey DJ B Ni kweli mi pia nilijipata kwa situation kama ya jonny.Na since mi ni orphan ckua na m2 wakuni supot or kunipa advice.Bt afta kuget in touch na shujaaz.Niliona light na sa hi nimejipanga na providia familiangu vizvri thax 2 shujaazfm. // Mackline Engesa: Si kuna mathe flani apa ome upatia mtoi wa 3 month umpatia tw irish potatoes pekee nampelekea hi comic aone vitu >>
23
26
anafaa kupatia mtoi imajin everydei nikim ask why anasema ana dooh za kununua izo vitu gai. // Calyx: Zaidi ningependa kuona betty juu yeye huwa forcussed na life yake . japo yeye umake mistakes ni kwetu sisi kulearn. hii character ya kupigiwa mfano na inatamanika sana. betty 4 real ma vote. halafu pia ni mreal videadly. // Rama K: Nilisave dooh na ikanisaidia kwa kujenga gheto then 4now >>
maze hata hatujui jana kuliendaje na mary.
Wamwkuwa pamoja for 90 days na tunajua vitu zinakuwa serious mkimaliza 3 months na mseE.
Enyewe kwani ako!?
mary jana kuliendaje???
Toboa!
hmMm!!!
siwezi sahau day malkia alini-introduce to tom, ilikuwa love at first sight
mary, neiba wangu tom. tom beshte yangu mary
ni mhot.
nasave coz nalenga kufungua bizna so nauliza bizna poa ni gani? // Jack Kamau from Kiambu: Niaje DJ B mimi ni huxtla na fanya kazi ya xcrap metalx naomba u encourage mayutx axante kwa kuwa pamoja. // Kennedy Mwangi: The best Stage ya kuongea mabo ya CDs is wen hutaki kupata watoi b4 the tym and also time umemada kupata watoi ili usilete distructions kwa bizna yako. Chris: Nliquwa >>
27
Mapero wangu wanaenda up-country hii weEkend. So tuta hang?
Naeza like ku-spend time na wewe bila distractions.
vile mapero wangu walisema wanatravel for the weEkend nilijua tunaweza kuwa pamoja bila curfew bye!!! na ufanye homework, tunarudi sunday
awWwW! wanakaA cute wakiwa pamoja.
nilijua hio ndio the day but sikuwa na pesa enough ya kubuy condoms
maze sina mkwanja ya kutosha
nikaenda home kuji-prepare
28
Sitaki kubuy condoms cheap, Tom anaeza fikiria sina clasS.
aki sasa nita vaA nini???
niki save dooh na imenioqolea qubuy cladi na via2. Kusave inaoqolea xana. // Alacia Atieno: Haez naitwa alacia atieno en napenda shujaaz tu xana DJ Bnaeza taka kkuona in real. // Chris: Poa DJ B coz nlixoma chaptaz nyigi xana za xhujaaz av a good evening mr na mi n mxanii coz nlituga nyibo tatu za vol one rec za catho chenye klinpedeza ili nkutext n kinyonyi venye anaact mwah naneed nkuwe >>
shabiki wa shujaaz haki. // Rozzylin: Ok Mi nlimada systm lst yea bt one na nkachukua na besty yang 2kaboga na mca we2 aka 2prmot na dooh kiac 2kaanza bizna ya kusel sanitary pads kwa chuo mostl kwny kuna magalz wegi. // Bryan Muinde: Sikumbuki chapter but kuna msee fulani alikuwa member wa gang ya kina scarface alisare story za hio gang na akaanza kulisha kuku. mimi nilimada 4th >>
29
30
last year na natafuta wasee tuungane tuanze hio bizna na pia kupanda tree seedlings ya tree seedlings ndo tumeanza na tunalook foward kuwa na over 100000 seedlings round one. << FOLLOW NA U-COMMENT KWA WALL YA DJ B ON FACEBOOK [DJ BOYIE] AMA UM-TEXT KWA 20308. KUMBUKA TEXT NI SARE >>
31