Mi ni Daniel nahastle hapa mtaa wa zima,milema kuna vile huwa unaninyce tu sana dj hunisaidia sana nkiedelea hudevelop future yangu.sulute too sana.
2
Mi ni daniel nahastle hapa mtaa wa zima,milema kuna vile huwa unaninyce tu sana dj hunisaidia sana nkiedelea hudevelop future yangu.sulute too sana.
3
4 me napendaga i shw yenu joh cz inachange mayuts sana.big ups dj b. we n we2.. Renney Keviannah
cheki dj b kuna vile storie yko iko juu tu sana madze azn ebu rusha
conta yko ya whatsapp akh tuongee more Martin Tivla Martin Gikundi . MuneMwangi Hallo Dj Boyie.....am a good follow up of you’re work andcongratulations for
5
6 what you’re doing.
Hey dj boyie i realy lov ur shw..Unasaidianga ma youths tu sana sanasana kufight hii spirit ya kuwa jobless.God bless you hadi usengenywe... Hannah Wam-
7
valley ni ibrah mmoja kutoka naks vegas,i think kama dj b angefungwa ‘DJMK’ndio angekurepresent,na maria kim ndio ananibamba tu ile mbaya Poa gotea Malkia na umshw anani-
10 bui
Good work DJ. Boyie...I lyk soo much keep it up boss. Chriss Kamande Big up for your endless effort of making youths to bcome something. Stacey kutoka Blue
bamba na mchongoano zake Stano Opati Mko tu juu sana kwenye show yenu Jan Thanks too Dj B.Wow nmefurahi leo ntalala juu ya stool am gld 2 tok wid u Dj B...nakwambia
11
psgud.I Robbah Yeap b kudos thenks for tu sana kwa kuwahelp mayut kwa ideas noma noma 12 gare Hpe ur juz wanted to Dj say the good jod u r doing with shujaaz.My friend & naipenda hyo idias nxt tym nkobomb!Stori na shwali utanielp nigh ilinijaza,yani poa Robert Hii DJB! i love it to sana death.issue yadjboyie last month is the ya bro yxochrlie Uko
hivyo.thnks tu sana kwa Shujaaz
Sema Dj boyie “wagwan kwa chapter 57 kwa ku2lea Alaine” asante
VipDB!i like wht you and your team are doing changing the lives of kenyan
13
14 youths.Keep it up brother Tash Kitui Langat
Hi Dj b,manze mko juu 2sana coz unafanya mayuts ka cc 2kue ju 2sana thnks,ni sylvester aura from pangani
ju2sana dj b Al-badruh Hussein Niaje dj b ni mugwe wa kamiti sec si ka mayut tuna appreciate job poa una do pamoja na team yote inayokuwa involved kwa kumake shujaaz.
15
16 BIG UP MAN Brian Kith ante kwa Shujaaz
. Sema Dj boyie “wagwan kwa chapter 57 kwa ku2lea Alaine” as-
Justus kyalo/hi dj b me hulike comic yako,endelea kutuchanua hivyo
18 xana. Otsieno Kelvinz Niaje dj b salimia mafans wote na alfred mwaengo kwa kujola ako namba moja amenifurahisha xana. Jeddidah Ngina Mutua
Hallow DJB...Shujaaz ime-
show yenu inasika huku kwe2 na shule niaje man wacha 2!!!!!...gotea Maria Kim,Malki na pamba moto xna... Judy Mwende ata xai na read shujaaz chapta 62,stry ya amos na Charlie Pele kati ya wengineo kama mafans wa SHUJAAZ Njenga I lov xhow yenu
19
20 josh. Lankar
thanks tu sana dj boyie u really inspire us kama mayuts ,,,congrats Njesh
DJ B huyu hustler Alfred Mwaengo kwa chapta 63 amenchallenge 2 xana thanx kwa
comix zako coz zina inspire mayut wengi .Fredrik from Emali
axante na shujaz
chapta 63 ilinibaba xana mko juu mtu wangu lawrence aka jalash
21
22 Nashukuru sana Dj b kwanza shujaa ilinitoa ujanja wa kuhuste James Niaje dj b..ni bobby apa io shw imenieka syk tu sanaa n nimefil lyk naeza du bizii ka ya wan-