Chapter 75

Page 1

not for sale

R

CHAPTER 75

elationship yenu

ules zenu! Pg 4

Torch Smart

Charlie Pele ana save village yake! Pg 12

Jua rights zako!

Ama ulale ndani!

Pg 18

Vanessa Mdee

Usiogope maoni yako!


2

Samuel Pizzicato Ukona mdomo kuwa mpaka unaongeanga na capital letter// Andrew Azim Odhiambo Dj B wewe ni mchoyo


mpaka Unajifichanga ndio umeze mate// Kwenu kuna insecurity hadi police station hufungwa saa kumi.

3


4


‘

5


6


Garvin Sanchozil Mingusa Vincent Dj we unaogopa waseekupata wa kuna kiti kwa mathree//Muthuri Ujinga ni kijibaba K’ogalo hadi wakiitisha #stoney mbio. Cashies gari imecrash alafu kinawauliza kwani unatoroka imeanguka?//James

7 //


baAdaye kwa maria kim...

Karibu sana Shamala. Unajua Avie siku hizi ni neigbour wangu hapa? Amehamia huku...

Wow! Nyinyi warembo mnapendana sana, hadi Avie amehamia huku!

avie, mimi na shamala tuna asSignment ya shule tunataka ku-do chapchap. hope hauta-mind...

ah-ah! si-mind!

Avie, wewe na boyfie wako si mko rada!

8

Na hata usitake jua venye Maria Kim huwasifu!

haha! maria kim ndiye yuko rada! ye husema tu vitu poa kuhusu mabeshte wake. She’s such an angel!


9


10


11


AKIBA HAOZI

12

Gadafi Nyaeri ujinga ni kuenda kwa shop nakuuliza ,unauzaaje bamba fifty//Josphine Sian Ujinga ni kutooga kifua juu roho ni safi//Irun-


GATES MONEY gu Mwangi ujinga ni kusema huna ndoo ili hali una mashilingi kwa kichwa//Prince Wilfixon Rotich Wilfie ujinga ni kuuliza condaa ka

13


GATES MONEY 14


GATES MONEY kuna kiti kwa mathree//Muthuri Vincent Ujinga ni kijibaba kupata gari 15 imecrash alafu kinawauliza kwani imeanguka?//James Cashies Ujinga


GATES MONEY 16

ni kutafuta police station kwa redio//Evans Gesura Ujinga ni kumeza mara moja mara mbili//Sifa James Ujinga ni kubuy kam-


GATES MONEY ba ya kwenda kujinyonga alafu unaitisha balance//Mafuniko Ruwa Ujinga n kufua nguo kwa maji ya moto ili ikauke haraka.//Nicholas

17


18

Murimi Ujinga ni kujiita sonko juu unaitwa mike.//Suzy Dembowz ujinga ni kubuy kiberiti na kutest ka zte znafanya//Gneiss Gemini


mnaenda ndani nyinyi wote!

kwani tume-do?

tulikuwa tu tunasikiza ngoma ya manlike! hakuna kitu tume-do!

tembea! mtaongea mbele!

ujinga ni kuuliza watchman ameamka aje.//Stephen Makanda Ujinga ni chali kuita dem yake honey na anaogopa nyuki

19


20


afande ebu fikiria kama ingekuwa ni brathako kwa hii celL...

brathangu aki mangamanga kama wewe, tafunga yeye mimi mwenyewe personalLy!

nimesikia simu...

nani ako na simu?

hamtaki kusema ni nani? mnataka mchezo, eh?

nitawaonyesha mchezo! 21


Afande, tafadhali tuskize tu, tunaomba kwa upole.

Afande, badala ya vijana kuonewa hivi, tungekuwa tunafanya kazi pamoja kumulika hawo wagondi mnatafuta...

Kwa nini mnakuanga vichwa ngumu vijana? Sasa kupeana simu pia ni vita? Alafu tukiwa-arRest mnateta?!

ComMunity policing afisa. Sisi hatuna ubaya

Shida yenu vijana ni kuwa huwa mnakusanyika ovyo ovyo hadi mnakaA ma-suspects...

MnafaA kufanya vitu za maAna na lives zenu. Hamtaona tukiwafunga...

eh? wewe ni nani?

naitwa deEpti.

excuse me! nataka kujua mbona boyie ameshikwa!

chenye mnafanya hapa si halali! watu wameshikwa wako na rights! hamuwezi mkafanya tu chochote mnataka!

22

phewks!

kulingana na sheria, mtu ameshikwa lazima aAmbiwe, kwa lugha anaelewa, mbona ameshikwa. mbona umeshika boyie?

sikuUliza jina yako! nauliza wewe ni nani kwa hii nchi?

madam huwezi nifunza kazi yangu! hawa walikuwa tu kwa barabara, lazima walikuwa wanapanga ujambazi!

si ati kukufunza kazi yako! ni sheria ukitaka nikuonyeshe kwa simu, article 41 ya katiba. ona...

heh! na huyu ni mjuaji kweli!


23



Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.