2
Samuel Pizzicato Ukona mdomo kuwa mpaka unaongeanga na capital letter// Andrew Azim Odhiambo Dj B wewe ni mchoyo
mpaka Unajifichanga ndio umeze mate// Kwenu kuna insecurity hadi police station hufungwa saa kumi.
3
4
5
6
Garvin Sanchozil Mingusa Vincent Dj we unaogopa waseekupata wa kuna kiti kwa mathree//Muthuri Ujinga ni kijibaba K’ogalo hadi wakiitisha #stoney mbio. Cashies gari imecrash alafu kinawauliza kwani unatoroka imeanguka?//James
7 //
8
9
10
hakuna cha hiyo! kama hulipi tunaenda na hii!
mama stacey! pesa ya garbage! haujalipa miezi tatu sasa!
eEh! tunaenda nayo! hiyo ni nini? tunaeza uzia njoro wa car wash aoshe gari nayo?
mama stacey? kasimu kangu kamejaA moto?
aki sina! kujeni next month nitawalipa... I promise!
nimeshindwa kulipia trash... hawa maboys wanataka kuenda na hair dryer yangu!
eh? nini inaendelea hapa?
Ishieni! hii salon si ya mama yenu!
11
chux umeni-save! leo sitakulipisha ku-charge simu!
baAas! hivo ndio kunaendanga!
hiyo salon hai-make profit hata! chuxX alini-save, but na-neEd mpango!
baAdaye...
nyinyi ndio ma-advisor wangu sasa... nita-do?
tunaeza tafuta madem wa kusambaza fliers, tuambei customers ukileta customers wengine wawili, unaget freE maniucure!
haiya! hiyo ni idea poa!!
but mi ningesema hivi... tunataka ku-atTract ma-customer madem, si ndio? tusitumie madem kusambaza fliers. tutumie machali wahot!
tufanyishe interview ku-make sure tutaget wale machali wa-finest kusambaza fliers!
12
unajuaje? maybe nitaAngukia, hihi!
baAda ya siku kadhaA...
panga line straight!
haya! tuanze interviews!
wah! betTy, chilL maze!
mama mia! huyu nisha m-like!!
umesema unaitwa...?
hakuna haja ya interview hapa!
shadack... ama shadoH. shadoh, huyu dem anajifanya amekunoki anaitwa betTy. tuseme umekutana naye mtaAni tu... ebu tushow vile utam convince akam kwa hii salon...
Hey, honestly wewe ni msupuU sana. Najua one minute of your time ni pricelesS, so I beg just for 60 seconds; Mama Stacey salon iko na nail art noma-stick ons na foils.
zina-last for a month! Utapata na half price na ukileta mtu mwingine, utafanyiwa freE. Thanks msupa. Tuonane salon.
eh...
wah!
mpaka nasikia joto
13
mMeona? nini? sudDenly umekuwa m-sad...
say what? unado nini na ma-cd kwa bag yako?
bae unajua siji-trust nikiwa nawe. afadhali niwe safe.
mMeona chenye kimeandikwa kwa t-sho ya shadoh?
imenikumbusha kitambo...
aii zi! kubebana na ma-cd kila mahali? kwani we ni dem aina gani? bae si tulishabonga hii story tukasikizana?
I think decision yako ilikuwa right! hata kama ulikuwa unam-like, usi regret hata!
14
ama waonaje, maria kim?
Maoni yako kuhusu reaction ya BetTy's boyfriend alipo ona cd kwa handbag yake ni gani? Text maoni yako kwa 20308 ukianza na word 'QueEnfisi' na unaeza shinda Ksh. 1000. Kutext ni freE.
nilikuwa na huyu chali... nilikuwa nam-like, but ilikuwa ni kaA yeye ndio ana decide kila kitu. mimi sikuwa na say, na hakuwa anani respect!
hapana! hatukusikizana uzibebe kila mahali! know what? nimeishia! It’s beEn real!
haya, sasa ebu tuamue ni machali wagani wamepita interview.
wote! wote ni wa finest! hizo ma abs! ma swag!
ah ah! no! huyo hajatosha mboga!
mcheki tu! eh?
hehe! betTy wewe ni fisi sana!
baAda ya siku kadhaA...
bizna imekuwa poa! hiyo plan ili work!
haha! queEn fisi mwenyewe!
naona utatafuta mtu wa kuku help sasa. ma customer wengine wako nje wanangoja!
15
16
Gadafi Nyaeri Djb ati first tyme yako kwenda church uliulzwa kama unajua yesu ukadai eti�mm bado nmgeni hapa bado sjui watu wote
Skiza radio show ya dj b hapa
ku fm SHINE FM
KU FM
RADIO KAYA
RADIO LAKE VICTORIA
NAMLOLWE KOCH FM
Shujaaz (TM) is published by:
JUST FM
STAR FM
PAMOJA FM
VOTU SHUJAAZ AFRIKA
Produced in collaboration with:
Well Told Story Ltd, P. O. Box 1700-00502 Nairobi, Kenya. Tel: 20308 [sms only] Web: www.welltoldstory.co.ke. Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466-00100 Nairobi GPO.
HEAD OF MEDIA: Julian Macharia PRODUCER: Paul Ekuru ART: Maurice Odede | Joe Barasa | Kevin Mmbasu DESIGNER: Ann Ndichu RADIO Producers: Stephanie Boy |Jared Ngugi | Paul Peter Kades PRODUCTION coordinator : Consolata Muchoki DIGITAL TEAM: Mnikelo Qubu |Jidraph Njuguna| Farida Nzilani | Gabriel Abagalana | Evans Onyango RESEARCH: Caroline Mwende | Sylvia Thuku | Lavinca Achieng |Norah Kopi |Getrude Bosire DISTRIBUTION: Joram Kioko | Joyce Wanjeri ADMIN: Gloria Ndungi FINANCE: Ranjeeta Jani | Mary Muthoni | Carol Ariga INTERNS: Isaac Arunga |Dorcas Nyambura | Pete Wachira | Kevin Muraguri. Special thanks to JUNE RAPSHA for his Music on ShujaazFM
Well Told Story © 2016 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication.
17
18
19
20
Mafuniko Ruwa Ujinga n kufua nguo kwa maji ya moto ili ikauke haraka.// Obadiah Ropkip “Ati ww n mrefu hadi unapewa ugali na manati”
Rabex Cynthia kwenyu mko wengi adi ikfka tym ya fudi mnakol 21 regsta kwanza . macho zako n red adi zinaivisha nyama!
22
Gabriel T Tito Wewe ni ngamu kuweka credo kwa simu hadi ukiweka bamba 50 watu wa safaricom wanaziweka kwa mpesa by force!
23