Shujaaz KE Chapta 77

Page 1


2

Samuel Pizzicato Ukona mdomo kuwa mpaka unaongeanga na capital letter// Andrew Azim Odhiambo Dj B wewe ni mchoyo


mpaka Unajifichanga ndio umeze mate// Kwenu kuna insecurity hadi police station hufungwa saa kumi.

3


4


5


6


Garvin Sanchozil Mingusa Vincent Dj we unaogopa waseekupata wa kuna kiti kwa mathree//Muthuri Ujinga ni kijibaba K’ogalo hadi wakiitisha #stoney mbio. Cashies gari imecrash alafu kinawauliza kwani unatoroka imeanguka?//James

7 //


8


9


10

Ni nini ulipenda zaidi kwa h story ? Tuma maoni yako kwa 20308 ukianza na word “LYE” na unza get ksh. 1000!


SPONSA!

11


baAdaye...

here I come! nita-rock hii audition, lazima niget hiyo gig!

mama mia! cheki huyu msupa! lazima nim-vibe! next!

sasa mresh! simama pale.

mimi ni producer jemo. wewe already unakaA super star!

utaAngalia kwa ile camera halafu uji-introduce...

12

haiya! show us your stufF!


live kutoka mitaA imeshona swag! kotoka kwa waseE wa mafisi sacCo, na mayut wanajijua...

hiyo ilikuwa dopest! aki?

wewe ndio talent nilikuwa natafuta!

tonawaletea tv show fresh kutoka jongo!

so nimeget hiyo role?

kabisa! kitu moja tu... moha, ebu tu-excuse kidogo...

sawa bosS.

mimi ni host wako, Patricia! kaA rada!

cheki msupa... ni hivi... si niku buy-ie cofFeE leo jioni?

ati?!

sorRy, I don’t do cofFeE! hii chance ya ku-present show sio rahisi ku-get. usitupe mbao... ayayai! bosS, you don’t know me!

13


mimi nina choOse mwenye ninataka kudate! unadhani utaniget juU ya haka kajob? kaA nayo!

ebu kunja hiyo mikono yako uache kushika shika watu! tabia mbaya!!

helLo... bae, pliz come uni-pick...

hatufanyi auditions tena! Ishieni!

ati? huwezi do hivo after tumengoja hapa masaA yote!

oh my ngosh! like... is this dude for real?

fat boy, mimi ni bosS hapa! naeza do anything nataka!

naitwa chuxX, nasiongeleshwi hivo! ukitaka hii camera yako kujia!

14

agh! sasa ona! nilitaka ku-vibe huyo mresh! huyu producer fala sana!


baAdaye...

wow!

patricia!

na unakaA smart!

nini mbaya? unakaA m-sad.

eh! maria kim... siku hizi unatembelewa na ligi soO eh?

ah-ah... hata mimi sijui ni nani!

hehe! vipi leo?

awWw! ligi soO siku hizi, eh?

nimetoka audition mbaya! huyo producer alitaka nidoze naye ndio anipe job!

15


16

Gadafi Nyaeri Djb ati first tyme yako kwenda church uliulzwa kama unajua yesu ukadai eti�mm bado nmgeni hapa bado sjui watu wote


17


Mashindano Ya Punda

18


sasa kasaman?

Kazuri... Unapendeza tena sana! Kesho utakuja kuni-supPort kwa shindano la Punda?

nataka kukuja lakini lazima niulize mamangu.

ah ah... sitaki kushika mimba... wewe huwa hutaki kutumia cd!

acha wasiwasi. mwanaume hafai kutumia cd. zinatufanya tupoteze nguvu za kiume!

Sasa vipi ile stori yetu?

Wacha nifanye utafiti wangu kwanza alafu nitakufahamisha.

kazuri, mbona umechoka hivyo asubuhi? maliza halafu uoshe vyombo!

sawa...

nishaziosha. karibu namaliza kazi zote.

mum, nisaidie simu yako nipigie malkia... sawa, lakini utumie dakika mbili pekeE! sina airtime! 19


Malkia, niko na dakika mbili pekeE! Si tukutane kwenye tamasha la kitamaduni? Kasamani anashiriki shindalo la punda!

20

DoOo.... do?! acha kwanza nimweleze mamangu!

Mafuniko Ruwa Ujinga n kufua nguo kwa maji ya moto ili ikauke haraka.// Obadiah Ropkip “Ati ww n mrefu hadi unapewa ugali na manati�


ndio yule kasaman!

Ona vile unaskia aibu! Hehe...

Mtoto kapendwa kapendeka!

mashindano ya fuda! on your mark! get ready! set!

go!

Rabex Cynthia kwenyu mko wengi adi ikfka tym ya fudi mnakol 21 regsta kwanza . macho zako n red adi zinaivisha nyama!


Lakini huyu Kasaman yuko Acha serious nawe ama nikupe siri ya anakuchezea tu huku boyfriend akikudanganya danya yuko na wasichana serious... wengine? How would I know?

One, yeye huongea juU yako akiwa na marafiki zake. Two, huwa anakuskiza na kukujulia hali kila mara.

ThreE, anakueshimu. Hapa namaAnisha atafanya chochote ili asikuambukize ugonjwa ama kukupachika mimba...

kasaman wako ameupita huo mtihani?

Lakini sitaki apoteze nguvu zake za kiume. Pengine nitahitaji watoto wake baAdaye.

cd zitafanya apoteze nguvu za kiume. ndivio aliniambia!!

huyo fala!

kwani si kweli?

ebu, ngoja... ati umesema?

hapana!

nimeshinda

22


nimeshinda

congratulations!

eEeEek!

Wewe ni mshamba hadi huwa una-confus kisogo yako na kona ya njugu!

Unadhani wewe ni ShujaA?! Wewe ni fala! Ni ufala gani uliambia Kazuri? Hiyo ufala ndio inahatarisha maisha ya watu!

kazuri achana na huyo shenzi. Unastahili mpenzi anatosha unga!

Cheki hawa wana densi!

tupige selfie nao!

Tizama yule amevalia manjano!

Hapo sasa. sasa ni nafasi yako ya kutoa maoni.

Nitaiweka kwenye faceboOk page ya DJ B pia ajue vile kuko huku!

ni vitu gani uliwahi fikiria kuwa zilikuwa za kweli kuhusu cds kisha ukagundua kuwa ni porojo tu? Tuma SMS kwa 20308 ukianza na neno 'PorojoTings' na unaeza shinda Ksh. 1000. Kutext ni freE. 23



Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.