40 - ShujaazFM - Chapta 40

Page 1



3


4

Thanks DJ B, you are our solution whenever we lack them, big ups. Hiram Mwangi || Ukitaka kufanya kitu usiwe na uoga hata ukitishwa aje usirudi nyuma. Rose Nyawara, Kombewa.


Dj B! Nina beef na ma nurses wa chuo. Lyk mi, niliambiwa ilikuwa malaria but dawa kudinda waks twice! Imagine, nilienda hosi na kutibiwa stomach infection! Rayx, Nakuru

5


6

DJ B your updates hunifungua macho sana keep it up. I love this page. Anthony Rajab || DJ B I’ll stick to u coz your updates hunipa maarifa mob, keep it up uko juu tu sana. Billy Williams


Manze DJ B, wasee wanajenga hapa home wametoboa pipe ya maji saa home hakuna maji, but tumetake action na ku-report kwa THIWASCO (Thika water and sewerage company). Peter Waxy Maina

7


8


9


10

DJ B, i’m glad with your help kwa ma-youths, I hope to meet u one of this fine days. Johnie Mwaura || Yeah, my father was a farmer and now am sailing him high. No limits for determination. Edson Mosety


11


12

Mayut wame elimika sana! Hata mambo kuhuzu gava, senator na wengine - Ulinielimsha! Douglas Kimathi || DJ B Mimi ni stude na-like vile una tu-guide kama yuts u ar a gud lida! Walter Mogan Sawenja


Mimi ni stude hapo Beauty Point College. Nina-study Cosmetology. Ninaishi Landi Mawe na familia yangu. Kupata maji kwa hii area huwa ngumu sana.

Lazima ungoje mpaka usiku saa yenye inakuja na pressure yenye unataka kutoka kwa tap.

akina maria kim walikabiliana hii shida ya maji kwa shujaaz chapta 18!

Shida ya huku ni wasee wamejenga kwa public land na in the process ya kujenga wanapasua pipes za maji.

Kutatua hii shida, mbuyu ali-suggest tutumie buckets and basins kukinga maji ya mvua. Lakini hii maji haingewahi tosha matumizi yetu ya kila siku. Tulikuwa tunahitaji solution poa.

One of your article ilinichanua bro, right now I have project ya mboga; sukuma wiki ambayo daily I fetch 500 ksh. As-in your article ilinichanua tu sana kama youth. Evan Omanyo

13


Kuna ma-tyms mvua ilikuwa inanyesha mob hadi compound inajaa maji.

Mbuyu akakuja na hii idea ya kukinga maji na besheni. Lakini bado maji ilikuwa ikijaa kwa roof na compound hadi kuna tyms hauwezi tembea.

Vile nilisoma ile stori ya Maria Kim ya Chapta 18 ya kutumia gutters, niliona hiyo idea kuwa kali sana. Maria Kim alikuwa anasuggest wasee wanunue gutters na tanks ndio wapate maji ya kutosha. Nikajiambia ni lazima ni-show masa hii stori ndio pia sisi tuijaribu.

Nilishow masa hii stori ya mabesheni haitawahi tupatia maji ya kutosha. Nikamwambia ni poa tukijaribu hiyo stori ya Shujaaz: kununua gutters na super drums ndio aweze kukinga maji mob. Masa alikataa mara ya kwanza. Akasema hawezi nunua gutters alafu tena super drums. Itakuwa dooh mob sana kununua zote. Nikaishia kwa bro yangu mkubwa nikam-show aongeleshe masa. Bro aka-convince masa hii ni investment fiti sana. Matha alikubali na kuishia kuzi-buy. Alinunua gutter moja na 3soc.

Vile ili-work, mom alifurahi sana.

14

DJ B your latest comic was amazing especially the CJ+Maria Kim part, it was good to know the work of the Chief Justice, big up DJ B from soweto slum. Dphiniez Dem


As Kenyan Youths we should put aside all differences and look forward to building a beautiful and prosperous nation. Change huanza na mimi then wewe. So let’s spread the peace. Kevin Moky

15


16

DJ B wasee wenye wanafikiria ni wenyewe wanaamua, leo kwisha! Washikwe. Denno Tash Cheruiyot. || Mambo Bro! I just saw your initiative on TV with the children. God Bless You! Anne Wambui Munene


17


18

Wazi DJ B ku-represent mayuts wakenya. Tunataka haki ifanyike tulitoka kwa mambo ya ukoloni. Lawrence Harvey. || Congrats mxito! umeni-nice vilivyo buda am used 2 make doh kibao! Star Muli


DJ B u played a part of this peace campaign- we congratulate u for that. God bless. Faith Gatwiri || Ahsante king ya mashujaaz manaaka wewe ndio umenifikisha mahali nipo. Jnr Browninto Di’sanchez

19


20


Shujaaz (TM) is published by Well Told Story Ltd, P. O. Box 1700 00502 Nairobi, Kenya. Tel: +254 729 619 653 Web: www.welltoldstory.co.ke. Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466-00100 Nairobi GPO. Produced in collaboration with: USAID, Twaweza & IFAD. Distributed by Nation and Safaricom. ART: Daniel Muli | Eric Muthoga | Shin Tuxedo | Mmbasu Mbwabi | Joe Barasa PRODUCER: Koome Mwiti ART PRODUCER: Fatima Aly Jaffer DESIGN: Esphan Kamau RADIO: Rickie Mukunga | Paul Peter Kades | Jared Ngugi RESEARCH: Sylvia Thuku | Farida Noah FINANCE: Dorothy Acholla DISTRIBUTION: Joram Kioko. Special thanks to JUST A BAND for their fantastic music on Shujaaz. FM Radio Well Told Story Š 2013 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication.

21


22

A plan 4 those who are always idle during weekends to avoid drugs, violence, theft, etc. Join us as we tour different children’s home and do positive community service! Terryfaith Bibing Khaemba


23


24


Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.