3
4
DJB nimeanzisha bizna ya kusell doves. I sell them at 200 napata dooh ya ku help grandparents wangu. Farida Wanja. || I Love Shujaaz and how your helping people. Great job! :) Sharice McKenzie.
Mzito msee anaeza uza mandazi kwa ma-kiosk ni cheap na ina-nid ltd space. Shaine Capitan. || Big up DJ B ume tu-enrich sana juu ya ku-make ganji. U make yuts from gang 2 shujaaz . Euniah Nyatangi.
5
NAWEZA GET ABDUL NIKITUMIA REFUNITE.ORG!
Nili-read shujaaz ch 26 abaot ku-soak seed, nili-try na siku hizi maize yenye nilipanda ina-grow vyem.
6 Jose. || Hi DJ B manze ulini-inspire kwa stori za ku-rear rabbits, saa hii niko na ka soo moja. Jeff.
DJ B nimecome up na 9 yth groups ambazo tunafanya project different. Kuna Rise n’ Shine wamebuy PA ya ku-hire, wame-record ngoma za gospel na wame-shoot movie ya kitaita. John Wambua.
7
siku ya next...
simu yangu imezima! naeza tumia computer kuona kama abdul amejibu?
siku ya next... jana hakujibu. i hope leo amejibu. naeza tumia hii computer?
siku ya next...
bado hajajibu...
maria kim, sahau hio story... pengine hayuko kwa refunite...
twende nikununulie soda...
eh... sawa.
cheki! amejibu! amejibu! cheki!
huh? kweli? chunga, kuna conmen wengi kwa internet...
hapana, ni yeye!
Cheki vitu ameandika! Hakuna mtu mwingine angejua hizo vitu ju yangu!
8
DJ B mimi naitwa mc Zokoro nimekua nikichangia katika upanzi wa mti eneo la Isiolo nimepanda almost miti mia mbili kwetu. Si hiyo inachangia Kenya kuendelea? Mc Zokoro.
Na-like kucheki mayuts waki-move kwa another level. Nilianza kupenda Shujaaz juu nili-try biashara ya ku-sell rabbits. Ulisema iko na dooh na sai biashara yangu iko juu. Naku salut DJ B! Cecilia Juma Ouma.
9
10
Ajez DJ B. Aki ur mzito! Nilikuwa na pass through copy ya leo. Uko na brilliant ideas za kuwa save ma-yute kwa kuji engaged kwa vitu mbovu. I like ur shujaaz! Kevin Njoroge.
Shujaaz (TM) is published by Well Told Story Ltd, P. O. Box 1700 00502 Nairobi, Kenya. Tel: +254 729 619 653 Web: www.welltoldstory.co.ke. Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466-00100 Nairobi GPO. Produced in collaboration with: USAID, Twaweza, DFID-UK & ASHC. Distributed by Nation and Safaricom. ART: Daniel Muli | Eric Muthoga | Shin Tuxedo | Mmbasu Mbwabi | Joe Barasa | Salim Busuru PRODUCER: Koome Mwiti ART PRODUCER: Fatima Aly Jaffer DESIGN: Esphan Kamau RESEARCH: Sylvia Thuku | Farida Noah DISTRIBUTION: Joram Kioko RADIO: Rickie Mukunga | Paul Peter Kades | Jared Ngugi Special thanks to JUST A BAND for their fantastic music on Shujaaz. FM Radio Well Told Story Š 2013 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication.
11
12
13
14
Dj B uko yuest! Kuna hii homemade jam yenye unatumia paipai, sukari na ndimu. Ni poa na haina sideeffect yoyote. ladieculture Tassia. || Mi hupanda mboga na kuuzia villagers. Rasdeng Yule Phew.
15
“tunatafauta bwan � e r p zzdent!
16
17
18
Dj Boyie Am 16yrs. I transformed my school by discusing with my teachers about first aid kits n they agreed.Now am the Prefect of Environment. Am glad i read about shule poa! Benjamin Gala.
19
20
Chuxx bado ni youth, akusanye maboys na madem waform kagroup, waende kwa ministry wapewe zile dooh zimetengewa youths,apo anaeza amua ni biz gani anaeza anza. Karan Yubiz.
21
22
Thanks for Shujaaz’s team visit to Kerugoya. You guys are such a great inspiration. God bless Shujaaz. We are looking forward to that day when Shujaaz Fm will be an independent station. Njarom Much
23