3 “Nilianza ku collect dooh kutoka kwa maparo a while back nika register for NSIS. Kitu mi hu do ni kuhelp ma vijana wengine wenye hawana access kwa comics zenu kwa ku share ideas zenu nao.” Nicholas Rob --- “Hi DJ B. Nili clear high school last year na nafurahi kuona ma fans wa Shujaaz waki impliment ideas zenye huwa wana get kutoka kwenu.Nimekua inspired sana hadi nime come up na project yak u make cloth hangers.
4 Naziuza kwa tailors na house wives na so far iko na dooh poa. Nitatumia dooh nimesave ku join campus. Thanks Shujaaz na muendelee ku inspire young Kenyans.” Mophat Angoya --- “DJ B nalike sho yako sana na nipata money making ideas kibao kwa kukuskiza. Ile nilijaribu na ika work poa sana ni kupanda sukuma kwa sack. Congratulations DJ B, I will always read and listen to Shujaaz.” Lucas Bundi --- “Thanks DJ B mimi bado ni...
5 Shujaaz number fan forever and ever since imeni educate vile ya kuwa self employed.” Timothy Obino --- “DJ B umetuhelp ku learn through county forums tunaeza leta change kwa local dispensaries zetu, transport systems na facilities zingine within our counties, badala ya kwenda ku complain in other media houses. Be blessed.” Stephen Kamau --- “Thanks a million DJ B, story yako on water harvesting ilikua eye opener.
6 Mimi na mathe tumebuy tank na gutters for the house kuhelp in water harvesting. Niko sure hatutawai kuwa na water shortage problems tena. Thanks for all your encouraging words and keep up the good work.� Erick Khedira --- “Thank you DJ B kwa hizo money making ideas zako. Sasa niko na more than 150 chickens nab ado zina grow. At the same time nauza eggs to six neighborhood kiosks na kutoka hapo na generate...
7
8
9
generate enough hunihelp kubuy chicken feed.” Vincent --- “I liked your compost idea. Nilisho bro mwenye ni farmer na na akaipenda pia juu kakua anajua anything kuhusu ku make compost. Lilia Mwikali --- “Thanks DJ B kwa idea ya ya kutumia ants as chicken feed . Nataka ku start bizna ya kufuga kuku ndo ni raise fees yangu ya university. Nitajoin Campus soon na nahope utaendelea kuni inspire.” Terry --- Nilipenda idea ya kuwa...
10
hii ndio story yangu.
DJ B amecome Kiambu kumtembelea Lucy Nyambura, manzi mwenye amekuwa inspired kuchange life yake for the better.
Niaje Msuper?
Heeeey DJ B. Tumekungoja miaka mob sana huku Kiambu! Leo nimefika.
11 ya kuwa na ma friends kutoka different tribes. Nime start ku make friends from other tribes na thanks to you. I don’t know where I would be without you.” Nelson Munene --- “Nilikua na hate wasee wa tribes Fulani mtaani. Sikua hata nataka kuwaona ama kuwa meet. But after kusoma Shujaaz story flani yenye ili highlight effects za tribalism, I decided to change my behavior na sasa nawa treat differently. Pia nimetry ku make friends nao.
Hahaha. Hebu ni show story yako lakini.
Ume do kitu ya maana sana.
Zii. Ni wewe una do vitu za maana huku. Umeshinda.
Maze past yangu ni noma sana. Nilikua dem mzii!
Ki vipi? Sikua na focus yoyote kwa life. Nilikuwa hadi natumia drugs! What? Maze nilikua yaani sijijui. Nashinda kwa bar, nalala na wanaume bora wachote doh, mambo bad.
Hiyo ni noma. But na thank Shujaaz hiyo yote ni history sasa.
12 Endelea ku advise wakenya on some of these issues na utaleta real change.” Sanchez Dennis --- DJ B we ndo mtu unajua siri zangu pekee. Mi ni orphan lakini wewe ni kama family kwangu and thanks for all your inspiring messages and ideas. God bless you abundantly.” Duncan O. Arende --- “Hi DJ B, huwa nakupata loud and clear in Nyeri na bila Shujaaz I’m bored. Endelea na same spirit. Alex --- “Hi DJ B thanks kwa kuni teach...
uwameet.
I
13 benefits za farming, nilikua drug addict for quite some time but after ku learn na ku advice from Shujaaz, Niliamua ku quit na kurudi chuo. Thanks Shujaaz” Mong’osi Emmanuel --- “Sasa DJB napenda job yako sana mimi na wife yangu tumeenda hosi ku learn learn more about kutumia contraceptives, I would like to say thank you to Maria Kim, napenda venye yeye hu present different issues”Alfred Asava --- “Wewe ni hero...
Pia tuna miradi kadhaa za kuleta doh. First, si hupanda kwa magunia sukuma za kuuza.
Maze mko juu. Hiyo ni kitu ya nguvu mnado.
Thanks. Pia huwa tunafanya community outreach kupitia theatre. Sisi huperform kwa markets na events pia.
Tunafuga rabbits. Tuvuke gate niende nikusho. Na we ni mtall hadi gate inalalamika jo!
Maze nani kama nyinyi? Mambo fit.
Hahaha! Hapo umeniwahi!
DJ B peke yake! Hahah!
Hahaha! Alafu miradi zingine?
Sasa hizi ndo sunguch zetu.
Hahaha! Tuende hivi basi.
Ziko fiti! Mi naenda na moja.
14
Leta mkwanja nikupe zote!
Hahaha! Wacha kwanza zi increase.
hero wangu DJ B, nimepata lots of money making ideas kupitia Shujaaz na sasa bizna yangu inado poa sana. Pia mimi ni peanut farmer na inani help kusave fees yangu ya college.” Elias Ochieng --- “Vipi Dj B, I’m Jackson kutoka Bamburi Mombasa. Congratulations DJ B kama si wewe si Shujaaz big up sana. Plz I wanted to join you in shujaaz fm coz I can act fans.” Anonymous --- Halla Dj B, I am shantatoplayer 19yrs old...
Sawa. Tuende tumeet group alafu tucheki mradi ya last.
Bado kuna mradi ingine?
Yea. Huwa tunapanda seedlings za miti alafu tunauza. Na si mmejipanga! Tuna try.
Haya, ndo hawa wasee wangu wa group!
Niaje wazito!
DJ B mwenyewe!
Thanks. Sasa wacha tukupeleke kwa project yetu ya last.
Maze karibu!
Umetunice na visit yako sana.
Maze mnado job poa sana.
Haya mimi huyu.
15
producer/musician 4rm Taita Coast. I am looking for someone to partner with coz 4 now nimefungua kastudio mtaani. Nimehelp mayouth kiasi kurecord ngoma kwa saa hii nikipata atakaye atakaye nifadhili kuboresha studio nitashukuru sana....nasikiza kipindi chako kupitia Mwanedu fm� Anonymous --- “Hello DJ B nakupata poa sana huku Maqwasinyi. Vijana wengi wanapenda sana kukutegea lakini wanasema masaa yako...
16 yako yamekuwa machache, kama kuna radio station tunaweza kuwapata mchana wote utuelezee.” Nicholus kutoka Maqwasinyi --- “Let all the youth abstain from drugs as this will affect their physiological functioning of their bodies. Let them know that they are the future generation. Let us do constructive things in the society. I have helped 2 friends to do away with it & now they are living a better live.” REN --- “Manze Dj B...
Shujaaz (TM) is published by Well Told Story Ltd, P. O. Box 1700 00502 Nairobi, Kenya. Tel: +254 719 407 512 Web: www.welltoldstory.co.ke. Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466-00100 Nairobi GPO. Produced in collaboration with: HEWLETT Foundation, TWAWEZA, KMT & FUTURES. Distributed by Nation and Safaricom. ART: Daniel Muli | Eric Muthoga | Shin Tuxedo | Mmbasu Mbwabi | Joe Barasa CREATIVE PRODUCER: Paul Ekuru ART PRODUCER: Fatima Aly Jaffer DESIGN: Esphan Kamau RADIO: Rickie Mukunga | Paul Peter Kades | Jared Ngugi RESEARCH: Sylvia Thuku SOCIAL MEDIA COORDINATOR: Farida Noah DISTRIBUTION: Joram Kioko FINANCE: Ranjeeta Jani TALENT MANAGER: Nduta Mwangi | INTERNS: Maurine Maimbo | Dickens Thomson Special thanks to JUST A BAND for their Music on Shujaaz Radio Well Told Story Š 2013 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication.
17
18 mi ni mmoja wa victims wa drugs as in hard drugs. Nimesare na hizo zingine pia naendelea kujiforce. Enyewe madre si poa. Zinarudishanga mtu nyuma coz hiyo doh unabuy drugs mtu anaeza fanya kitu ya nguvu kuliko kujiwaste. poa na najipush vinoma vinoma. Jose from Kitui --Nimeshukuru tu sana DJ B kwa tisho nmeshinda, thanks kwa maombi yako juu ya future yangu. Nabelieve in working for something. I swear....
19 I swear that I will work hard in getting money through my sincere and lawful work. God bless Shujaaz Fm and all the fans� Anonymous --- DJ B mambo vipi mtu wangu? Tuko keja tume-relax na kusikiza maajabu ya dunia. Kiama imekaribia ama nini? Noma hii lakini. Nafuatilia show yako kama jaji mkuu. Nimejifunza mengi kupitia show yako DJ B unanibamba sana. Isaac --- Niaje DJ B? Mi Geff kutoka hapa Kibich ghetto. Mi nashona..
20 nashona viatu na ninapenda tu sana hii job. I like your show and big up yourself.” Anonymous --- DJ B ni ule shujaa kutoka Murang’a county nilikua na pass through copy ya chapter 42 kuirudia nakuambia uko na ideas mwenda na brilliant za kuwaokolea ma-yuts kwa kuepuka kwa vitu mbovu.” Steven Karanja --- Hi Dj B ulini-inspire na stori za ku-soak seeds,nili-try na beans yenye nilipanda ina-grow well.” Anonymous --- Nita-make...
21 sure mastudee wote wa chuo yetu wamejoin Shujaaz. Gabriel Eris, Lodwar --- How are you DJ B, I wish we could meet face to face because you are my role model, have a nice time. Amos Kipchumba, Nandi --- “Nawatakia wasanii wote ambao hawajainuka kama mimi, wasife moyo, kwani Mungu anajali kila mmoja nao watainuka siku moja. “Thanks DJ B na Maria Kim kwa kufungua mayuts kama mimi macho wewe ni mzito wangu...
Anafikiri yeye ni mjanja akijificha kwa ofe, leo nita mshow!
ndani ya ofisi... agh! na huyu naye si aishie! nataka kuenda home!
phew! Ashaenda!
wewe! niko busy!
...eeeek!! umetokea wapi?
Hau serve watu! Ni sisi tuliku elect na tuna right ya kusikizwa!
But tulikupa kura condition ikiwa uta engage na issues zetu. Hauwezi sasa kuanza kujificha kwa ofe.
Ni ku clear. Sa naeza enda home. nikule supper, ni watch ball kidogo, halafu...
Tunafaa kumake hii system mpya iwe better kuliko ile mzee na si kusambaza ubingwa! aibu kwako! Family yako, friends wako na supporters walikuamini, unafaa ku honour.
amesikia kitu nimesema kweli?
22 na Maria Kim ni my role model. Big ups! I luv u all.” Michael Mwangi Mugure --- “Aki DJ B, hiyo ni job poa sana unafanya.Hata mi na-appreciate. Pia mimi niko. Naweza kuwa twazunguka mitaani tukishow vijana watumie protection. Waguan mtu wangu.” Florence kutoka Voi --- “Hi DJ B, maze nilikua najaribu idea ya sunguch 2 months ago na nime-earn doh poa thanks tu sana.” Antony toka Nakuru --- “Hi DJ B? Thanks for your word of...
23
24 of encouragement to the youths. You have been a bridge to success to many including me. Wycliffe --- “You are my hero DJ B juu nimeget ma ideas mob through Shujaaz. Bizna yangu ya duka inaendelea at the same time me pia ni mkulima wa njugu na hii itanihelp kusave doh ya kuenda college.” Elias Ochieng --- “Hi maguy, nawathank ju nimepanda chart na idea zenyu. Niko bizna tu sai nimeshukuru sana. Be blessed all. Irene...
25 Niaje, idea ya youths ku-sell boiled eggs kumake pocket money during the holidays imepamba moto hapa Coast congrats DJ B. Vidija --“Nimekuwa nikifiria ka mse anaeza apply hizi ideas zenu vizuri anaeza kuwa shujaa mwenyewe”. Francis Tsuma Ngowa --- “Words zako za advice zimenichanua sana kuanzia chapter one mpaka saa hii. Congrats Shujaaz”. Abdi Migori --- “Umenichanua... sana na words zako mpaka nimeform...
26 nimeform football club yenye si hucheza ball na pia si hubonga na wase kuhusu effects za madre. We ni role model wangu”. Joseph Muthoka “Najivunia kuwa shujaa, naamini soon nitakuwa na bodaboda yangu ya bizna nimake doh badala ya kushinda tu mjengo. God a-bless Shujaaz yote. Amen.” Pascal from Kisumu --- “Ujinga ni kusikiza Shujaaz na uko jobless. Kuna ideas mob sana za kumake dooh”. Charles from Rongai ---
27 “Congrats Shujaaz kwa kazi yenu poa ya kumotivate na ku-inspire mayuts ili wawe responsible citizens”. Johnie Outer Nyahi --- “Chapter 42 ilikuwa the best kwanza ile story ilikuwa inaencourage peace in the country. Mi ni victim wa 2007-2008 Post Election Violence side ya Cherengany. Nilikuwa pia nataka kushare nawe vile nilianza chicken rearing project ju nataka ku record an album”. Tonny Ragz from Kitale --- “Sema Dj B...
28 nasikia vizuri sana leo nimeget copy ya comic. Naishi kwa nyumba ndogo sana na nilidecide kuput into practise kenye nilisoma kwa comic za Shujaaz. Nilianza na kuku moja in May na nikapanda sukuma nikitumia waste ya kuku kama mbolea na saa hii niko na kuku 10. Kwa hio shamba yangu ndogo niko na mboga yakunitosha for consumption na ile surplus mi huuzia majirani. Nasuggest siku moja Dj B uje univisit huku Kisii...
29 na utakuwa proud of me. Thanks sana”. Philip Mokaya Machuki --- “Niaje Dj B, niliget comic yako sato na ilikuwa very exciting. Niliona vile macops walikuharass na ikanikumbusha kwamba uko na mahaters wenye hujaribu kukuleta down kila time na unastay tu down. Asante Dj B kwa kazi yako poa na uendelee kuinspire young Kenyans. Njoroge --- “Nasalute crew ya Shujaaz kwa chapter 43 ju ilinifunza vitu mob kwanza sai naelewa...
30 bill of rights vipoa sana na vitu zingine ziko kwa Kenyan Constitution na zinaniaffect kama citizen. Thanks sana” Anonymous ---“Nimekuwa nikishangaa vile we ulidecide tu kuwa kama kioo kwa mayuts ili walook up to. Keep up hio kazi yako poa. Nakusalute sana”. Jacob --- “Mi hupenda sana kusoma Shujaaz na tuliform hii group “Big Dream Africa” na tuko members karibu 70 na huwa tunapata Shujaa kwa library na...
tunazisoma pamoja�. James --- “Vitu nimelearn kwa chapter 43 ni a. Usitumie position yako ku-undermine wase wengine b. Kuwa na faith na confidence kwa kitu unado c. Kuwa ready kutake responsibility ya wase wengine kama hawako d. Strive sana ku-achieve kenye unataka in life. Kuwa na goals na visions kwa life f. Kuwa na plan kwa life yangu g. Kuwa role model M’Mairti S. Nelson