46-Shujaaz FM-Chapta 46

Page 1


AFFORDABLE INTERNET ENJOY 10MB DATA BUNDLE AND 10 SMS FOR ONLY KSH 10/DIAL *544# TO ACTIVATE


3 >>Big up DJ B umetu-enrich sana juu ya ku-make ganji,you make youths from gang to shujaaz. I love shujaaz and how your helping people, great job mtu wangu! Lucas a.k.a Sholo >> Idea yenye iliniokolea sana ni ile ya kukeep kuku kadhaa na ile idea ya kutengenezea kuku food in natural way ukitumia nyasi ama ile samo ingine utolewa kwa termites in anthills.Kabla ya kuwak on those ideas nilikuwa msoto but after a month


Malkia anadirect bizna!

4 nilimake doh kibao. Alecky from Kangundo >> Dj B ningetaka kujoin Charlie Pele. Pia ningetaka niwe kwa mbuku ya Shujaz zote, inawezekana kweli? Derrick >> DJ B mi nalike ile idea ya kupanda sukuma kwa magunia.Mmanze huku kwa mtaa wetu umeeducate wasee wengi na hiyo risto manze keep it up. David de Masta >> Dj B mi niko Nyeri town. Shujaaz fm inafikanga uku? Anyway mi nilikuwa kwa mat nikapata magazine


5 kuread tu kiasi mtu wangu secret ya kuchange life iko ndani, Dj B i am interested in tuning to your show. Joseph kutoka Nyeri >> Thanks sana Dj B kwa Mola kukupa brain kama ya computer. Umechange life ya wase mob. Continue kuinua ivo ivo! Kiprono Robin, Kericho/Kabianga >> Thanks tu kwa risto za kuelemisha na kuburudisha. Uko ju tu sana. Keep up na picha na mifano nayo! Nyongesa Bokoli, Bungoma.


6 Thanks pia,kwanza kwa hizo teachings zako za nguvu,zi utuchanua vimajor. Crispin Nyangaresi >> Keep on inspiring us sana sisi wenye tulimada shule juzi juzi unajua tuko idle na devil uingililia most madem. Karol Kavindu >> Dj B, niaje mzito? Local authority wameamuwa kudivide kijifulani without a prior notice. Right now things are at a mess. Tuji involve kiaje? Abednego >> At first sikuwa aware of contraceptives na nikaget watoi


7 wawili. Wa first ana 12 years na wa pili 11 years. Jamaa alini -blame nakuniita fala na akanitema akidai I was careless. Imagine he was the one alinikataza kutumia contraceptives. Nilimis mambo mengi ya kujiendeleza but saa hii niko poa na niko na majuniour wengine wawili na boyfriend mwenye amenipa morale ya kuplan watoi vipoa. Ann Ndinda. >> Dj B please naomba shujaaz mmulike gava. Niaje wameanza kulaumiana?


8 Blame game over Westgate attack? Eric Busia county >> Ajez DJ B, nko poa na mashujaa wa Kisii na vile unatuinspire videadly. Wagwan mtu wangu. Jeff >> Matiche, Dj B mi naona vyenye tunaeza do ku reduce hii kuhata daro yao ni ku-encourage na kuwamotivate. Ruth >> Hi DJ B, I salute you. Nilisoma shujaaz ya sato na ilinibamba sana. Keep on kuinua mayuts. Benedict, Lavington >> Hi DJ B,you are doing great job


9 Advices zenu zimenisadia tu sana nikafungua hao ya kucharge phone. Woiye kuipata magazine yako ndio noma huku. Kennedy Omoro. >> Hey manze tunafaa kuhelp mastudents wa high school on relationships coz it affects our studies sana. Winny Kevoh from Nairobi >> Niajez Dj B? Na-suggest hivi, kwa page moja au mbili, wasee wawe wakituma big ups kwa mabeshte wao na kutafuta mabeshte walisoma nao ama niajez?


10


11 James Omondi. >> Niaje mzito, am loving everything you are doing to mentor the youth. Winnie Busolo from Kakamega county >> Hi Dj B, it’s me again, this time nilikuwa nataka kukusho that, ile waks mnado and you may be made worthy, truly. Forever be rejoicing na mafans wenu coz waks nyi wasee mnado kuwaecourage ma yuths, manze jo, ni mob joh! So mimi kama fan wenu niko na nyinyi ngangare kuruka.


Huyu ni shosh!

Mzuri. Tumefurahi kukuona na unakaribishwa sana. Ahsante.

Sasa shosh?

Na huyu ni mum!

Son wako ni m-smart sana!

Ahsante DJ B. Anapenda Shujaaz sana. Hiyo ni poa sana.

Shujaaz ina ideas poa sana. Fiti mtu wangu.

12

So hebu nishow juu ya hii issue ya maji?

Ni your fan Erick Njoroge from Nakuru, Khedira >> Nilianza bizna ya kupika chipo na samosa. Starting capital ilikuwa soo mbili. Saa hizi nimeajiri machali wawili na mimi hupata 2k daily. Isaac Macharia >> Nilibambwa sana na stori ya Maria Kim. Thanks Dj B kwa kuteach ma youth ju ya risto ya contraceptives. Samuel toka Isebania >> Nilianza kucollect money kwa mapero wa mtaa wa mine then nikaregista kwa NSIS na saa hisi


Hii area yetu kuna shida bigi sana ya maji.

Mnakuanga na piped water?

Ziii! Huku si hu-depend kwa rive. Nakushika.

Sasa shida ni ati hiyo rive ni seasonal. So sometimes hakunanga wode at all.

13

Imagine ina-cost Kshs 30 kubuy mtungi moja ya 20 litres. Hiyo ni do mob sana huku kwa village.

Ni noma. Alafu hii area iko na milima zile ujawai ona. Ni hard sana kubeba maji kutoka mtoni.

Wacha tu! Shosh alivunjika mguu aki try kubeba maji kwa hizi milima! Ni kuzii DJ B!

Yeah. Hizi njia ziko steep sana. Nyinyi hu manage aje?

Iza man, iza! Hii ni problem huge sana!

nahelp kusomesha mayouths wenye hawajiwezi and all this ideas niliget kwa Shujaaz. Thanks kwenu wazito. Nicholas Rob mtaa wa Kericho >> Thanks DJ B i still remain fan wa shujaaz forever and ever, coz imeni-educate alot on how to make chapaa by planting some vegetables. Timo Obino. Nakuru >> Dj B ajez? Hapa kuna issue tunataka utuhelp pliz ya mamode kwenda na students wao. Na wakiget ball wanatransfer wakisha


14 drop school. Hii inatuuma sana ka maboi. Dj B tufanye nini coz tulitel principal hata hashunguliki. James Nyerere >> Niaje Dj B? By the way kuna vile show yako iko majuu sana, nimepata hint ya kumake doh kwa kusikiza Shujaaz Fm na ku-read books zenu,congrats Dj B >> Dj B, ume play role nigi kwa ku help mayuth county yetu. Emmanuel Nyakweba >> Dj B ajez? Hapa kuna issue tunataka utuhelp pliz ya mamode kwenda


SUKUMA.

15 na students wao. Na wakiget ball wanatransfer wakisha drop school. Hii inatuuma sana ka maboi. Dj B tufanye nini coz tulitel principal hata hashunguliki. James Nyerere >> Big-up Dj Boyie and your crew for empowering the youth. Rin Reen Reen, 18 Nairobi County. >> Hi Dj B am 16years but manze ulini-inspire kwa stori za kusaidia youths sana sana wenye wame-lose hope ka mimi so seriously i love your mag, it’s inspiring


16


17


18 me so much with ideas. Like Maria Kim ako na advice kali joh! Eucallency Tom >> Poa thanks DJ B for your work. Nilimada form 4 2011 na nikasoma computer application sa nmeajiriwa nalipwa 6000k but nataka kuanza bizna yangu ya clads za madem ju nmeiplania. Through Shujaaz i know i’ll make it. Nimekuwa nikisoma shujaaz for long now. Ruth Mutio from Athi >> Nalike Shujaaz coz it inspires mayouths so much and I


19 salute all mashujaa, big up buddies! Vyvi >> Sema Dj B.Shujaaz imewa-help mayuts wa hapa coz they want to start football. Than kustay ka thugz kama scarface.Danny from Mogotio >> Hi DJ B haki ideas zako zilinifanya nikaanza poultry keeping from three layers,sasa hivi nimefikisha 50 growers and 20 chicks. My target is to be one of the greatest farmer of about 3000 chicken in the county.God bless you for your good inspiration.


20 Robert W.Makokha from Bungoma county - Mt.Elgon >> I wish mngekuwa na TV station tuwe tukijionea plans zenu. Morris >> Thanks a lot. Ningependa ututembelee huku shule ju mastude wanatei sana. Please come ubonge na wao na I think watachange ama uko karibu Juja farm Polytechnic. Rozi Kimani >> Thanks Dj B I love you and what you do to the entire country to motivate mayuts, nawapenda nyote yaani so


21 strong. Frank Njuguna >> Aki nitajaribu juu chini niget atleast five new junior youths then niwashow wacheki Shujaaz na itawabamba na Shujaaz itawaokoa ama vipi mtunguyas? Bedan Muturi >> Wakenya walishow wanaweza maliza tribalism time ya mkasa wa Westgate shopping mall attack. But why wait until a terrible thing happens for us to unite? .We should live as one people always no matter what . Titus Ephongo >>


22 Sikuwa rada eti mdhii akishikwa na afunguliwe mashtaka kotini na hawezi afford lawyer ,gava inafaa ikuprovaidie.Mazee thanks kwa hiyo infor. Pia nililike iyo storo ya shujaaz of the month,penye aliandika hiyo autobiography..big up wazeya’ Geoffrey Mbutu >> Mambo DJ B.Nimelike hiyo comic yako sana mpaka saa hii mresh wangu ananilike more coz ninatry hard kuimplement hizo ideaz zenu za janta. Mblessiwe tu sana


23 ‘Mi hunyce sana hii comic yenu na hata tuliform group inaitwa ‘BIG DREAM AFRICA’ na tuko na mamembas close to 70... Sisi husoma comic pamoja kwa libu’ ’Hio story ya Pius imeniinspire tu sana.Mi huread shujaaz daily na nigependa kusema thanx kwa kushow ma yuts responsibility yao kwa society’. Tony from Kericho >> Sasa DJB,ninathank shujaaz sana coz through it nimeweza kuadvice beshte


24 yangu kuhusu dangers za teenage pregnancy >> Chali yake alikuwa akidaisha wa have unprotected sex na bado yuko system.After kutalk na yeye,aliweza kuconvince mtu yake wachill mpaka wawe ready. Viona >> Nili changamkia hiyo storo yako kubambwa na masanse viwrongfully,coz hii huhapenia wasee huku mtaani mara mob.Atleast sasa wasee wanajua venye wata-act, mezesh kaa hii ikiarise.


PELE CHARLiE ! ANAOKOLEA

taabu! mbuyu! mnacome tourna ya ball kesho?

hapana.

niko busy.

unatarajia hiyo match ya kesho?

sana!

25

lakini hiyo pitch ni dangerous sana. mpira zinaburst na ni ngumu kutackle juu hiyo ground ni uneven, na ni hard sana!

Keep up with the enlightenment juu ya marights zetu kama mayouth. David Okonda >> Kumekuwa kukinyesha over the past few days na nimeweza kuihervest na kusellia ma-neiba wangu.pia nimeweza ku-irrigate ma vegetables zangu.Mazee thanx for the ideaz’. Wekesa Elizabeth Nasimiyu >> Niaje DJB, ile show ulidoo kuhusu water harvesting imehelp mokoro tu sana.At first alidhani ni ujinga na ni kukinda


niko nayo! niko na...

oeeee! charlie pele twendeeee!

eeee! martinz, guza ball!

AAAAAAAH!

martinz!

asante sana, nurse, kwa kutusaidia hivi. county imefanya poa kukuandika kazi!

hakuna shida, coach! lakini hii pitch ya ball imeumiza watoto wengi!

26 time lakini saa hii ana-appreciate effort yangu. Saa hii tunatumia hii maji, big-up kwa hiyo practical advice. Bedan Muturi >> Niliget copy ya shujaaz chapter 40 na ilikuwa educative sana.Risto ya Mary Chiaga ilikuwa poa sana na hata najaribu kutry iyo idea yake. Mi hu-do ma electronic repairs na hata na-try kuanzisha real electronics shop yangu maidha two year’s tym hivi. Mniwishie luck banah


watoto hawafai kucheza mahali kama hizo!

sasa angalia vile huyu kijana ameumia! mnafaa ku-complain!

si mimi nafanya job pale kwa ofisi ya governor! nakushow, unaweza kuapproach county rep juu ya hiyo pitch.

27

shida zingine ni za ujinga tu.

hawatawai sikiza hizi complaints zako!

banah na sir God aendelee kuwabless kwa works poa’. Charles Munyi >> Nililearn a lot kutoka kwa hii story ya Brayo,Mara Kim’s bro venye alikuwa anataka kujoin gang.Nilishare iyo storo na rende yangu kuhusu vilee tutaapproach wasee wajoin shujaaz.Kama ingewezekana ningetaka ku-reach out kwa wasee na tuweze kuchop off ma-likes za Chuxx. Bernard Wanyonyi >>


na

yangu

28 Bila nyinyi,singejua ni do nini ama niende where,but mmenigee ideas za kuendelea kuprovaidia familia yangu na ku -jiplania future yangu.Anytym nikichop shujaaz,huwaga ina ni boost morale na hope sana kwa life.Nilidhani kuwa mimi ni m-useless juu sina education enough but sa hii naweza kuprovaidia familia yangu;kuifeed,school fees ya ma-juniour wangu watatu na hata nme-openia wife yangu


29 bizna. Asante sana bro,we ni mtu yangu.’ Danex Duncan OArende >> Niaje DJ B,after kusoma chapter 44 issue ya ma-contraceptives nilimanage ku-do research nikaget wathama thirty-five na out of this,nineteen wanatumia every-day pill,wasita wanaprefer implants ,sita wanaprefer IUCD, na hao wengine wanaprefer ma sindano.Walicomplain ati hizo mamethod ziko na side effects kama; Irregular periods,


30

painful periods,kuumwa na mwili,ma-stretch marks na pia kulose ama kugain weight.....ingawa wanadaisha haina mbulu any coz wana wakidi wenye wameplania’. Winnie Busolo >>>>>>>> TUMIA DJ B COMMENTS AMA IDEA ZAKO TO 20308 FOR FREE


Shujaaz (TM) is published by Well Told Story Ltd, P. O. Box 1700 00502 Nairobi, Kenya. Tel: +254 719 407 512 Web: www.welltoldstory.co.ke. Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466-00100 Nairobi GPO. Produced in collaboration with: HEWLETT Foundation, TWAWEZA, KMT & FUTURES. Distributed by Nation and Safaricom. ART: Daniel Muli | Salim Busuru | Joe Barasa | Eric Muthoga | Shin Tuxedo | Valerie Egehiza PRODUCER: Paul Ekuru ART PRODUCER: Fatima Aly Jaffer DESIGN: Esphan Kamau OUTREACH COORDINATOR: Koome Mwiti RADIO: Rickie Mukunga | Paul Peter Kades | Jared Ngugi RESEARCH: Sylvia Thuku | Joram Kioko PHOTOGRAPHER: Alex Kamweru SOCIAL MEDIA COORDINATOR: Farida Noah FINANCE: Ranjeeta Jani INTERNS: Maurine Maimbo | Dickens Thomson | Special thanks to JUST A BAND for their Music on ShujaazFM

31

Well Told Story Š 2013 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced,stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication.



Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.