4 >>Benson: Dj B naitwa Benson na hii ndio story yangu. Nilisoma story moja kuhusu biashara ya kuuza kuku.That time nilikuwa nasomea ocha na nilikuwa naishi na nyanya yangu. Tulikuwa na kuku watatu only. So nikashow nyanya yangu tuanze bizna ya kuku. Tukaanza na kuku sita na at the end of six months tulikuwa na kuku 60. Tukauza @ sh 390 na tukabaki na kuku 16 extra. Thanks sana Dj B for your ideas. Benson Wachira...
scholastica!!!
mum!
wewe msichana! unaweza kutuaibishaaja hivi?!?!
Unatuaibisha na hizi tabia za kuzurura na vijana! Jiheshimu, wewe msichana!
ohoooo!
e-heeee!
hiyo ni stori gani inaendelea hapo?
kumbe!
hizi si stori zako!
sawa tu! rosie usijali, stori zao zinakuwanga za ujinga tu!
last week walikuwa wanasema sangoma hukula mkia za panya...
5 BASE:Nairobi AGE:13 >> Hadassah: Niaje DJB Hadassah hapa kuna huyu msee alijiita PIUS KIMATHI AGE 18 KUTOKA MERU stori yake ilikuwa kwa chapta 43, na kulingana na vile alisema nikama tuna sail kwa da same boat, hana ma paro just like me but living with a certain couple. Ameandika book kuhusu life yake jst like me am wryting a bk ju ya maisha yangu n i kno it wil b a big bk so kuna vile unaeza nisaidia 2 b in touch
mimi naskia alifukuzwa kwa sababu ya fees! babake hakuwa na dooh!
amekuwa akikunywa tena? ngai, ningejua tu ile time alikuja nyumbani kuomba ndoo ilikuwa ya kuivisha chan’gaa!
wacheni hizo stori zenu! fees si shida, babake ni tajiri siku hizi! by the way, mnajua pale alipata hizo pesa...
hey, si huyo ni schola?
shhhhhh! ndio huyo!
Schola!!!
6 with him. He has big drms jst like i do please nisaidie. >> Winnie Busolo: Hello Dj B, leo nimekuwa nikiwatembelea sam ladies nione kama kuna wale ryts zao zinakuwa violeted. Kuna wale who didnt listen 2 me claiming am still young n neva bn in marriage bt niliwa-undrstand. I met I gal bt hajaolewa,she has a 7month old baby but da fatha doesnt care abt da baby. I adviced her 2 sue da man bt she said hana pesa ya kulipa lawyer,
FALA!
7 i wanna help her bt i dnt know in wich way. I also gave her a copy of shujaaz Ch 44 asome then asikize shujaaz fm kesho, she promised 2 read da buk n listen 2 da station. I fil 4 dat gal, I wsh I cud help her. Winnie Busolo-kakamega county >> Joseph Mwadime: shujaaz fm, hello dj b? mi ni Jose niko voi, nataka ku-share idea moja. Kuna vitu tunaeza fanya mtaani bila kutegemea hawa viongozi wetu. Tuko vijana sita tulianza ...
8
oooh, leo time yetu ilikuwa poa! sex inabamba kama hakuna stress!
Everyday Pill
-Pill
E ills = 4 E-P 4= 0 15 X
30/=
per month
/=
600onth per m
Yea, kitu doki alisema ni true since tuna reliable method ya kinga!
watoi ni wapoa lakini wacome tukiwa ready...
=save
! 570/=
na hii method ni cheap! nani angedhani kuenda kwa clinic ingemaanisha dooh more na sex more?
haha! asante kwa kusikiza shida zangu... utakuwa huzzy mpoa!
nime-manage ku-sort life plan yangu... nishow plan yako ya kuacha kutumia e-pill na kuanzia method ya kawaida! text #plan kwa dj b kwa namba
20308!
9 kutengeneza road za mitaani coz ni mbaya, kuziba mashimo kwa kujaza magunia mchanga,watu wamependa na pia inatusaidia kwa usafiri,kama kuenda hosi, mjini na chuo bila tatizo. >> ALEX MUCHINA : Thanks kwa dat idea coz i had planned sam- ting dat was not gud n may GOD BLESS DE WORK OF YOUR HANDS in your shujaaz fm >> Maya Tyrah: Hi,dj b so far so gud. Imagine bizna iko poa n da amazing thing, mabeste wangu
10 niliwapea advice na sahi wanaplan kuopen kahoteli. Iz dat n’t a gud idea? Anywei hopz ma yout watajanjaruka roundi hii dat why it a jubile yea. >> Patrick Ogesa: Hi! Dj B Mashujaa Imekuaje? As For Me Nimeshinda Nikieleza Mayut Kuhusu Jinsi Ya Kuhasol Bila Uhuni. Patrick Ogesa From Mombasa >> PHENNY CHEPKWEMOI aka Phiex: Hae dj b thnkx for da job wel dan mr we lov ua ideax god blexx u n grant u a long living lyf
DJ B ana meet Beryl ambaye alianza kutumia drugs akiwa 12 years lakini ikafika point akaamua kuchange life yake. Hiyo decision ime-impact wase wengine mob sana in a positive way na bado huyu dem anaendelea ku-make a big difference kwa society. Cheki venye anachapia DJ B---
Leo nimefika!
Yeeey DJ B! Ume do kitu ya maana.
Unajua ni aje? We ndo unado vitu za maana huku. Ni passion DJ B.
Hata inaonekana. Sasa ebu nichapie hiyo story yako‌.
11 we lov u all >> Euticus Gatundu: Niaje DJ B nilisoma About passion fruit kwa Shujaaz. Nika show masa akaanza kupanda sasa anauza moja 5 bob .mimi naitwa. EUTICUS GATUNDU. Base mbarakera. Nyahururu >> Sammy: Shujaz asante sana kwa sababu mlisaidi bro ya mine akatoka kwa geng ingine mbaya sana >> Qingz Adeh djoutyiezzo: Dj boyie ur innovations realy inspired me i.e ile risto ya kumake hay bale kutumia wooden
Maze DJ B nililikuwa stuck kwa drugs for a long time.
Ulijipataje kwa drugs...
Kwanza Mbuyu alikuwa alcoholi na masa pia alikuwa anakunywa. Sasa hiyo environment‌ Nakuget. Even though mimi sasa ni orphan. Oh, pole sana.
So ulikuwa unatumia drugs ka gani?
So kuliendaje ndo ukaamua kuacha?
Kwanza nilikuwa stuck kwa alcohol. Nikacha miraa, ndom na hata prescription drugs. Errr‌
12
thanks.
Nilikuwa kubaya.
Nilikuwa kole niki study mass communication but nika-drop out partly juu ya fee but largely juu ya drugs. Maze iza!
so nilipo realize college mates wangu waliendelea na wana-work kwa media houses bigi, reality ilinishtua!
so ilikuchukua how long kuacha?
Nilienda rehab huko Embu for 3 months, alafu nikaendelea relapse for 3 months.
Relapse ni nini? ile process ya kupea counselling after rehab ukiwa kwa community. Aha‌
13 box. endelea kuget more innovations & help mayut hawana kazi by making dem kreative! >> Viscount Nderitu: DJ B i am inspired by the stories on shujaaz comic mostly u who have made me 2 be a humble n lov ma countly kenya also the projects frm maria kim I HUT OFF U ALL SHUJAAZ MKO JU 2 XANA.KP THA SAME SPRIT BURNING >> Kennedy Jumaah. O. Otieno: Na uzidi ku teach mayutx, na kuwapa idea ya ku get dooh.
After hapo nili-come huku Nai nikaenda tena rehab ya pili, inaitwa recovery options Trust.
Enyewe ulikuwa determined ku change.
Nilitaka sana ku change society. So nilienda addiction counselling course for two years!
Kabsa! Since nikuwe clean nilishikwa na passion kubwa sana ya kuhelp watu wengine wenye ni addicts. Wow!
Nice.
14 En plz tel ma fellow yutx d@ as long as we r alive there’s alwaez room 4r improvement. Similarly, we cn improve our city, our contry en we can b beta dan wot we r ryt now. Thanx Dj B en stay blessed >> Kevin Kepher Omondi: Dj B, kusoma shujaaz imetujenga sisi kama vijana wa Nyamonye youth group (Nyayugro).Wakaki yenye tulianza, tulikua na computer moja bt this time tuko na computers sita na tume fungua cyber
15 cafe Nyamonye Market kando ya Touchline hotel. >> Erick Njoroge: Sema DJB, maze hii risto ya bizna inaendelea kuni inspier vidadly xana.mi kuna bizna ambayo nimekuwa niki think xana abaut it vile mayouths wanaweza jisave nayo ndio wapate nganji,bizna yenyewe ni ‘painting’or mtu anaweza tumia talent yake by drawing some biauteful pictures 2 xam ppols&selling;,unaweza ziuza drawings zako by advertising them by puting
16
Shujaaz (TM) is published by Well Told Story Ltd, P. O. Box 1700-00502 Nairobi, Kenya. Tel: +254 719 407 512 Web: www.welltoldstory.co.ke. Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466-00100 Nairobi GPO. Produced in collaboration with: Hewlett Foundation, Twaweza, Kenya Markets Trust & Futures. Distributed by Nation and Safaricom. ART: Daniel Muli | Salim Busuru | Eric Muthoga | Shin Tuxedo | Valerie Egehiza PRODUCER: Paul Ekuru ART DIRECTOR: Esphan Kamau OUTREACH COORDINATOR: Koome Mwiti RADIO: Rickie Mukunga | Paul Peter Kades | Jared Ngugi RESEARCH: Sylvia Thuku | Joram Kioko PHOTOGRAPHER: Alex Kamweru SOCIAL MEDIA COORDINATOR: Farida Noah FINANCE: Ranjeeta Jani INTERNS: Dickens Thomson | Anne Wanyoike | Special thanks to JUST A BAND for their Music on ShujaazFM Well Told Story Š 2013 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced,stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection withe use of the information in this publication.
17
18 them autsid ndio watu wazi lyk ndio wazi buy.Erick njoroge a.k.a khedira 4rm nax >>Kipkorir Koech: Hi DJ B, your ideas have opened up my eyes and I feel so inspired. I used to be uncertain about my future a while back, but now I can mould it to what I want, thanks to you. I can’t wait to change my future. >> Benson Wachira: Manze Dj B big up kwa ku advice mayuts ku have courage to fight corruption you are my hero.
19 >> Lowrenzo: Niaje DJ B, mi nawish to ukam ku2tembelea Embu. kuna youth group inajiita (EMBU CLIMATE ACTION TEAM) EMCATs, sisi ufanya green business na activities kibao kah beadwork, matwork, painting,art,signwriting na kuunda detergents inorder kusustain our needs!! 2kona greenhouse mbili ambazo 2mekuza nyanya na 2shaanza kuuza! Ni special request 4rom members ututembelee cku moja--io ni no. ya chairperson
20 >> Lizzy Muthiani: I want to comment on shujaa ch 43 it has helpt me alot .xana xana juu ya implant. Mii msichana bado olewa na ningetaka nikiolewa nipate watoi wawili tu .sa naendelea na kusoma ch 44 >> Gerry musinya: Dem wangu ako na idea ya kumake doo,ako chuo bt amekua
21 akiunda madem wenzake nywele,tangu aingie chuo,ametoka huko na 22k. >> Elizabeth Nasimiyu Wekesa: Poa DJ B,kumerain uku kwe2 n naharvest water na kesho pap nauzia wase nimeirrigatia maveges zangu na pia 2naosha pond e2 kesho. >> Benard wanyonyi : Niaje bro , niliget ile sms yako ya opendata nikalog in . manze nilish2ka kuona all prioritiz za county yangu na nikacomment. aki thanx >>Winnie Busolo: Dj B, niko
22 locked kwa sho. Nawaambia wasee wapange uzazi,mayuts watake control ya lyf yao.Mimi nmekuwa natumia injections n i fil xo gud abt it.Winnie Busolo-kakamega county >> Dennis: “Hi DJ B I’m a candidate and I would like to receive a success card from you. I’m your number one fan please send it to Dennis Etuti ,Busia Township Primary School, P.O,BOX 215,Busia Kenya >>Wambui Ndungu: Hi dj nimesoma copy ya shujaaz
23 Chapta 44 iko poa...nime tumia contraceptives for seven years ziko safe na hata saa ingine hukumbuki uko nayo (implant)cz hata huifeel.niko na mtoi mmoja nataka nimplanie future yake kabla nipate mwingine....big up kwa kueducate mayouths juu ya contraceptives cz wengine wako ignorant sana....thanks Wambui from Dagoretti >>TUMA COMMENTS AMA IDEAS ZAKO TO DJ B: SMS FOR FREE TO 20308<<