Chapter 48

Page 1



01

Sister wako amekuwa mgonjwa ki gafla! Lipa Hela Moja sahii kwa bank kupata dawa.


02

Landlord wako amepandisha rent. Lipa Hela 1 sahii kwa bank. Kama hauna dooh ya kutosha kwa savings, uza bidhaa zako lakini sasa utalipa Hela 2 badala ya 1.


03

Kuna fundraising ya matanga mtaa yenu. Amua hela mtacontribute alafu ulipe kwa bank sahii.


baadaye...

ameenda huko. hakuna daraja lakini mto sio deep sana!

baada ya kupanda mlima...

oh, pole! nilisahau kukuambia upitie hii side! hapo ni deep! lakini usijali, siku hizi hakuna crocodile!

unatafuta afisa wa afya? panda hio mlima, ako ile side ingine!

aki!

baada ya kuvuka mto... afisa wa afya? ameenda huko! karibu na ile mlima.

boss, tafuta bodaboda. huko huwezi tembea!

wah! sikudhani kupata afisa wa afya itakuwa ngumu hivi!

baadaye...

nasikia umenitafuta sana!

baadaye... sasa paolo!

huyu ni j.k., rafiki wa mke wako. unaweza pumzika kidogo tuongee?

nitawaacha muongee. naenda kutafutia maria kim maua!

ah-ah. lazima niendelee na kazi ndio nilishe familia.

04

Wezi mtaani wamevunja duka alafu wakaiba bidhaa 2. Rudisha bidhaa mbili.

unajua ungeniambia mapema kuwa unanihitaji, haungenitafuta sana!

??!!


05

Credo yako ya kupigia customers na suppliers imeisha hautaweza kuuza bidhaa 2 roundi hii.


baadaye...

hero... hehehe! maria kim, kuna kitu nilitaka kukuuliza...

eh! hiyo ni poa! asante j.k., ulisaidia sana. wewe ni hero!

paolo amekubali kuongea na ida.

nimekuletea hizi!

utakuwa dem wangu?

hahaha! aki j.k. wewe hunifurahisha!

ehe, sema j.k.

eeeh....! jk.?

kujeni tukunywe chai ndio muende!

ayayayai!!

ayayayai!!

maria kim na j.k. asanteni sana. mmetusaidia. tuliongea, na tunapanga kuenda clinic tupewe advice juu ya contraceptives.

ndio. asanteni sana kwa kutusaidia ku-make the right choices.

ida na paolo wako na mpango. je, wewe una mpango gani kuhusi idadi ya watoto utapata, na lini utawapata?

Text

#Plan to DJ B on

20308

06

Delivery bike yako imetoboka tyre. Lipa Hela 2 kutoka savings zako ndo uweze kufikisha delivaries kwa soko. Kama savings hazitoshi, usiuze bidhaa zozote hii raundi


07

Wooohooo umebahatika leo. Bidhaa zako zimetajwa na DJ B kwa radio na mafans wanazitaka sana. Utapata hela 4 kwa kila bidhaa unauza hii raundi.


08

Umehisi njaa na unaeza collapse! Lazima utumie Hela 1 kununua food na drinks sahii!


09

Special offer: Raundi next kwa hii game, unaeza nunua bidhaa 3 kwa Hela 2


10

Umekuwa mgojwa. Lipa Hela 2 upate dawa au usiuze bidhaa zako hii raundi juu umekwama kwa kitanda.


11

Uncle wako na family yake wamekuja kukutembelea na hauna shoping kwa keja. Lipa Hela 3 kwa bank sasa ndo ununue food na drinks.


12

Ulipewa loan ya Hela 2 na bank ukianza biashara na inataka kulipwa Hela 2 pamoja na interest ya Hela 1. Lipatotal ya Hela tatu sahii kwa bank.






13

Interest rateszimeanguka. Unapoteza Hela 2 kutoka savings zako hii raundi.


STORYBOARD

14

Duka imebomolewa na county askari, ni lazima uuze bidhaa zako Hela 3 badala ya Hela 4 raundi hii.


niaje mayuts!

Kuna hawa artists walituma artwork zao na nataka niwape motisha waendelee hivyo hivyo!

JINA: POUSTINENATAH KASUVUH AGE: 14 MTAA: NJORO CHUO: NJORO GIRLS’

JINA: PRO NYONGE AGE: 22 MTAA: NAKS

JINA: DENIS MURIUKI AGE: 15 MTAA: KIAMBU JINA: YOHAAN DAVID AGE: 12

15

Uliona viatu poa na hauwezi ziacha juu ni lazima ukuwe na swag ndio uende date. Lakini lazima ulipe Hela 3 kwa bank sahii.


Brenix alikuwa na shida ya maji esto anaishi huko Langata. DJ B anamtembelea ili wachapiane venye alimobilize community yake na ku take action ili kujisaidia na pia kusaidia watu wengine mtaani kupata maji venye wanafaa. Cheki hii risto---

sema, Brenix!

DJ B! Welcome, Welcome!

ni poa sana vile umefika!

ilikuwa lazima nicome. story yako ni powerful sana, nilitaka kui-share na mafans. lakini kwanza nishow kidogo juu yako.

16

President amesema bidhaa zako ni poa sana na demand imeongezeka. Hii raundi utauza bidhaa Hela 4.


mimi niko na miaka 23. na stay hapa hapa langata na tuna hustle tu. na-repair simu lakini pia mimi ni msanii, niko na cd, na na-shoot video soon.

hiyo ni poa! ni poa sana kupata ma-yut wakifanya vitu creative.

poa, bro.

labda naweza kucheki cd zako baadaye...

so, ni-show hiyo story ya vile ulisaidia mtaa yako na shida ya maji.

17

manze, hiyo ilikuwa the best thing nimewai kufanya! na ilikuwa successful sana!

Uliishiwa na credo na hauwezi deliver bidhaa kwa customers. Refund customers wako Hela 3 kutoka kwa savings. Uza kila bidhaa zako kwa Hela 1.


tulikuwa na shida kubwa huku.

majirani walikuwa na maji na tulijua pipes za hii area yote ni the same, lakini kwa esto yetu hatukuwa na wode.

hiyo si poa!

hakuna mtu alikuwa anatuskiza, so tuli-organize demonstartion na marafiki wangu watatu.

strategy yetu ilikuwa kutumia watoto ku-inform wasee juu ya shida yetu. watoi walikuwa wanawika, “tunahitaji maji!�, na hiyo inamaanisha karibu kila mtu alitucheki na walitu-join.

na hiyo ilienda aje?

18

Matatu imeharibika kwa njia na lazima ufike meeting ya wanabiashara. Lipa Hela 3 kutoka savings zakoili uchukue Taxi au utembee na usiuze kitu yoyote.


eh-heh. tulikuwa wengi na tulienda pale penye tuko na main office ya caretaker na overseer na vile walichukua requests zetu seriously, sisi wote tulifika agreement.

wazi! saa zingine inabidi u-get usaidizi ya watu wengine ku-hold watu to account.

baada ya demonstrations ilichukua how long mpaka m-get maji?

ilikuwa wiki moja tu na tulikuwa na maji.

hiyo ni poa sana. unaweza kuni-show vile maji yako iko sasa?

...ndio hii cd yangu.

sure! twende niku-show... ...lakini kwanza...

Aah, Brenix, maze thaks.

19

Kama uliweka Hela 2 kwa spend, utanunua kila bidhaa kwa Hela 1 na uuze kwa Hela 4.


ndio hii shower... ...na tap ya nje pia...

mnapata maji frequently siku hizi?

ndio, karibu kila siku!

sasa, baada ya demonstration, administration waliwa-treat aje?

unadhani mwananchi kawaida anaweza ku-make change?

during hizo demo tulikuwa tunafanya kama group, lakini tulii-sort na sasa hatuna hostility.

ndio, kama kuna shida mtu anafaa ku-demand rights zake, asitulie tu. cheki, hata tuna maji ya kunywa!

Nice!

20

Kama uliweka Hela 1 pekee kwa spend, unaeza uza bidhaa 2 tu ju umepata kwashiokor juu ya diet mbaya. Hauna nguvu ya kuuza kitu hii raundi na itabidi ungoje raundi next.


21

Umekuwa uki work hard sana na lazima upumzike hii raundi. Lipa Hela 3 kwa bank sasa. Kama hauna pesa kwa savings zako, uza bidhaa moja Hela 2 badala ya 3


22

Uli copy biashara ya mtu mwingine na haukufanya research poa. Uza bidhaa zako zote hii raundi kwa Hela 2 pekee.


23

Stima yako imekatwa. Lazima ulipe Hela 3 kwa bank sasa ndo stima irudishwe na kazi iendelee.


24

Umekuwa conned! Unapoteza savinhs zako, unabakisha Hela 2 tu!


Shujaaz (TM) is published by Well Told Story Ltd, P. O. Box 1700-00502 Nairobi, Kenya. Tel: +254 719 407 512 Web: www.welltoldstory.co.ke. Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466-00100 Nairobi GPO. Produced in collaboration with: Hewlett Foundation, Twaweza, Kenya Markets Trust & Futures. Distributed by Nation and Safaricom. ART: Daniel Muli | Salim Busuru | Eric Muthoga | Shin Tuxedo | Valerie Egehiza PRODUCER: Paul Ekuru ART DIRECTOR: Esphan Kamau OUTREACH COORDINATOR: Koome Mwiti RADIO: Rickie Mukunga | Paul Peter Kades | Jared Ngugi RESEARCH: Sylvia Thuku | Joram Kioko PHOTOGRAPHER: Alex Kamweru SOCIAL MEDIA COORDINATOR: Farida Noah FINANCE: Ranjeeta Jani INTERNS: Dickens Thomson | Anne Wanyoike | Special thanks to JUST A BAND for their Music on ShujaazFM Well Told Story Š 2013 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced,stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection withe use of the information in this publication.



Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.