Chapter 49

Page 1


AFFORDABLE INTERNET ENJOY 10MB DATA BUNDLE AND 10 SMS FOR ONLY KSH 10/DIAL *544# TO ACTIVATE


dogo!

m Mdogo

01

Sister wako amekuwa mgonjwa ki gafla! Lipa Hela Moja sahii kwa bank kupata dawa.


02

Landlord wako amepandisha rent. Lipa Hela 1 sahii kwa bank. Kama hauna dooh ya kutosha kwa savings, uza bidhaa zako lakini sasa utalipa Hela 2 badala ya 1.


baada ya masaa kadhaa...

tuendelee!!

leo ni ku-dance!

betty! sisi tuko tayari kuishia!

noma!

naeza kusindii mpaka home...

zi. eh... siendi mimi.

nitatembea na madem wenzangu.

Tutoke hapa, najua vitu beta tunaeza do pamoja

tu-dance, abdul.

poa!

baadaye kwa betty...

mmmmmhh! abdul, uko na condom?

betty usijali mambo ya condom. mimi ni pro! najua kuji-time! na timing yako ikiwa wrong?

ah! hii si mara yangu ya first! acha wasiwasi. mmmmhh!

03

Kuna fundraising ya matanga mtaa yenu. Amua hela mtacontribute alafu ulipe kwa bank sahii.


WAO HUSHINDA WAKISEMA WANAJUA TIMING

cheki facebook pg ya 'dj boyie' kuona video ya mama stacy

04

Wezi mtaani wamevunja duka alafu wakaiba bidhaa 2. Rudisha bidhaa mbili.


05

Credo yako ya kupigia customers na suppliers imeisha hautaweza kuuza bidhaa 2 roundi hii.


06

Delivery bike yako imetoboka tyre. Lipa Hela 2 kutoka savings zako ndo uweze kufikisha delivaries kwa soko. Kama savings hazitoshi, usiuze bidhaa zozote hii raundi


07

Wooohooo umebahatika leo. Bidhaa zako zimetajwa na DJ B kwa radio na mafans wanazitaka sana. Utapata hela 4 kwa kila bidhaa unauza hii raundi.


Si tu-take a walk, Niko na vitu mob za kukushow.

Walk ni idea poa.

DJ B wewe ni mtu wa nguvu! Wewe ndo mzito! Wewe ndo unfanya vitu poa.

Ni kujaribu tu.

So, risto yako ni noma sana, hebu tuchapiane juu yake‌ First, mimi ni member wa Nairobi Youth Working group.

Si hu-organize forums za accountability. Mayut hutumia hii chance kuwa involved na risto zi affect constituency yetu. Ni-show juu ya hiyo‌

08

Umehisi njaa na unaeza collapse! Lazima utumie Hela 1 kununua food na drinks sahii!


KUNA PROJECTS MOB HAZIJA KAMILIKA

09

Special offer: Raundi next kwa hii game, unaeza nunua bidhaa 3 kwa Hela 2


Yeah. Kuna bridge ilifaa kujengwa ya ku-connect Olympic na Katwekera... ili-allocatiwa doo lakini haikuwahi maliziwa!

Walala!

Niliomobilize mayut tuka-complain kwa CDF board. Pia kulikuwa na doh ilifaa kutumiwa ku-construct classes kwa mashule kadhaa, haikuwahi happen. Hiyo noma. So uli-do nini?

Alafu nini ilihappen?

10

Umekuwa mgojwa. Lipa Hela 2 upate dawa au usiuze bidhaa zako hii raundi juu umekwama kwa kitanda.


At some point, hii story ilipelekwa hadi kwa speaker wa Parliament. Wow!

So kuna action yoyote ilichukuliwa?

Na pia kuna doh ilikuwa recovered.

Sure. Members wawili kwa hiyo CDF committee wenye walikuwa involved walifutwa job.

Wazi mtu wangu!

11

Congrats Raphael kwa ku-take action ili ku-ensure accountability.

Thanks DJ B.

Uncle wako na family yake wamekuja kukutembelea na hauna shoping kwa keja. Lipa Hela 3 kwa bank sasa ndo ununue food na drinks.


12

Ulipewa loan ya Hela 2 na bank ukianza biashara na inataka kulipwa Hela 2 pamoja na interest ya Hela 1. Lipatotal ya Hela tatu sahii kwa bank.






13

Interest rateszimeanguka. Unapoteza Hela 2 kutoka savings zako hii raundi.


14

Duka imebomolewa na county askari, ni lazima uuze bidhaa zako Hela 3 badala ya Hela 4 raundi hii.


15

Uliona viatu poa na hauwezi ziacha juu ni lazima ukuwe na swag ndio uende date. Lakini lazima ulipe Hela 3 kwa bank sahii.


16

President amesema bidhaa zako ni poa sana na demand imeongezeka. Hii raundi utauza bidhaa Hela 4.


17

Uliishiwa na credo na hauwezi deliver bidhaa kwa customers. Refund customers wako Hela 3 kutoka kwa savings. Uza kila bidhaa zako kwa Hela 1.


18

Matatu imeharibika kwa njia na lazima ufike meeting ya wanabiashara. Lipa Hela 3 kutoka savings zakoili uchukue Taxi au utembee na usiuze kitu yoyote.


19

Kama uliweka Hela 2 kwa spend, utanunua kila bidhaa kwa Hela 1 na uuze kwa Hela 4.


20

Kama uliweka Hela 1 pekee kwa spend, unaeza uza bidhaa 2 tu ju umepata kwashiokor juu ya diet mbaya. Hauna nguvu ya kuuza kitu hii raundi na itabidi ungoje raundi next.


21

Umekuwa uki work hard sana na lazima upumzike hii raundi. Lipa Hela 3 kwa bank sasa. Kama hauna pesa kwa savings zako, uza bidhaa moja Hela 2 badala ya 3


22

Uli copy biashara ya mtu mwingine na haukufanya research poa. Uza bidhaa zako zote hii raundi kwa Hela 2 pekee.


23

Stima yako imekatwa. Lazima ulipe Hela 3 kwa bank sasa ndo stima irudishwe na kazi iendelee.


24

Umekuwa conned! Unapoteza savinhs zako, unabakisha Hela 2 tu!


Shujaaz (TM) is published by Well Told Story Ltd, P. O. Box 1700-00502 Nairobi, Kenya. Tel: +254 719 407 512 Web: www.welltoldstory.co.ke. Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466-00100 Nairobi GPO. Produced in collaboration with: Hewlett Foundation, Twaweza, Kenya Markets Trust & Futures. Distributed by Nation and Safaricom. ART: Daniel Muli | Joe Barasa | Kevin Mmbasu PRODUCER: Paul Ekuru ART DIRECTOR: Esphan Kamau OUTREACH COORDINATOR: Koome Mwiti RADIO: Rickie Mukunga | Paul Peter Kades | Jared Ngugi RESEARCH: Sylvia Thuku | Joram Kioko SOCIAL MEDIA COORDINATOR: Farida Noah PHOTOGRAPHER: Alex Kamweru FINANCE: Ranjeeta Jani INTERNS: Anne Wanyoike Special thanks to JUST A BAND for their Music on ShujaazFM Well Told Story Š 2013 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced,stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection withe use of the information in this publication.



Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.