FOR CUSTOMER CARE ASSISTANCE, CONTACT US ON:
@SAFARICOMLTD | @SAFARICOM_CARE
WWW.FACEBOOK.COM/SAFARICOMLTD
FOR SELF HELP MENU, DIAL *100#(PREPAY), OR *200# (POSTPAY) | TERMS AND CONDITIONS APPLY | WWW.SAFARICOM.CO.KE
Hi DJ B mimi ni one of Shujaaz fans ninge like kukushow congrats kwa job umekuwa ukifanya ku-encourage mayut, may Shujaz grow hadi ikuwe a high ranking radio station. Abert Maina // Hi DJ B uko rada maze this magazine inasaidia sana mayut kama mimi na plan venye nita show my boy tuende clinic tuget adivice nipewe implant. Jackie // Hi DJ B, story yako on devolution imenisaidia sana. I say congrats juu kwa shujaaz comic
4 ... nime- attempted ideas zako since umetarget mayouths na ni noma. Bravo. Maggie // 4. DJ B wewe umekuwa mtu wakusaidia ma youth wengi hasa kwa mapenzi, kikazi,mabizna, challenge ambayo mayouth hupitia, so DJ B ninaona kama mnaweza kam huku mashinani ili muintroduce hali ya elimu kwa vijana wengi ambao wamekuwa wakijihusisha na mambo ya utamaduni especialy maasai land. Thanks unaeza ni-
5 .........contact. Isaiah // Thanks mtu wangu mimi hukeep time kwa kusoma kitabu yako na imebadilisha life yangu. James Gichuru // DJ B umenichanua tu vismart na maworks na maideas tu best za kubring vitu tu reality, otherwise tuko pamoja mzeya. Kiplagat // DJ B mi ni fan wenyu no 1 na mumehelp mayuts sana na ideaz mob mi nikiwa mmoja wao na storo zenu zime ni-encourage sana. Feli
6 DJ B wewe ni shujaa umetu teach lessons mob. Thanks sana. Ken // Thanks sana nimefurai kuwa member wa shujaa aki mko juu na maadvice yenu kwa vijana hasa kama sisi wenye tumemaliza chuo. Marion //Hi DJ B, mi enyewe nakuwa inspired vinoma na aticles za shujaa, unajua nini? Mi niko kole na nmeamua this year kufanya juu chini ma beshte zangu wenye hawana hop kusoma hizi chaptaz. Big up na naomba tisho plx. Hillary
7 Hi Dj B, just Kip up Show Iko Wangwan Kabisa Inaninyc nikiwa Kerugoya Via Qfm. Maryane //Mimi ni jamaa moja kutoka maua, maze story ya Lucy kutoka kiambu inabamba tungependa mayouth wa maua waache drugs za miraa, tobacco, bangi, kuber, wewe DJ B watembele wachange life yao. Francis // Congrats DJ B kwa kazi mzuri unafanya especially kwa kuhelp yuts kujenga country yao. I like it kip up! Everlyne mutheu
8 I love Shujaaz na venye unahelp watu, job fiti mtu wangu! idea yenye iliniokolea sana ni ile ya kukeep nguruwe kadhaa. Isaiah //Poa sana DJB na nita endelea kua tuned kwa shujaaz coz imeni help kudevelop projects zangu na profit siku hizi iko ju 2 sana. Dave //Hi DJ B, thanks kwa advice yako kwa mayut unabuild life yetu sana. God bles you abundantly. Estah // Mimi na girlfriend wangu tulikuwa tunatumia e-pill kila weekend ya
9 kuonana, ikawa expensive kwetu. Doki akatuadvice tutumie kinga ingine. Sasa tunatumia condom which is cheap than e-pill na tunamanege. Eric //Manze naitwa Thomas stori ya contraceptives kwa clinics za webuye iko poa coz kuna madaktari ambao wanafanya mtu awe na hama kurudi tena. Francis //Game yako ni poa sana DJ B. Unahelp watu kujua ama kukua na dream ya better future. Paul //Hi DJ B vile nilimada class
10
11 8, nilianza bizna ya kusel maize na ili do tu poa. Na imeniwezesha kupay school fees ya form one & two. Sasa hivi niko form three Wikoteng’ Mixed Secondary School. Gavin 21. // Niaje DJ B, after kusoma chapter 46 issue ya football pitch nilimanage ku-do research nikaget wathama sasa nitaisambazaje. Duncan Mutahi // Hi DJ B? maze hapa ni Suzan tena from karatina, ile kitu nmedo ku improve life yangu ni ku apply madame na
12
13 wamatha cutex na imenihelp kusave chapaa kabsaaa. Suzan // Sema DJ B vile umekua ukitufunza mob! Manze big up tu sana Shujaa iko noma sana, thanx tu Maria Kim umetusave sana sisi mamanzi big up. Faith Zakayo // From Mwea. Ningetaka ku’advice mayuothz wasi’select jobs. kaa mimi u do job ya kuboil arrowroots, nachapa rout 11 to town kusi’sell na nimeanza kufuma sasa. Kim lew // Maria kim na like show yako cos
14
15 iko ju tu sana imehimarisha wazee wengi sana, thanks kwa show zako. Anonymous // Big up Shujaaz manze nimeget idea powa ya kumek dream yangu i must do. Rabana aku add more years uendelee kuhelp aswa sisi mayuts. Oyugi O Edu // Hi DJ B, napenda Shujaaz articles sana inatusaidia sana especially ma youths, you guys are doing job poa sana na tuna appreciate. Big up na God Bless. Nancy Kagimbi //Thanks ns keep up the
16 good work yak u educate mayut na kuwa-encourage. June // Hi DJ B? Manzee nabambika vinoma na your work tu sana, Manzee ma-ideas na advice poa kwetu mayut inatuweka vismata sana. Skyblue// Kuchanuka imepata new meanings in life kulingana na Shujaaz Family: Passion, determination, diligence..........Kuhelp others with no condition juu I would need them 1 day. Chepkonga // DJB na hii ndio risto ya mine. Nilisoma
17
Umekuwa ukicheza hii game yangu noma ya Hela Hela na sasa kwa help yako, nimei-make bigger na better! Niko na copies 1000, ukitaka moja, nitumie SMS kwa 20308 ukianza na word 'Hela' unishow kwa nini una i-need. stories noma za bizna ndo zina chance pekee. Winnie amwecheza hii game na imechange bizna yake. Cheki story yake...
18 story ya water harvesting, nili ambia maparo na waka chukua loan na waka nunua gutters na water tank sasa hatuna shida ya maji asante shujaaz. Peter// tulienda kwa ward rep tuka complain na by one week ilibore fruits bursary zetu tulipata. Justus Onyango // Niaje Dj B, mi ni Ali kutoka gilo na nimecheza helahela game na nimeilike nimelearn ways ntainvest doo zangu big up to u DJb thanks for the game n thanks for helping me
Manze si Hela Hela game iko juu!
Nafurahi kusikia hivo.
Game yako imenichanua sana.
Wagwan!
Ulifanya kitu poa ku-make hii game. ime-change life yangu. Hebu nishow juu yake?
Nilipata Hela Hela nikaicheza na marafiki zangu. ilikuwa poa sana.
Nice.
19 mayuths jo. endeleeni tu. Denis Hi DJ B Pongezi kwa kugutusha mayuth niko Taita County. Kennedy GoldDust Omondi// Hae DJ BS,i wonna b ua friend, n by tha wei i luv this shujaaz fm it has helped me,n not jst me us youths .Suzzana Pomade // Dj b ile job nliacha ss nli pata job ya kuuza sungura sai nko n 500 kwm pesa yangu enye shujaaz imeniinua aki thenx DJ B. Aqbar Fazzul Jasmine // Hi DJ B. Kupitia hela hela,nime-learn
nilianza
20
21
Na kitu ingine muhimu nili learn kutoka kwa game ni ku-make decision ya kusave.
Huwa una-save? Ndio. Nilirealize naeza open bank account, nikafanya hivo na sasa kila profit mimi hupata daily, naipeleka huko.
Huwa una-save do ka ngapi? soo tatu kila siku!
Morale!
Thanks kwako DJ B.
Hii game imesaidia hata ma-friends wangu wengine wawili pia.
Huwa wanauza maembe. Siku hizi wame-expand na wana-make profits.
22
23
24
25 kusave anytym nkiget dooh,alaf kutek risks ni lazima n we shud b prepared,pia game ni interesting sana hakuna kuboeka. Willy Kipkoech // D J B hii game iko juu! nilipo kuwa nikicheza na bro nili_learn kusave kila time napata dooh.nikispend ni lazima pia ni save.sikuwa na bank account na sasa na_plan kufungua.THANKS FOR SHUJAAZ: Mumo // Hellow Dj B naitwaa Ray nko na miaka 18 na napak Gachui Dagorretti napenda sana kusoma
26 shujaaz comic strip nauliza venye naweza kuwa nkiipata every month first hand cz me hungoja a whole week ndio niipate. Raychelle //Vipi DJ!Mi husaidia environment by planting trees kuokota mapapers na nylon papers around chuo yetu n i would like others to join me and plant trees also collect dirt to protect our earth for future generations to enjoy our efforts. Stephen Wakiru // Wagwan mzito! Bigup 2 xana kwa ku chanua n ku
niko
MKONO
27
2 motivate c ka mayuts n nko na copy ya chapta 46 na storo imeni nice ni ya sumwel mwangi.manze sum ako juu 2 xana n aendelee ivo ivo,ni Naphtal frm Ongwaro massive. // Hi Dj B,ni Hannington hapa na thaks kwa song batle zk jwa jt fm na wish utanitumia succes Oct.au Nov.naweza kupa p.obox (162)bora ifike plz chapisha kwa chap.49 ndio mafan waamini mi ni fan wako.(Hannington Ogutu frm Nandi.hil Nand.County) // Dj
28 B ....manze uko tops n napenda vile umeturn kuwa inspirational kwa mayut....hustle yangu ndo kwanza naanza usanii. Hillary Ochola // Ninafuga kuku niko na tatu nilizopewa na mama na zote zimeagua,niko na chicks 41 pia niko na garden yenye nimepanda mboga na sahi ninauza as i wait for my kcse results. Jared Barasa // Hi DJ B,maze c ua comics ziko tops xana imgn mi hu zi pile kw keja mdogomdogo ndo nikiwa free
mnasikia? mkue werevu!
nilikua karibu kupromote nancy, lakini sasa nimemfuta kazi! mtoe hapa!
sawa, boss!
ishia!
tumekugawa hiyo uniform... si u-smile basi?
29 na zicheki.....big ups tw yu bro continue empowering da kenyan yuts. Jerry Newton. //Manze DJ B uko yuuest ju umevuka border. Beshtee wangu mgadre ananisho uekange ngoso kiac ju UG hawajuangi kiswahili. Big up ur self plus 100%. Joseph Muthoka. // Hii stori ya CH45 ya Maria Kim venye anamulika leaders wenye hawachapi job imeni-inspire xana. >>>> SEND COMMENTS ZAKO TO 20308 FOR FREE <<<<
30
Shujaaz (TM) is published by Well Told Story Ltd, P. O. Box 1700-00502 Nairobi, Kenya. Tel: +254 719 407 512 Web: www.welltoldstory.co.ke. Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466-00100 Nairobi GPO. Produced in collaboration with: Hewlett Foundation, Twaweza, Kenya Markets Trust & ESHE. Distributed by Nation and Safaricom. ART: Joe Barasa | Kevin Mmbasu | Eric Muthoga | Shin Tuxedo | Maurice Odede PRODUCER: Paul Ekuru ART DIRECTOR: Esphan Kamau GRAPHIC DESIGNER: Ann Ndichu OUTREACH COORDINATOR: Koome Mwiti RADIO: Jared Ngugi | Paul Peter Kades | RESEARCH: Sylvia Thuku | Joram Kioko SOCIAL MEDIA COORDINATOR: Farida Nzilani PHOTOGRAPHER: Alex Kamweru FINANCE: Ranjeeta Jani INTERNS: Newton Kiopapi | Farida Atieno Special thanks to JUST A BAND for their Music on ShujaazFM Well Told Story Š 2013 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced,stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection withe use of the information in this publication.
31