Chapter 51

Page 1


FOR CUSTOMER CARE ASSISTANCE, CONTACT US ON:

@SAFARICOMLTD | @SAFARICOM_CARE

WWW.FACEBOOK.COM/SAFARICOMLTD

FOR SELF HELP MENU, DIAL *100#(PREPAY), OR *200# (POSTPAY) | TERMS AND CONDITIONS APPLY | WWW.SAFARICOM.CO.KE


3


WAH! Hiyo kelele ni nini?

jorah! Unawezaaje kumtia mimba daughter wangu halafu unamtupa?!?! mzee, aki mimi si baba wa huyo mtoto! aki!

wai! ni foota na tuna-scrum kama rugby!

tafadhali elewa, mzee, niko na dada, na singependa kumpata kwa shida kama hii...

kwenda! nyinyi watoto wa siku hizi hamna adabu! lakini bado sisi wazee tuko kuwaelimisha! Kesho ni lazima ukuje kwa baraza kujieleza kwa elders! sawa sawa, mzee...

4

kijana, usicheze! usituone tu hivi, ati meno zetu zinang’oka, hatuwezi kukuuma! kesho utaona cha mtema kuni!

Niaje DJ B nmebabika na venye mayuts wamedicide kuchage lyf yao . Thanks kwa idea ya rabbit imeni help sana kwa kuget manure na meat. Kenny// Niaje DJ B enyewe mi ni mtu wa bizna ume nichanua kwa story mob sana. charity // Hey! Big up2 xana.jxt kuwabig up xana mnawork kuona mayouth wameget advice kupitia xhujaaz fm otherwise big up. Denoh kutoka Molo //Hela Hela waaah iko juu tu sana it is improving our


taabu! purity! jorah ako kwa shida!

mzee robert amesema jorah amempatia mimba daughter wake!

usijali, charlie... inakaa mzee robert amekuwa akikunywa ile pombe mbaya tena, yeye huropokwa na hajui venye anasema...

taabu, unadhani...

ah, sawa...

hapana, vile ameamua kuwa successful, sioni jorah akisahau responsibilities zake...

oho! hadithi yetu

Niaje Jorah, mbona unakaa kuboeka?

Staki kitu yoyote iniharibie bizna yangu.

inaendelea siku inayofuata, ambapo...

maskini mimi

huyu ni baba wa mtoto wangu, ni lazima anipatie support!

nkt! Usijali boy wa mine!

jorah, tuelezee upande wako wa hii siasa...

5 savings skills to us yutx enwai denkx tu xana shujaaz god blexx. Kevin // Maze DJ B, nilibambika na zile ideas zako abt family planning in chpt .Hata wife wangu alikuwa inspired sana na imenihelp tu vinoma.May u continue with that spirit. Michael wafula // Niaje DJB manze bizna ya mine ime shika kwa siku na uza mayai 56 and above nataka ushow vijana wasikufe moyo hata ukuwe na sukuma wiki hio ndio inaweza kukufanya uwe


wazee, tafadhali mniamini, huyu si mtoto wangu...

shida hapa ni sasa hakuna proof bali tu matamshi yangu na ya huyu msichana, lakini tafadhali mkumbuke kazi yote nimerudi huku kufanya, nilirudi kujistarehe nyumbani kujistarehesha, si kujiletea shida kama hizi!

hii stori inaweza kuwa kweli?

...nilikuwa nimeenda safari ya wiki moja kununua seeds na mahitaji zingine za greenhouse.

na pia, mkiangalia ...

p! s a g

kijana! hiyo hadithi ulitoa wapi? tujue aje hautudanganyi?

ehm... si nipike supu ya kusema kweli, nimlishe, atatuambia kila kitu...

ngoooooja, ngoja kidogo...

6 sonko. Davy // Chanuka manzi mimi DJ B nikua mxe wama vela vinoma naiyo rito ya Beryl imenihelp tu xana mpaka nikachenge nanige penda DJ B unichanue kabxa jo pozi. Baby Gaza // Hai Kamaneno Nmeapriciate Job Yenu Poa Ya Kuencourage Mavijana Big Up. Dunco // DJ B your article are lyfe changing, so kip up mzeiah.mr sali b // Hi DJ B. Shujaaz imekua so encouraging kwangu.cz ckua na ji accept and lyf yangu i thot


OH NO!

oh no! Jorah, sasa uanze kupeleka msichana kwa clinic...

LAKINI JORAH SI ULIAMBIA KIJANA WANGU ,RAFIKI YAKO,ATI WEWE NDIO BABA WA HUYU MTOTO!

Pia unastahili kumpa msichana support ya kimawazo na pesa ya kulea mtoto

7 iliwa imefika mwisho though hadi nw nakubukanga mambo mob bt ka c Shujaaz i could be dead nw.thenx a lot. Mary // Thanx we pia.Ni vile story za shujaaz zinanijaz,kwanza ur booklets hunijaz althou kuziacces ni ndialala,cjui ni vile nko ocha au vepy. Nwy thanx 4 ur gud job:-) Nancy Adhiambo //Hi DJ B niko chuo na nimetulia pamoja na classmates wangu tukisoma book ya shujaaz F.M. wily // Hae DJ B, thnkx 4 ua inxpiration


8


Shujaaz (TM) is published by Well Told Story Ltd, P. O. Box 1700-00502 Nairobi, Kenya. Tel: +254 719 407 512 Web: www.welltoldstory.co.ke. Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466-00100 Nairobi GPO. Produced in collaboration with: Hewlett Foundation, Twaweza, Kenya Markets Trust & ESHE. Distributed by Nation and Safaricom. ART: Joe Barasa | Dan Muli PRODUCER: Paul Ekuru ART DIRECTOR: Esphan Kamau GRAPHIC DESIGNER: Ann Ndichu SOCIAL MEDIA COORDINATOR: Farida Nzilani OUTREACH COORDINATOR: Koome Mwiti RADIO: Jared Ngugi | Paul Peter Kades | Stephanie Boy RESEARCH: Sylvia Thuku | Joram Kioko PHOTOGRAPHER: Alex Kamweru FINANCE: Ranjeeta Jani INTERNS: Newton Kiopapi | Farida Atieno. Special thanks to JUST A BAND for their Music on ShujaazFM Well Told Story Š 2013 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced,stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection withe use of the information in this publication.


10 to de yutx frm drugs to b a character, issues za kumake dooh & kiping of livextock eg sunguch zme help xana kw ku build community. Ndoch Culture // Hii game ya Hela-Hela iko juu! nilienjoy xana imenifungua macho kutaka kufanya Bizna. Nduta // DJ B kip on encouraging masafara that kuna vitu tunaeza du mtaan bila kutegemea viongoz we2. Ombati // By the way nilisoma shujaaz moja hadi nikabambika 2 sana na ile story


Na niko na greenhouse, ndo hustle yangu. Si Peter ni hustler wa nguvu!

Noma sana. Mtu anaezaje tengeneza greenhouse? Si kitu ngumu. Kitu una need ni papers za plastic, miti na misumari. So mtu anaeza toa wapi hizi papers?

Sana sana huku tunanunuanga zile zishatumika kwa flower farms.

11

Nice! Sasa wewee hupanda nini kwa green house?

story ya esther na yule chali then shosh ya malkia akawasho. Leunita // Welcome but am the one to thank u for changing the lives of our fellow youths n community at large,thank u Dj B. Samuel Kamunya // Thanks DJ B 4 educating kenyan youthx on hw 2save doh ad use thngx dat don pulte&destry; envrnment 2get more money. congrats mseh. Peter Sam // Vipi DJ B unafanya job poa xana kuelimisha mayuts saa hii naishi na


12 ya esther na yule chali then shosh ya malkia akawasho. Leunita // Welcome but am the one to thank u for changing the lives of our fellow youths n community at large,thank u Dj B. Samuel Kamunya // Thanks DJ B 4 educating kenyan youthx on hw 2save doh ad use thngx dat don pulte&destry; envrnment 2get more money. congrats mseh. Peter Sam // Vipi DJ B unafanya job poa xana kuelimisha mayuts saa hii naishi na stapema ju sina


13 ya esther na yule chali then shosh ya malkia akawasho. Leunita // Welcome but am the one to thank u for changing the lives of our fellow youths n community at large,thank u Dj B. Samuel Kamunya // Thanks DJ B 4 educating kenyan youthx on hw 2save doh ad use thngx dat don pulte&destry; envrnment 2get more money. congrats mseh. Peter Sam // Vipi DJ B unafanya job poa xana kuelimisha mayuts saa hii naishi na stapema ju sina


14 stapema ju sina mapero.So afta kupata shida mob.Afta kupata shida hizo niliamua kuishi life yangu. Jemo // Mazee ile risto contraceptives ime okolea machari i mta yetu,sini ma fun wenu mbaya kuruka..Paul junior // Hellow Dj B naitwaa Ray nko na miaka 18 na napak Gachui Dagorretti napenda sana kusoma shujaaz comic strip nauliza venye naweza kuwa nkiipata every month first hand cz me hungoja a whole week ndio niipate.


15


16



18 Niaje DJ B ,mi sally kutoka ndumderi napenda tu sana hi job i lyk ua show and bim up urself. /welkam asante kwa ku2inspire na advice zenu.. zimenisaidia xana BIG UP shujaaz mapenzi freakie. Jolene Mwangi /DJ B i wud lyk 2 thank u 4 educatn ma yuts vnye wanaweza ji help na lyf yao bla ktengemea gova. Karis / I appreciate 4 that,me too am greatful with what ur are doing to encourage mayouth. EricoAsante sana DJ B


19 Niaje DJ B ,mi sally kutoka ndumderi napenda tu sana hi job i lyk ua show and bim up urself. /welkam asante kwa ku2inspire na advice zenu.. zimenisaidia xana BIG UP shujaaz mapenzi freakie. Jolene Mwangi /DJ B i wud lyk 2 thank u 4 educatn ma yuts vnye wanaweza ji help na lyf yao bla ktengemea gova. Karis / I appreciate 4 that,me too am greatful with what ur are doing to encourage mayouth. EricoAsante sana DJ B kwa kuni


20 appreciate sana. John/ Vipi man yangu nabambika vikali na xhow zako \wagwan. Simo/Hii DJ B hela hela game iko juu. George Otieno/ Big up DJ B umetu-build sana kimawazo jo! sisi kama mayuts tuna kuvote kuinua ua name na ku-say wewe ni Shujaa.Ouma Samwel. / DJ B,big up 2 urself..kazi smat unado kuunganisha mayutz..at least it’z workng. Eliza /Hi DJ B mayuts wasiaya wangependa kuchangia mah ideas zako bt they stil hv dobt abt


mmmmh... hizo ni kali... si kubwa sana lakini shape iko sawa!

Usiwahi jaribu kufanya hivyo tena! Mi si mdem mcheap!

Uff! Nini unaringaringa na unafanya kazi kwa bar?

hahahaha!

aaaaarrghh!

wewe, ufanye vile customer anakuambia! hakuna watu wa-holy hapa!

21

nyinyi! hamna kazi? ebu furahisheni ma-customer ama pia mtafuata nancy!


sikia, maria kim, kazi yako ni kufanya ma-customer warudi kila wakati. aje sasa? wape chenye wanataka. ati? nitawapea drinks tu. wakisema jokes zao mbovu nitacheka. tosha!

hivi ndio una “chunga� ma-dem wanakufanyia job? aibu!

shika, hizi ni sheria za kazi hapa...

wana-do job usiku na mchana kuku-make-ia doh, ku-survive, wako na watoi na dreams zao... hauna heshima? hauna utu?

oi!

ufala!

sikia, siezi do job hapa kama hivi ndio una-treat watu! nancy alipoteza job juu ya ku-get ball. hata haupeani condoms hapa!

ukiendelea hivi hawa madem wote watakuwa na ball, hautakuwa na mtu wa kukufanyia job!

hahaha!

ati sitakuwa na nini! kuna madem wengi wanatafuta kazi! watatoa wapi doh?

nina friend yangu alikuwa ana-do job kwa bar kama hii. ali-quit juu ya upuzi kama hii yako, na sasa anaendelea poa. msikie...

22 Hi DJ B Pongezi kwa kugutusha mayuth niko Taita County. Kennedy GoldDust Omondi// Hae DJ BS,i wonna b ua friend, n by tha wei i luv this shujaaz fm it has helped me,n not jst me us youths .Suzzana Pomade // Dj b ile job nliacha ss nli pata job ya kuuza sungura sai nko n 500 kwm pesa yangu enye shujaaz imeniinua aki thenx DJ B. Aqbar Fazzul Jasmine // Hi DJ B. Kupitia hela hela,nime-learn kusave anytym nkiget dooh,alaf kutek risks ni lazima n


we shud b prepared,pia game ni interesting sana hakuna kuboeka. Willy Kipkoech // D J B hii game iko juu! nilipo kuwa nikicheza na bro nili_learn kusave kila time napata dooh.nikispend ni lazima pia ni save.sikuwa na bank account na sasa na_plan kufungua.THANKS FOR SHUJAAZ: Mumo Raychelle //Vipi DJ!Mi husaidia environment by planting trees kuokota mapapers na nylon papers around chuo yetu n i would like others to join


24


Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.