Chapter 56

Page 1



3 Leo ni leo asemaye kesho ni muongo DJ B leo ni Sunday welcome Jam session Busia Border Palace nimefika na nakupeana mayuts Chapta 54 kila youth ana Chapta yake. Stephen Makanda//Napenda hizo messages zako bigup. Sifa Symony//Hey DJ B na like views ziko kwa Shujaaz coz inachanua sana mayouth on current affairs. Bravo. Phenny Baracks//Action imeni hepl mob sana kuhusu story ya kutumia cd imgne wanatembea


4


5 hata nazo kwa poke zao za trao so I just thnk u DJ B kwa solution smart sana . Freddizzo 4rm ksm//Big up DJ B vile unamotivet mayuth ju ya hustle zao na vile wanaweza jiendeleza kilife,io spirit yako n wagwan. Ike Da Silva//Niaje DJ B stori ya skever ilinipamba tu sana pia mimi nahustle tu. Nko na ngurwe kuku na mbuzi na je shujaa fm nikiwa bungoma naipata kwa masafa gani? Jeremiah Kunisia//Manze DJ B cont tu ivo jo.frm


6 ...githu wit love.bgp. Anthony Rezident//DJB, uko Wonderful, at least unamake mayuts wa excel in life, to me napata nice ideas ambazo zinaeza change life yangu. Thanks a lot. Mollyann from Awasi.//Hey mimi ni mgeni bt from last yr nilikuwa fan wa page yako ya FB(DJ Boyie) bt 4nw ndo nimeingia. Rose Amisi//Hi DJ B, ni bouy wako liquidoh,manze ua comic iko yuest sana inani uplift kimaisha na kukarada mtaani. Micke Liquido//


7 Hey DJ B, I come frm Tanzania Kagera region na mimi ni mmoja wa fan wenu. John Sylivester Hamli//DJ B unado job poa sana yak u-educate mayut na the latest sheng. Daniel Kyalo//DJ B niaje nimeanguka 2 tena kwa page yako iko high 2 xana! Felister Kimotho//DJ B ur unado job poa ya ku-educate mayut ju ya hustle na challenges we face in life.Big up. Raphael Gachie//DJ B Feel Most Appreciated kwa job ya bidii unayo


8


Shujaaz (TM) is published by Well Told Story Ltd, P. O. Box 1700-00502 Nairobi, Kenya. Tel: +254 719 407 512 Web: www.welltoldstory.co.ke. Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466-00100 Nairobi GPO. Produced in collaboration with: Hewlett Foundation, Twaweza, Bill and Melinda Gates Foundation & ESHE. Distributed by Nation and Safaricom. ART: Joe Barasa | Kevin Mmbasu | Maurice Odede. PRODUCER: Paul Ekuru ASSISTANT PRODUCERS: Jared Ngugi | Stephanie Boy | Farida Nzilani ART DIRECTOR: Esphan Kamau GRAPHIC DESIGNER: Ann Ndichu RADIO: Paul Peter Kades OUTREACH COORDINATOR: Koome Mwiti RESEARCH: Sylvia Thuku DISTRIBUTION: Joram Kioko PHOTOGRAPHER: Alex Kamweru | Anthony Kigondu FINANCE: Ranjeeta Jani | Carol Ariga INTERNS: Carol Naeku | Winnie Nduta | Ronny Omondi | Getrude Bosire. Special thanks to JUNE RAPSHA for his Music on ShujaazFM Well Told Story Š 2014 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced,stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication.

9


10 fanya ku-educate Kenyan yuts na njia za kumake dooh. Coz job sahi in kmeya ziko scarce sana. Hio story ya bee keeping ni poa na easy kudo. Caleb Mutwiwa//Helo DJ B walae nimexoma ua risto kwa shujaa ikanibidi nimekusaka joh. Big up joh. Lamech Barlow//Unaeza ni believe nikisema una wipe machozi ya mayut?? Umenifanya ni move on coz nilikuwa nime give up. More shujaaaaaaaz please. Àbbyjah Jf Nduati//I love


11


12 shujaaz n vle mnahelp mayuts God amblez!! Ruth Ndush//Hi DJ B, Leo Ndo Tym Yangu Ya Kwanza Kuingia Katka Mtandao Wako Wa Facebook (DJ Boyie) ,ideas Zako Zimefanya Nimejiendeleza Katka Life Yangu,keep Itup 4u. Rhodah Nelima, Kutoka Embakasi.//Hi DJ B,wajuah ukizeeka tunahitaji msee kama wewe wa kuinherit chenye unado. Big secret behind success yako ni nini ningetaka kujua. Big ups. Eric Sparta//Big up 2


13 sana DJ B, juhudi zako zina matunda mema. Silas Gwero//Mi husoma chapta zote za shujaaz. Jose Raphael//Bigup mzito DJ B nmekuwa niki learn mah advice na sa nilikwom na idea & naona kananisaidia kiac thanx mtu wangu;siko idle tena! ! Benson Lou Nani//Big up 2 cna m2 wng wa vungu,nakupata laud en clia via radio kaya,show koya ni noma ile mbaya!taveta ndio area cord nguya. Dancan Sengia Kalasinga//Thanks tu sana


14 leo nimelearn dat,without goals u can’t achieve success yoyote.keep up! Ume tueducate kaa mayutz, mm leo l congratulate u DJ B nika kufind kw FB. Lucy Karimi 4rm Meru County.//Bigup DJB‏ umetoa mayuts wengi far si eti nakupa sifa, kifupi umetoka far na uko under favor ya Jehovah coz una powers za nguvu , unatukwachu na maflavour za maisha. Joe Sure Simiyu Toili//Thnx DJ B kwa kuleta show yako kerugoya leo, kip tha


15 fire burning mzito. Samz sign//Niaje DJ B nalyk Shujaaz coz ina-encourage mayuts vile wanaeza kujiinua kimaisha,ku-share ma-ideaz za ku-make doh! Arthur Mwangangi//Aje DJ B Maze Comics Zko Zko Juu 2 Xana. Big Ups Muteti James//Niaje DJ B mi ni fun wako kwa Shujaaz na mi hulike Shujaaz walai unawaga wollan tu nasa like it. Eddnah Vicky Johns//Manze DJ B uko juu 2 xana.Me nilianza tht project yaku fuga suguch na nd i


16 started with 3 na sahi niko na 52.Nimelipa fee yangu yote ya seco from this,big up! 2 xana ni Thomas Odera from maseno//Niaje DJ B Deepti atajua wewe ni nai wen? Ithink that its about time ajue coz at the end of chapta 53 uliwachwa umeumia jooh!! Moses Njugustah//Nimeget chapta 54 na iko wagwan 2 sana. Brian Okote//Thanks..Na Big Ups kwa kutuelimisha sisi mayouths. Mohammed khalfan//Thanks xana DJ


17 B Shujaaz imeteach lessons kibao.Thanks tu sana mtu wangu. Abigael Aweseti//DJ B B hii chapta 54 yako imenpa moyo sana niliposoma ii risto ya skever, ckua najua kama mtu anaenza pata dooh kutoka mahali rahisi ivo,shukuran kwa kuchanua mayuts DJ B continue hivo. Khalef Decah//Nmeget chapter 54 na risto ya maria kim na mkono gum waaa! Imeniacha nusu furaha nusu kilio.n noma bana weee! Evans Waetman.


18 Kakamega//Niaje DjJ B! Yuah far pon aTrillion yuah 1 inna Million’Advice na Mathao’ideas Zile zina 2help kuConquer each n evry dai. Wazi Jo! Ni Erastus//Asante kwa advice yako on contraceptives ime2saidia kama mayuts kuprotect our future. Eddyiaz Minaj frm gylo.//Hahahaha Hehehe I like mchongoano and ujinga ni za chapta 54.Big up dj b.Alyernder.//Hi DJ B nimeget shujaaz chapter 53 nikaisoma but cjaget ma quiz za shujaaz


19 juu na zilyke next tyme try namweke ma quiz zinatuweka attentive na concentrative kusoma shujaaz. Trizah //Hallo stories zako zimenijenga sana big up bro. Malkia//Enyewe DJ B ni sawa kutumia condom kila tym juu anythn can happen. Juddx//Magirls wana paswa ku use condoms ndio wasiget early Pregnancy. Evans//Niaje DJ B thanx sana kwa maadvice we hupea wasee coz una wasaidianga sana mstly ma yuts. succes in ua


20 wark. Marimarlizz Montez//Hae DJ B nime soma Shujaaz na nimekuwa encouraged kupitia hizo issues. Mabeste wangu wanajua sheng na mi sijui so nime learn. Nikita Xania Pinky//Na like style yako ya kupass info useful. John Karanja//Thanx kuna jamaa ameni inspire tu sana imagine usiku ye hupitapita kwa mabaa akiuzia watu macondoms anajaribu kucurb hii situation yenye watu hufanya unprotected sex xo mayouth kaeni


21 innovative ka hu youth plz. Brandszonlee Shadville//Niaje DJ B nmesoma hii chapter 50 story ya Nancy nkacheki wadosi wanafaa kukuwa behind thier workers in every situation. Tonie Mantos//Niaje DJ B mi ni fan wako na na represent mayut kwa hii country . Ningetaka ku-congratulate kwa ile kazi mzuri unafanya. Princess Suztsie Adipinnchez//Niko inspired sana DJ B. Usiwahi acha kuencourage mayuts. Martinz Born//Watssap DJ


22


23 B I like your show coz inanipa mzuka ku share na washikaji ndio maana nime like your page nataka mafransi wa makubadilisha mawazo na kupeana mbinu zakujikombo kwa life awe manzi au boy jinsia zote. Mwakifuna Mwaki//Sema bro. Sitambui tribe coz nko surrounded by many tribes bt we all knw dat we r Kenyans even sikumbuki ati kuna tribe fulani, we r the people to stop tribalism. It’s u and me. Plz mayuts help fight this. Reagan Wachira



Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.