Big up DJ B shujaaz imekuwa my comic endelea ivo ivo. Esbon Kam’njoro Razio//Wagwan DJ B B ua unatusev n tips muhimi xana xi mayuts n ata ni we ujlichangia kua n peacful electio ju uli2show tips za kuzuia n disadvanteg za post election aki thanks. Hamushte //DJ B B mbona part ya msela wangu charlie pelle haiko kwa show, yaleo iko
3
4 kali juu tu sana. Misfit Lazor Buoy//I lov xhow yenu xana. Isaac Masaci//DJ B kuna kitu inansumbua sana sijui after KCSE what next? Otherwise unani inspire tu sana. T londiani in chenye una panga tukumbuke. Langat amos//DJ B una tunaic yangu yote tu sana. Keep t up brathy. Jymo Da Paipai//Na-like comics zenu shujaaz.
5
Francis Otsieno//Shujaaz magazine inababa joh. Wambua Kituo//Mambo mzito?niko glad kupata timeline yako. For long nimekuwa nikirid risto za mayuts kwenye journals za mashujaz, umehelp mayuts sana. pia mi ningelike kushare sumthing wth u. Aaron Korino Mutonyi//Nashukuru kwa encouragement zako kwa mayutz. Pedro Dunoso//Big up
6
Rael N jangw a kuto After k ka Ker uishia icho training chaku ju la hea u ya u muhim lthy ali vegeta amua u wa k bles ka k ula u p anda t ma mu kunde raditio renda, , spina n al saga, ch na yake n manag zingine a zeny u, ndio a e zinab provid aki an ni show ie fam a u z f ily ia a v orite ma-ne meal ya ig k h o b o h e u a r. ukianza lt skiza h na wor hy. d meal story  JAN kw on 11TH a qfm.
DJ B hustle zako za nguvu zimetusaidia kumek dooh na kujitegemea maishani kama vijana. James Muita.//Niaje DJ B B, huyu ni freind wako Evance Kutoka Siaya Count,endelea kuencourage mayuts. Thnx sana Bradhe. Evans Bessemer//DJ B mimi ni agent wa Mpesa hapa Likuyani, Kakamega county. Ntapataje izo shujaaz ni issue kwa mavijana
7
nyumbani...
8 mtaani. Hua inatu-inspire maze. Silah Webs//DJ B Big up by the wei umefungua vijana wengi macho nkiwa wao coz plan za kumake doo nko nazo hapa eevn n 1k up 10k or chni ya izo nko pia shwari. Bora nisilalie maskio then fungue macho ncheck mbele, Au sio. Peter Ndungu//Hey DJ B, Aky i really love shujaaz una ni-nyc tu sana. Winnie
9
10
11
12 Zippy//Enyewe gal-child akona ryt ya kupata elimu. Thanx sana Shujaaz. Hildah Brand//DJ B Shujaaz ina tu bamba tu sana mimi ni bro wa Edu congrats kwako DJ B. Edu//Shujaaz iko juu, ina tu bamba sisi mayuts wa taita taveta wundanyi. Remi//Niaje mtu nguyas niliread lst wik shujaaz ilikuwa ina bamba mmmbaya. Kenah//Nakubali iyo show
13
yenu ina bamba na pia na like kuread zile vitabu ndogo za Shujaaz Fm na kila aina za machaptaz. Frank Boli//Big up guys, mnado jobs poa sana na mavijana. Gilbert //Hapo ni smart sana bro, na mi na believ hii mtaa yetu iko na mafans mob sana wa shujaaz. Job yako iko fiti. Rajah Vachez//Niaje DJ B manze mahn nimesoma chapter 56 na im-
14 efanya nikalearn alot sanasana kwa hii hii sector ya relationship,manze c mayouth lazma tuwe responsible,ukidunga dame ball make sure majukumu yako umetekeleza bt c kujipa shuguli. Risto ya cheezy imefanya ni learn kitu out of it mahn. thenks for yo good work B. Ni Tony frm Ronga//DJ B last month ulikua ju aje,nlipata chpta 57,iko sawa tena
16
ii risto ya Alaine fire tu xana continue namna that u wl uplift mayuths hadi m2 ajtengemee. Khalef Decca//Ahsante sana DJ B barikiwa kwa job poa yenye unafanya. Elizabeth Obunde//Show noma mzeiya nimewazoea kwa comics, nado kitu similar ju nime train na Family Health Option Kenya, good work guyz. Joy//DJ B unado job poa ya ku-ed-
17
19
ucate mayut ju ya hustle na challenges we face in life.Big up. Benson Tobi//Nakwambia DJ B uko sawa.He! kwanza kwa plan ya hustle. Benjamin///DJ B we ni wa power coz umempower mayut adi wako active nw. Keep it upmen. Julius Mantix//DJ B kwa mchongoano uko yuu 2 xana.Tosh Fvoke//Hahaha DJ B We Unijaz 2 Sana An De Same Tym
20 Unaninspire. Hendrix Alphino Miyu// DJ B hi issue ya Irene kuwa na shida ya maji n kali sana nalyke sana kui’repeat mara mob coz u can imagne hyo mtoto vle mdogo anatumwa kuhoji uyo mama,weph!,DJ B we n kali kweli,inakufaa. Khalef Decca//Aki Mzito Uko Tops Sana Unanibamba Ile Mbaya. Issa Ibrahim//Keep it up DJ B B unaniencourage
sana. Kemunto Ayako//Mzito we n m2 wa vungu una2help cc ka mayouth xana thanks jo. Evans Simiyu//DJ B b mi i blve ku2mia cd ni kujijua coz we are young we kant cater 4 early pregnancies n wat of s t d. Tutumie CD ndo 2get a longer life. Johnie//Hi DJ B luv wat u do 4 da yuts. Bigup n God bless u. Beatrice 4rm Nyahururu//DJ B big up 2
21
22 xana kwa kunmake kukeep rabbtx baada y kuread comicx zako kwa chapter 52.//Yap DJ B enyewe uko juu tu sana kama bendera ya wafilisti. endele ku-advice ma-youth kwa kuwapea mo details za ku-make doo. Goduson Thomas// DJ B mi ni fan wako. Manze idea zako zimenijenga sana coz nlikua nmespoil xana hasa na isu za kupea madem bol
23
na kuhepa bt book yako ilinixev nikaona haya mambo haya fai.so advice yangu kwa ma yuts wenye tabia ka zangu wa stail up na wajue haya mambo hayana tuzo lolote bal ni kujiletea shida nying kama mm nilivyo wachiswa xule na kuwekwa ndani. show imekua poa.kwanza jongo love.nimeenjoy. Humphrey Kenyan//Niaje DJ B. Nimekuwa niki
24
Shujaaz (TM) is published by Well Told Story Ltd, P. O. Box 1700-00502 Nairobi, Kenya. Tel: +254 719 407 512 Web: www.welltoldstory.co.ke. Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466-00100 Nairobi GPO.
Produced in collaboration with: Hewlett Foundation, Twaweza, Bill and Melinda Gates Foundation, Sainsbury’s & ESHE. Distributed by Nation and Safaricom. PRODUCER: Paul Ekuru ASSISTANT PRODUCERS: Jared Ngugi | Stephanie Boy | Paul Peter Kades ART: Mmbasu Mbwabi | Maurice Odede | Dan Muli | Eric Muthoga | Joe Barasa ART DIRECTOR: Esphan Kamau GRAPHIC DESIGNER: Ann Ndichu SOCIAL MEDIA: Farida Nzilani Winnie Nduta RESEARCH: Sylvia Thuku | Lavinca Achieng | Norah Kopi OUTREACH COORDINATOR: Koome Mwiti | Getrude Bosire EDITORS: Blizzy Raura | Louiza Wanjiku ASST. EDITOR: Wangari Murange DISTRIBUTION: Joram Kioko PHOTOGRAPHER: Alex Kamweru FINANCE: Ranjeeta Jani | Carol Ariga | Mary Muthoni INTERNS: Wambui Gathee Special thanks to JUNE RAPSHA for his Music on ShujaazFM
25
Well Told Story © 2014 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced,stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication.
26
follow comic zako tu sana na today nakupa thanks kz the last eight good years nimekuwa niki use drugs sana sana weed bt from last week adi leo nimeanza kujaribu kusare . Ryt nw nishanza kusave chedda za kustart bizzna ya kumake future ya mine....please mayut tujitenge na any kind of drug na mtacheki life yako ikiwa smart ajabu. I don’t think there is anyway I
27
28 can let down my future. pia condoms unakumbuka kueka mpangoni tym una have sex. Ama pia unaeza amua si lazima b4 marriage. Esbon Kam’njoro Razio // Hae DJ B, jana nilitry kubonga beshte wa mie kuhusu hii stori ya contraceptives na nikaona
29
amenyita kuruka.thenks DJ B! ur one in an m. Patrick B//Nimefurahi cz mimi nabf maen wehv xex & natuna 2mia protection na sitaki kajunia now thnx kwakutuhlp kujua alot poa DJ B. Naitwa Aka Shkz Aka KshiHae DJ B aki uko juu kwa risto ya kusaidia madem ku avoid early pregnancy thnx 4 ua advice. Elizabeth Nyakio
30
31