Chapter 61

Page 1



3 DJ B nafurahia tw n hiyo kazi yenu mnape waxee advise n inahelp tw xana. Bt dj mxiyuko fb bt dix december nda g rejexta n i hop 2tatak mob. Ixabella//Asanti kwa kijitabu kidogo kilichobeba ujumbe kwa youths & young generation. Peter Muthee//Na like attitude yk ju yaku inspire mayut kwa community ,mayut ameanza kuhustle,uko ju 2 sana. Adlight


Nani! Knight alikuwa tu okoa jahazi!

Tihiihihihiiiii

Chuo ya knight...

Lakini PolLy alisema ananipenda! Mbona hachukui calLs zangu!

Any-way, Maria Kim, mtu hu-feEl aje akiwa balL?

4

Relax Knight. Pengine hakukubalishwa simu kwa shule.

Ama pengine adijo aliichukua.

EeE...rR...siko sure. Pengine MarRion unaeza jua?

Mizengo//Ahsante sana DJ B Nimeona shujaaz ni noma sana.Karibu Bungoma. Kennedy Ochieng//Aje aje DJ B ..show yko nkali xanar..umetuinspire ka mayut. Emmanuel //Aji aji DJ B c Shujaaz iko fit, can’t miss anythng abt it. Anita//DJ B joh,unahelp mayutx xana. Kenya inahitaji watu ka wwe iendelee, continue wd d xame spirit. Justin


5 Brians//Hi DJ B Uko Juu 2 Xana Thanx 4 Encouraging Us Da Yut! Noauh Kym Niobium//Hi mzito una2nice videadly-John frwm Miondoni//Hae man storo zako ni interesting next time kwa comic tushow kukatia aki mi sijui kukatia kabia tafadhali kuna dem mtaani na amenikill sijui nifanyaje. Alloys Rioba//Manze DJ B amentrans-


Niaje Knight, Poly ako busy but unaeza niachia mesSage yake.

WHAT! WhaAt! Mli-sneak simu ndani ya chuo!

Pwahahahahahaha! Ulibonyeza ukashinda! Knight ako balL!

Mna-risk sana. Modeh akiwapata sijui niseme! Mi nimeishia!

6 fom ile mbaya next ntaanza ku g enjoy ,wacha tu plan angu iive xmat. Onsongo Innocent//Mi ni mse napenda kuimba tu viexcess!naishia bom nne na nachopia likii hill, I don’t work lakini nanaisingi kuimba. Napenda Elani sana na ningependa kumit na hao watunguyaz,cjui ka unaweza mek iyo ihappen. That would mean alot sana kwa life yangu.


baAdaye: siku kadhaA... Sa hii ni ufala gani!!!

Maze una-neEd ku face hii situation ka mwanaume.

Sitachukua simu zake tena!

Poly, Knight ako inje ya gate, anadai kukuona.

Ulikosa kutumia protection soO handle consequences kabla kuaribike.

weEkendi... steam steam!

panda panda, hahaha

Nikita Raney//Shuujaz ni gwan 2 xana. Jemimah Bhoke//I Lyk Ua Ideaz Na Unanjaz Mbaya Xana. Kabayser Birya// Eeh!DJ B wee n mkal salut 2-2 xana. Donald Jambo//Hi DJ B me hulike sana comic book yako endelea kutuchanua vivyo hivyo. thnks tu sana. Paula Jabito//DJ B pull up kisiĂŹ umetamba kote kama hewa. Daniel//NĂ bambika kuruka

7


Kwa nini umekuwa ukilenga calLs zangu! Si ulinidanganya ati unanipenda! Sasa nijua pororjo zako!

Poly, ulikuwa na home-work aje na we ni border? Skia, nilikuwa tu nakupigia kukushow siko balL! I wish ungeshika simu!

Poly ni fala sana.

Ni venye nilikuwa na home-work mob...

WhaAat! Na venye nimekonda juU ya hii story!

Uko betTer ofF bila yeye.

Sasa najua mahali uongo zako zinafikia! I know betTer. Imeisha kati yetu. Jipange!

Umewahii jipata kwa situation kaA ya Knight ama Poly?

Kutuma SMS ni sare!

8

Tumia DJ B text ukianza na word 'patikana' kwa 20308 umsho risto yako ama ata ya friend yako.


Shujaaz (TM) is published by Well Told Story Ltd, P. O. Box 1700-00502 Nairobi, Kenya. Tel: +254 719 407 512 Web: www.welltoldstory.co.ke. Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466-00100 Nairobi GPO. Produced in collaboration with: Hewlett Foundation, Twaweza, Bill and Melinda Gates Foundation & ESHE. Distributed by Nation and Safaricom. PRODUCER: Paul Ekuru ASSISTANT PRODUCERS: Jared Ngugi | Stephanie Boy RADIO: Paul Peter Kades ART: Maurice Odede | Mmbasu Mbwabi | | Eric Muthoga | Joe Barasa ART DIRECTOR: Esphan Kamau GRAPHIC DESIGNER: Ann Ndichu SOCIAL MEDIA: Farida Nzilani | Winnie Nduta RESEARCH: Sylvia Thuku | Lavinca Achieng | Norah Kopi OUTREACH COORDINATOR: Koome Mwiti | Getrude Bosire DISTRIBUTION: Joram Kioko | Anne Noah PHOTOGRAPHER: Alex Kamweru FINANCE: Ranjeeta Jani | Carol Ariga | Mary Muthoni INTERN: Wilfred Kariuki Special thanks to JUNE RAPSHA for his Music on ShujaazFM Well Told Story Š 2014 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced,stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication.

9


10 na ma-advice yako kwa mayuts. surely ristos zakwako utubuild 2 xana. Qytnelliez Cate//I Lyk Ua Ideaz Na Unanjaz Mbaya Xana. Kabayser Birya//Thanks tu xana kuwa kusaidia ma yut. Elsie Wamuyu//Congrats kwa kuelimisha mayut. Sandra Sessly//We DJ B uko juu ka masikio ya kunguru!! Johnie//DJ B nakuconragulate


11

sana kwa ku educate mayouts. Fred Bin Fredie//DJ B we ni mcreative tu sana. Brutukan Melkamu//Hae DJ B good xhow lyk every thing abt the xhow i wixh nigekua n uwezo n gekuokolea n xhow. Adrian Alicias//Vipi DJ B hey buddie mi unijazz tna sana,umen’mek strong na hzo decisions zako bana,buddie,mi nakuaga na talent ya kudance bana na


12

cnaga support,do somethng bana..nko area ya kasa. Mahcie Chiqutta//Hae DJ B am ready kumake chats na ww coz madecision yenye naona kwa timeline yako yanijazz. Shevil Atom//mambo....ua unasaidia mayughts kama mimi sana. Winnie Maina//uko juu 2 xna DJ B. wsh nkuone one dai! Shantel Shaine//Hae DJ B big up 2 xana amewaxaidia mayutx


wengi kug.dvlpxha lv u mwaaaaaaaa. Betty Muchonjo//Niaje DJ B mi napractise rabbit keeping en imeni help 2 xana coz cku iz lfe yangu imechange nina xel ma rabbit xahii nmebuy mbuzi mbili. Mathew Evans//DJ B big upz umehlp mayuts na kuwainspire. Davis DĂŤ Cecil//Niaje nalike show xana inatuempower. Robert Mbaru//Ak DJ B ulitry Enlixh

13


14

noma ukiwa na Alaine.Heko m2 wa mine! Jonathan kutoka Mwingi//Shujaaz me hunipa ma-advice mob hata sahi me husave mafriend juu ya kuclean maplace zao Ally Andasco Isaac//Asanti kwa kijitabu kidogo kilichobeba ujumbe kwa youths & young generation. Peter Muthee//DJ B thnks for wishing us a good day bt twamba usalama ju kukiwa hakuna



16 usalama haitakuwa good day. Lecturer Kachory De Sandro//DJ B am new qw i xhw na ma bigupz qw al funx waqo n lincoln 4rm meru//Thanks mseiya na big-up ma youth wote kwa kutia bidi kimasomaso. Bakisio Suba//Maria Kim uni-inspire sana. Roja Luteshi//Si umenijenga tu sana. Juma Dennis Kachila//Thanx DJ B juu ya plan ya kusave


17

dooh! I Salute you. Congrats endelea tu kutubamba na show zako, poa,poa, God bless. Samuel Baya//Wah show zako zko juesst, God bless. Xharonantez Persie//Maze DJ B thanks kwa k2save cc kama mayuts 2clost kwa slv of pvat. Donald Jombo//Show Yako Iko Noma Buda Coz Ma Ideas Zmeiva. Kilonzo Brian//Mambo DJ B Me Ni Ismael Kutoka nai na


18


19 nalove your Show Sana Ntaka nkimada chuo nipate ideaz za kumek it big in the country ili kuhelp my beloved Ismael Aimee//Nyi wasee uni-inspire tu sana asanteni. Rubi Kingsley//Vipi DJ B nabambika kuwajoin coz nahope kuget na hope for a beta future. Tom Odhiambo//Niaje DJ B mm tena hapa na story ingine moto moto. Kuna kitu


20 na observe na mayuts, wana bebewa akili viurahisi sana. Kuna hii tym nikiwa chuo nime witness 1 of my classmate aki danganywa atumie kubel aka chavias ka dawa yakichwa ati akiwa na headache ana piga smiff moja ya mapua then ana eka io ingine kwa mdomo n he did it. After a few weeks he becme an adict. Another guy at skull akaambi-


21 wa akitaka ku-relax anafaa ku-take puff ya bangi. Siku za first aliwa ame relax lakini after some time akwa addict. Ndio sasa nashangaa unaeza ambiwa aje ufanye kitu yenye unajua ni mbaya na ufanye. Mayut wengi wamepotelea kwa drugs. Hii ni kwa mayut wote, kila mtu ana akili yake itumie poa. Eliud Muhu//DJ B umenijenga na maristo zaka


22 poa na xa live, big up xana. Dennis Brown Masanya//Hi DJ B,am Xaviour 22yrs old congrates man ume2mek c mayut kujiendeleza vinoma. Supap!! Xaviour Ayuku//Niaje fathe mi u like sana venye we huinspire myut big up Jo. John Karobia//Hii xtori yako ya kuokolea mayuts inatuokolea tu xana bigs up DJ B. Kelvin Macharia//Wah!DJ B i


23

lyk ur advice aky ume help wa2 wengi 2 be xucessuful in future. Harry Yoh//Aki DJ B comics zako zimenifanya nijue kujipanga na kuendeleza biashara ya seedlings. Fanya hizo comics ziflow huku homabay cnty. Wycliffe Omenda//Walahi umeokolea wengi na nathani u r one of those to go to heven keep it up jah bless. Shazmin Unyato////Niaje DJ B mi ni


m-new hapa na big up kwa hio kazi unado kwa kwa ma-youthz. Na ile mchongoano mama Stacey ako juu. Prince Mwangi Bernard//DJ B nili save dooh kwa ku sale maindi nusu gunia.nili buy ndula na nika buy disc mob zaku sale zili ni help. Stephen Chuxx base uasin ngishu.//DJ B na like venye unaleta ma hustlers kwa TV na hata comics ju wao


25


26 hutuencourage kuenderea na ku hustle big up (pius). Dennis Mwangi//Happy 2015 shujaaz,hp mna mavitu gwang dhiz tym ya kujajalusha mayouth man,Big up DJ B a wana wee. Kerryson Mwangi// Mi ni mwanafunzi zilinisaidia kununua revision books sa nasoma poa na pia nilimanage ku buy rabbit mbili na nina hope kuendelea . Njenga//Mi naitwa


27

Boniface Nganga kutoka Virtual City Bungoma, niko Form Four St Veronica High School. Mi hu-work kwa kinyozi yetu home nikiwa holiday na i like your bizness ideas zako sana.//Mi ni myoung niko na 16 born 99 napenda xana show zako coz mi ni fan wako hata ka mi ni myoung coz zina teach. Mi Naitwa Sheila From Kuria Migori County//Enyewe tangu ni ingie kwa


28 shujaaz,nime kuwa niki saidika sana.I n times of advises na solutions. Asante Sana Shujaaz. Shiko// Hap new yr DJ B nikosure 2015 utakua na vitu poa kuliko last yr ee, my comnt ni 2, endelea vivo hivyo mtu wangu tunakulike joo gud day. Mi Ni Luzy Mm Ee Kutoka Westarn//Mimi ni fan wa Shujaaz nilimaliza std 8 last year. Napenda videady comic ya


29

shujaaz napenda sana vile mayuts hupata ma advice kutoka shujaaz nasema shujaaz ni mambo yote nani noma. Alex Warui Kutoka Nyeri Mukurweini //Hap new yr DJ B nikosure 2015 utakua na vitu poa kuliko last yr ee, my comnt ni 2, endelea vivo hivyo mtu wangu tunakulike joo gud day. Mi Ni Luzy Mm Ee Kutoka Western//Mambo DJ B,asante sana


30

kwa inspirations zako,nakutakia mwaka mpya wenye heri na fanaka. Austine kutoka kakamega//Mi upenda Kuxoma Shujaaz Kibao Kwanza Ao Ma Characters Wote Jk, Chuxx, Malkia, Maria Kim, Mkono Gum Simo DJ B Charlie Pele N Wao Wote. Monicah//Hi DJ B,ni mish kutoka chava,16 yrs old & aspiring doctor. Nachopia chavakali high[last yia no.8


nationally] skul. Nilijaribu idea yako ya ku- growin’ greens in gunias & de result iz just marvellousNilikuwa nakushow kama Shujaaz. don’t miss ua chance!!! Gabriel Ferock Yondo// Aje DJ B mzito? Wewe ni msee gwan sana kwa maisha, mimi ni fun wa shujaaz koz I believe mimi ni shujaa. Niko Nanyuki na ninakupata clear sana.



Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.