Chapter 78

Page 1


2

Eti bro ya maria ana kichwa big hadi akiingia kwa matatu anaagiza alipe kwanza ya kichwa mwili ni dscount..- georgy Gabriel


ujinga ni kuweka 4n crd ucall castomer care.//DJ B naskia ati wewe umekonda hadi unafunga socks na mshipi//Ujinga ni

3


4

kueka picha dactari kwa keja,ili maumivu yakizidi umuone dactari-anto Amasa//Linah from Taita - we n mref adi ukifanya


ujinga ni kuweka 4n crd ucall castomer care.//DJ B naskia ati wewe umekonda hadi unafunga socks na mshipi//Ujinga ni

5


6

ujinga ni kuweka 4n crd ucall castomer care.//DJ B naskia ati wewe umekonda hadi unafunga socks na mshipi//Ujinga ni


ujinga ni kuweka 4n crd ucall castomer care.//DJ B naskia ati wewe umekonda hadi unafunga socks na mshipi//Ujinga ni

7


8

koxa mungu anakupga ngoto//wewe hupenda kudish chakula kwubwa na nyingi hadi ukipewa chache unadai kutumia hand


9 lens ndo udish//Dj B ati budako ni fala first time yake kupanda ndege alisema shukisha apo junction.. by Royal Ambani//Ujiga


Hayawi Hayawi Huwa!

10


ni Ku complain Ati Dawa Ya Meno Iki Pada Na Ww N Kipokoyo// 11 Baba ako ni fala alipeleka mbuzi kwa dentist ati inglewe Blue-


12 tooth//dj b wewe unakichwa big hadi ukiturn round mwili inaping turn mara mbili...hahah hauniwezi DJ B...BIG UP!


î€ h, nawe! bado uko kwa hayo mambo ya cd? si nilifikiri tulisha tatua mwaka jana?

Maria eti wewe uko mfupi hadi ukitaka kusmamisha gari unachuna gurudumu..- georgy//Victoria ni mrefu hadi anaweza

13


14

paka rangi kwa mawingu – georgy//Victoria ni mweusi hadi giza inamwambia manze wacha kuniaribia fashion... – georgy//Eti


MAONi YAKO Ni YEpi kuhusu Musa anavyo mchukulia sarah? Tuma maoni kwa 20308 ukianza na neno “jyamusa” na unaweza jishindia ksh 1000. kutuma sms ni sare!

15


16

Gadafi Nyaeri Djb ati first tyme yako kwenda church uliulzwa kama unajua yesu ukadai eti�mm bado nmgeni hapa bado sjui watu wote


17


Spicy Bae!

18


unajua mi hupenda kuongea na madem wana-do job hapa... kuhusu machali...

kaA hapa uniambie...

nimeona relationships ziki-fail hata kabla zianze. na ninajua wewe unatafuta...

najua unahepa hii convo!

eh, mama stacey... unajua nafaA kukunja hizi towel zote!

umenipata! hii game si unaijua!

yes, kaA hapa! sasa ebu niambie...

uko m-young, single, spicy... hehe! acha za hizo!

ninajua mob kukuhusu, nikikushow utashangaA!

hii mambo yote kunihusu uliju aje?

house ya kina Maria imejengwa na sembe hadi wakora wakija 19 wanasema fungua ama tulete mboga...- georgy//


jana ukiongea na maria kim nilikuwa pale nyuma. nilisikia kila kitu!

ni juU naku-like.

what? aki wewe! napenda venye uko m-frank.

tena kwa sababu yako ma-boys wengi wana-come hapa kucharge simu zao... haha! kusema kweli natamani naogopa ku-meEt ku-setTle na mtu mr. right! hatakuwa comMitTed.

aki usitafute tena. mimi bae wako niko hapa!

chuxX!!

kama una kitu ya kusema ingia hapa na useme face to face kama mwanaume!

20

Mafuniko Ruwa Ujinga n kufua nguo kwa maji ya moto ili ikauke haraka.// Obadiah Ropkip “Ati ww n mrefu hadi unapewa ugali na manati�


ku-charge simu ni 15 bob...

eh... ah...

unaeza niwekea haka kasimu kangu kwa charger?

15 bob pekeE? eh... nilikuwa na pesa hapa...

unaeza chukua credit card ya ghetTo? siku hizi sibebi cash...

ah, mama stacey nawe, kunianika! huwa ninalipa na card!

haha! chuxX unanichekesha!

lily weka simu yake kwa moto. yeye huwa simlipishi.

unaona sasa? ku-get chali mpoa sio rahisi.

kuna huyu mseE nimekuwa niki date, but sidhani ako ready ku-setTle. simuelewi aki! ako na bizna poa, boutique ya kuUza manguo... lakini macho zake hushinda tu kwa kila dem anapita!

ukitaka kujua kama ako ready kusetTle, cheki kama ako keEn kukuprotect kutoke vitu ka diseses na mimba unexpected..

Rabex Cynthia kwenyu mko wengi adi ikfka tym ya fudi mnakol 21 regsta kwanza . macho zako n red adi zinaivisha nyama!


saja, uki-get cd kwa bag yangu uta-react aje? vi honest... ati?! wewe na cd?!

kama hivo ndio ali react, ah-ah. kama mseE hayuko tayari kuku-protect, huyo sio marRiage material!

baAda ya wiki moja hivi...

22

malaika...


...malaika... ...nakupenda...

...nami nifanyeje...

...ningekuoa malaika...

haiya! saja!

najua mi ni ex wako, lakini roho imekataA kukuacha! nime-invite hawa watu wote ndio niku-surprise! Lily, wilL you marRy me?

Relationship yako inaweza kuwa afFected aje kama your plus one ako against mambo ya protection?" Text maoni yako kwa to 20308 ukianza na word #SpicyBae na unaeza shinda ksh. 1000. Ku-text ni freE. eEeh... aAah...

23



Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.