Chapter 86

Page 1


2


3


4


5


6


7


8


9


10


11


12


13


14


15


16


17


18


19


simu yangu bado haijajaA moto! wewe chuxX baki. kukitokea customer unipigie simu.

sawa!

sidhani kuna customer atatokea leo. katikati ya mwezi...

sasa? ku-dye nywele ni how much?

20


ku-dye nywele ndio kuweka braids ama? wewe ni hair dresSer wa ukweli?

na si uende! uhm! hata sijui mbona ulinifuata hapa!

wewe stelLa kila wakati ni nywele tu! mimi nimeishia! ukimaliza uni-calL!

ayayai! mbona kuniongelesha ka mimi mtoi! wewe siku hizi una tabia mbaya sana!

hii relationship yetu mimi sioni haja!

ati! eheEeEe!! nilijua tu! unataka tu-break up! sawa! hiih ni ile simu ulini-buy-ia! shika! enda!

stelLa... enda! kwani unadhani? kwanza wewe huniboO vile huwa hutaki kutumia protection! nitakuwa fala ku-get balL juU ya kimseE hakitaki kubonga hizi story si uishie basi? unangoja firimbi? aAaAarRrRgh!

21


22


sawa. ulisema dye?

hiyo ndio blond?

blond ndio nini? acha nichanganye hizi vitu...

oh-oh!

Ikuwe blond! fire!!

ayayai! umefanya nininywele yangu? ah... hii ndio blond ya siku hizi!

*#%$!!!!

woOoOi!!

23


24


25


26


27


28


29


30


31



Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.