2
3
4
5
6
7
8
9
11
Jongo, after ma-days...
ben nawe una-kick balL na nguvu huoni mimi bado mtoi?
haya bryo balL yako!
maria kim amekawia! ebu m-show aspeEdishe tutachelewa kuenda soko!
sawa, wizZo!
wizZo... niambie tu ukweli, unam-like maria kim, sio?
tunaeza enda sokoni sasa! wueh! acha tu! lakini nitaAnzaje kum-show hivo?
I think anaku-like pia. ye hubonga juU yako sana! the balL is in your hands, wizZo!
12
poleni nimekawia, ilibidi nimalize kazi kwa nyumba kwanza.
maya ameni-calL. ako sokoni already tutam-meEt huko.
aki nyinyi.. hehehe! boys wilL always be boys!
maya ni nani? eh, ben relax, acha kuchangamkia hivo...
maria kim boys hawawezi ku-change wakue girls! ah, wizZo acha za hivo! hehehe!
mbona mnacheka? kwani kuna kitu sielewi hapa?
sokoni...
yo! maya! tuko hapa!
sasa? ngoja ni-buy mandizi hapa nakam!
saseni?
fiti, maya! hawa waseE washa ni-show mob kukuhusu!
wizZo na bryo unawajua. ule ni beste ya wizZo, anaitwa ben. poa kukujua, ben!
13
madays later, keja ya ben...
lazima kung’are! leo ni usafi!
eh! spiders poleni!
leo lazima muishie! niko na special guest!
helLo? wizZo? guesS what? nesta anakam kuni-visit!
nesta nimekuhata sana! nime-misS hiyo gap kwa meno yako, hehe!
pia nimekumisS! thanks kuja kuni-pick. mimi ningepotea huku jongo!
aki life ya ushago imekuwa hard!
14
What do you mean, si umesema mlilala pamoja! Nani siku hizi hufanya hivyo bila protection?!!!
Ben wewe ni fala kama hiyo ndo unaita ku-abstain. Una-risk life yako na ya Nesta!
Aah... sikuona haja j sisi hu-abstain.
Unajua huwa hatufanyi often j tumekuwa apart for two months so hiyo si ni ku-absatin?
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
CP
26
27
28
29
30
31